HABIB OTHMAN MAZINGE...JE YESU ANASIFA ZA KUITWA MUNGU

  Рет қаралды 401,028

AKASHA PRODUCTION TV

AKASHA PRODUCTION TV

Күн бұрын

Пікірлер: 449
@munirashughuli7224
@munirashughuli7224 3 жыл бұрын
Ustadh Yayha Allah akurehemu in shaa Allah🤲
@jumasalum2677
@jumasalum2677 3 жыл бұрын
Allah amrehem sheikh yahya Hosea Amefariki mwezi wa tatu 2021
@mamafatuma138
@mamafatuma138 3 жыл бұрын
Ameen thuma Ameen
@alishaban15323
@alishaban15323 3 жыл бұрын
ALLAH akulipeni kheri kwa Kazi nzito munayoifanya namuomba ALLAH akufanyieni wepesi kwa kila hatua
@kibibimwanamvuamohammadmoh9823
@kibibimwanamvuamohammadmoh9823 7 жыл бұрын
Allahu akbar.......Allah akulipeni khery nyingi masheikh wetu wapendwa kwa kazi mnayoifanya, wapeni dawaah mpaka qiyama in shaa Allah
@mohdkhamis491
@mohdkhamis491 3 жыл бұрын
Sheikh mazinge allah akupe hatima njema!
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 3 жыл бұрын
Ameen
@nusurakajubu8785
@nusurakajubu8785 5 жыл бұрын
Najivunia kuwa mwisilamu Alhamdullilah
@saadyusuph5136
@saadyusuph5136 5 жыл бұрын
MTOto ni mtoto tu
@mudkhamis3078
@mudkhamis3078 5 жыл бұрын
Haya mm pia
@fubub3595
@fubub3595 4 жыл бұрын
Basi amna shida, ata mimi ba juvunia kuwa mukristu , sio njo kusema mbiguni tumeisha ingiya.
@salehjuma97
@salehjuma97 4 жыл бұрын
Mungu anazaliwa na mja wake hii kwel jaman
@salehjuma97
@salehjuma97 4 жыл бұрын
Acheni kupelekw pelekw nynyi someni mujuwe ukwel ao wachungaji wenu wapo kimaslahi zaid yaan wapo kw ajili ya pesa tu.
@omarnkeshimana5007
@omarnkeshimana5007 3 жыл бұрын
Mazinge nakupenda sana Allahu Akujaalie kufia katika laaa ilaaha ila LLAHU MUHAMMADU RRASUULU LLAAHI na Allahu Akujaalie umri afia rizki baraka na nguvu zakutangaza dini ya Allahu
@princessafrash8757
@princessafrash8757 4 жыл бұрын
I proud to be a Muslim wallah, Today Tomorrow And forever I will proud to Muslim Alhamndullah
@tawhidislam4418
@tawhidislam4418 4 жыл бұрын
Sheikh Mazinge Allah akupe nguvu yaku hubiri naku silimisha watu na akujalie Ljanaa Firdaous Amin In Shaa Allah
@khuwailatnassor8521
@khuwailatnassor8521 7 жыл бұрын
yesu c mungu wala c mwana wa mungu bali ni mjumbe alieletwa n.a. mungu
@mohamedkigwehe3714
@mohamedkigwehe3714 4 жыл бұрын
Upo sahihi kabisa
@hamza89945
@hamza89945 4 жыл бұрын
Khuwailat Nassor vp
@frankjohn8570
@frankjohn8570 4 жыл бұрын
Kusinge kuepo na haja ya kutumia ngavu na gharama kupinga Yesu si Mungu kama ingekua si Mungu,hata mfalme Herode alihangaika sana na kutumia gharama kutafuta kujua Yesu azaliwa wapi na waliokwenda kumuona mtoto walimsujudia mtoto si wazazi mana aliepaswa kusujudiwa ni Mungu si binadam na jeshi lilikuepo
@issafaquedalaura8279
@issafaquedalaura8279 4 жыл бұрын
Ya Allah ,Namu
@tawhidislam4418
@tawhidislam4418 4 жыл бұрын
dada et Allah peke ake ndio Mungu wa christo wame potea
@jainaboman8952
@jainaboman8952 5 жыл бұрын
Mashallah shekhe allah akulinde najivunia kuwa muislam
@tinivanny7562
@tinivanny7562 7 жыл бұрын
hahahaha Mazinge umetisha Ma sha Allah
@sadasaid6820
@sadasaid6820 7 жыл бұрын
Masharaha mazinge
@tatujuma6920
@tatujuma6920 7 жыл бұрын
makafiri hawaelewi...pongezi masheikh wetu kwa kutuelimisha zaidi
@ibnmambo7737
@ibnmambo7737 5 жыл бұрын
Tatu Juma hongra tatu
@abdimfinanga4108
@abdimfinanga4108 5 жыл бұрын
matony
@joyceleons8916
@joyceleons8916 3 жыл бұрын
Maana ya kafir ni nin usimwite mwenzio jina ambalo ukiambiwa unachukia
@sabrinasoko402
@sabrinasoko402 3 жыл бұрын
Maana yakafiri asiye mkubali mungu na mungu hafananishi na chochote... Mungu hazai Wala hazalishi kwaio kafiri ni wakristo pamoja na dini zingine zinazo abudu binadamu ambae yesu na sanamu ama mnyama huyo kafiri Sasa wewe kafiri
@brunomsofe556
@brunomsofe556 3 жыл бұрын
Soma mathayo 17.5 utapata jibu zur tu kama yesu ni nani @ tatu juma
@abdillahiomari8394
@abdillahiomari8394 7 жыл бұрын
MASHAALAAH DINI YA MWENYEZI MUNGU AMETUPAA SISI HATUNA BUDII KUIFATAA
@mwanashazinga9538
@mwanashazinga9538 7 жыл бұрын
sitojutia hata siku mmoja kua muisilamu.. alhamdhulilah
@rubbenndege4379
@rubbenndege4379 4 жыл бұрын
Hakika kama utabakia kuwa muislam lazima utajutia tu
@salehjuma97
@salehjuma97 4 жыл бұрын
Hawez kujutia coz uislamu ndio dini ya haki(hhhhhh eti mungu kazaliwa)
@sabrikhvuai2327
@sabrikhvuai2327 4 жыл бұрын
@@rubbenndege4379 000000 mpaka motoni
@sabrikhvuai2327
@sabrikhvuai2327 4 жыл бұрын
@@rubbenndege4379 wewe kweli ndege utachomwa ndani ya moto wa jahannama
@suleymanally4729
@suleymanally4729 4 жыл бұрын
@@sabrikhvuai2327 ten atanyonyoka c nindege?
@salamabahati3409
@salamabahati3409 2 жыл бұрын
Alhamdhulillah am a ☪️ inshaAllah Allah awaongoze wakristo
@adamualiy4599
@adamualiy4599 5 жыл бұрын
Wangapi tunashukul kuzaliwa kwenye wislamu laik bc
@blessedanwarammaar6884
@blessedanwarammaar6884 4 жыл бұрын
Alhamdulillah for being a muslim...
@elizawallace2971
@elizawallace2971 4 жыл бұрын
Hata wachawi wanashukuru kuzaliwa ktk uchawi
@aishaomary8083
@aishaomary8083 4 жыл бұрын
Maaashallah
@hajikakola7242
@hajikakola7242 4 жыл бұрын
Wachungaji wao wakokimaslai wanajua fika wakonjia yaupotofu
@tawhidislam4418
@tawhidislam4418 4 жыл бұрын
Alhamdulillah nime zaliwa mu islamu iyo pekeake ni Rehma ya Allah kwangu
@hamisimwagarashi9501
@hamisimwagarashi9501 Жыл бұрын
Kadhaalika najivunia kua muislamu Alhamdulillah naomba nife ndani ya uislamu Aamiin
@FitFazal
@FitFazal 3 жыл бұрын
Proud to be Muslim! Alhamdulillah!!!
@mussamohanedmohamed7092
@mussamohanedmohamed7092 4 жыл бұрын
Inna lillah winaa ilaih raaj'uun,,Allah awafungue wakristo,moyo na macho wapate kuiyona haqi
@ayunramadhan3104
@ayunramadhan3104 4 жыл бұрын
2020 bado naisikiliza raha sana kuwa Muslim from Oman hom kondoa
@loolaa1783
@loolaa1783 4 жыл бұрын
Njoleee nkasu
@ayunramadhan3104
@ayunramadhan3104 4 жыл бұрын
@@loolaa1783 kansu vii wee
@muhaadan6901
@muhaadan6901 3 жыл бұрын
Inalilahii waina illehii rajuun ,,nasikia ustadh wetu yahya ametuachaa
@mussamohamedmohamed9629
@mussamohamedmohamed9629 3 жыл бұрын
Inna lillah wainna ilaih raajiuun,,,,,Allah anasema,wana macho hawataona wanamaskio wala hawataskia,,msiba mkubwa,,,,,
@paulwanyama8096
@paulwanyama8096 7 жыл бұрын
Waeleweshe wakristo wapate kuelewa..
@shambadrudinshamshudin8512
@shambadrudinshamshudin8512 3 жыл бұрын
..
@nooordubem2802
@nooordubem2802 5 жыл бұрын
Imeeleweka,mashaallah ustadh Kinyogori
@Awatee
@Awatee 3 жыл бұрын
Subhanallah ALLAH atulinde na ukafir na vizazi vyet ALLAH anasema wanataka kuizima nuru ya ALLAH lakin wapi sie tunamuamini kwa ghaibu na yesu tunamuamini kua mtume sasa na nyinyi munao sema yesu ni mungu mulimuona au mulikuwep alipo sema kua yeye ni mungu hamuwezi kuizima nuru ya ALLAH subhanahu wataala ALLAH akuhifadh na atupe mwisho mwema na nyinyi akuongozen
@amnesaid4302
@amnesaid4302 3 жыл бұрын
Amen inshallah
@bashitemakonda1540
@bashitemakonda1540 7 жыл бұрын
Allahu'Akbar..
@antonymartial1658
@antonymartial1658 3 жыл бұрын
Mazinge kazi nzuri kabisa. Asalaam aleikum
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
Subhanallah.yaani mwamshindanisha mungu na kiumbe chake yesu.kuwa kiumbe ndio mungu.aliemuumba sie.
@ahmadimpili5456
@ahmadimpili5456 7 жыл бұрын
Mazinge kiboko
@jonathanmusyoka4534
@jonathanmusyoka4534 4 жыл бұрын
Anajinyorosha nakiboko take
@samanthaali873
@samanthaali873 5 жыл бұрын
Allahu Akbr
@muhammadmuhaznun380
@muhammadmuhaznun380 3 жыл бұрын
Ati Allah Anaweza kuzuia upepo...anauwezo wa kukugeuza upepo...Wew Unadhani anaetoa usiku kuwa mchana Nani..Mungu akusamehe hujui unachosoma...
@عبداللهباحميد-ت7ج
@عبداللهباحميد-ت7ج 3 жыл бұрын
Jamaa. Tumuombeni. ALLAH. Ampe. Afya Njema. Na. Umri. Shekhe. Mazinge. Ili. Aendelee. Kuitetea. Uislamu. Amin.
@Awatee
@Awatee 3 жыл бұрын
Amiin
@hashimjombaa6129
@hashimjombaa6129 6 жыл бұрын
Napendaga anavyo soma shee hamidu
@wizebiligetwaziri5540
@wizebiligetwaziri5540 3 жыл бұрын
Uchache wa elimu mnasoma mahandiko nusunusu alafu mnajenga hoja kubwa yesu ndie mungu akuna awezae kwenda kwababa bila kupitia kwangu full stop
@HappyKiteboarder-du9th
@HappyKiteboarder-du9th 7 ай бұрын
Babaake yesu nani
@mussamahmouud8944
@mussamahmouud8944 4 жыл бұрын
Mungu nimmoja tu Allah wenginewote walobakia vikaragosi 🤲 Allah turehem duniani na Akhera amiin.
@nyimbozawokovuzote7408
@nyimbozawokovuzote7408 2 жыл бұрын
Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli. Yohana 4 : 24. Lazima tuongozwe na Roho wa Bwana ilituelewe mambo ya Mungu.
@issaabdallah7660
@issaabdallah7660 7 ай бұрын
Unapoambiwa mungu ni roho maana yake roho haionekani kwahiyo hata mungu haonekani
@bintmarmar4323
@bintmarmar4323 5 жыл бұрын
huyu pastor ananichekesha asema yy Qur ani ana istahazi lakini haiiamini inn shaa Allah iko siku utàiamini
@mudkhamis3078
@mudkhamis3078 5 жыл бұрын
Aamin
@ayunramadhan3104
@ayunramadhan3104 4 жыл бұрын
Penda sana shekhe mazinge wallah
@shakilashak3337
@shakilashak3337 4 жыл бұрын
Niwabishi san ila wanakubali walipo ambiwa wanyosha mikono wakaacha..Waislamu tulinde imani zet Allah awanusur nawatoe katka upofu inshaallah 🙏🙏🙏🙏
@adijaamur962
@adijaamur962 3 жыл бұрын
Alihamndurilah mwenyezimungu awahifazi mashehe wetu
@muhammadmuhaznun380
@muhammadmuhaznun380 3 жыл бұрын
Kinyogoli kamaliza kesi...Mungu akubariki ..
@nyimbozawokovuzote7408
@nyimbozawokovuzote7408 2 жыл бұрын
Nilipokuwa mtoto, nilisema kama mtoto, niliwaza kama mtoto, nilifikiri kama mtoto. Nilipokuwa mtu mzima niliacha mambo ya kitoto. 1 Wakorinto 13 : 11.
@mumkmamy5186
@mumkmamy5186 7 жыл бұрын
Subhana Allah
@MoherZO
@MoherZO 4 жыл бұрын
Kwa mujibu wa pastor bible inajibadilisha Mara yasema yesu ni mungu Mara ya sema yesu ana Mungu wake...kitabu cha kujichanganya
@SukainaShujaa
@SukainaShujaa 3 ай бұрын
Kweli
@nasseradel9784
@nasseradel9784 4 жыл бұрын
Uislamu dini ya haki Allah atupe mwisho mwema inshaallah
@abisairobert5098
@abisairobert5098 3 жыл бұрын
I'm proud to be Christian
@salamabahati3409
@salamabahati3409 2 жыл бұрын
Yesu ni mtume wa Mungu sio Mungu
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh Жыл бұрын
even me too!
@hildababyabdullah5627
@hildababyabdullah5627 6 жыл бұрын
Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa nyie wakirsto hamfunuki vichwa na hamtofunuka vichwa mpk kitacmama kiama
@Awatee
@Awatee 3 жыл бұрын
@@dadiyanka8223 ALLAH awaongoze kwa Rehma zake
@ashsabubakar3991
@ashsabubakar3991 3 жыл бұрын
@@Awateeدء
@hassanjoseph1104
@hassanjoseph1104 7 жыл бұрын
Allah akbaru
@husseinibrahim5438
@husseinibrahim5438 3 жыл бұрын
MA SHA ALLAH
@abdallahmsengi2632
@abdallahmsengi2632 4 жыл бұрын
Mashaallah sijutii kuzaliwa katika uislam
@muhammadmuhaznun380
@muhammadmuhaznun380 3 жыл бұрын
Wakristo wawanataka kumuona Allah ndo wamuabudu....kama maneno ya Mungu yanaeza pasua milima je ukimuona Mungu siutakufa
@omarchuo2178
@omarchuo2178 3 жыл бұрын
Nampenda sanaaaa msomaji mungu amuweke, Yahaya
@mrshinezamil3032
@mrshinezamil3032 7 жыл бұрын
mazinge hatari sana
@ahmadimpili5456
@ahmadimpili5456 7 жыл бұрын
Kinyogoli, mola akujaalie mwisho mwema.
@katibamaulid286
@katibamaulid286 4 жыл бұрын
Allah akupe ziada za kheri
@daudyussuf8180
@daudyussuf8180 3 жыл бұрын
Inna lillah wainna ilyahi rajiun inshallah Allah amujalie pepo yake
@allyabdallah4357
@allyabdallah4357 3 жыл бұрын
Ujanja ujanja tuu daa kweli ni mtihani sana
@hafsandk9306
@hafsandk9306 4 жыл бұрын
I want to meet him so bad Allahuma barik Dr Mazinge
@eyasitiayubu6271
@eyasitiayubu6271 3 жыл бұрын
Watu niwabishi yesu mungu duu
@farajibuteta6258
@farajibuteta6258 3 жыл бұрын
My favorite yahaya hiyo bibble ameikalili yote
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
Alhamdullillah Alhamdullillah kuzaliwa Muslim
@muhaadan6901
@muhaadan6901 3 жыл бұрын
MAA SHAA ALLAH MSOMAJI YA MUISLAMUUU
@عبداللهباحميد-ت7ج
@عبداللهباحميد-ت7ج 3 жыл бұрын
YAALLAH. Mpe. Elimu. Zaidi. Shekhe. Mazinge.
@rilkabuya6519
@rilkabuya6519 3 жыл бұрын
Mungu amrahamu shekh wetu yahya
@nyimbozawokovuzote7408
@nyimbozawokovuzote7408 2 жыл бұрын
Mtu ambaye hana Roho wa Mungu hawezi kupokea mambo yanayotoka kwa Roho wa Mungu kwa sababu mambo hayo ni upuuzi kwake; na hawezi kuyaelewa kwa kuwa hayo yanaeleweka tu kwa msaada wa Roho. 15 Mtu wa kiroho anao uwezo wa kupima kila kitu, lakini yeye hapimwi na mtu. 1 Wakorinto 2 : 14, 15-15,16
@AbfullahiMuhammad
@AbfullahiMuhammad Жыл бұрын
Nipenda.kaziyaku
@nassortwahir5089
@nassortwahir5089 3 жыл бұрын
Mazinge upo sahihi💪
@yussufebrazzy640
@yussufebrazzy640 5 жыл бұрын
Masha Allah mazinge
@husnamiraj9252
@husnamiraj9252 3 жыл бұрын
Mungu ajazaa wa ajazaliwa ivyo yesu co mungu
@bilalissack7573
@bilalissack7573 4 жыл бұрын
Mazinga n mwalimu na nusu
@samanthaali873
@samanthaali873 6 жыл бұрын
Masha Allah
@allyabdallah4357
@allyabdallah4357 3 жыл бұрын
Subhanallah kweli huu ni msiba mkubwa Sana yani hawa jamaa kweli wana shida sana
@EMMANUEL-jw4kt
@EMMANUEL-jw4kt 4 жыл бұрын
Waislamu hamna wanachojua
@wilberchannel5346
@wilberchannel5346 3 жыл бұрын
Mazinge swali zako za kitoto roho wa Mungu na akuonekanie ili uweze kuelewa.Kuna waislamu walionekaniwa na yesu kisha wakaokoka
@muhammadmuhaznun380
@muhammadmuhaznun380 3 жыл бұрын
Weeeee!!!!!
@nelsonsalumuclovis753
@nelsonsalumuclovis753 3 жыл бұрын
Najivunia Sana kuwa mkristo
@daudyussuf8180
@daudyussuf8180 3 жыл бұрын
Dinii ya haki mbele ya mwenyezi mungu ni uislam
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh Жыл бұрын
nipeye andiko ndani ya qu'ran inasema dini ya kweli ni islam!
@SukainaShujaa
@SukainaShujaa 3 ай бұрын
Ipo
@msalabanreko7001
@msalabanreko7001 4 жыл бұрын
Jaman fata iman yako usiangalie imani ya mwenzako nan utamkosea mungu bure
@alriyamy613
@alriyamy613 4 жыл бұрын
Nan yupo 2021..?
@rahmaoman5122
@rahmaoman5122 4 жыл бұрын
Nikohapa
@muhidinally3753
@muhidinally3753 5 жыл бұрын
Hii ni hatari huyo Mwalimu wa Kikristo ni mweupe mno. Inaonekana hajui chochote
@salumsalummussa4269
@salumsalummussa4269 3 жыл бұрын
Nami nawapa pongezi masheh wetu kwa kujituma kulingania dini
@yohanamgege2781
@yohanamgege2781 5 жыл бұрын
Wewe umesoma hayo je yesu unamfananisha nanani
@nooordubem2802
@nooordubem2802 5 жыл бұрын
Namfananisha na kumjua kama mtume na nabii wa Mungu. Na ww je?
@kimangaali9595
@kimangaali9595 5 жыл бұрын
Yesu anafanana n.a. kila binaadamu mwanamume
@nooordubem2802
@nooordubem2802 5 жыл бұрын
@@kimangaali9595 shukran kaka kwa kumjibu huyo kafiri anayeabudu mwanadamu mwenziwe yesu...@yohana Mgege..kwani ww wamfananisha yesu na nani? Yesu ni nabii na ni mtume kama tu Musa,Ibrahim,Muhammad s.a.w na wengineo na pia ni mwanamme kama alivyosema kaka Kimanga Ali
@sabrinasoko402
@sabrinasoko402 3 жыл бұрын
Binadamu mwanaume
@alimaalima6016
@alimaalima6016 7 жыл бұрын
swadaqta mashekhe wetu
@mudkhamis3078
@mudkhamis3078 5 жыл бұрын
Yani kila kitu kipo wazi vo lkn wanajifanya hawaelewi eti, dahh yani nakaa nikiwashangaa sna, hakika dini yakweli ni uislam pekee nusuruni nafsi zenu akhera ni azabu juu ya azabu kwa walomuasi mungu nakujitoa akili hakuna kuonelewa huruma
@faridsaid9180
@faridsaid9180 5 жыл бұрын
Suali kwa wakristo hapo kwa Time 57:55 Petro wa Kwanza. 3:18minutes kama Yesu ni Mungu, ni mungu yupi aliyepandisha Roho ya Yesu?
@brunomsofe556
@brunomsofe556 3 жыл бұрын
Huyu ni mwanangu mwanangu mpendwa wang ninay pendezwa nae msikilizen yey mathayo 17.5 mwenyez anasema Haya maneno
@khalidwalid9514
@khalidwalid9514 7 жыл бұрын
Allah akbar
@muhammadmuhaznun380
@muhammadmuhaznun380 3 жыл бұрын
Roho yake ikahuishwa swali yy ndo Mungu aloihuisha Nani...
@munasumai6669
@munasumai6669 4 жыл бұрын
Mkirsto mbishi sjui walilishwa nn Subhanallah.
@Awatee
@Awatee 3 жыл бұрын
Msiba huu ALLAH anasema ktk suratul Baqarah katika nyoyo zao kuna maradh huzidishiwa maradhi ALLAH atuongoze nao awanyooshe njia ilionyooka kwa Rehma zake
@rashidjumamohamed3437
@rashidjumamohamed3437 5 жыл бұрын
Maa Shaa Allahu
@alphonceaustins3273
@alphonceaustins3273 4 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu awasamehe hawa wakristo,
@zedimohamed8033
@zedimohamed8033 3 жыл бұрын
Amen yarabi
@lewismwanzia3479
@lewismwanzia3479 7 жыл бұрын
lau wakenya tungeifanya mihadhara mingi kama watanzania bila shaka elimu ya dini tungeipata sana, kumbe ukristo ni mpakwa mafuta Ndio maana yake Sii dini, isitoshe kila yesu alichokifanya ni cha kiislamu tu! mathalan kufanya sala misikitini, kufunga ramadhani, kuvaa kanzu, wanawake kujisitiri, na kadhalika...
@rskiabdala4868
@rskiabdala4868 6 жыл бұрын
Uo nd ukweli ulivo
@frankjohn8570
@frankjohn8570 6 жыл бұрын
Lewis Mwanzia kweli ingesaidia watu kumpenda mungu au kumkataa kwanguvu zao zote mana kamailivyo ni kweli kristo ni mpakwa mafuta NDIPOSA TWANENA. YESU KRISTO MPAKWA MAFUTA WA MUNGU HII NI TANGU KUWEKWA MISINGI YA ULIMWENGU. NA. BAADA YA YOTE HATASASA YESU YUPO MBINGUNI. NA ATARUDI KUUHUKUMU ULIMWENGU. KWAVILE NI MPAKWA MAFUTA WA MUNGU NAE KWAVILE HAKUPENDA KUUCHUKUA UTUKUFU WA BABAYAKE AKAITWA JINA LAKE. YESU AMBALO NI JINA LA BABAYAKE ILI KILA ATAKALOLIFANYA IWE UTUKUFU WA MUNGU AMBAE NDIE MWENYE JINA KUU LIPITALO YOTE(YESU) YOHANA 17:17 tena bwana YESU hakutenda jambo kwa nafsi yake Bali ya babaye, hakuna jambo gumu LA kumshinda Mungu, kama aliongea kijitini vipi ashindwe kuongea ndani ya mwanadamu,tatizo LA wengi ni ugumu wa moyo
@mudkhamis3078
@mudkhamis3078 5 жыл бұрын
@@frankjohn8570 umeskiliza vizur lkn yaliyozunguzwa naona hujaelewa kumbe, kuwa mwislam kwafaida yko tunaokenda si siosehem ya masiraha, ni azabu juu ya azabu
@mudkhamis3078
@mudkhamis3078 5 жыл бұрын
Lewis Mwanzia hua ndoukweli, dini ya haki na yakweli ni uislam pekee tu asikubabaishe mtu wewete, inusuru nafsi yko kwakuwa muislam kabla hujatangulia mbele ya haki
@AbdulAbdul-pr9qe
@AbdulAbdul-pr9qe 5 жыл бұрын
@@frankjohn8570 mbona kila comment yako inaonyesha kwamba kuna Mungu na yesu alafu bado unashikilia kuwa yesu ni Mungu?
@abdiyahya9310
@abdiyahya9310 7 жыл бұрын
big up mazinge
@simonmisri6968
@simonmisri6968 3 жыл бұрын
Mwl wa kikristo ni vigumu sana kukuelewa hao rafiki zangu
@mwanaishamlima2047
@mwanaishamlima2047 4 жыл бұрын
Mashallah
@mkimbiziboy
@mkimbiziboy 3 жыл бұрын
Taqibiluuuuu
@ahmadamigeyo3929
@ahmadamigeyo3929 3 жыл бұрын
Takbiiiiiiiiiiir
@mwanaishaathuman9371
@mwanaishaathuman9371 7 жыл бұрын
wewe wasema mwana wa mungu na hao wanasema ni mungu sasa jibu kamili ni lipi
@mavumbimavumbi5284
@mavumbimavumbi5284 5 жыл бұрын
Mwana wa mungu √√√√√√√
@nooordubem2802
@nooordubem2802 5 жыл бұрын
Yesu ni nabii na mtume wa Mungu tu na atabaki hivyo hadi kiyama kisimame in shaa Allah
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 5 жыл бұрын
@@mavumbimavumbi5284 Subhunah Allah mungu hakuza wala Haku zaliwa na wala hafananishwi na kitu Chochote
@aminalukotera5300
@aminalukotera5300 4 жыл бұрын
allhamdullih kua muislam
@hamza89945
@hamza89945 4 жыл бұрын
Huyu medadi kichwa kigumu sana. Jikafiri heavy 😂😂
@chrisgamer4149
@chrisgamer4149 4 жыл бұрын
Atarii🤣🤣🤣
@husnamiraj9252
@husnamiraj9252 3 жыл бұрын
Najivunia kuzaliwa kwenyedini ya kweli
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh Жыл бұрын
dini ya kweli ya wapi?unajivunia dini ya majini,nyie mungu wenu yuko makkah ndani ya sanduku ambalo ni jiwe jeusi!
HABIB MAZINGE | NI IPI IBAADA SAHIHI | DEBATE YA MASASI
1:48:31
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 121 М.
053 HABIB MAZINGE | JE SACRAMENTI NI MWILI WA YESU 1/2
56:31
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 162 М.
HABIB MAZINGE   MITIHANI WAHUBIRI TUNAYO PATANA NAYO bondeni mombasa
1:15:43
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 313 М.
Je Majini ni Dini gani? Sheikh Mbogo Tz Vs Mch Ndacha Kenga
54:25
DAAWA ONLINE TV
Рет қаралды 40 М.
HABIB MAZINGE   UISLAM KATIKA VITABU VYA KALE 4
29:17
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 162 М.
HABIB MAZINGE | MSALABA | DEBATE MAKADARA DAY 2 23 10 2010
3:36:05
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 132 М.