Ok. Mashaa Allah . Nauliza hivii ustadh. Mumeamekuacha nahakuangalii na zile alizokupa .Amekupokonya hapokunataamaa kweli atarudi. ndunguzangu hawanauwezo . Namimi sinakazi yoyote. Naomba ushauri tafadhali 👍
@amanaone15322 күн бұрын
@@barkanassir2528 mume amefanya makosa na anapata dhambi na Wewe una haki ya kujitafutia rizki katika njia za KISHERIA na zinazokubalika na Allah akupe wepesi