Mashabiki zangu ninawapenda sana much respect kwenu nasema hivi ninawapenda sana sana mashaki zangu kutoka pande zote za DUNIA karibu sana katika ulimwengu wa mziki mzuri kutoka kwangu rhumba ya kiswahili hi ni kwajili yenu ENJOY GOOD MUSIC❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MwanaheriMsungu3 ай бұрын
💕💕💕💕💞😋😘
@georgecharo49653 ай бұрын
❤ i love your smooth rhumba
@nailafashion64732 ай бұрын
Hongera kubwa kwako ukija njombe kutana nami upate dizain za mavazi Fulani bureeee
@AngeloDagoly-r9d3 ай бұрын
Hongera mfalme pharao nyimbo zako nzuri mpaka raha
@mfalmepharao2 ай бұрын
Asante sana
@MahizaHamisi3 ай бұрын
King of swahil rhumba❤🎉
@mfalmepharao2 ай бұрын
Naam
@Moranotz3 ай бұрын
Mkali wao safi kaz zurii
@mfalmepharao2 ай бұрын
Asante sana morano❤❤❤
@manbubabubaraja50753 ай бұрын
Balaa limeshaanza. Jamani timu King Pharao a.k.a tim rumba
@nailafashion64732 ай бұрын
Yaani huyu alinifanya nikanunua na sabufa
@mfalmepharao2 ай бұрын
@@nailafashion6473Asante sana😊
@mfalmepharao2 ай бұрын
Haina kupoa
@cbhhalawa3 ай бұрын
Chuma cha moto sana. 💥💥💥💥💥
@mfalmepharao2 ай бұрын
Hakika cho moto kweli kweli
@chezakidansitv3 ай бұрын
Kazi nzuri sana. Big up
@mfalmepharao2 ай бұрын
Asante sana
@AngeloDagoly-r9d3 ай бұрын
Namini hu wimbo utakuwa hatari sana tena niko macho kweli kweli Usiwasikilize imefanya nimfatilie huyu mwanaume muda wote
@mfalmepharao2 ай бұрын
Danger
@papaamarsha16593 ай бұрын
Wimbo Mzuri Sana Kaka Mkubwa
@mfalmepharao2 ай бұрын
Asante papa masha
@makeleleliwonga22053 ай бұрын
Kwenye miziki ya aina hii huna mpinzani, 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mfalmepharao2 ай бұрын
Asante sana mzazi
@manbubabubaraja50753 ай бұрын
Kula chuma hicho cha moto
@mfalmepharao2 ай бұрын
Mze wa njoo
@DJNUMZ3 ай бұрын
Kali sana bro 🔥🔥🔥
@mfalmepharao2 ай бұрын
Asante sana kaka
@bee43593 ай бұрын
Chuma
@mfalmepharao2 ай бұрын
Naam
@jeffjulien96023 ай бұрын
Rhumba forever 💯
@mfalmepharao2 ай бұрын
Yes rhuma❤❤❤
@AngeloDagoly-r9d3 ай бұрын
Bado siku 4
@mfalmepharao2 ай бұрын
😂😂😂😂
@djreagantheeratedr3 ай бұрын
Good job brother 👏
@mfalmepharao2 ай бұрын
Thank you myfriend
@mcpambe80633 ай бұрын
Stunning!
@mfalmepharao2 ай бұрын
Mtemi
@zabronwanyancha3543 ай бұрын
😊😊 also we're waiting your new sound ss kama your funs tuko macho kusubiri "Njoo" by the way itakua moto kama ,uskilize na lawama zote nipewe mie🔥🔥🔥