Safi sana hongera sana Kongo kupata waziri mwenye maamuzi ya kiume hiyo akiwa raisi Kongo itakua na amani.
@PendoMarco-x3u7 сағат бұрын
Mungu saidia taifa la Congo
@mtzhalisi223214 сағат бұрын
Safi bila maamuzi magumu kama hayo uhalifu hauwezi kuisha.... Nimeona video clips za hao vijana wanavyofanya matukio hayo hadharani mchana kabisa.... Kushambulia watu kwenye daladala as if hakuna police congo... Hii nzuri!
@MaryBiyaki-t4y9 сағат бұрын
Vijana mwogopeni mwenyezi mungu
@sadikimzungu799110 сағат бұрын
Malipo ni hapa hapa piga vyuma hao
@Tachabo9013 сағат бұрын
Spread hii habari panya road waone,tatu mzuka waone na wahalifu wengine
@cheiknamouna205813 сағат бұрын
Wauwawe kabisa iwe funzo kwa vijana wanaibuka tu mtaani na kuanza matukio siyo poa
@FatumaRashid-db6cc13 сағат бұрын
Ni bora wauwawe Mbona wao wauwa watu
@PhilipoBonifesСағат бұрын
Hat bongo kunavija hawana faida yoyote zaidi ya hasalat wez wanaludisha watu nyuma nao inatakiwa wakamatwe
@mrafm728510 сағат бұрын
Mnalia nini mtavuna mlichopanda nyie ni watu wabaya sana mnabaka na kuua watu wasio na hatia
@KuruthumuMohamed11 сағат бұрын
Inawezekana Kuna wengne awana hatia apo ila wanauwawa
@festinamwakipale391910 сағат бұрын
Wazazi tusiwakatie watoto wetu tamaa tufanye nao kazi tuwafundishe kufanya kazi watoto wetu tukae nao faragha wawe wavumilivu wasifosi lasivo damu za watoto wetu zitakuwa mikononi mwetu wazazi unajua kabisa mtoto hana kazi anaondoka nyumbani humfwatilii mtoto yuko wap anaishije damu za hao vijana zitatakwa mikononi mwa wazazi wao labda yatima
@FatumaRashid-db6cc13 сағат бұрын
Hata tanzania wangefanya hivyo Wangekoma Kuwanyima watu haki
@Lazaromkristo9 сағат бұрын
Wengi wametubu dhambi zao na Mungu amewasemehe.
@joysekiza394413 сағат бұрын
Kama wameua wengine Acha nao wauwawe sababu wanapiga watu mapanga ndo wakome akuna kulea ujinga
@jelasnkoma42409 сағат бұрын
Hao wanaopinga ndio wa kwanza kutekeleza Hukumu ya Kifo