MCHUNGAJI MSIGWA wa MOTO - ATEMA NYONGO YOTE - AIPASUA NGOME ya CHADEMA na MBOWE....

  Рет қаралды 2,501

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MCHUNGAJI MSIGWA wa MOTO - ATEMA NYONGO YOTE - AIPASUA NGOME ya CHADEMA na MBOWE....
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 27
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 Ай бұрын
Sindano ya moto hiyo inachoma aaaa❤
@GiftyJackson-k3v
@GiftyJackson-k3v Ай бұрын
Dah msigwa kuwa na akiba na maneno Dunia ni duara bro tambua ilo
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Ай бұрын
jmni Msigwa dah kuna maneno mengine mbona usiseme jmni..haikai vizuri ndugu yetu mwema...jmni
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Ай бұрын
Wewe huna chama ulitokez nccr mageuzi ukenda CHADEMA, Tumbo lako linakusumbua.
@Ushauri235
@Ushauri235 Ай бұрын
Wewe ongea sera unatakazo zifanya huko ili zibadili maisha ya watu na si kuongea juu ya chadema sisi haituhusu
@atupegemwakahesya
@atupegemwakahesya Ай бұрын
Dunia hii Ina maajabu. Usimwamini mwanasiasa mia Kwa mia. Mbona. Utashangaa, hata wachungaji hawaminiki! Habari.
@MalamboSelijusi
@MalamboSelijusi Ай бұрын
Kasema ukweli nkurunzinza nimbowe ,mbowe anatakiwa Aishi nawajinga ,wakati wa lowasa alimponda mzee watu Tena matusi nakumwita mwizi alivyokula pesa ,akamsafisha kua hausiki ,wajinga ndio waliwao
@charlessolomon5928
@charlessolomon5928 Ай бұрын
Huna akili
@Gahii-s5q
@Gahii-s5q Ай бұрын
Kama kuchana unachana, ndo mana ccm imekubali kufika bei
@DavidMutiba-hr3vo
@DavidMutiba-hr3vo Ай бұрын
Msigwa unajiaibisha tu. Hata wewe unajua kwamba unamsingizia Mbowe. Bila kujitoa kwa mbowe kwa hali na mali leo usingekuwa unaiongelea chadema. Uliza NCCR MAGEUZI, CUF, wako wapi sasa,chadema imeshindikana kwa sababu ya Mbowe ndiyo maana ndiye mlengwa mkuu tangu enzi za Mafuguli.
@traudkamugisha8051
@traudkamugisha8051 Ай бұрын
Mchungaji wa nguruwe😂
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Ай бұрын
Ccm ni chama cha DHULMA ambcho hakitaki kushindwa , Tanganyika hakuna Democracy ni mfumo wa chama kimoja.
@Gahii-s5q
@Gahii-s5q Ай бұрын
Chadema muwe makin sana kuweka wanafk kwenye chama
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 Ай бұрын
Niko paleeee subiri wengine soon utawasikia. Unganisha dots amesema alikaa na wenzake wakajadiliana
@ZainabuBakari-yb4vj
@ZainabuBakari-yb4vj Ай бұрын
Duuu
@FADHILICHIKOLO-pb8iy
@FADHILICHIKOLO-pb8iy Ай бұрын
Ongelea Sera siyo mtu
@Gahii-s5q
@Gahii-s5q Ай бұрын
Ivi tungemwondoa nkurunziza, tukuweke wewe. Chadema ingekuwepo kweli. Aisee wee ni yuda iskariote
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Ай бұрын
Ccm Kazi yake kuiba kura, wanatumia tume yao ya ccm kuwaweka madarakani.
@Gahii-s5q
@Gahii-s5q Ай бұрын
Kwa unachokifanya ata ccm yenyewe haipendi
@LameckMbele
@LameckMbele Ай бұрын
Pumbavuuuuuuuuuùuuuuuuuuuiiuuuuuu
@gigoyrn4394
@gigoyrn4394 Ай бұрын
😂😂😂 ila haya maisha anyway Huyu tumchinje Christmas
@hosianamosha389
@hosianamosha389 Ай бұрын
Usaliti haujaanza leo 😢 Ulianzia kwa yuda , so haya lalikuwepo , na ukishakua msaliti , huwezi kupata heshima tena 🤔 bora ungekaa kimya
@karamarwamugema3700
@karamarwamugema3700 Ай бұрын
Leo mbona hujapewa maokoto. Ulionekana tangu zamani kuwa msaliti na mwenye tamaa. Msukuma alisema upo kwenye payroll ya CCM ndiyo inakusuta. Unakula matapishi bado mavi.
@frankSamwel-rg3lz
@frankSamwel-rg3lz Ай бұрын
Ccm ndiyo kulunziza anang'ang'ania madarakani anaiba kura ili abakie madarakani. Ccm hawajajua when to leave the stage
@STAY_FOCUS10
@STAY_FOCUS10 Ай бұрын
Kashakula Mihela tena mamilioni kuhamia fisiemu ndo maana anaongea ,si ulikuwa huko miaka yote why unatuambia sasa hivi...We enjoy na hiyo mipesa ulioongwa acha bla bla
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 31 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 427 М.
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 25 МЛН
Bishop Jacob Wamwea guborwo mbeca ciake ciothe ni mikora
1:08:46
Ngugi wa karanja Mcee TV
Рет қаралды 19 М.
Joho DAZZLES CROWD in Homabay, AFFIRMS support for Ruto come 2027
18:09
Azimio TV(Official)
Рет қаралды 7 М.
FULL SPEECH: Barack Obama’s full speech at the DNC
36:08
ABC News
Рет қаралды 3,4 МЛН
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 31 МЛН