Wakwanza mimi hapa boy from Msumbiji 🇲🇿🔥🔥🔥 nipeni maua yangu
@gabrielsebastiao23129 ай бұрын
❤
@mayaashassan39189 ай бұрын
Duh ila wana wake sisi tuna uchonganishi jamn😢yaan atuwezi kuona ndugu wanapenda tukawazidishia upendo😢😢
@PascalwaprinceBitha2 ай бұрын
Balaa kweli 🥱🥱 madebe ww noma sana from Congo 🇨🇩 tuna kukubaligi sana
@ramadhanissa311810 ай бұрын
Mdundo ni mov nzuri sana na inavo onekana apo kila inavo enda inazidi kuwa tamu ila nivifupi sana ongeza dk kidogo madebe
@augustinemakoba562210 ай бұрын
Mda unatosha
@hekimaandindilile40009 ай бұрын
fupi tamuuu
@user-ej7to8rk9h9 ай бұрын
Mdindo juu
@samyabahatialhiani4019 ай бұрын
Nimecerewa
@cishahayosaidi31629 ай бұрын
Wanawake nona sana😂
@twalihamohamedi8989 ай бұрын
Ummh makubwa
@user-ql1xe4fn8o9 ай бұрын
Unakua mkali wangu nakukubali sana 😮🎉🎉🎉
@NeemJoseph-ri2vs9 ай бұрын
Motooooo jmn pamb atar nipo pand za zanzbar ap forodhan htr san❤❤
@user-dz4jc5vr9s10 ай бұрын
Hongereni kazi nzuri mungu azidi kuwabariki
@AronIssa-qs6vk9 ай бұрын
Umetixha madebe chukua maua yako🎉🎉🎉🎉
@amosileonardsegese749410 ай бұрын
Mdundo upo vzr ivi na ni sehem 2 tu ❤❤❤❤❤❤
@nassoridarous394310 ай бұрын
Wa kwanza leooooooo
@khadijamunga318110 ай бұрын
Mdundo💥💥💥💥💥
@user-vo5xq3wl1z10 ай бұрын
Mbna kama mnaturudsha nyuma mm nilitaman ije Kali kuzid timbwl lakn hii Bado kabisa madebe anaecheza sio madebe ambaye tumemzoea mnatuangudha kitandu
@jamilakhatib385610 ай бұрын
Duh htr
@user-xz5qo9os8u10 ай бұрын
Tusiwe tunafrahia shida zawa watu 😮😮
@johnberiah56379 ай бұрын
mimi ni john kutoka kenya,tamthilia za madebe nazivulia kofia.nafuatilia zote lakini mshumaa imekwama.wakati mwingine mnachelewa sana kuposti mpaka. DAAH!!!!?
@kitandutv9 ай бұрын
MSHUMAA itaaza kuruka rasmi j3 ijayo kuna mambo tu ayakua sawa ila kila kitu kiko sawa
@johnberiah56379 ай бұрын
@@kitandutv nashukuru sana.afwan
@aminali26778 ай бұрын
🔥🔥🔥🤣🤣🤣❤️❤️❤️
@antonysimiyu-vf5qf10 ай бұрын
Antony kutoka Kenya nafatilia mdundo🎉🎉
@magnibrondi315210 ай бұрын
Kazi nzuri from Oman, ila ni kafupi sana
@asmalusambo553410 ай бұрын
Wasaba mimi jamani ❤❤❤
@tunumussa94510 ай бұрын
3 ep jmn Mbona shilingi hamuyoneshi tena
@muniraahmedawadh261910 ай бұрын
Pamoja sana wapendwa timu madebe
@nailaty10 ай бұрын
Wadada wa bongo jaman si kila wigi litakupendaza zena hilo wigi litupe🤣🤣
@glorykadzo9 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@johnrichard548210 ай бұрын
Mdundo 🔥🔥🔥🔥🔥
@pilishazycounterog82009 ай бұрын
😂😂😂viol atak kupaliwa
@user-vc3fy9fb8p10 ай бұрын
Much love ❤❤❤
@minnahjuma-uo3cm9 ай бұрын
Kweli ni kichomi😄😄😄
@salimkombora274210 ай бұрын
Madebe uko juu
@amina2044amin-zv2gh10 ай бұрын
👏👏👏👏
@mariamomary775810 ай бұрын
Dakika chache Kam vp we Acha kwanza vikifika vipande 5 tuwekee mzigo , ukiwek ivi Kam twatekenyana tu
@amadimagadi797810 ай бұрын
😂😂😂😂
@swahabahusein239 ай бұрын
Niko Nairobi napenda zana kazi zenyu nipe like zangu
@Gamba8110 ай бұрын
Good good👍🏾
@user-jo9mh6ot8p5 ай бұрын
Mbona kidole ngumba pamojanawezake masela sijawahona awapo amaje? Kama awapo sitafata mpakamwisho nakwamiyahap ,juhu natakaalemaneno ya dolegumba
@RizikiZiki9 ай бұрын
Wana wake mungu awe anatusame yani mpaka tu umufukuzishe shemeji yako kuaapo unakosa raha niatari kwakweli naishiwa😅
@user-ty5io2ec9u10 ай бұрын
saf iy
@amadimagadi797810 ай бұрын
Dakika 10 kidogo
@kenogola33929 ай бұрын
Mm ningekuwa kaka ya madebe ningeondoka ili abaki na mkewe ,,, maana ashaamini mwanamke
@user-od6mu5yr4e10 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@user-fy4op1sw2f10 ай бұрын
Duuh 😂😂😂
@elizabethmahenzo722010 ай бұрын
❤❤❤❤
@aishajuma189 ай бұрын
🎉🎉
@fatmarama127910 ай бұрын
Zena uko kichwani 😂😂
@user-zf7ft8eg1x10 ай бұрын
Yan Mr madebe umepata mke apo hatari
@rashidgona180810 ай бұрын
Madebe nawe unafaa utumie akili mtu anawezaje kubaka mtu kama mwenye mtu ako apo,, c angembaka kama mwenye mtu hayuko
@andrematubiko116710 ай бұрын
Sijachelewa kivilee
@ericmangera46510 ай бұрын
Umechelewa sana nenda nyumbani ulete mzazi 😂😂😂ila kazi safi sana much love from +254
@zohrazohra105110 ай бұрын
❤
@user-qm2kb1ln7p10 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@mukuchinotz10 ай бұрын
Ila dah jamaa muv kali mnaweka fupi utamu unakatika kma upepo