Рет қаралды 1,311
Mtama ni mmea wa familia nyasi ambapo mbegu za mtama ni nafaka ambazo ni chakula muhimu maeneo mengi barani Afrika ikiwemo nchini Tanzania, ambapo hutumika kama Chakula, au zao la biashara.
Leo mtafiti wa kilimo kutoka Tari Hombolo Dk Eliud Kongola anatufundisha jinsi ya kkufanya kilimo cha zao la mtama.