MCHUNGAJI MANGUNGU NA TRY AGAIN WAFANYE MAMUZI MAGUMU KUIKOMBOA SIMBA MASHABIKI TUNAUMIA

  Рет қаралды 21,206

SPORTS MAX

SPORTS MAX

Күн бұрын

KWA HABARI NA MATANGAZO
TUPIGIE SASA
0753393036 CALL
0625466848 WHATSAPP

Пікірлер: 49
@NeemaAkyoo-s4s
@NeemaAkyoo-s4s 6 ай бұрын
Tatzo mashabik wa simba hamnaga msimamo kesho tu simba sc ikimfunga mashujaa kuanzia goal tatu viongozi hapo hap ndo watatoka kwa kujifichia matekeo na nyie mashabik mtakaa kimya na kusahau haya mnayoyasema leo hii kuweni na msimamo
@davidwatson6821
@davidwatson6821 5 ай бұрын
Kweli ndugu yangu, yaani mashabiki hatuna msimamo
@sportsnewjs4330
@sportsnewjs4330 5 ай бұрын
Mchungaji ameongea ukweli kabisa 👏👏👏 Kwatimu yetu ya SIMBA tunashukuru Kocha yuko vizuri sana tu' tatizo baazi ya wachezaji wa mbele tu' nitatizo'
@sijaonamjungufinias481
@sijaonamjungufinias481 5 ай бұрын
Susieni hata kwenda uwanjani mashabiki mlioko Dar, maana hata nafasi ya 5 kwenye NBC Simba hawataishika Kwa mwendo huu.
@iradukundachriskagawa
@iradukundachriskagawa 6 ай бұрын
Mchome Mapovu akisema eti ni shabiki wa Yanga 😂😂😂😂😂
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 6 ай бұрын
UPO SAHIHI SANA VIONGOZI WA SIMBA WANAUCHU WA MADARAKA. ACHIENI VIJANA SASA HV. SIMBA IMEKUFA. CY MASHABIKI SASA HV TUNAISHANGILIA YANGA. SIMBA VIONGOZI WANATUUA MASHABIKI
@mumbamuganda6834
@mumbamuganda6834 6 ай бұрын
Mchungaji yuko sahihi maana usajili wa simba ni wa upigaji
@davidsimbeye1548
@davidsimbeye1548 6 ай бұрын
Kwa kweli viongozi wetu ndiyo wanaotuangusha, hata mimi nilisema tunahitaji viongozi vijana wenye maono makubwa mara nyingi kijana anakuwa na shauku ya kutaka kuonyesha uwezo lakini wazee mawazo yao wanawaza kuhusu maisha yao ya uzeeni yatakuwaje.
@leonardfungo
@leonardfungo 6 ай бұрын
Mchungaji Hata mabeki hatuna mabeki makatili badala ya kapombe na shabalala angalia Baka na akina Dickson Jobu ni makatili wakwetu wanasindikiza washambuliaji.
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 6 ай бұрын
TRAI AGEN NA MANGUNGU WANAWADANGANYA SANA MASHABIKI. MANZOKI ADEBAYO MAYELE. HUO WOTE NI UONGO TUU. USAJILI NIMBOVU SANA.
@uredipeter412
@uredipeter412 5 ай бұрын
Nakubali kweli
@nelsonchivaula2756
@nelsonchivaula2756 5 ай бұрын
Mfumo wa Simba kwenye uongozi ni ngumu kuitoa labda serekali iingilie kati. Kuna machawa wengi snaaaaa kiasikwamba hata huu ukweli hawaupendi kabisa.
@sunwizy608
@sunwizy608 5 ай бұрын
tufungwee ivi ivi ili tufukuzane vizuri maana tungekuwa tunashinda tungejisahahu
@charlesjoseph1081
@charlesjoseph1081 5 ай бұрын
huyu mchungaji au mchungaji nakushauri rejea kanisa mpira siochaguo ulilopewa na Mungu au Hama nenda yanga tokaaaaa
@NassoroSipemba
@NassoroSipemba 5 ай бұрын
Aya sasa mambo yameanza tumetoka kuitazama filam ya Manzoki kutua simba sasa kolo wanaletewa bonge la muvi Mayele kutua simba, na wao wanaamini mayele anakuja kukipiga simba nyie acheni kulala usingizi pono amkeni amkeni amkeni mnakwenda kupigwa mchana kweupeee....
@hajisaid145
@hajisaid145 5 ай бұрын
Nachka sana mashabiki wa wavyo sana maana hana msimamo tukisema vingozi ndio tatizo wanadanyika na maneno ya viongozi
@gabrielprotas2094
@gabrielprotas2094 5 ай бұрын
Hvi Manzoki alifata nini kwenye uchaguzi? Kunasehemu hatupo serious wana simba.. nadhani kunasehemu kuna shida..
@AnoriasKope
@AnoriasKope 5 ай бұрын
Koo hukweri hamen
@CharlesLutandula-y3c
@CharlesLutandula-y3c 5 ай бұрын
Nyiemmechangianini mnatumwa hameni nendeni yanga
@augustinoduma52
@augustinoduma52 5 ай бұрын
Watuachie Timu Yetu kwanza msururu wa kamati zisizo na msaada
@hassanntankwa4156
@hassanntankwa4156 5 ай бұрын
Moo naee aandokeee.na jeshi lake
@davidwatson6821
@davidwatson6821 5 ай бұрын
Mangungu ulipofikia inatosha kabisa achia madaraka
@jamalAlly-p2y
@jamalAlly-p2y 6 ай бұрын
Hawa viongozi wamekaa pale simba wanaendeshwa na yanga nandio maana hata presha hawana
@CharlesLutandula-y3c
@CharlesLutandula-y3c 5 ай бұрын
Kwendenizenuhuko
@MussaMarwa-z3n
@MussaMarwa-z3n 5 ай бұрын
Bola yako kaka ukweli ndiyo uyo
@SelemanSelemansaidi
@SelemanSelemansaidi 5 ай бұрын
Wapo hapo kushibisha mtumbo yao watuachie simba yetu,
@gaudencrasta401
@gaudencrasta401 5 ай бұрын
Viongozi ktk mkutano walitangaza lazima nusu fainali sasa tumepigwa nje na ndani hojayao tena ni nini??? Haya MO,ataendelea kutuaminisha nn upigaji ni mwingi hawatoki MO,utakua unachangia%100,Kuihalibu timu kwani nia ya dhati huna ulisha sema inakutia hasala tena kwawakati mugumu tukicheza mechi ngumu za kimataifa za CAF uhivi ulikua wakati wa kuzungu mza maneno hayo kweli
@SelemanSelemansaidi
@SelemanSelemansaidi 5 ай бұрын
Mm siwadai wachezaji deni lipo kwa uongozi uache uongo cc tunaumia
@silasmarandu1485
@silasmarandu1485 5 ай бұрын
Mch. Kote huko umeongea vizuri Sana, ila kwenye swali la mechi ya Mashujaa na Simba ukachemka kidogo 😂😂😂🤔🤔 Mimi ni shabiki Wa Simba mzuri tu! Jibu lako lilionyesha dharau kwa mashujaa hatimaye tumekula za uso tena za kutosha? Kudadadeki! Simba itatuua 😢😢😢😢
@sultankingboy9757
@sultankingboy9757 5 ай бұрын
Acheze kibu tu kw7b ao wachezaji walioxajiliwa xo chaguo la mwalimu
@abubakarishariff8489
@abubakarishariff8489 5 ай бұрын
Viongozi wamejificha wanangoja simba ikishinda kimechi kimoja ndio wanatoka kuropoka
@Sesiliakayaga
@Sesiliakayaga 5 ай бұрын
Mbona viongozi wakubwa wanajiuzuru tatizo nini
@ZuberiMlanzi
@ZuberiMlanzi 5 ай бұрын
Try AGAIN Hebu tunza heshima yko mbele ya Wana Simba unapendwa na unaheshimika hata ukipita mbele za wtu ya Wana Simba. Jitoekaa KANDO UHESHIMIKE. Wtu wengi Mangungu hawamtaki pamoja na ww ,tunza heshima yko ww huna njaa ya Uongozi huyu mwenzio ana shida na umaarufu wa Sasa, lkn sio ktk mpira MANGUNGU HAKUBARIKI KWA WANA SIMBA WENGI HATUMTAKI.
@jacksonmofulu9336
@jacksonmofulu9336 5 ай бұрын
Kwel kabisa upigaji mtupu pale Simba
@shekhesufiani9608
@shekhesufiani9608 6 ай бұрын
Wanachama changamken wafukuzeni viongozi we mo mfukuze traiagen na nyinyi wanachama mfukuzeni mangungu uwezo huo mnao fanyen kitu
@davidwatson6821
@davidwatson6821 5 ай бұрын
Viongozi Simba ni wapigaji tuu
@abubakarishariff8489
@abubakarishariff8489 5 ай бұрын
Moo hana pesa ni za familia mzee ndiomana awez kuleta watu ata wa bilion mbili tatu pale
@nasrahamisi479
@nasrahamisi479 5 ай бұрын
Sasa ndugu unataka tuwe na msimamo gani zaidi yakuwambia hawa VIONGOZI wajilekebishe
@lawrencephotographyandsafa5955
@lawrencephotographyandsafa5955 5 ай бұрын
YAANI SIMBA YA MANGUNGU NA TRY AGAIN NI TAKATAKA YAANI MAVI YA TIMU WACHEZAJI HAWAHIELEWI TAKA TAKA KABISA , VIONGOZI NI WAIZI KABISA
@leonardlunguya7112
@leonardlunguya7112 5 ай бұрын
Hao viongozi akina Try Again bila kuwafuata na viboko pale ofisini hawatatoka Kwa hiari
@AlfaniMichael
@AlfaniMichael 6 ай бұрын
Mangungu namwsnzio muondokeee mtuachie Simba yetu mnatuumiza sisi tumechokaaa
@CharlesLutandula-y3c
@CharlesLutandula-y3c 5 ай бұрын
Achakererewewe simliwachagua
@manyanyangassa1895
@manyanyangassa1895 5 ай бұрын
Vingozi waachie ngazi waje wengine haiwezekani tuwe tunaishia robo fainal miaka miine
@WilsonMwambonek
@WilsonMwambonek 6 ай бұрын
Kweli gutimu gubovu
@SalimRamsei-ok9el
@SalimRamsei-ok9el 5 ай бұрын
Duuh
@cosmasmwaselela6584
@cosmasmwaselela6584 5 ай бұрын
huyu mchungaji apewe nafas simba nimsema ukweli nayuko saihii
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 6 ай бұрын
Watu wa Simba wengine Washamba kama huyu
@MITOBO
@MITOBO 6 ай бұрын
Wewe tena mshamba zaidi
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 20 МЛН
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 8 МЛН
TRY AGAIN na MANGUNGU Wapewa Masaa 48 Simba/ Wanachama Watangaza Vita
10:01