Kondeboy best artist eastafrica he deserve to do anything he want
@kotongomunkupahlombe81693 күн бұрын
Thanks brother 🙏🏿
@AlexMlaba-y5j23 минут бұрын
Mashehe wasilalamike hawana nguvu za Mungu ndio sabahu Harmonize katafuta wachungaji
@Winnie-k8r3 күн бұрын
Thanks❤❤❤❤
@capatinaugustingatari3 күн бұрын
Tatizo lako nini?Mungu ni mmoja kumbuka hilo na swala la Kanisani au Msikitini ni swala la imani tuu
@PrimElinam3 күн бұрын
Kweli kabisa Mungu ni mmoja
@shukurukitamuka68293 күн бұрын
Mbona diamond anahubiri kwa kile kipindi cha Christiane shusho? Mukesha wapasake amuongeyi kwa kondeboy maneno mengi au magufuli😅😅
@AtuganileGodsonКүн бұрын
Mungu hachangamani kabisa,Wala hakuna Mungu na shetani mahali pamoja..
@shukurukitamuka68293 күн бұрын
Ptv mbona unatia viungo vingi 😂eti nini...napapenda hapo
@MO12-b1q3 күн бұрын
Uyu baba n kigeugeu 2023 alisema kwamba Harmoniz mpaka 2024 atashuka k Muziki Alivokataa kwenda kwa" PASTOR GERDV ARUSHA" Sasa Leo ??
@ClaraLyimo-g8s3 күн бұрын
Mnapigiana kelele wanajuana wenyewe ndioma wanafatana wakiwa na vikao vyao vya Siri wanaonana kwahyo musishangae f. r. e. e. man Kila mtu na uwamuzi wake.
@HappyJohn-h8q3 күн бұрын
Sahihi umeongea point
@bigdad18163 күн бұрын
Nyinyi note nyamazeni dini Zililetwq na Waarabu na wazungu na mwisho dini na Imani ni person matters.so Kijani Harmonize atakaye tuhukumu ni Mungu kaani kimya Mungu ndiye mtoa hukumu it is better we keep Quiet and fuckin mind your own business.
@AtuganileGodsonКүн бұрын
Dini zililetwa kweli,lakini Mungu hatamuhukumu mtu Kwa dininyake bali wokovu kwa YESU KRISTO.KUBALI AU KATAAA MUNGU HAJIPINGI.
@ViateurGirukwishaka3 күн бұрын
ndugu zangu wa ombaj nawaomba tushirikiane kwaajili ya maombezi ili asiweze kurudi kwenye giza harmoniz mimi naanza kuomba na nyie munifuat
@HappyJohn-h8q3 күн бұрын
Hahahaaaaa ila wewe eti mnifuate
@WazirBoy-fe5ew3 күн бұрын
Wewe mashimo mwendawazimu , unaongea hivyo kwa sababu wewe ni mkristo nini?
Sometimes mtu mwenye hujitakia laana huku akidai kuwa karogwa. Hivi wwe mtoa comment ya kijinga kwa mtumishi wa Mungu. Ni sawa hio?
@femidayahaya92932 күн бұрын
nyie jidaini tu wakaidi ila cku inakuja ambayo mtamkili huyu YESU mnayemuita issa bin maliamu..na ndio atakayekuja kuihukumu dunia sasa leo wanamkataa cku akija itakuwaje kwenu nyie mnaempa kisogo