Yani mimi hadi watoto wangu wakisikia hii nyimbo utasikia wimbo wa mama😂😂
@shyfettymtunda46194 ай бұрын
@@AdaMichael-y8b Wanangu huwa hawapendi nyimbo zangu za zamani,utasikia wanasema,"Aaaargh!!😒Mama keshaanza na nyimbo zake." Hiki kizazi cha singeli nyieeeee😂😂🚮
@kibito83393 ай бұрын
Huyu dogo Yuko Sauzi...anafanya production huko..
@ForeverCaptain3 ай бұрын
Alipoteza wazazi ndani miezi So alikua anapitiia kipindi kigumu Zingatia Mtoto wa pekee Kwa wazazi wake. Mungu Amemvusha sasa. Ngoma Mpya Ya Manfongo-Umesikia, Amemrudisha Man fingo
@RamadhanKitama5 ай бұрын
Dah! Ulipigwa nikiwa chuo, ckua na mood nao kiviiile, ila leo baada ya kurudia kusikiliza nimejikuta natamani usiishe. Nimekumbuka cku mingi sana aisee. Tujuane ikiwa naww ndivyo ilivyo.🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@azizajuhudi14102 ай бұрын
2024 aiseeeeeee naikubali hii Ngoma sijawah ichoka ❤
@nadirurnkonder17106 жыл бұрын
Hili goma lipo sawa na nalikubali sanaa. Kam na ww unaikubali kam mm gonga like nione. From Zanzibar (Tanzania.
@mutheukaylee4 жыл бұрын
Finally nimeipata 2020 any kenyan here 🇰🇪🇰🇪🇰🇪si i love this song
@awalezz64983 жыл бұрын
With You Dearest . Inashika 🧐👌🏾😂😂😂😂🤪😜🤎👌🏾🕺🏽🕺🏽🕺🏽🕺🏽
@charoz2 жыл бұрын
Yooh
@globalcyber73062 жыл бұрын
Am here Kaylee
@BenBiggy102 жыл бұрын
2022 bado niko hapa. Mombasa Kenya 🇰🇪
@noxxete2 жыл бұрын
Nko hapa..bt I loved it long before..
@praygodkimaro1157 Жыл бұрын
Hi ngoma ina stahili tuzo cause inmedumu na ita dumu kama ngoma romantic ya stile hii milele amina
@AgustinoKinyaga9 ай бұрын
2024 nipo kuweka akili sawa kwa hii ngoma big up for hit song
@stevemaleke8861 Жыл бұрын
Ina miaka 4 lakini Kila nikiisikia napata hisia ya mziki mtamu,big up mensen,wewe ni moja ya wasnii wakali ingawa hauvumi kiivyo!
@lucastemba5375 жыл бұрын
volume 60. mama mwenye nyumba kaja na speed mia nkajua kishanuka mara kasema ongeza sauti tena kidogo niiskie hiyo ngoma nkiwa napika ohooo
@kedmondkepha22495 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁
@edimundfrancis35115 жыл бұрын
Duh! Kwekwel
@chikumtalata57934 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂🥰🥰🥰🥰
@frankenock36514 жыл бұрын
hahaaa umetisha muzeee
@neemamkami20294 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@emmyvitus857111 ай бұрын
Tunao skiliza 2024 gonga like hp
@EstaJohn-d1l7 ай бұрын
😂😂
@fathiyahmuzney73676 ай бұрын
Tupoooo🎉🎉🎉😂
@justcallmebanya5 ай бұрын
hatari sana
@TridgeTanzania3 ай бұрын
❤❤❤😊
@omystamina16242 ай бұрын
Where are they!?
@DebyrianRanho9 ай бұрын
2024 still hits😂❤
@KhalifaZuel-sn9uo8 күн бұрын
2024 to 2025 tenden na ih weka like 👍 kama wakubali ih song
@johnmanje63366 жыл бұрын
Tanzanians, mbona hamujafikisha hi ngoma 1 million views? Wale tunaskiza kutoka Kenya tuko wapi?
@abibumlotwa27226 жыл бұрын
Me nashangaa views zinauzwaga cjui dah nyimbo nzuri hazina views nyingi
@alenipeter71636 жыл бұрын
nigoma.kalisana
@alenipeter71636 жыл бұрын
ametisha
@alenipeter71636 жыл бұрын
Thanks so
@juliethlema38646 жыл бұрын
John Manje8 kkkkkkkkkkkjvphhjjjjkmlpppp
@francissimime140211 ай бұрын
Tunaosikiliza hili goma 1/1/2024 like za kutosha -------- kinanda mesen selekta
@prettyhellen88558 ай бұрын
Me leoo tareh 2 mwenzi wa 4 2024
@ShidaMgala8 ай бұрын
What a masterpiece!!! Mensen you killed it ❤❤❤❤❤. It is 2024 but it is still hitting
@abdallaali54674 ай бұрын
Hii ngoma nilijua ya chege kwa hii sauti ya mensen
dis sing is 🔥🔥🔥👌 hatari kabisaaa tatizo letu bongo tupo kimazoea ila huyu jamaa sio siri kafanya poa wallah this is my best song
@tyscanah43179 ай бұрын
chuma inapepeaaa 2024 gonga likeee tujuanee
@Lilmbunah4 ай бұрын
What a masterpiece Oya hii ngoma ni dunia nyingne yan kila ukiakiza inakua kama mpya haitofautian na ya z anto ile ya kisiwa cha malavidavi hazipitwi na wakat yani ni nomaaa ❤❤
@tzchannel63146 жыл бұрын
Hamna cha SIMBA wala nyauuu... Ww selecter unajua
@paulsantanatzee83016 жыл бұрын
Hahahahahahah
@aishaabdj89136 жыл бұрын
adam saidy hhhhhhh duuhh
@hafidhahmed6425 жыл бұрын
Duuh wee ni mwehu aisee 😂
@rosemaryadam61274 жыл бұрын
😂😂😂😂
@copasatravel21284 жыл бұрын
anajua balaa
@charlesmccool27586 жыл бұрын
eeh bhana hii ngoma ikipigwa kwenye chumba cha mtihani ..mtihani unajijibu wenyewe na kujikusanya...oyaaaa oyaaa aise aiseee
@leticiajohn1466 жыл бұрын
Charles Mccool ....kwakwel aseeeh
@evodiusjohansen14106 жыл бұрын
Charles Mccool hahahahahahahhah
@tysonmdao93406 жыл бұрын
kwel
@edigargeorge98806 жыл бұрын
Hahaha kwel
@jullymaige21636 жыл бұрын
Hatareeeeeeee eeeeh
@pendocosmas95882 ай бұрын
My Man alikuwa anapenda kunisikilizisha na aliupenda sana. Apumzike kwa amani🕊️💔 I can't remember to forget HIM❤
@edmundisaack69026 жыл бұрын
Sisi raia kutoka sayar ya Mars hii ngoma Kali Sana alliens wote wanacheza
@singinggirl65543 жыл бұрын
Kama kuna mtu kama mimi anasikilza hii 2021 gonga like kwa misen ❤❤❤❤ twende sawa
@emmanuelmalima5939 Жыл бұрын
06.08.2023🔥🔥
@bosssyedmund8785 Жыл бұрын
2024🔥
@marylaizer11 ай бұрын
30-12-2023🥰🥰🔥🔥🔥🔥
@geraldsanzala81196 жыл бұрын
Sipendi new school song nyingi na huwa sisikikizi labda kusikia.... Ila siku nimesikia haka kangoma moyo wangu ulisuuzika nkajisikia kusikiliza.... Kana mahadhi flan mixer old hisia aaaah safi saaana mensen
@mureithikirambya65963 жыл бұрын
Kenya we love you 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯💯💯 our type of music
@BEKAGRAPHICS6 ай бұрын
Kaliiiiiii🔥🔥🔥🚀🇰🇪
@loycerogath5063 Жыл бұрын
It has been 5 years but still on my playlist 🫶🏻❤️🔥
@robertanold68465 ай бұрын
We jamaaa rudi tumekumic aiseeee
@RodrickBurtom11 ай бұрын
Haya wale wa 2024 tu likę hapa💯✊🎵
@saranelsone29766 жыл бұрын
hii jamaa jamani beat inatengeneza yenyewe na kuimba vzuri yenyewe na melody yenyewee yan inajua mpana inaboa........MOSSES from AITALY 😂😂😂
@peterkaili93436 жыл бұрын
ni shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiidaaaaaaaaaaaa meeenseeeeeeeeeeeeeen seleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeektaaaaaaaaaaaaaaa
@shedracktariq12116 жыл бұрын
Sara Nelsone noma sana
@mokiwatv12064 жыл бұрын
Mensen hii ngoma umeua mbaya 💪
@jonaswillium60766 жыл бұрын
Kila asubuh huwa na sikiliza hii ngoma ya Mesen ndo niendelee na kaz naipenda sanaaaaa
@hasnathibrahim67816 жыл бұрын
Uko pora broo
@mikot50272 жыл бұрын
This is killer tune BigTune 💯💯💯💎💎💎🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥 🙌🏾🙌🏾🙌🏾from Ethiopia 🇪🇹
@manentohjr.57564 жыл бұрын
Crazy.. 2020 who's still listening ??
@ExcitedLabrador-xj5nw8 ай бұрын
Namkubali sana messen selecta
@sifaelnoah15436 жыл бұрын
mesen, hili dude noma sana mtu wa nguvu, 🔥 🔥 🔥
@mbarakazungwe5 жыл бұрын
ynnajicki lahasana napockiliza wimbo hu
@ndunduvishindo59735 жыл бұрын
Mzee wa bwax
@freddieelice63773 ай бұрын
One of the best, wimbo ambao ulikuwa na arrangement tofauti Kabisa. Yani intro mpaka ending zake, bridge moja kali Sana 0:25
@mauofficial3786 жыл бұрын
Ndo tulichokuwa tunataka ss mesen umeua mbya mwana 🙌🙌🙌🙌
@mauofficial3786 жыл бұрын
Yeeeahhhh #Tsgang Badman mesen apo safiii taar ninayo asee
@bakarikayugwa32955 жыл бұрын
muuza nyama hawazi kujichaguliaa nyama ngumu ya kula yani hii ngoma nikiiskiliza nakula nguna hata kama hamna mboga nguna inashuka talatibu had I inaisha big up selecta
@jamalselemani99316 жыл бұрын
most underrated artist in Tanzania, unajua bro
@raphaeljohn95095 жыл бұрын
Jamal Selemani bonge ya hits
@jonaswillium60766 жыл бұрын
Hii nyimbo naipenda sana huwa nikiisikiliza adi nalia jaman naipenda sana sana hongera Mesen kwa nyimbo tamu
@shuleless6 жыл бұрын
Nyimbo nzuri brazakaka... my condolences for the loss of your mom.
Mesen una sauti nzur ila beat imemeza maneno yako! Rise it up
@paulsantanatzee83016 жыл бұрын
toka utoe kanyaboya hii ndio Ngoma yako nyingine Kali
@JaphetBakari-tt8yq17 күн бұрын
Iligoma litengwe xo kwalinavyo pig ndan ww n shida ustaman kuambiwa litafteeee
@rosemollel21185 жыл бұрын
Ngoma kali.. really,siichoki kabisa...kila siku naiona mpya kwangu 🔥🔥
@MatanoMudune-x7p14 күн бұрын
Hili dude noma sana 🔥🔥🔥
@ramspelo6 жыл бұрын
kaka hisia Kali maneno kuntu beat balaa kideo imefanana na uzuri wa nyimbo daaah mpaka naona wivu....
@gorgonusshayo9205 жыл бұрын
Mwanangu umetisha sana . kama la nje vile mamamaaaeeeeeee .
@frajomedia60716 жыл бұрын
This song deserves more than 1M views. Wimbo kama huu ungekuwa wa Diamond sahivi angekuwa na views million mia nane😝😝
@mwaulambo6 жыл бұрын
Yes I’m with you on this one
@Ahmed-fm5fr6 жыл бұрын
Bongo wanasapoti kiki c mziki
@stevnkungu75056 жыл бұрын
Kweli mzee.... Hii nyimbo ingekuwa ya Kiba au Mond ingekuwa na views hata 3m+
@josephatmwesa58586 жыл бұрын
😘😘😘
@peterantony35106 жыл бұрын
Frajo Media umeona eeh sema wasani wadogo wanabaniwa bongo
@carothomas981411 ай бұрын
Wa 2024 tujuanee🎉🎉
@BurudaniOfficialTz6 жыл бұрын
Bonge la beat kumamake...😎😎😎🔥🔥🔥
@josephinesia5316 жыл бұрын
Drixy Mirry kinomaa
@hemedimpinda40626 жыл бұрын
Drixy Mirry haswa likipigwa club sio pw mzee dingi
@trizerjilala52606 жыл бұрын
😂😂😂
@antonykilusi55586 жыл бұрын
atar hy ngoma
@movietrailer94086 жыл бұрын
SIMPLY AMAZING
@stevemaleke8861 Жыл бұрын
Hii ngoma ni Kali aisee
@langenimwanga29605 жыл бұрын
Bado inabamba mpaka 2019 👀 Messeeeen
@ferdnandfelix Жыл бұрын
Ngoma kali.. mashairi makali msanii mkali beat kali.. hatari weka mbali
@eirikdemario92066 жыл бұрын
Don’t mess with mesen..! Respect 🇷🇼
@zubbydee25474 жыл бұрын
Kalli sana bro 🎤🎤🎤🎤🎤🎤
@evanslashayo27856 жыл бұрын
Kinanda bonge la ngoma yan gonga like na ww kama umeikubali.
@danielnjuga45296 жыл бұрын
hii ngoma naikubal kinoma
@eliezamashimba89976 жыл бұрын
alw
@heartcontrolarfute92566 жыл бұрын
Hatar
@okuthebrian55276 жыл бұрын
Ochieng kabasela
@modestkissima67716 жыл бұрын
Nyimbo Nzuri kama hii inakosaje viewers milioni 10, Mziki wa Bongo ni upuuzi mtupu
@lifeinfinlandmo23836 жыл бұрын
Nani anatazama hii ngoma mara nyingi kama mm
@mariamhiden7716 жыл бұрын
Kinandaaa....mesen nakuelewa
@ronardarasi93365 жыл бұрын
Mi mwenyewe naitazama APA zaidii ya Mara moja
@preciousjordan92785 жыл бұрын
Og sana
@godi15415 жыл бұрын
Mo Ndanga Mo Ndanga
@frankcasto40465 жыл бұрын
Ni hatari fire haichuji
@DJPEREZ3 жыл бұрын
2021!!!!how is here with me!!!!🔥🔥🔥
@gervastweve86126 жыл бұрын
ngoma kalii saana mensen selekta umeua kinouma ,nakuelewa saana bab piga kazi
@hashimhamisi26696 жыл бұрын
Huyu Jamaa nimsanii aliekamilika one of my top talented msaniii
@zugaimpala26656 жыл бұрын
mesen don pol ni noma sana namkubali yuko wap mbona humfanyii kazi
@godfrey39265 жыл бұрын
Kinanda is right on point, clip imetulia..😏😏😉😉🙏🙏🙏🙏🙏
@husseinsaid48116 жыл бұрын
Daaaaaa ingoma siku moja nipi iringa kunamtu aliinunua simchezo kinandaaaa
@johngambos6 жыл бұрын
ngoma Kali alafu hyo beat kuna kimlio kizuri kwa mbali
@johngambos6 жыл бұрын
hii ngoma nimeiona TRACEE mzikii
@barakaesto8524 жыл бұрын
Jiangaaaalieeee
@zakharoneymeena75006 жыл бұрын
Mamae!!!!! ngoma ya kulia ugali bila mboga!!!!!
@ziadamrisho73205 жыл бұрын
Hoooo hooo kinanda song naipenda sana
@MtupoaAfrica4 ай бұрын
Nimejikuta napata raha yani hii ndio maana ya burudani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@isaboy63806 жыл бұрын
Bonge moja la ngoma 🔥🔥
@dastanherman.kingdicetv18406 жыл бұрын
meseni jitahidi kaka uchukue chansi bora tukushindanishe we na mond ngoma Kali umeuwa
@sekundemaster4606 жыл бұрын
ngoma kali kaka sikupingi moo fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@AllyNaraga4 ай бұрын
Nakubali sana hiingoma
@marynduku-xr2qo6 ай бұрын
That intro by Rayako was fire
@eliussalmon66096 жыл бұрын
Unaweza kumsikilizisha baba mkwe wako ukaoa bure, hongera sana Bro
@tzmtotowadom6846 жыл бұрын
Wa 4 kucoment ngoma tamu
@alfredmgaya62165 жыл бұрын
Kaka hao sawa ndugu yangu, upo ktk ubora wako , kazana, ufike mbali
@sleepytalestime6 жыл бұрын
Frankly talking, your music is underrated but the truth is you have got a unique touch when it comes to music. Hoping to see this song perform well on different platforms
@NicholausBatistaАй бұрын
Mesen selekta yupo wapi wanangu anatoa ngoma kali ila sasa kmy kapotelea wp
@fadhilikangusi6 жыл бұрын
Tatizo Mesen huwa unakuwa kimya sana ngoma zako kali