Melody nakushauri imba gospel utakuja kunishukuru kwa ushauri wangu🙏
@buberwajohn13123 жыл бұрын
Ngoma kari sana bro.
@nasramtuluma39493 жыл бұрын
Woyoooo
@realzeflin64332 жыл бұрын
Mziki mzuri ♥️🔥🔥
@aloycelazaro79713 жыл бұрын
Another one kali sana
@niseradiomedes50173 жыл бұрын
Shemeji nimekubali nyimbo nzuri Ina ujumbe mzurii
@peresjohn97632 жыл бұрын
Well done mdogo Wang,nakushauri mtafute Christian Bella atakupa njia sahihi ya kupita,unajua music,,,,
@shafiirajabu43483 жыл бұрын
Fundi sana ww
@henryabisalami46463 жыл бұрын
Yaani Huyu jamaa ukisikiliza nyimbo zake unabarikiwa na kuna fungu unaongezewa sijui ana vina saba na manabii maana hata 🦠 ikizisikia nyimbo za huyu jamaa inatoka Mbio, Atakuwa ni nabii Huyu kaja kutuponya kwa njia ya uandishi halafu anatuzuga.💪👍🏼
@ramadhaniyogelo95984 ай бұрын
Bonge la song
@amanziissa9483 Жыл бұрын
The best melody in Tanzania❤
@kividomaster4660 Жыл бұрын
KAZI KUBWAA SANAAA#respect t0toskala🔥🔥🔥🔥🙏🙏
@aggreyjoseph29663 жыл бұрын
dogo langu nakukubali sana
@robertezekia35203 жыл бұрын
Nahitaji tufanye kazi
@BarakahamisiMohamedi11 күн бұрын
Mpeni sikio huyu level nyingine
@mzenjikichaa86953 жыл бұрын
Melody shaleeeeeh Toto skala
@bahatinsanya40923 жыл бұрын
Toto skala nakubali👍👍
@mbeyungeyeremia Жыл бұрын
Naipataje hii nyimbo
@amosmwanga40273 жыл бұрын
Melody unakitu kikubwa ndani yako brother Nakuomba achana na mziki wa ki Dunia Fanya gospel brother utapokelewa vizuri sana zaidi ya sana kushinda huku..... Jaribu kukaa na Walter Chilambo japo ujue wapi uanzie then utoe kazi brother . Muimbie Mungu kaka, Mungu kakupa sauti safi sana umuimbie ...
@ashuramohamed3267 Жыл бұрын
Nice song always on point
@mzenjikichaa86953 жыл бұрын
Nyie watu melody shale Toto skala hatari
@modecreatives63 жыл бұрын
Melody Mbassa totoskala my king
@janvierwilondja93633 жыл бұрын
Mwenye sauti yake
@robertezekia35203 жыл бұрын
Ndio msaniipekee ninae wish nifanye kazi na ww nakukubali mno.
@josafko22593 жыл бұрын
wimbo uko vzr,ongera sana
@ShabaniMtonga-j4o Жыл бұрын
Hatariiii King of Rumba
@bernardmathayo98813 жыл бұрын
Kazi nzur kaka yani nyimbo zako nazi penda sana mno bro
@wilsoncharles7790 Жыл бұрын
Gud❤❤❤❤
@josphatmwania58003 жыл бұрын
254 inakubali! kazi safis sana
@HoseaYohana-nn5im Жыл бұрын
This is my favourite song
@shukranitionge80603 жыл бұрын
You are the best
@mambomseto77013 жыл бұрын
Tulimis mziki mzuri kipindi kirefuuu....thank you Mbassa
@raymondnyamwihula73843 жыл бұрын
Huu ujumbe uliomo kwenye hii ngoma ni 🔥🔥🔥 na umesindikizwa vizuri na mavokale, safi sana
@robertezekia35203 жыл бұрын
Ni mmiongoni mwa mtu muhimu sana .i wish siku tutafanya kazi moja
@azizshaban453 жыл бұрын
Good bro nakuelewa toka day 0
@wisemusicwisdom42513 жыл бұрын
Noma sanaa 🔥🔥
@juliankuka24963 жыл бұрын
good job brother very nice music napenda
@MoyiSanJose-eg1nr9 ай бұрын
Sijui niseneje, lakini ngoma inanigusa sana, we muimbaji wa kweli.
@buharymarunda38893 жыл бұрын
Fundi once again. #PapaaFololo
@hansonlz3 жыл бұрын
🙌
@johnmigila3 жыл бұрын
Dah bro asante sana hii song is the best baada ya bebe extra, ujumbe mzuri God bless you bro alafu dont worry about viewers kuna myoyo ya watu umeiponya
@Ibramelody3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥 my gee💪💪💪
@chandembanila21473 жыл бұрын
Good song
@modecreatives63 жыл бұрын
melody szhale totoskala
@alexnyanganyi89113 жыл бұрын
Melody Mbassa wewe ni msanii mzuri sana kaka ila kuna mambo inabidi uyaache Ili uweke juhudi kwenye mziki wako, najua umenielewa vizuri kaka. All in all hujawahi kuniangusha kwenye uimbaji.
@ShabaniMtonga-j4o Жыл бұрын
Naitamani kolabo yako na christian Bela
@joshybassdivine98843 жыл бұрын
merody ww uko vizur najiskia vizur kuwa sehemu ya kazi zako Mkono wangu wa Bass na piano hakika umeutendea haki ww na lucky hii ndo inatakiwa kuna sehm inabd tuupeleke music wetu. MUNGU NI MWEMA
@ashrafmohamed63553 жыл бұрын
👑👑
@thebadnumber3303 жыл бұрын
🔥🙌
@fadhilngimilanga18282 жыл бұрын
You music heals...
@mpokimwakabuku84713 жыл бұрын
Nilikua nasubiri Sana nyimbo mpya kutoka kwako brother,hautuangushi kabisa.Inafundisha na mtu yeyote anaweza sikiliza.Ahsante Sana!