Zanzibar ina wimbo wake wa taifa vipi mbona unapigwacwa Tanganyika?
@fahadtourszanzibar82442 жыл бұрын
Zanzibar na oman ni ndugu kabisa
@nassorhajimuhammad53662 жыл бұрын
Ahsanteni ndugu zetu
@awatifalghanim11062 жыл бұрын
Hawataki Maendeleo ya Wananchi basi wanataka MAPINDUZI kwa maslaha ya watu kidogo...
@amournassorsaid76942 жыл бұрын
Hongera mhe mwinyi
@karachiwala54192 жыл бұрын
Baniani Mbaya Kiatu chake Dawa.....Mwarabu huyo huyo ndiye Anakufadhilini...ikifika Uchanguzi Mnawatukana....Waso haya Wanamji Wao....
@ramadhantahila91312 жыл бұрын
hatukuanza sisi alitukanwa mtu s. a. w . na haohao waarabu. ujuwe km wakorofi tokea awaalii. ila km wao wenyeweviongozi walikaa na kufahamiana nyie mnaumia nini.
@karachiwala54192 жыл бұрын
@@ramadhantahila9131 .....Basi Wache kutukana Warabu Wakati Wakiwa Na Njaa zao wanajua Kwenda kuwaomba...Wasohaya.......Sisi ....watu Tumbutu tunaishimu Dini ....hatubangui Mwislam Yoyote...Wskati Wenzetu Wanajisahau kuita Watu Mchotora....Wakati Ndiyo Waislam Wenzao.....Kumbuka Unapo Fadhiliwa Wapi....Wasohayaaa
@zuhuramuhanga54002 жыл бұрын
huyo balozi wa hapa omani hatufai mrudisheni huko tanzania tuleteeni mwingine huyu dharaunyingi na rushwa nyingi jatusaidii kabisa ana tabia ya dharau sana mwoneni tumbo lake riba hiyo
@salmahilal35772 жыл бұрын
Dhulma ,,, dhulma ,, dhulmaa
@aliiissa10522 жыл бұрын
dhulma ya Nini kwenye ziara katafute mume kama huna
@seifhabib59872 жыл бұрын
Wa Oman ss hasa Wazanzibar ndio ngugu zetu ila siasa za kale ndizo zilizotudumaza Mpaka leo Zanzibar kutoendelea kwa kasumba Mbaya juu ya Warabu mm naamini tukiwacha Ujinga tuliokuwa nao uko nyuma,Wallaah Warabu ndio wataoikomboa Zanzibar Kiuchumi.
@Ali-nl2du2 жыл бұрын
Waomani wanaweza kutusaidia ndio lakini ukombozi utatokana na sisi wazanzibari wenyewe. Uhusiano baina ya nchi zote ni maslahi tu, hamna udugu, dini wala mapenzi. Tumtegemee Allah kwanza, nafsi zetu pili na mengine/wengine tatu.
@kassimali22732 жыл бұрын
CCM wabaya sn wamewalisha wa2 uongo na mpaka leo wanazidi kulisha wa2 uongo juu ya waarabu na ndiomana CCM hawampendi Mwinyi wakijua jamaa anawapenda waarabu
@asiakheir86842 жыл бұрын
Zanzibar inajitegemea kuungana ukiamua unakata muungano ndoo maana rais wawili
@sharifjuma12202 жыл бұрын
Mapinduziii
@salma00002 жыл бұрын
😂😂😂
@allyhassan71692 жыл бұрын
Nchi moja bendera moja Marais wawili how come ?
@maryambaby71062 жыл бұрын
haujui ilikuaje 🙄
@Ali-nl2du2 жыл бұрын
Suali zuri sana bro na linawachanganya wengi. Suluhu yake ni kuwepo kwa rais wa 3, wa serikali ya Tanganyika. Hapo hata mtoto mdogo atafahamu nini maana ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.
@salma00002 жыл бұрын
Utapeli wa watanganyika tu hakuna jengine, halafu kuna wajinga wameridhika nao eti
@AbdillahSOthman2 жыл бұрын
Zanzibar ina bendera yake na Tanganyika ina yake
@AbdillahSOthman2 жыл бұрын
Na hapo alitakiwa atumie bendera ya Zanzibar kuonesha nae ni Raisi sio kutumia ya Tanzania.