Mfahamu MTIGA ABDALAH msimuliaji wa hadithi na matukio yaliyowahi kutokea duniani

  Рет қаралды 109,890

Dina Marios tv

Dina Marios tv

4 жыл бұрын

Пікірлер: 340
@rasoulyalgalaxy5610
@rasoulyalgalaxy5610 4 жыл бұрын
huyu jamaa ndo real born talented.
@rosemtambo5931
@rosemtambo5931 4 жыл бұрын
Nilikuwa najua bonge la Baba kumbe mwanangu kabisa mashalaah Mwenyezi Mungu amjalie akafanikiwe kwenye maisha yake
@ukhtyzainab7254
@ukhtyzainab7254 4 жыл бұрын
Aamiin
@elvisbernard9407
@elvisbernard9407 4 жыл бұрын
Amina😊🙏
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 4 жыл бұрын
@@ukhtyzainab7254 amiina yaa rabbal a'lamiina
@bimsinani5944
@bimsinani5944 3 жыл бұрын
😁😁😁Aamin
@khadijagundumu6210
@khadijagundumu6210 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@fatumandunguru5782
@fatumandunguru5782 4 жыл бұрын
Mtiga atakua mkubwa sana katika historia ya tanzania much lov mtiga very talented
@sharulchenja2167
@sharulchenja2167 4 жыл бұрын
Tatizo alikuwa anaandikiwa, ayuko vizuri darasan ila saut ndo nzurii
@Amneamne-qi2du
@Amneamne-qi2du 3 жыл бұрын
Masha'allah sauti yako nzur ndio sauti ya kiume
@richardcastromzena5136
@richardcastromzena5136 Жыл бұрын
@@sharulchenja2167 point
@juliusmwinga4051
@juliusmwinga4051 4 жыл бұрын
Me namkubali sana Mtiga Abdhallah.
@hamadiabdallah3906
@hamadiabdallah3906 2 жыл бұрын
Mtiga mungu Amekujalia Sana Sauti ... Unajiamini Sana ndg Upo vizuri Sana jamaa yangu
@tariqkideu7368
@tariqkideu7368 4 жыл бұрын
Brother mpole kishenzi aiseeee daaah
@petermim
@petermim 4 жыл бұрын
Duh mwili mdogo SAUTI konki# hongera bro#😂
@totmohammed6430
@totmohammed6430 4 жыл бұрын
Mashallh mtiga Allah tuna kupenda sana haswa unavyo simulia na kasaut cha mamlaka 😂😂😂😂 da sofi mungu ana kuona
@hassanathumani4002
@hassanathumani4002 3 жыл бұрын
Xio allah ni abdallah
@khalifawapili1799
@khalifawapili1799 4 жыл бұрын
Mwenyez mungu alimuumba yeye ndipo sisi tukamjua tunamzungumzia kijana mdogo ambae anaitwa MTIGA ABDALLAH daah mwanangu unatalent ya pekee sana
@directoroyo7998
@directoroyo7998 4 жыл бұрын
mtiga nakuelewa sna broo we ndo nguli wa simulizi
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 4 жыл бұрын
Hakika sauti tamu,anayo 👌🏿 mi msikilizaji mzuri sana wa hadithi za mtiga,yeye na fredrick bundala (sky walker aaaaaa 👏🏾👍❤
@markmhongole
@markmhongole 4 жыл бұрын
uyuuu jamaaaa hatariiii sanaaaaaaaa,,, big up mtigaaa
@esthersimon4427
@esthersimon4427 4 жыл бұрын
Swebe wewe ni 🔥🔥 nakupenda kukusikiliza
@geofreymhando3702
@geofreymhando3702 4 жыл бұрын
Ana sauti ya utangazaji, Kwa mbaaaali kama Millard Hayo.
@niyonzimageorge917
@niyonzimageorge917 4 жыл бұрын
Kweli
@geofreymhando3702
@geofreymhando3702 4 жыл бұрын
@@niyonzimageorge917 nashukuru kwa kuligundua hilo ndugu yangu.
@halimahalmaty6607
@halimahalmaty6607 4 жыл бұрын
Kwel yn
@geofreymhando3702
@geofreymhando3702 4 жыл бұрын
@@halimahalmaty6607 umeligundua hilo nawe
@geofreymhando3702
@geofreymhando3702 4 жыл бұрын
@@halimahalmaty6607 Nashukuru Kwa Kuligundua.
@agnessherman2926
@agnessherman2926 4 жыл бұрын
Soph anapenda ukubwa jamani,nimempenda bure,wadada wengi hapa dar hata kama mkubwa hawapendi shikamoo
@manenolugome934
@manenolugome934 4 жыл бұрын
Daaah mtiga mwanangu longtime sana
@salmaalimusa547
@salmaalimusa547 4 жыл бұрын
MASHA ALLAH tuleteeni na Ananias Edgar
@westlife9026
@westlife9026 2 жыл бұрын
Huyo sasa moto
@issangelekele4186
@issangelekele4186 4 жыл бұрын
mtiga abdallah kumbe wanyumbani maashaa.allah
@yusuphmandele5359
@yusuphmandele5359 4 жыл бұрын
Upo vzr sana kijana, pambana zaidi utafika mbali.
@doubleymkuu4267
@doubleymkuu4267 4 жыл бұрын
Dada Dina nimeipenda Sana kutuletea Huyu jamaa namkubali sana
@kudraayoub9855
@kudraayoub9855 4 жыл бұрын
Abdallah mtiga no 1,,,ananias ediga no 2,,
@stevek8318
@stevek8318 3 жыл бұрын
Umenoa! Msikize Ananias Edgar vyema my friend
@rachelmikey8363
@rachelmikey8363 4 жыл бұрын
Anafanana na milard ayo
@hidoxtz3559
@hidoxtz3559 4 жыл бұрын
Namkubali xan huy mwamb✌
@faizadulla8663
@faizadulla8663 4 жыл бұрын
I love mtiga's voice jamani and he looks humble
@johnnisilenisile1990
@johnnisilenisile1990 4 жыл бұрын
Daah mungu Hy mi namfatilia Sana nilijua mkubwa alafu kapitia viuoni mpaka vimepasuka
@selebushee7816
@selebushee7816 3 жыл бұрын
Mtiga nakukubali sana unajua mshkaji upo sawa sana
@agnessestoni5631
@agnessestoni5631 4 жыл бұрын
😀😀😀😀Nimefurai kukuona Mtigaa!!!! 💋💋
@saidiuchebe5203
@saidiuchebe5203 3 жыл бұрын
Mashaallah mtani wanguuu mtiga...swebe kasema kweli tulikuwa tunasota Sana pale rufiji kabla daraja halijajengwa nimewapenda Sana jamani mungu awasimamie
@fadhilplatnumz6209
@fadhilplatnumz6209 4 жыл бұрын
Good- Jemedali wa sauti zenye mamlaka nakukubaali sana MTIGA ABDALAH √√.
@mustaphambwana7944
@mustaphambwana7944 4 жыл бұрын
Waaaoh mtigaa masha llah nakukubali mtiga wasafi kuna majungu na fitna pale wana logana wachawi walee efm mungu abaliki
@joshuameckson8032
@joshuameckson8032 4 жыл бұрын
Kama ulivyo mchawi wewe na ukoo wenu
@totmohammed6430
@totmohammed6430 4 жыл бұрын
😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣Muna niuwa mbavu mtiga nakupenda mpenz unasaut tamu sichok kukifatilia
@sashaaishajamani1979
@sashaaishajamani1979 4 жыл бұрын
Corona isha nirudi kwetu mie am in love with you mtiga much better all the best katika kazi zako
@daxmedia9
@daxmedia9 2 жыл бұрын
This guy talented🔥🔥
@amemasudi5735
@amemasudi5735 2 жыл бұрын
Masha Allah Kaka Mtiga upo vizuri Allah amekupa sauti nzuri itumie vizuri Allah atakuongoza
@chunanachu2529
@chunanachu2529 4 жыл бұрын
Huwa naskiliza hichi kipindi kwajili ya swebe ananifurahisha sana
@saidbabu9198
@saidbabu9198 4 жыл бұрын
Mtiga kweli kabisa hata mimi nilifikiri ni bonge la mtu. Kumbe nikijana murua hongera,sana mimi ni mmoja wa wasikilizaji wa Hadithi zako ni nzuri sana kwa kweli huwa na kaa na kikombe changu cha kagawa,rasmi wakati nazisikiliza hadithi. Safi sana.
@stefanogizzler
@stefanogizzler 3 жыл бұрын
MTINGA ABDALLA hongera kaka!! Sauti Safi kabisa kweli nimependa story yako kuhusu Jomo Kenyatta wa Kenya!! Superb description!!
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 2 жыл бұрын
Na ile ya Thomas Sankara
@saisaikalyasi5998
@saisaikalyasi5998 4 жыл бұрын
Nakuelewa sana mwamba Bless up
@elkanakiprono6277
@elkanakiprono6277 2 жыл бұрын
Much love from Kenya bro, your voice makes me to have the thirst of listening to your story book programs
@rajabubojoo9467
@rajabubojoo9467 4 жыл бұрын
Coment apaa kama unaamn Abdallah mtiga kafanana na tommy freva
@thabitisimba1143
@thabitisimba1143 4 жыл бұрын
Wewe umetumwa eti umetumwa wewe sio Bure
@barakanswila6983
@barakanswila6983 4 жыл бұрын
Kabisa
@faizadulla8663
@faizadulla8663 4 жыл бұрын
Much love kwa mtiga🔥🔥🔥
@simonsweka7305
@simonsweka7305 4 жыл бұрын
Mtigaa nicee man... For giving new... And other things in different countr
@TheSalma1999
@TheSalma1999 4 жыл бұрын
Golden voice kumbe mdogo
@bellhdjdbdjd6495
@bellhdjdbdjd6495 2 жыл бұрын
Nilkuw najua u mbaba kumbe bado kijana Mashaallah Mungu akuweke uzidi kutuelinisha.
@suleimanhabibu7309
@suleimanhabibu7309 4 жыл бұрын
Nakupenda sana mtiga
@evancekimath7405
@evancekimath7405 4 жыл бұрын
Keep it up kwenye uandishi nasimulizi zako....napenda sana kuziskiliza
@haitumikitena4978
@haitumikitena4978 4 жыл бұрын
Nakukubar Sana Bro Mtiga
@victoriadiones6759
@victoriadiones6759 2 жыл бұрын
Mashallah mtiga kwenye story zako una adisia vizuri
@mwalimabrahmanmohamed8245
@mwalimabrahmanmohamed8245 4 жыл бұрын
Anajuwa sanaaaaa
@jacksonkilonzo1439
@jacksonkilonzo1439 4 жыл бұрын
i like u edgar nko kenya uwa mm ni fun wako sana una sauti tamu sana ya utangazaji mungu akubariki
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 4 жыл бұрын
Sauti safi after Millard na Mo (baba mtoto wa Gigi)
@tanzaniaomben9601
@tanzaniaomben9601 4 жыл бұрын
Ni zaid ya millard uyu
@qualitymoran6660
@qualitymoran6660 4 жыл бұрын
Ni zaidi ya Millard ndugu labda umfananishe na kikeke
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 4 жыл бұрын
Tanzania Omben, maoni yangu
@allychaye3446
@allychaye3446 4 жыл бұрын
Namkubari sanaa mtiga
@kwizerakarim6194
@kwizerakarim6194 4 жыл бұрын
Big up bro I'm from burundi
@loner_wolf
@loner_wolf 4 жыл бұрын
Nikweli kijana anasimulia hadithi ambazo watu wengi wanakuwa hawazifahamu na wangependa kuzifahamu ..... Lkn stori ambazo huwa unasimulia huwa NI idea TU , kwamaana kwamba huwa sio UHALISIA wa stori yenyewe ..... Uongo huwa unautengeneza unaonekana NI ukweli ..... All in all keep it up .
@achsahcharles6728
@achsahcharles6728 4 жыл бұрын
Plus anasoma walizoandika watu wengine so it's good ku appreciate wanaomwandikia. Mtiga anapenda kusimulia mambo ya kufikirika na anayasimulia kama vile ni kweli mfano hiyo ya Pan American flight ni fix tupu. But ana sauti nzuri sana na ana juhudi. Ajitahidi kutofautisha mambo ya kufikirika na ya ukweli, aweke sana ubongo wake kuchambua anayoyatafiti
@KirangaHouston
@KirangaHouston 4 жыл бұрын
Nilijua ni baba mkubwa..kumbe Mtiga nikijana tu kama mimi tu. #KikiHouston @BURUNDI
@edwardguguyu7546
@edwardguguyu7546 3 жыл бұрын
Niambie brother
@husseinmarusu4359
@husseinmarusu4359 2 жыл бұрын
M my ..
@markobujashi1107
@markobujashi1107 3 жыл бұрын
Mtiga kazaliwa kuwa hivo alivo Hongera
@immtm4930
@immtm4930 4 жыл бұрын
Sidhani kama Kuna iyemsikia Mtiga akakosa kumpenda, Kiufupi ana Kipaji kikubwa. Hongera ndugu.
@fadhilmohamoud
@fadhilmohamoud 4 жыл бұрын
Tuleteee efm bukoba aiseee maana tunawapata kwenye vingamzi tu🔥🔥🔥
@EmanuelMkotomaka-bz6yb
@EmanuelMkotomaka-bz6yb 7 ай бұрын
Mtiga noma sana licha yaelimu pia anakipaji kabalikiwa na MUNGU
@hamisimkumba10
@hamisimkumba10 4 жыл бұрын
Saluti kwako mtiga abdalah wcb wameyumba
@princiouskdot6361
@princiouskdot6361 4 жыл бұрын
Saut like milard ayo
@erickcartona7352
@erickcartona7352 4 жыл бұрын
Kweli jamaa anaongea kam millard
@beautymasatu1200
@beautymasatu1200 4 жыл бұрын
Sauti MashaAllah ...kama yangu jmn😍
@uthaymgalax181
@uthaymgalax181 3 жыл бұрын
Mtiga ana aibu sanaa🙏
@bernardchibwana9411
@bernardchibwana9411 4 жыл бұрын
Mwamba uko vzr sana
@hamzaadrin941
@hamzaadrin941 4 жыл бұрын
Karibu sana mtiga Abdallah katika family ya majey
@ndaindahaze8816
@ndaindahaze8816 4 жыл бұрын
Unajua me mwenye napenda sana simliz na ninaandika simliz anajua sana coz namkubal wcb hawajua kaz ya ndunguyangu mtiga anipe adis nyingine nazisubil @ndai ndahae
@charleschao5053
@charleschao5053 4 жыл бұрын
Hyu jmaa ni noma aiseee
@Hassanmofty
@Hassanmofty 4 жыл бұрын
Jamanii uyuu kakaaa,💝💝💝
@mwamedifabyeilunga5285
@mwamedifabyeilunga5285 4 жыл бұрын
Kwa kweli mtiga sijawai kuona mtu ambaye anajua mengi kama huyu kijana mwenzangu yani mimi zamani nikuwaka nazani kama ni mzee kwa mambo ambayo anajua mungu aku zudishiye kipaji ili nasi tujue mengi sana kwako niko nawe miya kwa miya
@mildredmukoshi6381
@mildredmukoshi6381 3 жыл бұрын
Duuh 😳.... mungu akujalie kaka. Pick up 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@hasanimikeyo8893
@hasanimikeyo8893 4 жыл бұрын
Daah bro nakukubali sana
@amdunshomali3971
@amdunshomali3971 4 жыл бұрын
Sauti like George bantu
@Ahmed-pr9qy
@Ahmed-pr9qy 3 жыл бұрын
dahh big up broo
@hafidhikilobo7946
@hafidhikilobo7946 4 жыл бұрын
mm nilzan bonge lajitu!
@shabanigass3446
@shabanigass3446 4 жыл бұрын
Nc mtiga
@mudathirdunia7161
@mudathirdunia7161 4 жыл бұрын
Nakukubari sana mtiga nmehama naww
@edenngiluke8493
@edenngiluke8493 4 жыл бұрын
ila sauti kama Millard ayo inakuja inakataa
@sadamissa5687
@sadamissa5687 4 жыл бұрын
😂😂kabisa mzee baba kama inakuja ivi afu inakataa
@juliusmatalo2211
@juliusmatalo2211 4 жыл бұрын
Eden Ngiluke 😂😂😂
@martinetibalinda7863
@martinetibalinda7863 4 жыл бұрын
Ngilukee
@zeboytv7043
@zeboytv7043 4 жыл бұрын
Bless
@mesatagirassane4853
@mesatagirassane4853 4 жыл бұрын
Ele tem voz, como Kanumba
@bivasrukas6906
@bivasrukas6906 3 жыл бұрын
Broo umetisha sauti konki
@Jackhanstv
@Jackhanstv 4 жыл бұрын
Talented
@allisonmadii7620
@allisonmadii7620 4 жыл бұрын
Dah..anajua sana mchizi.
@agnessestoni5631
@agnessestoni5631 4 жыл бұрын
Swebe😆😆😆wewee!!!! ❤❤❤
@wisperfect1960
@wisperfect1960 4 жыл бұрын
1 abdalah mtiga 2 ananias edger 3 milady ayo 4 fredrick mbundala.5.....
@thelatestvideos6266
@thelatestvideos6266 4 жыл бұрын
millard rapa🙌🔥
@godfreypatrick461
@godfreypatrick461 4 жыл бұрын
Sion taswila ya bangi diamond ni muongo
@lickymaker5857
@lickymaker5857 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@nurdin.mndeme3447
@nurdin.mndeme3447 3 жыл бұрын
diamond hakuwahi kusema huyu anavuta bangi kuwa makini kaka katika kufuatilia vitu
@kweka14l35
@kweka14l35 3 жыл бұрын
@@nurdin.mndeme3447 alisema alikua analewa sana
@danielmlanda2546
@danielmlanda2546 4 жыл бұрын
Aiaeeeeeee mwenyeweeee mtigaaaa 💪💪💪💪💪
@bashangegoogle6714
@bashangegoogle6714 4 жыл бұрын
Mbn nikimtazama huyu jamaa vizuri Sioni taswira ya bangi.
@niyonzimageorge917
@niyonzimageorge917 4 жыл бұрын
Ha ha ha haaaaaaaaa
@juliusmwinga4051
@juliusmwinga4051 4 жыл бұрын
Rizki ikiisha sababu hutokea hata kwa kusingiziwa. Mlango wa kheri Allah ameufungua.
@pikolaizaog7303
@pikolaizaog7303 4 жыл бұрын
Yupo na huzuni huyu jamaa....mambo magumu mungu atamsaidia
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 2 жыл бұрын
Yahni
@emmanueleshitashe2177
@emmanueleshitashe2177 Жыл бұрын
Continue
@fakisunshine3253
@fakisunshine3253 3 жыл бұрын
Nice mtiga doo yani siamin kamandoww
@evanskatunzi6729
@evanskatunzi6729 3 жыл бұрын
Bro alivyo na punch anayoitoa ni fafauti aiseee good up
@francismgendi3118
@francismgendi3118 4 жыл бұрын
Daaaah!!! Aiseee Kama huyu jamaa Mmetuletea Tena ngoja Ni subscribe Mapema
@mbwanamataka9364
@mbwanamataka9364 4 жыл бұрын
Namkubali mtiga hadith zakweri
@toviahnuella8707
@toviahnuella8707 4 жыл бұрын
Pure talent
@puregamers4215
@puregamers4215 4 жыл бұрын
Yuko noma asee
@uwezamafanikio3644
@uwezamafanikio3644 4 жыл бұрын
Respect sana
@justinbenedictor3567
@justinbenedictor3567 4 жыл бұрын
Huku nahamia moja kwa zote, we jamaa unajua sana, so poa.
@guccij3549
@guccij3549 4 жыл бұрын
Cku iz madem wnatak Hela tuu... Xaut km ndo mchongo bac hmna Boi angkua single
@dakyatv5112
@dakyatv5112 3 жыл бұрын
Mtiga Abdala ni fundi sana! Wa masimulizi yaani ni tamu sana
"Siwezi kumsamehe Khadija Kopa hata  Nikifa": Kaptaini Temba
14:27
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 16 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 62 МЛН
BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.
21:57
Wasafi Media
Рет қаралды 1,8 МЛН
80 Year Olds Share Advice for Younger Self
12:22
Sprouht
Рет қаралды 1,5 МЛН
KITCHEN PARTY GALA 2024 EXTRA ORDINARY PARTY TWO
50:10
Dina Marios tv
Рет қаралды 792
24 podcast: Sme v kaviarni - Danko kŕmi Slovákov
1:29:41
Televízia JOJ
Рет қаралды 27 М.
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 16 МЛН