Mavoko please😢😢😢 come back we still love you❤❤❤❤❤❤❤
@ernestgeorge8412 Жыл бұрын
So sad rich Mungu akutie nguvu kunasiku utainuka Tena na chat yako kama Zaman ww ni mkali Sana... One love💥
@aminaomary55679 ай бұрын
Watu wabaya sana'lakini kuna siku mungu atakuludisha ktk mxiki tena.
@mrishoshabani8390 Жыл бұрын
Dah life hii bwana noma sn broo nakupenda sn mavoko
@zedzoomextra Жыл бұрын
Maisha ndivyo yalivyo kuna kupanda na kushuka Yote sawa Sote Tunapitiaga Chamsingi uzima tuu Mambo Yote Yanawezekana ❤❤❤❤@Mavoko Namukubli sanaa ❤❤❤
@ChangkuothRuach-c2p Жыл бұрын
Much love to you rich mavoko
@AimableTuyisenge-e5d7 ай бұрын
❤❤❤ good bro
@willywilly3238 Жыл бұрын
I love this guy, I like listening to his songs
@PrislyLigazz9 ай бұрын
Nakubali na mavoko kabisa mamuzi uliyoichukua ni sahihi
@RehemaSalum-vp6rf Жыл бұрын
Mavoko bado unapedwa sana toa ngoma sapot utaipata
@yasinapprosper7177 Жыл бұрын
Mwamba kama mwamba amini wew bado fundi mashabiki bado tunakuitaji kwenye gm unyama mwingi ❤
@DavalsonMarlony Жыл бұрын
mavoko bd ypo good tuu
@lawlawisahadi9202 Жыл бұрын
Unyama mwingi ❤
@mikutho982011 ай бұрын
wow life changes
@VashtChisongela Жыл бұрын
Usiku ukipiga simu huku unajiliza,even me mama aaaaa unaniumiza, rich is the best muziki halisia usobustiwa na mashetan
@D-Man.B-Free Жыл бұрын
Daaah nimelia ni kama unaingia mjini kusaka pesa alfu umarudi kijijini bila pesa
@agnesjohn9382 Жыл бұрын
Ni life wala usishangae
@elizabethnguma3379 Жыл бұрын
😢 Yani rizki ya mutu ni rizki tuh,,,mond ungu anakuona
@EliasJohn-lc8nu Жыл бұрын
Duh hapo hamna kt hatupo hapa kumtia mtu moyo afu mbn mashabiki hamuoneshi
@Reyneville- Жыл бұрын
Yani mpaka huruma😢
@WycliffeAbdulLigare Жыл бұрын
Ww rich mavoko umefulia...kwa kweli laana ya baba ni mbaya...ungevumilia wcb utoke kwa utaratibu....sasahivi #ata dvoice amekupita
@IloveIslam-v1y Жыл бұрын
We ndo una laana ya babako hivi alikua abaki Kwa u devil weeee Rizki anyopata ni ya halali
@WycliffeAbdulLigare Жыл бұрын
@@IloveIslam-v1y akuna cha devil worshippers wasafi...simba anajituma tu kwa bidii...umewahi ona nani kwa familia yake akifa ama kutolewa kafara..ww endelea kufikiria ujinga na watu wanakesha wakifanya kazi ilihali ww na iyo akili yako mbovu unakesha ukila mkewo...fanya kazi na ujiamini kila kitu kitakuendea sawa....acha wivu kwa mafanikio ya watu wanaopeperesha bendera ya dunia mzima...ambia Richard ukweli..alikataa kulipa faini ya mukataba ndio maana account yke ilitolewa ikarudishwa wasafi...ata nyimbo mingi alitoa akiwa wasafi hapati hela....wasafi ndio wanapata hizo hela... so dnt judge someone who's overworking to make his family rich and happy ..
@Kuminamoja1995 Жыл бұрын
Bro ungana na mabro wako kafanye comedy 🤣
@agnesjohn9382 Жыл бұрын
😂😂 hilo nalo neno
@alhajiFashions75637 ай бұрын
Waaaaah
@amedeuskimario8895 Жыл бұрын
Rich bado hujiamin fanya kazi seriously bro maisha yapo ivo ukiona aibu Leo ipo cku utajutia ata hizi chance
@SophlaJackson-nt1nc Жыл бұрын
au sio😂
@neemanziku5403 Жыл бұрын
Jmn Richi mavoko kachakaa kama vile hajatoka kwa mondi du
Yani Maisha Ya kupenda Ustar Some time Yani fraisha Sana🤣🤣🤣
@stephenmasha8623 Жыл бұрын
Na amekonda kweli, kavaa basi ili tusione daaah 😢
@yonaroberth3745 Жыл бұрын
Ninaamini ipo siku tu aliyemshusha "mavoko" naye atashushwa, alafu usifurahi "richi" kuwa hvyo asume ungelikuwa ww..
@silageorge1638 Жыл бұрын
Naona comment eti diamond kakosea kwani Simba kafanyaje
@SophlaJackson-nt1nc Жыл бұрын
Na mimi nashangaa
@MCNgakungaJunior Жыл бұрын
Labda atakuwa alimpa mkono
@QueenJamila1 Жыл бұрын
Ala😂😂😂😂nimechekaaa
@ArianaChris-u9j10 ай бұрын
Simba took his stars⭐⭐ which is very bad👎
@perpetuamagesa2305 Жыл бұрын
😂😂😂😂 rich umekuwa kama kuni umechoka 😂😂 kofia za buku buku dah mondi amekumalia dunia aina uluma hahahahaha
@December-p3n Жыл бұрын
😅😅😅and
@nurunewz103 Жыл бұрын
Mavoko kaja na njaa jukwaani jukwaani, amekonda sana kamanda.
@usindemdamo52998 ай бұрын
❤🎉🎉🎉
@khadidjaabdi-hd8py Жыл бұрын
Mond kamlomga mwenzie asifanikiwe tenaa😂😂😂❤❤
@ChidiChidi-uh7ki Жыл бұрын
Bado hamjasema,,
@khadidjaabdi-hd8py Жыл бұрын
@@ChidiChidi-uh7ki natutasemaa tuuu
@ChidiChidi-uh7ki Жыл бұрын
Simba lamasimba dangote,
@NashieMollel Жыл бұрын
Kabisaaaaa😢😢😢
@ramadanesaidesalimo5542 Жыл бұрын
Tudo bem i lo❤e you
@AbilahSalumu-qx1cb9 ай бұрын
Mavoko
@faidhacute Жыл бұрын
Yan jamaa mpaka anatia huruma aisee rich mavoko unajipa furaha lakn moyon mwako una strees aisee pole sana mwenyezimungu akunyanyue😢
@djhajiztz Жыл бұрын
dah😂
@yassinshaban2634 Жыл бұрын
Kidogo anachokipata anaridhika.
@DaudFataki Жыл бұрын
Bola ugalidagaa kwenye amani kuliko muonekano wakiume kumbe ibada za mduara uchi
@joezeno8 Жыл бұрын
Jamaa afanye kilimo
@djhajiztz Жыл бұрын
mavoko kauze dagaa
@NossoBad7 ай бұрын
❤
@ShomariShukuru-kh2uz Жыл бұрын
Mungu azidi kuku simamia
@hamisially2055 Жыл бұрын
Leo GOT MESS
@GabrielStephen-e6z Жыл бұрын
Nop mnamcingizia tuuh mond jmn hii Dunia tatizo wengi wetu elimu hatuna so tunaposign mikataba nawatu kidogo wenye upeo njaa huwa haitukumbushi kusoma vizur maelekezo namashart yake ukitaka kujitoa...
@Maggie824 Жыл бұрын
I love you ❤❤❤❤RealMavocals
@DitoDinis Жыл бұрын
❤a
@victorcephas3618 Жыл бұрын
Kaisha dah pambana utarudi tena
@milliardere9177 Жыл бұрын
hamumsapoti kazi kuumusema
@flova7022 Жыл бұрын
Tiny kituko
@islamsadiki4747 Жыл бұрын
Huyu kweli
@nabillkhamis8188 Жыл бұрын
Richi sio msaanii tena ni mchekeshaji kwa ss hiv
@NashieMollel Жыл бұрын
Kwishaaaa
@mariamshabani7107 Жыл бұрын
❤❤❤❤
@AimableTuyisenge-e5d7 ай бұрын
Mukari toa ngoma Tena na konde
@Kuminamoja1995 Жыл бұрын
Aliemroga MVK kafatayari 😢
@neemanziku5403 Жыл бұрын
Mondi Mungu anakuona da!!
@agnesjohn9382 Жыл бұрын
😂😂 umejuaje kama ni Mond mbona mmakonde yuko vizuri
@rosemutaki9730 Жыл бұрын
Mbna rich kakonda ivo mgonjwa ama nn
@GabrielStephen-e6z Жыл бұрын
Kwahiyo hili nifunzo kwawengine jmn tukumbuke kusoma vizur mikataba tunapokuwa nanjaa tukishiba tutapike vizur sehemu Salam ndio ipo hivyo...
@Kuminamoja1995 Жыл бұрын
Mzee wa chaka tu chaka 😂
@faidhacute Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@candidoderosa Жыл бұрын
Bahada ya chaka 2 chaka, lusha ngoma moja na kiba twangalie game itakuwaje...
@BabugateGikaro Жыл бұрын
Mondii ni shetani hatri sanaa ila rich utainuka tena
@fredricksabick-hi1fl Жыл бұрын
Mi kama sielewi kwa nn mondi analaumiwa. Yeye anashika riziki ya mtu kwan?