all ways of transport has many many challenges so, we must pray to God before travelling
@kassimrajabu78055 жыл бұрын
Daaah!!! Hapo mavi yanagonga chupi na kurudi😂😂
@nakhilsinan94495 жыл бұрын
Sio kwenu hy meli inazama ktk ziwa wt hawaokolewi mpka wanakufaa
@ignasankoma5383Ай бұрын
Hapa, naiyona bendera nusu mulingoti ingetokea pahala furani hivi
@saadakiyungi71555 жыл бұрын
ingekuwa bongo hapo, tungezungumza mengine
@mwanaishambili2415 жыл бұрын
Mashaallah mungu mkubwa maana karoho kameniduda
@halimhafidh33555 жыл бұрын
Subhanallh
@angelsulle717710 ай бұрын
Asante Mungu jina lako litukuzwe
@saidibakari34405 жыл бұрын
Ingekuwa bongo wala meli haiwezi zama
@tolumnyama39355 жыл бұрын
Duuh..!! God bless..
@husnauthman76095 жыл бұрын
Subhanallah
@aminamohammed9333 Жыл бұрын
Da pole yawo
@tariqsparrow25635 жыл бұрын
Njoo bongo sasa
@FahmiMohamed-tn9yl2 ай бұрын
Kweli
@user-kw6zo8tt5g2 ай бұрын
Hayo maandishi yanaharibu muonekano WA picha
@RackeR315 жыл бұрын
Ingekuwa bongo
@jaafarjacka33205 жыл бұрын
Mmmmhhhhh yangekuwa mengine saa hizi
@fainnamvungi43645 жыл бұрын
wangeokolewa na mitumbwi sio hekopta
@banshbansh23295 жыл бұрын
@@fainnamvungi4364 kabisaa mana watu wanazalau nchi yao
@fainnamvungi43645 жыл бұрын
@@banshbansh2329 kwel mara ngap mitumbwi ndio inasaidia ajal za majin ila wa2 hawalion hilo ni sawa na kutaman kuzaliwa Ulaya wakat mzungu anawaza kuwa sungusungu Mbeya ili akombe mali zilizoachwa na babu yake mjeruman enzi hizo👌👌
@salumjuma31523 ай бұрын
Kama Kwetu ndio sagrarihe Manake vyombo vya uokoaji havipo
@EmanuelRashid10 ай бұрын
Horasana
@maryamm77655 жыл бұрын
Dah mtihan kweli
@spicypuddin4 жыл бұрын
i dont know why, but i clicked on this video
@aminahsiti32815 жыл бұрын
nafurai kukuskia sauti yako apa kwa Millard Ayo bro sky
@aminaaly35142 жыл бұрын
Kiasi watulie wana angalau cha kujishikiza majini washavaa lkn ile huna chochote