Mdahalo Yesu ni mungu 12

  Рет қаралды 81,919

YesuHakufa

YesuHakufa

Күн бұрын

Пікірлер: 75
@gigxjr9754
@gigxjr9754 2 жыл бұрын
Ya mambo yote,Mungu mwenye kuhidimiwa milele Amina
@gigxjr9754
@gigxjr9754 2 жыл бұрын
4 .warumi 9:5ambao mababu niao,na katika hao alitoka Kristo kwa ginsi ya mwili,Ndiye aliye juu
@gigxjr9754
@gigxjr9754 2 жыл бұрын
16 kwa kuwa katika Yesu,vyote viliumbwa,vilivyo mbinguni na vilivyo....
@pekomisegese7724
@pekomisegese7724 5 жыл бұрын
Mazinge Umefunika. Hakuna Mkristo Wakukushinda Mazinge Na Umethibitisha Yakuwa Wewe Utaendelea Kuwa Mwalimu Kwa Wakristo Mpaka Dunia Inaisha. Salute Kwako Mazinge.
@samuelngige2332
@samuelngige2332 2 жыл бұрын
Sifu binadamu lkn wakati waja utamuabudu Yesu Kristi upende usipende
@maungosaidy6141
@maungosaidy6141 2 жыл бұрын
Mazinge unapeleka watu Motoni kwa kuwa wewe auna neema ya kutubu
@gigxjr9754
@gigxjr9754 2 жыл бұрын
3.Tito 2:13 mafunuo ya utukufu wa Yesu kristo Mungu Mkuu n'a Mwokozi wetu
@gigxjr9754
@gigxjr9754 2 жыл бұрын
15 Naye ni mfano wa Mungu asiyeonekana,mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote( Yesu kristo)
@maikofrae560
@maikofrae560 5 жыл бұрын
Mna jisumbuwa tuu waislam maisha hpa dunia pasipo yesu hakuna kitu katika dunia maana kma yesu njia mtu pasipo kupita kwake huwezi.kwenda kwa baba sasa nini mna weka midaalo ya nn mna jisumbuwa
@gigxjr9754
@gigxjr9754 2 жыл бұрын
1.Mungu Ndiye atahukumu watu wote,uyo Mungu ni yupi? 2 korinto 5 :10 Yesu kristo njo atahukumu...
@gigxjr9754
@gigxjr9754 2 жыл бұрын
Jina lake :Mshahuri wa Ajabu, Mungu mwenye nguvu,Baba wa Milele,Mfalme wa Amani
@gigxjr9754
@gigxjr9754 2 жыл бұрын
Mazinge ndakuzinze sinasomye Yohana 1:1-4 niyindi mirongo myinshi
@gigxjr9754
@gigxjr9754 2 жыл бұрын
17 Naye Yesu kristo amekuwako kabla ya vitu vyote,na vitu vyote hushikana kwa Yesu kristo
@gigxjr9754
@gigxjr9754 2 жыл бұрын
Nataka ni wape maandiko katika Bibliya inasema kwamba Yesu ni Mungu
@saiddimarley3352
@saiddimarley3352 5 жыл бұрын
Yesu ni Mungu 100 %tito2 :13
@franknantalila1588
@franknantalila1588 4 жыл бұрын
Hakuna kitu kama hicho
@biramsakh9212
@biramsakh9212 5 жыл бұрын
Yesu si Mungu nyie. MUNGU hakai tumboni nyie miezi 9 a kazaliwa akawa mtt mchanga angezeeka jee kibabu kizee. Mungu gani uyo nanyie. Mungu mtu. Subhanallah vchekesho wallah
@gigxjr9754
@gigxjr9754 2 жыл бұрын
Kolosayi 1:12-16Ambaye katika yeye tuna ukombozi ,yaani musamaha wa dhambi
@sosdododo5653
@sosdododo5653 3 жыл бұрын
Wallahi naapa tena naapa hakuna dini mbele ya uislamu hilo jambo liko wazi wazi,alafu waislamu ni walimu wakiswa bila kubabaika wanatoa maandiko yalio wazi wazi,sasa niwewe kutumia akili upote ama ufwate ukweli mungu awaongoze walopotea njia yahaki ambao ni ISLAM takbeer Allah akbar
@gigxjr9754
@gigxjr9754 2 жыл бұрын
Luka 4:7-8 Yesu akajibu akijisema:Imeandikwa Msujudiye Mungu wako
@julesngama2508
@julesngama2508 4 жыл бұрын
Wewe Mazinge una fungwa, una omba yesu aku okowe
@pekomisegese7724
@pekomisegese7724 5 жыл бұрын
Kuuliza Nako Ni Fani Jamani. Wakristo Mtapata Tabu Sana Kwa Waislamu.
@ayunramadhan3104
@ayunramadhan3104 5 жыл бұрын
Penda sana mazinge 🙌🙌🙌💝💝💝💝💝💝from dubai mrangi wa kondoa
@gigxjr9754
@gigxjr9754 2 жыл бұрын
2. Matayo4:7Yesu kristo akajisema akimujibu shetani:imeandikwa usimujaribu Mungu wako!
@glorynaphtari3932
@glorynaphtari3932 6 жыл бұрын
Ikumbukwe tu kwamba njia pekee ya kwenda kwa mungu ni kupita kwa yesu kwanza... Sasa wew mtukane leo. Tena mbele ya hadhara
@suleimanomar1644
@suleimanomar1644 6 жыл бұрын
Glory Naphtari kumbe ni ubishi tu,yesu si mungu Bali njia.swali dogo niulize,wakati wa nabii nuhu au musa njia alikua nani ilhali yesu hakuepo!!?
@issamohd9955
@issamohd9955 5 жыл бұрын
Hakuna mtu anamtukana yesu waislamu wanamkubali yetu kama mtume wa Mungu wamwitao Mungu ndo wanamzulia uwongo soma Yohana 8:40 utaupata ukweli
@binyamina8850
@binyamina8850 4 жыл бұрын
Sasa kama njia ya kumfikia mungu ni yesu sasa mungu na njia ni kitu kimoja?
@muslihmohd9420
@muslihmohd9420 4 жыл бұрын
Yesu kweli alisema yeye ni njia na mtu haendi kwa baba ila kupitia yeye ila hajakwambia wewe mtanzania au mkenya njia ya kumfata yesu ni kwa wayahudi(waisraeli) pekeayo
@gigxjr9754
@gigxjr9754 2 жыл бұрын
5 Yesaya9:6 Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa,tumepewa mtoto mwanamume,Naye ataitwa:
@hasreeyasini
@hasreeyasini Жыл бұрын
Mtoto amezaliwa yesu alitabiriwa kabla hajazaliwa
@suleimanomar1644
@suleimanomar1644 6 жыл бұрын
msikilize mwalimu wa kikristo anavyo soma andiko nusu na kuwa hadaa wakristo na laa ajabu wanao adaiwa wanashangilia
@ayunramadhan3104
@ayunramadhan3104 5 жыл бұрын
Khamidu ❤❤❤❤❤kwa ajili ya Allah Allah
@shabansalee4924
@shabansalee4924 2 жыл бұрын
8:40 yohana esabu 23:19
@tomandjerrytv4327
@tomandjerrytv4327 6 жыл бұрын
Mwajitengenezea mdahalo 😁😁😁mwajitekenya wenyewe
@ahmarkaaby2581
@ahmarkaaby2581 4 жыл бұрын
Pumbavu
@pekomisegese7724
@pekomisegese7724 5 жыл бұрын
Yesu Tumalizie Ugomvi Ulioko Hapa Diamond Jubilee. Wakristo Wanasema Wewe Ni Mungu Sisi Tunasema Wewe Ni MTU. MWENYEWE Unasemaje???? 20:17 Yohana.Yesu Anasema, Baba Yangu, Ndiye Baba Yenu, Mungu Wangu Ndiye Mungu Wenuuuuuu!!!!!! Haibu Yao Wakristo Chezea Waislamu Wewe!!!!!!! Mjipange.
@frank01tz
@frank01tz 5 жыл бұрын
Msiwe Majuha soma Yoh 14:6-8 Yesu anasema aliyemuona yeye ndiye aliyemuona baba, yaani Mungu mkuu, someni na hapo ili mshangilie tena.
@frank01tz
@frank01tz 5 жыл бұрын
Lakini pia Leo nawashangaa Waislamu kuishangilia maneno ya Yesu kama yalivyonukuliwa ktk Yoh 20:17 akisema nakwenda kwa baba ambaye ni baba yenu, si nyie siku zote mliokaririshwa kuwa Mungu hana mtoto na ya kwamba Yesu si mwana wa Mungu, Leo mnakubali kwa furaha na shangwe kuwa kweli Yesu ni Mwana wa Mungu na sisi wafuasi wake ni ndugu zake? Ili tu kukidhi ubishi na ugumu wa mioyo yenu?! Tunashukuru kwa kuliamini hilo au kulipokea hilo, mmeanza vizuri kujua kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu, na kidogokidogo mtamfahamu kuwa yeye ndiye Mungu Mkuu, Yehova. Tito 2:11-12, Yoh 14:6 ; Ufunuo wa Yoh 1:9-18 YESU NDIYE MUNGU MKUU
@binyamina8850
@binyamina8850 4 жыл бұрын
@@frank01tz Yesu kasema "Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma." (Yoh 17: 3)
@ramzanqarim4977
@ramzanqarim4977 3 жыл бұрын
Ssa pastor anasoma hadith..hadith sio quran.
@rehanahasham5232
@rehanahasham5232 3 жыл бұрын
Aslam alaykumu warahma-tulla-h wabarakatu. Hatakama wakisoma hadithi Ambazo bi maana ni mwenendo wa mtume kuanzia kuzaliwa mpaka umauti wake.hawa ndugu zetu wanashindwa kutafsiri vizuri kilugha ndomana wanashidwa kumtambua Allah(s.w).
@eliamugini8494
@eliamugini8494 5 жыл бұрын
Kuweni makini na midahalo yenu ni machikizo
@julesngama2508
@julesngama2508 4 жыл бұрын
Yohana 1:14 bila Yesu kuwa funguwa macho amuta elewa
@shabansalee4924
@shabansalee4924 2 жыл бұрын
1:17 yacobo
@hamisirashidi3518
@hamisirashidi3518 6 жыл бұрын
Taqbiruuuu allah
@pekomisegese7724
@pekomisegese7724 5 жыл бұрын
Watapata Tabu Sana.
@ahmadimpili5456
@ahmadimpili5456 7 жыл бұрын
Allah awazidishie
@julesngama2508
@julesngama2508 4 жыл бұрын
Yesu ni Mungu
@julesngama2508
@julesngama2508 4 жыл бұрын
Yohana 1:1 someni vipofu nyinyi
@shabansalee4924
@shabansalee4924 2 жыл бұрын
1:17 yakobo
@petermliga7520
@petermliga7520 5 жыл бұрын
Wote ambao huwa wanaweka midahalo hii huwa wana laana tena sio ndogo, nahis hukosa ya kusema ila Mungu kawaandalia hukumu yao kwa kunena wasioyajua ukwel wake kiroho
@binyamina8850
@binyamina8850 4 жыл бұрын
Ukweli unaumaa Soma "Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu." (Yoh 20: 17)
@saifalbarwani4993
@saifalbarwani4993 6 жыл бұрын
hawa makafiri wabishi ata aibu hawana
@maikofrae560
@maikofrae560 5 жыл бұрын
Waslam mko kwa ajili ya kugeuza geuza maandiko tuu hamna jipya maana maana ya maneno uyasemayo.kwenye biblia pasipo kuwa.na roho.mtakatifu huwezi huwezi ukapata tafakari yamaneno yaliyo andikwa
@binyamina8850
@binyamina8850 4 жыл бұрын
Maneno yapi amepindisha? "Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu." (Yoh 20: 17)
@stevenlukumay5517
@stevenlukumay5517 6 жыл бұрын
Yoh 14.6,8 yesu alimjibu filipo mwanafunzi wake kuwa alieniona mimi amemwona baba kwa hiyo yesu ni MUNGU mkuu tena ISAYA 9,6
@godfreymbogo8947
@godfreymbogo8947 5 жыл бұрын
Steven Lukumay
@hamzaswaibu9470
@hamzaswaibu9470 4 жыл бұрын
Yohana 14 :28 we hujasoma biblia soma hapo
@muslihmohd9420
@muslihmohd9420 4 жыл бұрын
Sasa iyo yohana 14:6-8 ndio inasema yesu ni mungu....???? Unajuwa kusoma wewe lakin hemu irudie kuisoma tena na iyo isaya 9:6 sio yesu anasem ni yeye ni mungu anaesema pale ni Paulo kama ambavo wewe unasema kwaiy ni nyinyi kwa nyinyi mnamtangazia yesu mungu wakati yeye anasema ni mtume
@rehanahasham5232
@rehanahasham5232 3 жыл бұрын
Amani ya mwenyezimungu iwe pamoja nanyi. Naomba niulize swali, ikiwa yesu ni mungu mkuu na kwa mujibu wa imani yenu alitundikwa msalabani kisha alifariki.Nani aliye endelea kuiendesha dunia mpaka hii leo ikiwa mungu mwenyewe alikwisha fariki?.
@ramamohammed4334
@ramamohammed4334 6 жыл бұрын
yesu si mungu
@asilaalshedhani7028
@asilaalshedhani7028 6 жыл бұрын
wape dawa
@wazirikiogwe1836
@wazirikiogwe1836 5 жыл бұрын
Yesu sio mungu hakuna sehemu ktk biblia mungu anasema yesu ni mungu hakuna
@BURHANKENYA
@BURHANKENYA 4 жыл бұрын
Debate tamu sana... fuata link kzbin.info/www/bejne/bn-rqZV9d52pias
@abdulandre1039
@abdulandre1039 10 жыл бұрын
Max Simba mbona maneno yako hayana msingi wanafunzi walimuita Mungu mbona hakuna fasi katika Biblia Yessu anajiita yeye ni Mungu ivi mimi nikikuita wewe Mung jeutakuwa Mungu ao mbele yakusema jifikirie kwanza Matayo 7:21 Yesu mwenyewe anasema hivi Mama usinishike maana sijapaa kwenda mbinguni kwa baba hakini nenda kwa ndugu zangu ukawaambie nakwenda kwa baba yangu ambae ni baba yenu nyinyi na kwenda kwa Mungu wangu ambae ni Mungu wenu nanyi haya leta andika Yessu anasema mimi ni Mungu?
@mirajishentembo4962
@mirajishentembo4962 6 жыл бұрын
Anaye Sema yesu mungu huyo ni kafiri mkubsa
@petermatonya6890
@petermatonya6890 6 жыл бұрын
nawashauri ndugu zangu WAKRISTO tusipoteze muda kwa mabishano sababu ukweli wanaujua, tufanye kusudi tuliloachiwa na Kristo Yesu la kuihubiri injili kwani wakati tulionao ni mchache sana, na Biblia inatuhasa tuukomboe wakati, so badala ya kubishana na malumbano ni bora tuendeleze injili watakuja wenyewe tu.
@كلثوميوسف-ث2ل
@كلثوميوسف-ث2ل 5 жыл бұрын
Ww unaongea pumba😁😁😁😁😁
@كلثوميوسف-ث2ل
@كلثوميوسف-ث2ل 5 жыл бұрын
@@iamnormal8648 Nyie wakrsto ndio mtabaki wajinga hadi siku ya hukumu
@rehanahasham5232
@rehanahasham5232 3 жыл бұрын
Amani ya mwenyezimungu iwe pamoja nanyi.mdahalo una umuhimu sana kwani unatufunza mengi ambayo hatuyajui.naomba nikuulize swali,ikiwa yesu ni mungu kwanini alisema "napa naenda kwa baba yangu nanyi ni baba yenu'.akiwa na maana kuwa naenda kwa mungu wake nasi ni mungu wetu .je anaenda kwa mungu yupi ikiwa ye ni mungu?
@jemastlaurent1790
@jemastlaurent1790 6 жыл бұрын
😆😆😆😆😆 UKITUMIA MILANGO MITANO YA FAHAMU YESU SI MUNGU ILA UKIKUBALI UFUNGULIWE WA SITA YESU NI MUNGU DHAHIRI NINA SABABU NYINGI MNO ZA KULITHIBITSHA HILI NDANI NA NJE YA BIBLIA
@mohamedmsangi6939
@mohamedmsangi6939 6 жыл бұрын
jemast laurent yesu n mungu kw ushahid upi.. aliumba nn ktk dunia hii
@gigxjr9754
@gigxjr9754 2 жыл бұрын
15 Naye ni mfano wa Mungu asiyeonekana,mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote( Yesu kristo)
@ayunramadhan3104
@ayunramadhan3104 5 жыл бұрын
Penda sana mazinge 🙌🙌🙌💝💝💝💝💝💝from dubai mrangi wa kondoa
Mdahalo: Biblia vs  Koran, part 05 of 12
15:01
Michael Mukuni
Рет қаралды 90 М.
Yesu ni MUNGU  wakristo
19:07
Malundi online Tv
Рет қаралды 3,5 М.
ТЮРЕМЩИК В БОКСЕ! #shorts
00:58
HARD_MMA
Рет қаралды 2,7 МЛН
Noodles Eating Challenge, So Magical! So Much Fun#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:33
Turn Off the Vacum And Sit Back and Laugh 🤣
00:34
SKITSFUL
Рет қаралды 7 МЛН
Ipi dini ya kweli.Shk Mazinge and Ustdh Mwaipopo pt2
1:26:43
ALNUUR ISLAMIC DAAWAH CHANNEL
Рет қаралды 57 М.
SHAFFI OMAR | QURANI NI MANENO YA NANI TZ | DEBATE YA TZ #akashatv #mawaidha
1:35:51
HABIB OTHMAN MAZINGE...JE YESU ANASIFA ZA KUITWA MUNGU
1:31:48
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 400 М.
MDAHALO WASLAMU WASHINDWA KUTETE IJUMA
27:13
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 829 М.
40 Qiso┇40 Qiso Ee Ygu Saameynta Badan 2023ᴴᴰ┇► Sheekh Musdhafa Xaji Ismaciil
3:26:03
ROSE MUHANDO- HATUMO
10:38
MsMuhando
Рет қаралды 337 М.
Mdahalo   Bibilia maneno ya nani 1 9
14:23
YesuHakufa
Рет қаралды 60 М.
JEE YESU NI MWANA WA MUNGU( FULL VIDEO) Pro MAZINGE VS NDACHA
2:01:07
arkas online tv
Рет қаралды 2,5 М.
SULEMAN MAZINGE AKIMFUNZA MURTAD ALI.
20:00
KENYA DAWAH TV
Рет қаралды 449 М.
Mdahalo: Biblia vs Koran part 07 of 12
15:01
Michael Mukuni
Рет қаралды 87 М.
ТЮРЕМЩИК В БОКСЕ! #shorts
00:58
HARD_MMA
Рет қаралды 2,7 МЛН