Рет қаралды 1,493
Best player rated kwenye hii league
Best in the town na bado me siringi
kwenye show ma fans wanakuja kwa wingi mfukoni na count dollars Mashillingi
more shows ;more cheddars paid kila weeki
long racks G out still chasing biggie
Bazenga me ndo Don na_run hii jiji
kwa hii game mimi ndio gwiji
waiter nipe chapo mbexe kwa mbinji
niko generous wewe mwere stinji
ukipiga simu yako me siishiki
niko buzy man me nasaka riziki
( *Chorus *)
nikipanda stage wanauliza me ni nani
nikishika mic wanauliza me ni nani ( Kwani me ni nani ?)× 4
lawama njaa huku mtaa ni kubanwa na mengi
Mpaka mablainer malaya washenzi
Ijapo kuna realers kutoka hizo enzi
mandugu wakweli hadi nawaita wapenzi
niliwateka wanajua huwa sichezi
Rozlin jina kubwa buda cheki jezi
ma snitch wananicopy wao ni wezi
waroro kibao Leo ni kwa Stacey
kesho nipate naroll out na kendi
akiringa kuna laura ,ceci ama Wendy
pang'ang'a mob ndo huwa sipendi
kelele mob na matendo hautendi
(* Chorus *)
ati kwa jina la baba na mama
mtoto kijana niite kimwana
ka ni mathe ye huniitanga mwana
Nafanya ma rapper wote wanastammer
line flow yao kombo wanakwama
nafanya wanahepa kenya wanahama
jina imeshika hadi uko Bahamas
collabo zinaitishwa hadi uko panama
Kenyan DA baby kwa flow tunafanana
buda usicheze na mimi hatuwezi toshana
msupa wako ananidai nikama we hauna banana
Sina chuki Ila upendo toka kwa Rabana