MENEJA DING'ANO AMCHEKA MSANII MPYA WA WCB {DVOICE} // HAWEZI KUFIKA POPOTE HUYU // TAZAMA HAPA...

  Рет қаралды 26,735

PTVTANZANIA online

PTVTANZANIA online

8 ай бұрын

Пікірлер: 132
@NyanjeMwalimu-qy5ug
@NyanjeMwalimu-qy5ug 8 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Ptv napenda sana interview za uyu mwamba Mii namuelewa sana keep it kumhoji Dingano 🔥🔥
@DAMIABOY
@DAMIABOY 8 ай бұрын
PTV FOREVER 🙏 Hakuna kitu APO , mwana mziki wa singeli hastahili iyo labels 🙏🙏 natena hakuna Mtuu wakumu pimanisha Na harmonize APO
@ernestcharles4288
@ernestcharles4288 8 ай бұрын
Yeye ni msanii wa singeri anaimb hadi bongo fleva
@nicholauskilosa5336
@nicholauskilosa5336 8 ай бұрын
Ni kweli hata mimi nkikuta Nyumbani kwangu inapigwa singeli ntachapa watoto vbya sana.
@DaniBoeeTz
@DaniBoeeTz 8 ай бұрын
😂
@pingumagongo1997
@pingumagongo1997 5 ай бұрын
😅😅mungu yu mwema😂😂 ding'ano for life🙌🙌
@Levinsky25
@Levinsky25 8 ай бұрын
This guy understands music💯
@chandiasamuel9292
@chandiasamuel9292 8 ай бұрын
Matatizo and single again the best songs ever big up Hamonize keep moving
@abdalaauame3863
@abdalaauame3863 8 ай бұрын
Meneja digano sharrahut, onguera sana sana 👏👏👏👏
@mrsinia3064
@mrsinia3064 8 ай бұрын
WCB itawachukua muda sana kumpata msanii geneus kama harmonize
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 8 ай бұрын
🥳🥳🙌🙌🙌😂😂
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 8 ай бұрын
Unaumwa wewe....chawa tuuu😁
@felista5107
@felista5107 8 ай бұрын
Kabisa na ndoomana Toka atoke Hamo mambo yameharibika kabisa kwao
@Levinsky25
@Levinsky25 8 ай бұрын
Mob love from Kenya dingano
@deogratiaskatabwa5230
@deogratiaskatabwa5230 8 ай бұрын
Dinganoo Mwamba unatishaaa singeli inaishia bongo tu
@MohammedMohammed-uo5sk
@MohammedMohammed-uo5sk 8 ай бұрын
Dibango kidogo nitakukosoa Leo ww ni best yangu sana but singeli itauza Spain coz huko ndio mambo Yao ila mjomba D Voice na mjomba Swara wawekeze sana katika lugha ya singeli kama ni kiswahili kiwe na mafunzo ya Hali halisis ya maisha na pia wafanye mix ya lugha kingereza na kispanyola ili watu wa Dunia wapate kuelewa na midundo iwe babukubwa but kama ni Sengeli ya kibongo bongo haiendi mbali .pia mjomba kitondoro ampe pumzi D voice afanya ya kwake coz naona makolabo kibao hii itamvunjavunja ila wampe ukubwa kwanza kivyakevyake Kisha kolabo za wastani.Doh Swara kaingia Kwa Sengeli sasa hii noma
@JoelRichard-hj3bi
@JoelRichard-hj3bi 8 ай бұрын
Huyu ndio Dingano bwana Big up,waandishi wa mchongo.
@AshaMatola-hn2rd
@AshaMatola-hn2rd 8 ай бұрын
Sasa domo amevaa nn icho amekaa kama fidodido amechekesha umma jamani
@cristianofabiao537
@cristianofabiao537 8 ай бұрын
😂 ❤ding'ano 🔥🔥🇲🇿
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 8 ай бұрын
WCB sjui imekuaje
@mayahemede4841
@mayahemede4841 8 ай бұрын
Meneja ni Noma sana
@desantos_official
@desantos_official 8 ай бұрын
Nakuaka nakukubali sana manager dingano
@OmarOmaramimoOmar
@OmarOmaramimoOmar 8 ай бұрын
Diamond amefeli
@denismigayi8513
@denismigayi8513 8 ай бұрын
Tembo Jeshiiii la mtu Moja
@bakarimnyubi2650
@bakarimnyubi2650 8 ай бұрын
Kwani mzee wa fact anasemaje nae AKA Mr Pimbi maana daah...🤣😃🤭
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 8 ай бұрын
Muacheni diamond harmoze bado ana safari ndefu kufikia mondi alipo sasa na D VOICE ANA kipaji sana sana
@user-ie2ww6vq5o
@user-ie2ww6vq5o 8 ай бұрын
Mond so mjinga kumsaini uyu msanii wa singeli... Kwasbu mond kaongeza mashabiki .. na uyu d voice atafka mbali sana mpka watu watashangaa kwasbu mwanzo ni mgumu ila najua atafanya tu surprise watu hawatoamini.
@JulianaMushi-nq3kc
@JulianaMushi-nq3kc 8 ай бұрын
Ila daimond kakurupuka sana mimi binfsi cjamwelew huyo dtalaka
@Never-drc_officiel.
@Never-drc_officiel. 8 ай бұрын
😂😂😂😂 Ding'ano na Ding'ano zake,...
@erastocyprian3555
@erastocyprian3555 8 ай бұрын
Nice Dingano
@nestonmarko395
@nestonmarko395 8 ай бұрын
Mbona Uyu haeleweki meneger
@j...876
@j...876 8 ай бұрын
VIP Angela , chid na kid, au Ibrah, bangi wewe chunga tu mu pumuwe vibaya😮😮
@user-om7zg6ug4z
@user-om7zg6ug4z 8 ай бұрын
Chambua babu din'gano😂😂😂
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 8 ай бұрын
Mm nadhani d vois atabadili kutoka singel kuja bongo fever na amapiano....nyie pgeni ngenge tu😂😂😂
@BarakaKanyamibwa-lo4gc
@BarakaKanyamibwa-lo4gc 8 ай бұрын
Kiukweli ule jamaa hamuna kitu labda wamusaini FOUNDER TZ.
@ISSACCECYTIN
@ISSACCECYTIN 8 ай бұрын
Hapama singeli ita vukaa alafu d vois ana badilikaa badilika d vois bongee la msniii mtakuja nambiaaa
@cuiteaishah7226
@cuiteaishah7226 8 ай бұрын
Hiyo nguo alivyo vaa mondii inatoshaaa😅😅 jameeni
@peterongonga4242
@peterongonga4242 8 ай бұрын
Dingano nakufatilia nikiwa Nairobi ,huko sawa waoshe hawa mwabino
@Jeymoh
@Jeymoh 8 ай бұрын
From Kenya dinghano motor Sana 😅
@user-gz7db2uj8v
@user-gz7db2uj8v 8 ай бұрын
Ding'no facts 💫
@DaniBoeeTz
@DaniBoeeTz 8 ай бұрын
😅😅eti chakwacha kwachakwacha
@YohanaMusa-hy4gw
@YohanaMusa-hy4gw 8 ай бұрын
Wewe hauna akil kabixaaaa
@sandramutabazi8666
@sandramutabazi8666 8 ай бұрын
Fact kbs maneger❤
@benson23823
@benson23823 8 ай бұрын
Ana tisha wapi kwa roho mbaya aliyo nayo hanaga akili wewe una waza mtu mwene ana akili ana weza ongea ivo mbona walishindwa kumu saidiya huyo anjela acha
@blandkubwatz4496
@blandkubwatz4496 8 ай бұрын
Motomoto
@andrecarlos1024
@andrecarlos1024 8 ай бұрын
Dingano 👏👏👏👏💯
@EvaristeRadjabu
@EvaristeRadjabu 8 ай бұрын
Ding kaongeya kweli kabisa
@happyvicent2837
@happyvicent2837 8 ай бұрын
Wivu huyooo diamond anaona mbali
@user-ie2ww6vq5o
@user-ie2ww6vq5o 8 ай бұрын
Mond ana target zake wala hana upinzani na upande wwote kwasbu kwa utajiri wake hana muda wa kushindana na mtu . Hata mkisema hamumpunguziii chochote.
@KingbabilonBabilon
@KingbabilonBabilon 8 ай бұрын
True
@user-dr3ve2pm5t
@user-dr3ve2pm5t 8 ай бұрын
Wcb wamechemuka sanaas
@user-mp4lf4ji8k
@user-mp4lf4ji8k 8 ай бұрын
Chuki tuu huyo pimbi hajui chochota kuhusu mziki d voice msaanii tuacheni matani
@SululuZungu-kx8ws
@SululuZungu-kx8ws 8 ай бұрын
True story wapuuz xn wasf😂😂😂
@Kinyonga-kinyonga
@Kinyonga-kinyonga 8 ай бұрын
Ukweli ata Mimi singeli jamani ipite ivi kwaza
@user-jk6zk5lo9r
@user-jk6zk5lo9r 8 ай бұрын
😂😅ding'ano et anamtukana baba levo pua😂😂 wakati yeye mwenyewe dingano mpua huoo😂😂😂 ama kweli nyan haoni kundu lakeeee
@damianmcba9525
@damianmcba9525 8 ай бұрын
😂😂😂
@silageorge1638
@silageorge1638 8 ай бұрын
Shenziii ngoja tu kidogo awe mkumbwa kushinda huyo ibrah
@ElogbneyoBreezy-yz4vq
@ElogbneyoBreezy-yz4vq 8 ай бұрын
Kumbe Leber kubwa unajua
@LouisPadiri-im4xm
@LouisPadiri-im4xm 8 ай бұрын
Kondegang nyie subirieni tu ajekumfunika ibraa😂😂
@hmedoggftherljih199
@hmedoggftherljih199 8 ай бұрын
Meneja unajikuta TOP Quality, ila kupata ukubwani pia inachangia 😂
@albertoevaristo2643
@albertoevaristo2643 8 ай бұрын
Apa WCB ime tiya maji
@thobiasbukali9008
@thobiasbukali9008 8 ай бұрын
Huyu ni manager kweli au chawa? Maana kama manager unatakiwa kujua vionjo mbalimbali kila aina ya mziki.
@MkaliZuberi-rt3gb
@MkaliZuberi-rt3gb 8 ай бұрын
Anae jua anajua tu yule ametokea kwenye singeli ndio aimanishi kua yeye ndio anaujua singeli tu msanii mkali ni yule anayeimba aina yoyote ya mziki huyo ndio msanii mkubwa
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 8 ай бұрын
No senile on konde village
@paulkifuku9730
@paulkifuku9730 8 ай бұрын
Atapotea kama lavalava
@user-wv1qy6uk6c
@user-wv1qy6uk6c 8 ай бұрын
Unajua Kama huwez kuwa mbunifu utaishia kuwashangaa wasafi ukwely anaujua ila anavunga
@DiabTutty-ke9bs
@DiabTutty-ke9bs 8 ай бұрын
Acha roho mbaya kenge weeee
@happyvicent2837
@happyvicent2837 8 ай бұрын
Wewe mbona harmonize mbona kaimba sinqel hata mkumsema mondi ndio kwanza mnampaisha mnamzidishia kupanda chat mondi na mpenda mziki wake mpaka nainqia kabulini napenda sana
@Levymond
@Levymond 8 ай бұрын
Mdomomdomo tu akifanikiwa mnanyamaza
@mashakamgonza
@mashakamgonza 8 ай бұрын
Kweli ata mm niliisikiliza nami nikaifuta chapu maana uwimbaji wake Kwa mbalii kama Omar kopa
@mushijohn6435
@mushijohn6435 8 ай бұрын
Naulizaa😂😂 Ni naani kamshaurii Diamond avaee Pensi jamani miguu miguu mbona ni aibuu avae Trouser tuu
@Tintaaahasirakirende
@Tintaaahasirakirende 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂 nilidhani nimeona peke yngu
@barakamnai4184
@barakamnai4184 8 ай бұрын
Hata mimi kaka sipendi singeli
@GlamourMJ
@GlamourMJ 8 ай бұрын
😂😂😂nahc we unapenda me xielewagii ata wanaimbagaaa nn an full matuc
@user-tg2xi4mh6m
@user-tg2xi4mh6m 8 ай бұрын
Hapo mwambino amegawanya riziki Tu hamna kitu hata wakaungana
@user-fz1kh9in2c
@user-fz1kh9in2c 8 ай бұрын
Kwahiyo unasema hivyo huyo harmonize alivyokuwa hajatoka nani alikuwa anamjua halafu dogo anafanya mziki wowote wewe usicrem Labda mkamroge
@ramadhanimohamedi3935
@ramadhanimohamedi3935 8 ай бұрын
Chuki tu
@awiloligola7674
@awiloligola7674 8 ай бұрын
😂😂😆
@OmarNgoa
@OmarNgoa 8 ай бұрын
Wampigia kelele mtu mwenye humfukii hata robo 😂nipeni likes nilale mie fyoko
@GlamourMJ
@GlamourMJ 8 ай бұрын
😂😂😂aimbe singeli, mchiriku ata kwaya ndo kashatoboaa kwixhaaa iyooo kila m2 na bahat yak😏
@leonardchisutia8528
@leonardchisutia8528 8 ай бұрын
Hapa ukweli 😅😅
@Barnizeboy
@Barnizeboy 8 ай бұрын
🎉🎉
@ikramzamando810
@ikramzamando810 8 ай бұрын
We dingano una chembechembe za ushoga
@acizazihalirwa7165
@acizazihalirwa7165 8 ай бұрын
Niliwaza mavicali ao lunya😢
@edwinmeenda9171
@edwinmeenda9171 8 ай бұрын
💯💯
@legacyjini6651
@legacyjini6651 8 ай бұрын
Azingua wesiwakuzungumza ww
@user-by9cu9to1y
@user-by9cu9to1y 8 ай бұрын
Nyanyi wakumponda D Voice,si nyinyi mpeleke mama zetu ama dada zenu wenye vikipaji wafike mbali. Maubwa nyinyi na Roho mbaya kila siku ila mko sahihi masikini kila siku kazi ni kuongelea waliomzidi
@user-jq9rj4dm5u
@user-jq9rj4dm5u 8 ай бұрын
Mchawi ww ding'ano
@YohanaMusa-hy4gw
@YohanaMusa-hy4gw 8 ай бұрын
Utaxema xema wewe hauna akil kabixaaaa Yani
@janetymatola6639
@janetymatola6639 8 ай бұрын
Daimond kachemka hapo ila anajuwa snschokifanya
@ASALABOY
@ASALABOY 8 ай бұрын
Singeli ?? ET Wanadidang'aya kama Anabadilika Sasa uyo Msanii wao akibadilika anatuimbia Mataharabu . ET mwandishi mzuli wabongo wanapenda kupigia kelele vítu vibovu.
@tomsijohni
@tomsijohni 8 ай бұрын
Apo ndo wandishi wanafeli sana wanashindwa kusema harmonize alishinda Tuzo alafu kuna watu hawajui Harmonize alishinda Tuzo ya nini wanashindwa kusema hivyo
@user-gz2dq1sw8z
@user-gz2dq1sw8z 8 ай бұрын
Japo mm ni team wcb but Hawa wasanii wa singeli siwaelewi kabisa
@ChrissMrinah
@ChrissMrinah 8 ай бұрын
Mpaka hapo ukae ukijua singeli ndio itakuwa sokon
@SadamSaleh-ki8uf
@SadamSaleh-ki8uf 8 ай бұрын
Hata zuchu mlisema hivyo hivyo saivi ndio homa ya jiji kwa kila kitu kwaiyo tulieni dawa iwaingie
@musamatsaki79
@musamatsaki79 8 ай бұрын
Wee unaumwa wallae😂😂Zuchu kafanya kitu gani toka aingie WCB😂😂
@KingbabilonBabilon
@KingbabilonBabilon 8 ай бұрын
Hiyo ni jealous
@ChrissMrinah
@ChrissMrinah 8 ай бұрын
Af huyu jamaa bila diamond atalal njaa Mana hang mtu mwingine wakumsema,,
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 8 ай бұрын
Ndo alivotumwa na boss😅😅 akili ya kunguni kukaa mchagoni...yamekushindaaaa kaa kwa kutulia...Simbaaaa
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 8 ай бұрын
Kumbe unajua kama WCB ni label kubwa kenge ww
@ZipoOnline4289
@ZipoOnline4289 8 ай бұрын
Mwandishi unaongeaje hivyo wewe?
@tomsijohni
@tomsijohni 8 ай бұрын
Mimi niliona siku walivyo mutambulisha niliona nikajiua huyu musanii mpya wa WCB ni bure sana singeli ni music wa East Africa peke yake
@aishaz1
@aishaz1 8 ай бұрын
Yani had machoz yanakutoka kisha umbea kama mwanamke kwani kinakuuma nini ??eti ?Ajela alitoa siri zenu ebu tulia uko wewe ndo uwez pata kitu uku duniani kwa hii wivu yako nyooo mzee baba mzigo wako sepa pita paleeeee uka lale.
@ibbyikh1788
@ibbyikh1788 8 ай бұрын
Ding”ano mtoto wa Lindi chawa mi mtoto wa Lindi tukutuku stare mimba ILaLa DSM born Lindi grew up Ilala DSM, kichaa wa kujipakia I’m just kidding homie one love from states, what up Bc 100 shule ya msingi Ilala Boma Tz one love, kitovu changu kipo TZ, I love you all on my heart.
@ZackyFlavour-po3os
@ZackyFlavour-po3os 8 ай бұрын
😂ila diamond sio chizi hamjui yeye kaona nn
@BAHATIKIBA-ul6wx
@BAHATIKIBA-ul6wx 8 ай бұрын
Ila Kwa Upande Mwengin Kam Wamekosey Kumsaini Msanii Wa Singeli
@hmedoggftherljih199
@hmedoggftherljih199 8 ай бұрын
Watu na kazi zao, usiwe mtabiri feki
@cuiteaishah7226
@cuiteaishah7226 8 ай бұрын
Ndioo
@paulsamwel900
@paulsamwel900 8 ай бұрын
Ulitaka wamsajili mama ako, kumaanisha nini
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 8 ай бұрын
@@hmedoggftherljih199 huyu mwanga tuuu....ndo wataskiza sasa😁😁
@aishaz1
@aishaz1 8 ай бұрын
Nilisema tu huyu mchawi lazima tu litamchoma yani unaonekana uko na wivu kupitiliza sasa Ibra amekwisha ata sikuiz asikiki.ogea y Ibra wachana n WCB weeee chawa mchovu
@JulianaMushi-nq3kc
@JulianaMushi-nq3kc 8 ай бұрын
Kumbe dvoice ni mjukuu wa bikidude😅
@GlamourMJ
@GlamourMJ 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂daaaah! Ila ww em niachee kwanz an nmechekaa 😆😆😆
@Tintaaahasirakirende
@Tintaaahasirakirende 8 ай бұрын
Ni kweli 😂😂😂
@oj6595
@oj6595 8 ай бұрын
Sasa wewe uko na akili ku liko mkubwa fela na Salam sk peleka ushamba konde mlitengezewa saizi mna bwata kama mbwa koko
@MkaliZuberi-rt3gb
@MkaliZuberi-rt3gb 8 ай бұрын
Nyie wabongo muwe na akili kwani ukiwa deleva wa gari kubwa ndo inamanisha uwezi kuendesha gari dogo wangap walikua wanaimba bongo fleva na wakaamia kweny taarabu na wakatoboa wengine hip hap wakaamia bongo fleva mfano fid q, isha mashauzi na wakatoboa . Ukijua kuimba mziki utaimba mziki wowote ule acheni kujifanya wajinga
@benson23823
@benson23823 8 ай бұрын
Sasa yeye ali kuwa wapi ku msaidiya harmonize kabla haja pata number ya diamond ili amsaidiye acha wivu kaka sababu mume shindwa ku msaidiya anjela we umbwa hauna akili ata hausikiye haya kuweza kuongeya hayo mbona wasafi haikuongeleye wewe acha wivu umeshindwa wewe
@adamnasibu5931
@adamnasibu5931 8 ай бұрын
Kwahiyo mshaanza kumshindanisha Dvoice na harmomavi hebu angalieni hata urefu atakaekuwa mrefu ndo mkali
@kilungahamis1270
@kilungahamis1270 8 ай бұрын
Mnaiongelea lebel inayosajili wasanii halafu mnashindwa kuiongelea lebel inayofeli kukaa kukuza wasanii
@saidollarchain2895
@saidollarchain2895 8 ай бұрын
Diamond anatumia nguvu ya ushawishi lazima Nigeria wataimba sengel na huyo dvoice haimbi sengel pekee anaimba mpaka bongo mpka taarabu mpaka miduara sioni ubaya pia itanyanyua mziki wa sengel
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 88 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 59 МЛН
PLAN B _ Episode 8
33:01
kp wa Aquino
Рет қаралды 4,8 М.
MACHOZI YAMTOKA IBRAAH  HARMONIZE AWAZAWADIA MAGARI
8:15
Mwendokasi Tv
Рет қаралды 37 М.
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН