Ni kweli tukimrudia mungu kwa sisi Watanzania,bwana wa majeshi atatunusuru.Mbarikiwe sana wtumishi wa bwana kwa huo uamzi mliouchukua wa kusimama imara .Tuwe na hofu ya mungu muumba wa mbingu na nchi.
@MamaBambalaКүн бұрын
Injili ya Mungu haibadiliki milele hiyo ni injili ya kigeni nduguzanguni.Nao waliowengi watateswa sana baadaye wasipokubaliana na jambo hilo mnaloshuhudia leo.Huu ndio muungano wa madini unavyoanza watu wa Mungu msifurahie hicho kinachotajwa hapo juu ni balaa.
@Mhema27953 күн бұрын
Waooo! Mungu yupo anageuza mambo. Hakika huyu ndiyo Mungu.
@TediSadoki2 күн бұрын
Mungu atuhurumiye sana
@samweljohn1743 күн бұрын
Mungu n mwema kanisa Sasa linarudi katika uharisia wake kama kanisa familia ya mungu chini ya mfalme tengwa na hata wasiotaka shart wainame tu hakuna kingine
@OscarGregorymosha2 күн бұрын
Mungu wambingu na nchi asipunguke kwenu watanzania wengi wenye Mapenzi mema wako nyuma yenu msikatishwe tamaa na wachache wanao Wakashifu nasi Tusiwahukumu tuendelee kuwaimbea sana yamkini mungu awape kuona na kusikia
@nancyshikuku-vs9le3 күн бұрын
Glory be to God.
@GabrielBoniface-pe3kc3 күн бұрын
😢😢😢😢 ooh glory to god watumishi wa mungu
@BorakupataNdunguru19 сағат бұрын
Mm, namshukuru MUNGU kwa ajili yenu, tatizo kubwa watumishi sio wa kweli ni wanafiki tunaona makosa hatusemi, mahubiri ya siasa makanisani, tuna vyama vyetu kama CPCT lakini sioni kitu wanachofanya ila MNISAMEHE kama nimewakwaza. Ila tubadilike. Naungana na huyo mama tumepoteza KITI.
@ELIZABETHMTAITA-nr4vp3 күн бұрын
MUNGU ALIYEHAI AWATIE NGUVU NA KUWALINDA KATIKA KILA HATUA MPIGAYO KWA UTUKUFU WA JINA LAKE. AMEN
@salahsadi39082 күн бұрын
MUNGU Alie hai awabariki sana nasikia Raha na meza hio maana ni ya busara maongeI yenu
@estersamwel7213 күн бұрын
Jamani itoshe tu kusema ni BWANA, maana hawa watu walivyo ikataa injili hii, niajabu mno, kweli MUNGU niwautaratibu Amen
@OswardDaisoni-vl8pc3 күн бұрын
Kwakweli MUNGU KWANZA MENGINE BADAE
@martinkisha63072 күн бұрын
Yani hapo kuna yunda tu wasariti wa Yesu. Mnanunuliwa mno
@gabrielsaelie80912 күн бұрын
Waganga njaa hao hamna ukweli wowote
@salahsadi39082 күн бұрын
Wewe mama umeongea vzr sana ila wengine SI watoto ko ni Wana halam sio Wana wa ufalme
@charleskuyeko44002 күн бұрын
Tumbieni Wakristo wa Tanzania; mbona hatuwaoni TAG na EAGT? Wao hawataki Umoja? UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI UDHAIFU.
@frankmnale19002 күн бұрын
Ufunuo wa Yohana 13: umeanza kutimia ......Hawa ni mawakala wa shetani waliotabiriwa katika ufunuo 13
@charleskuyeko44002 күн бұрын
Mbinguni hakuna madhehebu. Hakuna Dini. Mungu anaiangalia IMANI yetu na matendo yanayoambatana na imani zetu Ni kitu kibaya sana sana kuona madhehebu mengine wakijitenga na Umoja kama huu wa kuiombea nchi ili amani ya Bwana wetu Yesu Kristo itamalaki. Bila upendo ambao ndiyo amri kuu ya Mungu tutakuwa tunajidanganya tukidhani tuko kwenye reli kumbe tumeshaiacha njia na kupotea. Asanteni Vingozi wetu mlioanzisha hili jambo jema sana. Mungu awabariki sana. Asante Mtumishi wa Mungu Tendwa kwa kupokea with sa Mungu na kuufanyia kazi. JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
Ecumene; kikombe kinajaa WAKRISTO wakidharau SABATO (MUHURI) na kuinua jumapili (chapa) ya VATICAN
@gabrielsaelie80912 күн бұрын
Sabato ni MUHURI WA MUNGU , Jumapili ni muhuri wa shetani.
@scholasticawaithira6497Күн бұрын
YESU AWABARIKI
@DoraNyandamba7078-ef2rz2 күн бұрын
Tuombe sana
@ruthkalinga71543 күн бұрын
mimi nina shida tu na majina wayojipa watumishi wa Mungu" Mfalme" jamani mbona tu hata akiitwa mtumishi ni sawa! Mimi ni mfuasi wa Kristo na huwa namfuatilia Tengwa lkn jina lilipobadilika nimejikuta nashindwa kufuatilia tena.
@samweljohn1743 күн бұрын
Rafiki yangu hujui wewe ni nan ukijijua wewe ni nani hiki kitu kwako hakitakua hivyo hujawahi uliza kwann yule anajiita bulldoze hujawahi uliza mbona huyu anajiita kiboko ya wachawi hujawahi uliza mbona huyu anajiita nabii mkuuu ila mfalme umeuliza Kwa sababu wewe hujui kuwa ni mfalme m nakuita wewe mfalme niulize kwanii
@SAVETHEGENERATIONFAUNDATION3 күн бұрын
Ndiyo ni mfalme maana Yesu ni mfalme wa wafalme
@baghabaghaingwengwe17502 күн бұрын
Kama watashirikisha na watu wasio na imani yenu hapo lzm pawepo na shaka
@KalibaTobaКүн бұрын
Mbona jina la YESU KRISTO halitajwi tajwi kwenye kikao hicho jamani!!! Ni Mungu yupi mnayemtukuza sna hivyo??
@salahsadi39082 күн бұрын
Lakina mbona huyo mama anafanana na mtumishi tengwa?
@KalibaTobaКүн бұрын
Mama,, Unawezaje kufanya kazi ya INJILI na waislamu!!!??? Ona maana neno INJILI kwenye BIBLIA.>>Rum.1:16 Mwislamu haamini WOKOVU ; hata hao wenzako ulionao hapo WENGI wao hawajaokoka.Au hujui hivyo???? Asiyeokoka hawezi kuhubiri WOKOVU.
@gabrielsulle87563 күн бұрын
Jamani Giza limeimeza kanisani mwanza
@OscarGregorymoshaКүн бұрын
Kivpi bwana sule?
@salahsadi39082 күн бұрын
Lakin pia mtumishi tengwa wewe kubali kushuka na kunyenyekea usipende kuitwa mfalme wewe SEMA Mimi ni mtumishi wa Mungu tuu mbona inatosha na Kuna heshima tuu??
@martinkisha63072 күн бұрын
Tatizo maasikofu wetu ni jaaa mnapewa pesa milioni za kuhongwa mnaanza kumuombea Rais ambaye hajamwamini yesu .Mungu anawashangaa mnaongea hapo wengine mmepokea pesa ya aibu
@valenakomba76863 күн бұрын
BADALA YA KUOMBA NA KUJUTA NA KUOMBA MSAMAHA KWA MUNGUU, UNATANGAZA BIASHARA YA TV.😂😂😂😂😂😂