MCH HANANJA - AINA NNE ZA MAHUSIANO, AINA NNE ZA MKE kwenye TACMEN MEN'S DINNER 2023

  Рет қаралды 710,359

Tacmen Group

Tacmen Group

Күн бұрын

Пікірлер: 277
@evalinemalole6709
@evalinemalole6709 4 ай бұрын
This Pastor🙌 Moja ya tunu za pekee katika dunia
@controlTheoryChamps
@controlTheoryChamps 3 ай бұрын
Kweli kabisa
@eliudkatuumwanthi3611
@eliudkatuumwanthi3611 Жыл бұрын
Napenda sana maneno yako mchungaji Richard hananja
@emmanuelnakitare5913
@emmanuelnakitare5913 Жыл бұрын
Maarifa hayo mchungaji. Barikiwa sana.
@NemesiYustina-ye2vs
@NemesiYustina-ye2vs Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji nafurahi huku najifunza.
@InnoNihemee
@InnoNihemee 4 ай бұрын
Mungu amenibadilisha sana kupitia kinywa chake Mch hananja hakika naona undindi kwa Yesu . Mungu akulinde mzee wetu
@ruthReflections
@ruthReflections Жыл бұрын
Asante kwa maneno yako yenye busara.
@LuckyAkyoo-my2cn
@LuckyAkyoo-my2cn 5 ай бұрын
Nimebarikiwa na mafundisho yakoo mchungaji Mungu akubariki
@ElizabethLwesya
@ElizabethLwesya 3 ай бұрын
Hakika mchungaji mahubr yako yanamafundisho makubwa sana ..Mungu akubariki mtumishi
@OscaSangu
@OscaSangu Жыл бұрын
Mchungaji hananja Huwa nakuelewa sanaaaaa mahubir yako Huwa Yana nikosha sanaa😂😂😂😂😂
@salumuliuye2932
@salumuliuye2932 Жыл бұрын
Brother nakuelewa nanapendasana kukufuatilia mungu akubariki.
@Linah_123.
@Linah_123. Жыл бұрын
Mungu akutunze mchungaji, kweli maarifa tunayapata😊
@IrenMushi
@IrenMushi 11 ай бұрын
mpuuz unamwelewaje mchungaj ww au swaga tu😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@RamadhaniMndeme-i5e
@RamadhaniMndeme-i5e 9 ай бұрын
Uko vizuri baba tunakukubali hatasisiwaisilamu
@anthonyngetich1810
@anthonyngetich1810 11 ай бұрын
God bless you nice teaching
@aizackward4850
@aizackward4850 Жыл бұрын
Mungu akutunze pastor
@RobertMshamba
@RobertMshamba 2 ай бұрын
Mchungaji hananja mungu aendelee kukupa moyo huo huo wakufundisha neno bila kumuogopa mwanadamu amen.
@TAMCODETZ
@TAMCODETZ Жыл бұрын
Hongera sana mchungaji. Unatubariki sana
@emmanuelmwasha8625
@emmanuelmwasha8625 Жыл бұрын
MCHUNGAJI UBARIKIWE SANA, HUWA NAKUPENDA SANA NA KUSIKILIZA MAHUBIRI NA MAHUSIA YAKO.👌
@BAHATINHINDILO
@BAHATINHINDILO 5 ай бұрын
Nakubal sana mchungaji upo vizuri
@TatuYufuramadhan-zw2ln
@TatuYufuramadhan-zw2ln Жыл бұрын
Mungu azid kukutia kwaviwango ubarikie
@Gardenbeautysolutions
@Gardenbeautysolutions 3 ай бұрын
Waaa...! Yani kama darasani skuelewa daa jamani hapa nimekomaa nayo Ahsante mchungaji Hananja Kw mafunzo yako kuntu
@albertmwajega6266
@albertmwajega6266 Жыл бұрын
Mzee nakukubali sana mungu akulinde zaidi.
@SamwelJoseph-lq1tg
@SamwelJoseph-lq1tg Жыл бұрын
Hongera Sana baba Mchungaji Niko Singida tunapenda Sana mahubiri yako
@khamidaabeid1785
@khamidaabeid1785 9 ай бұрын
Nabarikiwa kila itwayo leo na mafunzo yk aswa ya ndoa naendelea kujifunza zaidi ktk maisha ya ndoa🙏
@DoreenLembriss-xd1bz
@DoreenLembriss-xd1bz 8 ай бұрын
😢😂😂😂😂
@pizzowhpinniely
@pizzowhpinniely Жыл бұрын
Ahsanteh mchungaji kwa mafundisho yako nakuelewa sanah
@alexmilinga
@alexmilinga Жыл бұрын
Hongera San baba mchungaj kwa mafundisho mazur
@AishaOman-qz7tn
@AishaOman-qz7tn Жыл бұрын
❤ hananja unanibarik sana mungu atunze kilichomo ndan yako 😂 ukisituka mbinguni ukisituka jehanam😂😂😂❤❤❤❤❤
@ludovickizack9812
@ludovickizack9812 10 ай бұрын
Asante sana mt wa mungu acha Mungu azidi kukutumia
@JoyceChibada
@JoyceChibada Жыл бұрын
Asante Sana kwa kututoa mawanzo na kutupatia furaha, Mungu akutuze na kukulinda Kila iitwayo leo
@Lilian-e3f
@Lilian-e3f Жыл бұрын
Nakupendaaa sanaaa unatuelimishaaaa
@lewissamwel170
@lewissamwel170 Жыл бұрын
Wewe ni mtu na nusu❤
@RehemaKizae
@RehemaKizae Жыл бұрын
Mungu aendelee kukulinda mchungaji unamafunzo mazuri
@danielgadiye7983
@danielgadiye7983 Жыл бұрын
Wewe nimwalimu mzuri sana
@abibumbota5160
@abibumbota5160 Жыл бұрын
Asante kwa ujumbe mzuri
@MichaelSungura95
@MichaelSungura95 Жыл бұрын
Namuona mwamba Mc kazaura ametulia ana skiliza nondo
@hajimahamudu7059
@hajimahamudu7059 Жыл бұрын
Namuona na Mzee mauki anakula nondo🎉🎉😂😂
@estamichoromichoro5634
@estamichoromichoro5634 Жыл бұрын
​@@hajimahamudu7059mm nilijua nimemuona pekee yangu😂😂😂😂
@RichardStephen-xc7yc
@RichardStephen-xc7yc 11 ай бұрын
God be with u master
@JephaniaJohn
@JephaniaJohn Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mchungaj kwa mahubir yako mazuri
@MbwiloMwapul
@MbwiloMwapul Жыл бұрын
Asante mchungaji unatufundisha sana
@marysaituni4584
@marysaituni4584 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi 🙏
@veronysiwale7832
@veronysiwale7832 Жыл бұрын
Hananja una upako wa wako wa kipekee.. Mungu akutunze Mchungaji
@DeboraMussa-i6v
@DeboraMussa-i6v Ай бұрын
MUNGU akubarik Mch.Hananja kwa Mafundisho mazuri.
@DeborahBosibori-k7x
@DeborahBosibori-k7x Ай бұрын
Mungu akubaliki ktk kazi yako ya kitume
@mankamushi4588
@mankamushi4588 7 ай бұрын
Mimi nampenda Sana huyu mchungaji mungu akubariki
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Ubarikiwe Hananja❤
@Jkarabaakka
@Jkarabaakka Жыл бұрын
Ubarikiwe,mtumish
@AzamMapikipikiOG
@AzamMapikipikiOG 8 ай бұрын
Mchungaji hananja nakukubali sana💪
@AmaniMkaine-t2r
@AmaniMkaine-t2r 11 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumshi wa mungu
@JescaShemzingwa
@JescaShemzingwa Жыл бұрын
Mungu akulinde mtumishi wa mungu
@rizikivincent5255
@rizikivincent5255 Жыл бұрын
Baba umefundisha vizuuuuri sana yaani mafundisho yaliokuwako kimila hayapo ndo mahana waume kwa wake wanachanganyana mno kwasababu waume awajielewi kiume
@DeusBenjamin-cb6oj
@DeusBenjamin-cb6oj Жыл бұрын
Mchungaji tunashukuru kwa mafuundisho yako mazur,,your so enjoyable
@ZamoyonNgata
@ZamoyonNgata 10 ай бұрын
Baba tusaidie sana tunaenda km ng'ombe wato
@LindahPissa
@LindahPissa 10 ай бұрын
Mungu aendelee kuchochea karam zako
@NaaLukinja-hg7je
@NaaLukinja-hg7je Жыл бұрын
Nice mchungaji
@PaulJoseph-ld7vi
@PaulJoseph-ld7vi 10 ай бұрын
God blss younice feaching
@SalvatoryeliasMtwale
@SalvatoryeliasMtwale 16 күн бұрын
MBNA utani mwingi ,,,,kusinzia waumi ni 10%🎉❤❤❤❤❤
@omegatito-ib2hi
@omegatito-ib2hi Жыл бұрын
Ubarikiwe mumishi
@RoziMlawa
@RoziMlawa Жыл бұрын
Mungu akubariki mch hananja
@HusnaSalum-p1q
@HusnaSalum-p1q 4 ай бұрын
Ila huyo mchungaji anafurahisha kweli penda sana weye🎉
@winfridakaaya2758
@winfridakaaya2758 Жыл бұрын
Napendaa sana mafundishoo yako hananja
@richardelisha2720
@richardelisha2720 Жыл бұрын
Kichwa cha mchungaji kina unga wa rutuba sana.🤔
@saidizuber8831
@saidizuber8831 Жыл бұрын
Allah azidi kukuweka
@samwelnyari290
@samwelnyari290 2 ай бұрын
Mzee safi sana 👍👍👍
@RachaelNdinda-j9k
@RachaelNdinda-j9k Жыл бұрын
Napenda mafundisho yako mchungaji barikiwa sana
@daudichija2800
@daudichija2800 Жыл бұрын
mungu akupe maisha marefu nakuelewa
@Paunitha-iw1bo
@Paunitha-iw1bo Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji
@BoniphaceLugatha
@BoniphaceLugatha Жыл бұрын
Ubarikiwe sana pastor
@NaomiChristopher-mt2yh
@NaomiChristopher-mt2yh Жыл бұрын
Wanaume wamekaza kwel apo tungekuw wanawake vicheko mpk nanyamazishwa km Niko kwenye matatzo😂😂😂😂😂
@SeverinoCalistus
@SeverinoCalistus Жыл бұрын
Ubariki baba kwa nasaa zako
@sunnynicks09
@sunnynicks09 10 ай бұрын
PASTOR NAOMBA UJE SIKU YA HARUSI YANGU🙏 .... napenda mno mafundisho yako
@EmmanuelLameck-t1m
@EmmanuelLameck-t1m Ай бұрын
Ubarikiwe mtumish
@AlfafuteAlfa
@AlfafuteAlfa 6 ай бұрын
Thanks for your
@InnocentAlphoncekimaryo-lk8tf
@InnocentAlphoncekimaryo-lk8tf Жыл бұрын
Mchungaji hananja ,hakika mahubiri Yako ni chakula Cha ubongo ,maana hakika wengi tunaangamia Kwa kukosa maarifa
@janemsoma8223
@janemsoma8223 4 ай бұрын
ukulima wabizari
@fausterchristian8816
@fausterchristian8816 Жыл бұрын
Mchungaji anatupa chakura charoh na mawaz yanaish yupo vizuri🙏🏻🙏🏻
@mcmabawaclassicevents.
@mcmabawaclassicevents. Жыл бұрын
Asante sana Mtumishi wa Mungu... Kazi tunayo
@JohnWilliam-z9g
@JohnWilliam-z9g 3 ай бұрын
Congratulations pastor
@JanethMathias-b1w
@JanethMathias-b1w 4 ай бұрын
Nakubal sana mchungaji upo vizr😅
@mariamswebe7680
@mariamswebe7680 Жыл бұрын
Barikiwa sana
@janethnjau
@janethnjau Жыл бұрын
Mchungaji yupo vizuri sana
@EnockMageleja
@EnockMageleja 3 ай бұрын
Barikiwa Sana baba mchungaji
@Enerygozbet
@Enerygozbet Жыл бұрын
Yani nimebadilika sana kwenye kipindi chako nimekuwa mtu mkuu
@clintonkhan4961
@clintonkhan4961 Жыл бұрын
Baraka tupu aiseee
@MussaTorosei-xo2iz
@MussaTorosei-xo2iz Жыл бұрын
ubrikiwe sana una kitu cha pekee pastor .
@MartinEsau-fz2vu
@MartinEsau-fz2vu 7 ай бұрын
Mchungaji mungu akubariki
@projestusibyakutaga3530
@projestusibyakutaga3530 Жыл бұрын
Mchungaji wa taifa 🔥
@Chr196
@Chr196 Ай бұрын
Amen barikiwa mtumishi Baba
@puritykagwiriakagwiria6658
@puritykagwiriakagwiria6658 Жыл бұрын
Wow , God bless you
@AgnesMulu
@AgnesMulu 7 ай бұрын
Barikiwa sana mchungaji
@elizabethelias7959
@elizabethelias7959 Жыл бұрын
tnx pastor
@RobertKobero-d8e
@RobertKobero-d8e Жыл бұрын
😅😅😅😅ila mchungaji Hananja au basi tu ila Mungu akutunze
@johnmahu5060
@johnmahu5060 Жыл бұрын
Akili nyingi sana ubarikiwe hananja
@busigatv
@busigatv 10 ай бұрын
Barikiwa sana🙏
@fanuelyimwakipageme
@fanuelyimwakipageme 5 ай бұрын
Nakuelew mch🎉😂❤
@winfredngaeje6969
@winfredngaeje6969 3 ай бұрын
Yaan Kam Kuna mtu anasinzia kanisan kwako duuuh😂😂😂
@PastoryFortunatus
@PastoryFortunatus 11 ай бұрын
Napenda sana mahubili yako Mchungaji hananja
@jabiriramadhani3692
@jabiriramadhani3692 11 ай бұрын
Awesome
@DavidGogi-rr6yl
@DavidGogi-rr6yl 7 ай бұрын
Asante mchungaji kwamahubiri 12:32
@josephsangawe7666
@josephsangawe7666 Жыл бұрын
Safi sana mchungaji
@stellayamama1527
@stellayamama1527 Жыл бұрын
Mungu nisaidie mi mwanamke
@baloz8974
@baloz8974 Жыл бұрын
Ameen
@DamuyaYesu-q9z
@DamuyaYesu-q9z 10 ай бұрын
Ameen❤
@nikupalakido
@nikupalakido Жыл бұрын
😂😂😂😂ila mchungaji umenichekesha sana
@jongosalehe1036
@jongosalehe1036 Жыл бұрын
Congratulations 👏👏👏👏👏👏
@paulomlewa
@paulomlewa 3 ай бұрын
Wanaume twendeni na chombo cha shaba na dhahabu 😅😅😅.Ubarikiwe Mchungaji Hananja.
@jorgbender3284
@jorgbender3284 8 ай бұрын
😂😂😂ni kweli lakini kucheka tu
Mch. Hananja awavunja watu mbavu ibadani, UDSM CCT CHAPLAINCY.
42:54
UDSM CCT MEDIA
Рет қаралды 2 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
DAKIKA 25 ZA ELIUD SAMWEL KATIKA USIKU WA FREEDOM NIGHT
25:40
ISRAEL JACOB SHADRACK
Рет қаралды 29 М.
NDARO NA STEVE MWEUSI WALIVO KULA CHAKULA CHA MGENI UTACHEKA
15:51
MCHUNGAJI HANANJA: MWANAMKE WA AINA HII HAFAI KUOLEWA NA MWANAMME WA HIVI HAFAI
27:05
SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)
Рет қаралды 177 М.