Nawakaribisha tena na tena mashabiki zangu kutoka pande zote nina wapenda sana Much love kwenu karibuni kusikiliza mziki mzuri hu ni kwajili yenu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Dreda-q1d12 сағат бұрын
I like the kind of that guitar 🎸
@andrewaloyce91913 ай бұрын
Nukuaminia King, haujawahi kutuangusha🎉🎉 nyimbo nzuri sauti nzuri...hakika wengi tutafarijika
@mfalmepharao2 ай бұрын
❤❤Asante sana jeshi❤❤
@ochiengchristopher57463 ай бұрын
Kazi safi ❤
@rosemarymwenda3833 ай бұрын
Kazi nzuri
@andrewaloyce91913 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉
@mfalmepharao2 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@andrewaloyce91913 ай бұрын
Biti Bomba, sauti tamu, verse zimetulia, korasi imebamba🎉🎉🎉.....Ebwanaaaa Wacha tulisakate Rrrruuuumbaaaa.....tunasubilia Kwa hamu video naimani hauwezi kituangusha❤❤
@WendelyeneMgina-j1n3 ай бұрын
Sina chakusema zaidi yaunaujua maiki warumba kaka hongerasana
@gaston20223 ай бұрын
Safi sana pharao
@carrycollins0026 күн бұрын
❤I love this
@DJ_MALIK_D_-_THE_MASHUP_KING3 ай бұрын
Nice and easy 🔥🔥🔥
@mfalmepharao2 ай бұрын
❤❤❤thank you so much
@AngeloDagoly-r9d3 ай бұрын
Wewe ukoseagi mfalme pharao
@mumatone66903 ай бұрын
Ujumbe mzur melody kali unajua sana kaka
@EricChristophers-j5f3 ай бұрын
Pamoja sana ndugu yangu tupo nyuma yako
@mfalmepharao2 ай бұрын
Asante sana kaka Eliki
@BenedictorKanenje3 ай бұрын
Mambo ni motoooooo duuuuu kitu konki
@mfalmepharao2 ай бұрын
My friend for long time ago
@AngeloDagoly-r9d3 ай бұрын
Lete kitu baba
@AbdulMwakilambe3 ай бұрын
Hujawahi kosea pharao
@mfalmepharao2 ай бұрын
Asante sana mzazi
@stephenmwangi50763 ай бұрын
WEWE NI SIMBA BRO,much love from kenya
@AngeloDagoly-r9d3 ай бұрын
Hu wimbo Naamini utakuwa tiba ya watu wengi pia kwa wanandoa na wapenzi nambeni like zangu
@FadhilHamidu-rk7sj3 ай бұрын
Yamotoooooooo kali sana king phalao
@makeleleliwonga22053 ай бұрын
Hii ni kazi ya wakubwa 😅😅😅😅😅😅😅👋👋👋👋👋👋
@mfalmepharao2 ай бұрын
Kabisaaaa baba😅
@DJNUMZ3 ай бұрын
🔥🔥🔥
@mfalmepharao2 ай бұрын
Thank you my friend
@catherinenasambu53663 ай бұрын
Good one boss en good lesson to the marriage
@mfalmepharao2 ай бұрын
Thank you so much
@juveillatv3 ай бұрын
Umeudhihirishia Ulimwengu kuwa wewe ni mfalme wa Rhumba....Hongera sana
@JackAbed-d4x3 ай бұрын
Good job 👍👍
@DitoRateng2 ай бұрын
Washington..my friend for long ❤❤
@mfalmepharao2 ай бұрын
Yes myfriend
@AngeloDagoly-r9d3 ай бұрын
Kama niliota hivi mambo si ndio haya
@mfalmepharao2 ай бұрын
Asante sana karibu sana
@DOTHYARTIST3 ай бұрын
Gud job brother 💯 love from 🇰🇪🇨🇩🇰🇪🇨🇩🇰🇪🇨🇩🇰🇪🇨🇩🇰🇪🇨🇩🇰🇪🇨🇩🇰🇪🇨🇩🇰🇪🇨🇩🇰🇪🇨🇩🇰🇪🇨🇩
@mfalmepharao2 ай бұрын
Thank you your welcome
@DitoRateng2 ай бұрын
My fun guy why's you trending.. I will likely see you on top there ... I will appreciate. Your talent gonna kill me 😭😭
@mfalmepharao2 ай бұрын
❤❤❤Thank you so much more❤❤❤
@KardinalJentoOtenga3 ай бұрын
(Tunasubiri
@mfalmepharao2 ай бұрын
Mambo ni moto
@RabiaHoma3 ай бұрын
❤❤❤
@stephenongoye62063 ай бұрын
Tayari niko ndanii
@KardinalJentoOtenga3 ай бұрын
(Kazi nzuri hongera sana
@TomasoSenior2 ай бұрын
Kitu kali ❤
@MoranotzАй бұрын
Umetisha sana mkali wetu Tz one
@mfalmepharaoАй бұрын
Asante sana blood
@mcpambe80633 ай бұрын
Nimekubali, Mtemi
@mfalmepharao2 ай бұрын
Asante sana mtemi
@denchuga2552 ай бұрын
Sampa music
@mfalmepharao2 ай бұрын
Danger
@AngeloDagoly-r9d3 ай бұрын
Nina kisubiri hiki chuma
@MjoliOfficial3 ай бұрын
Sina la kuongeza zahidi kongore tu kaka ila kwa pharao pale 🤔
@DeejayJulius2542 ай бұрын
Wambeya tahadhari kwenu, uhasama wenu kwetu funzo kwani kila hatua dua mtajua tukitua kwenye trend , Mistari bomba kaka Ziidi vivyo, siku zote support yangu unayo
@mfalmepharao2 ай бұрын
Asante sana kaka Julius kwa maoni yako mazuri kabisa