Melody melody melody merci merci merci, unaimba vizuri sana najua changamoto ni nyingi sana katika muziki ila big up pambana utafika mbali zaidi may u be blessed tunakupa sapport keep going up🎉🎉🎉
@samwelmohonge45732 ай бұрын
Apewe maua yake jamani tumpe likes nyingi sauti nzuri na kazi nzuri sana
@simonshija24765 жыл бұрын
Melody Mbassa unaimba vizuri sana tena mno, lkn huna producer mzuri jaribu kupata producer mzuri level zako za uimbaji ma-producer wa bongo flavor wana kuharibia sana achana nao, nakushauri mtafute Alain Mapigo huyo ndo yupo level za kwako wewe ni artist mwenye uwezo sana, utoe wimbo mmoja tu utaniambia!!!
@dullamakuburi9655 жыл бұрын
Dah Kweli ww mellody unaimba sana jamaa nishakuwa shabiki wako kazi nzuri sanaaa Ahsante kwa ngoma nzuri
@jumaally42636 жыл бұрын
huyu kijana sauti nzur/ujumbe mzuri. Yaani nimeusikiliza huu mwimbo mara 80. Big Up kijana mwanzo mzuri hongera sana
@ambokilevisit87734 жыл бұрын
Uko vizuri mnoo... Nakusikiliza kwa hisia balaaa
@juliuskalawa78604 жыл бұрын
For the first time naiskia hii, ngoma kali mno yenye tungo zenye ushawishi wa mapenz