KWA HABARI NA MATANGAZO TUPIGIE SASA 0753393036 CALL 0625466848 WHATSAPP
Пікірлер: 107
@joshuasamson96187 күн бұрын
Ni kweli Yanga walitengemea simbasc wakishindwa kumsajili mchezaji yanga wqpite naye tripu hii imekulà kwao wanasajili matapishi mwaka huu tunaomba uzima
@AzizaMayemba-td8po7 күн бұрын
Mungu awalinde wachezaji wetu na majin ya majilani Amina
@joshuasamson96187 күн бұрын
@@AzizaMayemba-td8po Usajili nguvu moja simbasc ndoo zote tunabeba mwakani
@user-id5oc7hm4n7 күн бұрын
@@AzizaMayemba-td8poAminaaaaa
@joshuasamson9618Күн бұрын
Omba Mwenyezi Mungu Vitabu vyote Akufunulie Wenye Uwe na Uzima wa Afya Njema tuyaone Mema yote ya Simbasc
Gb 64 nkufatilia sana cheus cheus cheupe cheupe unabalaaa
@user-hm6uz7zc5b2 күн бұрын
Kaka unajua kuongea ❤mungu akulinde
@PaulSengo6 күн бұрын
ila tusipange kikosi mapema jamni wanasimba maana akna karabaka ,ladaki chasambi,akna baruw a sioni wakitajwa hapo kwenye vikosi vya mashabik na option zake watacheza lini ndo hadhina za taifa
@angellomarcel56777 күн бұрын
😅😅😅 eti Baleke kapewa VITS...😅😅
@georgeuswege59057 күн бұрын
Uzuri hivi vitu vipo na tunavihifazi tutawakumbusha Mandunduka
GB 64 imekuwa msajili wa vizazi na vifo mtaimba mwaka huu.mmekuwa NIDA
@salymgaimale2357 күн бұрын
Jamaa anajua kuongea huyo utafikiri kameza betree,maua yake
@user-wh3so3px2y7 күн бұрын
Ila hichi kingeleza😂😂😂😂
@thadeusmarkiminja22827 күн бұрын
Mamma yangu Muchacho ni aibu unamsema hata Chama kuwa alikuwa anawahujumu ?baada ya miaka yote ulikuwa wapi? Hicho ndicho kinachowaangusha.Simba haikuwa kikundi kibaya😂 ila Wananchi wana viongozi wanajua mpira hasa wasomi bwana na mapenzi kwa Timuu
@dalalfundikila5077 күн бұрын
Duwa kwa wachezaji alafu badilishini wapishi wafuwa jezi.
@jumaali92437 күн бұрын
Namuunga mkono mhiindi dua muhimu wasiingize kichwa kichwa wabaya wengi
@mohdkhatib2237 күн бұрын
Tatizo umri, uwezo wanao? Timu bora na nzuri huwa na wachezaji wenye umri tofauti lakini wenye uwezo katika pitch
@user-co5qk5xo8i7 күн бұрын
Uyu Jamaa anaongea hatari unatakiwa uwe na mwamvuli pembeni lasivyo unatoka umelowa😂😂
@KibibiMwalimu-pg8fg7 күн бұрын
Sahihi kabisa kuwalisha viapo sisi tumechoka kuhujumiwa#🎉🎉🎉
@juliussimion71876 күн бұрын
Huu ndo mda wa kufurahia ss wana simba ila ligi ikiaanza duuu
@VitalessGalus7 күн бұрын
Injinia soma iyo❤❤❤❤🎉🎉🎉
@georgekagwebe24616 күн бұрын
Gb64 nitaenjoy one day ukiwa semaji la mnyama
@LetasKomba-br1xh7 күн бұрын
Uko vizuri kaka
@user-er1dk6zj6u7 күн бұрын
Daah 😅 kashakua chawa nayeye skuhz😂😂😂
@MgangaShabani7 күн бұрын
Unabaya mwalimu
@jumannemsengi21957 күн бұрын
Alie sikia kizungu aseme ndioooo
@PeterMussa-sm7if3 күн бұрын
Yanga hata ya msimu Jana ilikuwa inatosha kabsaaa sasa wenzangu na mimi Wana bweka nawachezaji ambao hawaujui hata uwezo wao
@user-or3bg6oj9v7 күн бұрын
Naomba namba ya sim gb 64
@shabanabdalatupa7 күн бұрын
We kweli chizi ndo maana ulifeli Azania
@festoissa74762 күн бұрын
Ukweli unauma,,, kipi kadanganya apo? Kufeli shule hakuwez kuondoa uhalisia wa hoja
useme vizur timu ya watoto simba hiii ni alayance,😁😁😁 ngoja tuone
@simonndunguru16297 күн бұрын
GB 64 amemrithi Kisugu . Mashabiki wa Makolo Chakavu watauana Wenyewe kila mmoja anataka usemaji na ajulikane. Kisugu na Mzaramo wawekwa kando GB 64 ataumbuka sana leo Viongozi Wazuri kabla kuiona Timu uwanjani
@ChivaKayange7 күн бұрын
Huyu jamaa mwamba
@HussainIgayo7 күн бұрын
Wambie 😂😂😂😂
@user-zu8ou2oe4c5 күн бұрын
Mmeyavagaa kwa Gb 64 kazi mnayooo simbaaaaa nguvu mojaa zipo mashine zimesajiliwa hahaha kulia lia sasa basiii wacha tuenjoy
@HussainIgayo7 күн бұрын
Kweri
@HussainIgayo7 күн бұрын
Fei ToTo karibu msimbazi rahatu
@user-tv5px7mw7k7 күн бұрын
Sawa msija pamoja
@ZakariaSimon-gp1gr5 күн бұрын
Tim mpya ya vijana watakoma uto
@HussainIgayo7 күн бұрын
Nimekuerewa mwamba
@thadeusmarkiminja22827 күн бұрын
Mambo yote uwanjani bwashe sio maneno vijiweni tusubiri.hamna haya mlichangia poit 6 ubingwa wa wananchi?
@abumuhammad96157 күн бұрын
Yanga wanasajili wachezaji waliotelekezwa
@MatulizoMahenge14 сағат бұрын
Huna baya
@SalumSevingi7 күн бұрын
Saluti gb 64
@user-em7xh9cn4y7 күн бұрын
Ndiyomanaanaitwa gb 64
@BabMuniwe-pg7el6 күн бұрын
Wewe hujui Simba timu mbovu mpaka mashabiki wabovu
@peterchande9577 күн бұрын
Bado hujasema
@user-ck1vr4iu7p4 күн бұрын
Ngao yanga 5 vs simba 1 vurugu zamangungu zinaanzia apo
@user-yh3dv2bl7u7 күн бұрын
Wawalinde tu wachezaji wetu usajili Bora kabisa wawalinde hawatoto wafike mbele
@TABIAMBWATE6 күн бұрын
mm Simba lakini yanga atuwawez
@geraldbagole44947 күн бұрын
Wachezeji wa Simba kuna namna walifanyiwa,haiwezekani Baleke anakosa goli 44,halafu anatakiwa upande wa pili,tunamuona Phil na Kramo wanaumia vibaya mno halafu huyu Ramadhani Kayoko😂😂😂😂😂 tungekuwa 2.Chama mechi za Yanga hajawahi kuperform.Safari hii hujuma ndani na nje ya Simba hujuma MWIKO.
@mahamedabdi18817 күн бұрын
Unamaanisha mume wenu karudi 😂😂😂😂😂😂 baado ujasema
@ernestsereli85597 күн бұрын
Tulia sindano ikuingieee
@Shirimaaloyce7 күн бұрын
😂😂😂
@user-em7xh9cn4y7 күн бұрын
Pamojasana
@user-ru3ct5en2m7 күн бұрын
Hahah jipe moyo
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg7 күн бұрын
Wachezaji wa bei nafuu tusubiri. Msianze kufungiana
@FeydhullahTwalib7 күн бұрын
Chiziiiii hiloooo
@user-ip6xg6jx3g7 күн бұрын
Wewe akili huna msenge wewe. Umpige nani nane. Unategemea magoli ya mchongo hayo. Hiyo raund ya pili kwaini usimfunge hizo nane .mshamba wewe .hujui mpira. Utapigwa wewe uliyepigwa sita. Lipa kwanza goli sita ndio uongee mshamba wewe.
@allymnyenye81097 күн бұрын
Hahah wewe mmbustani....
@tosh76717 күн бұрын
ULIONA WAPI WATOTO WANASHINDA KOMBE. MIGOGORO INAANZA RASMI BAADA YA KOMBE LA NGAO.MWEZI UJAO TU.
@user-ov6kd3jz6c7 күн бұрын
LEO UNAONGEA KESHO UKIGONGWA UNASEMA ,HATUMTAKI MANGUNGO
@FeydhullahTwalib7 күн бұрын
Chiziiiiii
@angellomarcel56777 күн бұрын
Hii haiondoi ubovu wa Mangungu
@RashidiMwiga7 күн бұрын
Viongozi wa Simba msi sahau kuwafanyia maombi wachezaji
@joshuasamson96187 күн бұрын
Wanalifahamu ndiyo maana Jana walikaa kikao na Tajiri
@AnordKapalamba6 күн бұрын
Wivuwako unakusumbua
@RHOIDAKALUKWA-bw4jo7 күн бұрын
Wanasimba tubakize maneno isije tokea kama mwaka jana subiri matokeo wenzetu wanaenda kimyakimya na wataonyesha uzee wao
@GibsonNtamamilo10 сағат бұрын
Hakuna cha kubakusha kama hujiamini kavae jezi ya Utopolo ukafie huko
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg7 күн бұрын
Kwani Mo hakuwepo?
@MrishoMindu-zq7mz7 күн бұрын
Mughonile? Kaa huko huko Tukuyu funga mdomo sio viazi mbatata hv. Huu mpira wa Mjini. Kajiunge kuchukua Ndago.
@salehemsumi6157 күн бұрын
Boss karudi,kwani alienda wapi?😊nyie ndio baadae mnakimbia maneno yenu!!!Azam unahamia lini maana Chama tayari yupo Yanga!
@MamboMbuli7 күн бұрын
Wewe haujitambui,huyu alikuwa anawapoza mashabiki wawe na Hali ya kawida,,huyu ni shabiki wa kweli sana
@mohdkhatib2237 күн бұрын
Na mimi ndo nashangaa! Hawajui kama wahindi si watu wa soka
@georgesteven51853 күн бұрын
@@mohdkhatib223acha ujinga wewe
@uredipeter4127 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Papycon22_7 күн бұрын
Tusubiri mpigwe chuma tano halafu tuskie kelele za mangungu 😂
@RashidiMwiga7 күн бұрын
@@Papycon22_ maisha hayana formula so ukikalili utaferi
@Papycon22_7 күн бұрын
Kipindi cha usajili makolo wanaongea sana ila ligi ikifika katikati ni mtafutano 😂
@gerphasntaziha44757 күн бұрын
Usiishi kwa kukariri
@abumuhammad96157 күн бұрын
SIMBA impe kitengo GB64...Jamaa anajua vibaya sana