Yanga wamecheza hii game na Lile tauro la kipa ndio sababu
@charleskuyeko4400Күн бұрын
Mchungaji acha kumsingizia Mungu kupanga. Mungu hapangi matokeo ya mpira. Coastal na yanga wameturoga. Ulipaswa kufunga na kuomba tushinde. Na kwanini hukuomba wakati ulijua utopolo wameshasema tutafungwa. Acha maneno mengi wewe fanya maombi tu.
@HusnatShabaniКүн бұрын
💪💪🦁🦁🦁💕👏💕💕💕🎉🎉🎉🎉
@danielelikana261513 сағат бұрын
Wachezaji wa Simba leo walikuwa wanakabia macho tu...speed ndogo Mutale ndo bure kabisa!!
@salimmalaka256Күн бұрын
UTOPOLO WANATUROGA MPAKA KWA MECHI NA WENGINE WASHIRIKINA SANA NGURUWE PORI WALE
@KosovoNaiiemКүн бұрын
Kipa Camara nae aache kutoka Toka sana golini nilijua hipo siku itamghamu na kweli Leo kaghalimu
@BugunaMarwaКүн бұрын
Kipa ndo tatizo
@salimmalaka256Күн бұрын
DIARA UCHAWI WAKE AKIINGIA UWANJANI ANAUINUWA MKONO WA KUSHOTO JUU
@bonifacelugo294123 сағат бұрын
Sabu siyo mbaya kipa ndo katuchomesha aache kabisa kabisa kutokatoka golini
@dearshow1422 сағат бұрын
We mchungaji au mchambuzi wa mpira ,acha kuongea kwa chuki .mpira haipo hivyo.we huwezi kutabiri yanga itafungwa.acha uongo we .husemagi mapungufu ya timu .
@AugustinoGuna23 сағат бұрын
Kumbe ww muongo sulikua est afrika redio uliende wp hyo komed
@deuspastory181422 сағат бұрын
MCHUNGAJI WA WAPI? UNACHEZA NA WITO WA MUNGU. UCHUNGAJI NI WITO. NA NIDHAMU YA KI MUNGU. ACHA KUCHEZA NA MUNGU. SIMBA INAPIGWA TATU KWA MOJA. UTAKIMBIA NA UCHUNGAJI WAKO