RAIA MWINGINE WA OMAN ANAYEIZUNGUKIA TANZANIA KWA GARI, BILA MIL. 400 HUJAMILIKI ARDHI OMAN

  Рет қаралды 61,882

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

Kutana na Raia mwingine kutoka Oman alieamua kufunga safari ya kuja Tanzania akiwa na Mke na Watoto kwa lengo la kufanya Utalii wa ndani kwa kuzunguka kwa Barabara kujionea vivutio vilivyopo Tanzania na hadi sasa ni zaidi ya mikoa 10 ameifikia, hapa ana share na sisi kuhusu jinsi Mtu anavyoweza kumiliki ardhi na nyumba Oman.

Пікірлер: 225
@kudisalashija9823
@kudisalashija9823 3 жыл бұрын
Karibu sana nyumbani, Mungu akujalie utalii salama na uendelee kutangaza vyema utalii
@boysalim83alhabsi19
@boysalim83alhabsi19 3 жыл бұрын
Amina yarabi
@boysalim83alhabsi19
@boysalim83alhabsi19 3 жыл бұрын
Tuko pamoja bro
@nasrahassanmasesa3745
@nasrahassanmasesa3745 3 жыл бұрын
Asante kaka ww umekuw baloz wa Oman wape history ya tz waje kw wengi kutalii tz karbu mzawa tz asante
@boscoafikile4737
@boscoafikile4737 3 жыл бұрын
Hongera kwa uzalemdo ,umekuwa balozi mzuri wa Tanzania huko oman.
@boysalim83alhabsi19
@boysalim83alhabsi19 3 жыл бұрын
Shuran saan bro
@hamisimohamedhamisi3241
@hamisimohamedhamisi3241 3 жыл бұрын
Hongera san kaka karibu
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 3 жыл бұрын
Amin Rab Amin .In sha Allah Allah Atufanyie Wepesi sote.
@asmaasmi9019
@asmaasmi9019 3 жыл бұрын
MashAllah tabaraka rahman well done Sheikh Yousuf
@hawaheri5833
@hawaheri5833 3 жыл бұрын
Bosi wetu mashaaal alla karib tnz tuko job omn sibu
@safiyasafiya5014
@safiyasafiya5014 3 жыл бұрын
Mashallah tanzania raha vizuri mume enjoy na watoto
@boysalim83alhabsi19
@boysalim83alhabsi19 3 жыл бұрын
Shukran saana
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 3 жыл бұрын
Shukria ukhty.
@mahersaid258
@mahersaid258 3 ай бұрын
Saf sana kaka nitakuja kuowa oman insha allah
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl 3 жыл бұрын
Kweli kabisa Oman hakuna vibaka manshalah nakubali kwn na mimi nipo Oman mashaallah mashaallah
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 2 жыл бұрын
Wapo sana ila sio kuzidi tz mie boss wangu kaibiwa aliletewa mzigo nnje ukaibiwa
@summerbrightbright4602
@summerbrightbright4602 2 жыл бұрын
This is the best Kiswahili accent Mungu Irbarki watoto wa Africa
@nasrahassanmasesa3745
@nasrahassanmasesa3745 3 жыл бұрын
Kweli kw spid omn naona nami mtu anaendesha gari spid 120 au 100 mashaallah
@r14kgroup68
@r14kgroup68 3 жыл бұрын
Mashalah
@zakiarashed144
@zakiarashed144 3 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@asiashabani4074
@asiashabani4074 3 жыл бұрын
Enjoy 🇴🇲✈️ umetuachia joto hili omani 🇴🇲😭 tunamiss sana Tz ❤️
@AbdulGermany210
@AbdulGermany210 3 жыл бұрын
Pole sana, rudi nyumbani sasa, mimi inshaallah mwezi wa kwanza nitaingia tz
@asiashabani4074
@asiashabani4074 3 жыл бұрын
@@AbdulGermany210 inshallah mwakani wengi tunarejea mahome 🤟🇹🇿
@felixsimkwai8634
@felixsimkwai8634 2 жыл бұрын
Tz syo sehem ya kumc mm nikiondoka sji tena
@mamialsawafi8020
@mamialsawafi8020 2 жыл бұрын
@@felixsimkwai8634 bwege kalime kwenu
@lovsply
@lovsply Жыл бұрын
Safi Sana Karibu wa Oman wote… Tanzania ni nyumbani
@silviaamos-pl5lk
@silviaamos-pl5lk 2 ай бұрын
Asante sana
@tanzaniaoman6423
@tanzaniaoman6423 3 жыл бұрын
Inshaa Allaah usafiri salama huko kulikobaki
@icecold_real_estate_agents4461
@icecold_real_estate_agents4461 3 жыл бұрын
haujatoa zawadi my friend iyo ni lazima uku kwetu na tushazoe sio kesi
@hasnasaif1075
@hasnasaif1075 3 жыл бұрын
Hahaaaaaa Umeona eee,, ila katisha
@hasnasaif1075
@hasnasaif1075 3 жыл бұрын
Hahaaaaaa Umeona eee,, ila katisha
@sharifakhamis2461
@sharifakhamis2461 3 жыл бұрын
Masha Allah
@zamzamndid3145
@zamzamndid3145 3 жыл бұрын
I like this hamna tz yetu twaipenda
@boysalim83alhabsi19
@boysalim83alhabsi19 3 жыл бұрын
Lazima tuipende
@leylahbillah4876
@leylahbillah4876 3 жыл бұрын
Maashallah maashallah 🤩🤩
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 3 жыл бұрын
Mimi nishafika Oman 1985 kabila la wanyawezi wapo wengi sana nilishangaa sana kumbe walichukuliwa na waarabu kutoka Zanzibar na Tabora na Mwanza
@hamoodalrawahy2026
@hamoodalrawahy2026 3 жыл бұрын
HAO NI WAZALIWA WA HUKO BABA MU OMAN NA MAMA NI KUTOKA HUKO SIO KAMA WALICHUKULIWA WALILETWA NA BABA ZAO NDIO KINA SISI
@shamzone388
@shamzone388 3 жыл бұрын
Kweli kabisa ndio soote tulizaliwa tanga tumesoma tanzania mwisho ndio tukaja oman...
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 жыл бұрын
@@hamoodalrawahy2026 wazazi wote kutoka Oman si ukweli ni uwongo mtupu tena wawaziwazi wewe ni mkata asili yako hao watu wamechanganya vinasaba mwarabu asilia hayupo na rangi ya namna hiyo
@issamuhsin4308
@issamuhsin4308 3 жыл бұрын
@@shamzone388 mashaallah
@abdijecha6932
@abdijecha6932 3 жыл бұрын
Na Kuna lugha za Oman inasemekana routine take from Tanzania mm pia nimefika huko Ila nimeishia town area alghubra na alkhuweri in shot town.
@halimaauthman9324
@halimaauthman9324 3 жыл бұрын
Aamiin thumma Amiin
@mename6020
@mename6020 3 жыл бұрын
Ameen Allahuma Ameen
@abdijecha6932
@abdijecha6932 3 жыл бұрын
Mhh lakini nna walakin na kiswahili Chake Kama mpemba hivi.au aliishi Pemba Hana kiswahili Cha mkowa.mm Oman nishkwenda sannaa Kuna wanaotengeneza kazu maarufu Oman Wana asili ya kibongo hata wakiongea kiswahili Chao Ni Cha mabara huko bukoba.lakini huyu Kama wakwetu zanzibar
@ASIMOnlineTv
@ASIMOnlineTv 3 жыл бұрын
Hao unao waita wapemba ninwa oman
@hamzarifai665
@hamzarifai665 3 жыл бұрын
Hizo ni lahaja tu si ajabu mtu wa bara kuwa na lahaja ya kizanzibari na halikadhalika si ajabu mzanzibar kuwa na lahaja ya bara,tembea uone nenda tabora ukaone waarabu wanavyovunja mawe,nenda mtwara ukawaone wahindi wamakonde hakuna cha ajabu Akhui,ni accent tu yeyote anaweza kuwa nayo
@talibmuhsin5221
@talibmuhsin5221 2 жыл бұрын
@@hamzarifai665 hutgemea sio San labda wabara azaliwe znz ndo atapat lahaj yahuku lakin huyu jamaa tuna mashaka nae ni WA ZANZIBAR kabis uyo
@allynassoro2080
@allynassoro2080 3 жыл бұрын
Love tanzania
@goodluckjoseph2203
@goodluckjoseph2203 3 жыл бұрын
Amin usiamin na mm n mnyambo wanyambo tunatabia nzur sana 😍
@officialbntrasool5223
@officialbntrasool5223 2 жыл бұрын
🤔🤔🤔
@mename6020
@mename6020 3 жыл бұрын
MashaAllah
@hanifaalbalushi2483
@hanifaalbalushi2483 3 жыл бұрын
Woow rahaaa
@zahormazrui5101
@zahormazrui5101 3 жыл бұрын
Sheikh Yussuf njoo utembee na hapa Zanzibar mpaka Pemba chake uje umsalimie sheikh wetu
@mangulymanguly162
@mangulymanguly162 3 жыл бұрын
Big up brother
@boysalim83alhabsi19
@boysalim83alhabsi19 3 жыл бұрын
Thnx bro
@alithabit7617
@alithabit7617 3 жыл бұрын
Sheikh Yussuf, Imam wa Masjid Nasser.
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 3 жыл бұрын
"Na Mwanza nimekuta ni mji ambao ni msafi".... Vipi Dar Es Salaam?
@boysalim83alhabsi19
@boysalim83alhabsi19 3 жыл бұрын
Naaaaam shekh wangu
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 3 жыл бұрын
@@j.c.maxima816ماشاء الله تبارك الله
@leilasaid3623
@leilasaid3623 Жыл бұрын
Mashaallah
@saidhamad533
@saidhamad533 3 жыл бұрын
Watu apa ndipo wanaleta mihemko yao na kulalamika ila mi nasema tumefata kazi wawe wazuri wawe wabaya muhimu kazi na kila.dunia inamazuri na mabaya muhimu.tuseme alhamdulillah
@nasrahassanmasesa3745
@nasrahassanmasesa3745 3 жыл бұрын
Amiin
@omarylukindo5306
@omarylukindo5306 3 жыл бұрын
Huyo ni mtanzania aishie Oman,na mwenyew kasema ndio nyumban kwao
@hasaanothman1897
@hasaanothman1897 3 жыл бұрын
Amin
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 3 жыл бұрын
🤝🙏
@husseinshibbiby9599
@husseinshibbiby9599 3 жыл бұрын
Miladiayo nipo Oman vip hatuwezi fanya ya Habari
@glorytogod9354
@glorytogod9354 3 жыл бұрын
Minahitaji kazi huko nitafutie ndugu yangu
@vamitv873
@vamitv873 3 жыл бұрын
@@glorytogod9354 nikuunge nawadada wa huo wanafanya kazi watakupa A-Z wao walifikaje?
@glorytogod9354
@glorytogod9354 3 жыл бұрын
@@vamitv873 sawa niunganishe
@ggohf7004
@ggohf7004 3 жыл бұрын
Huyo kaish Tanzania kaondoka akiwa mkubwa ila alipozaliwa kazaliwa oman alipo fika 40 karudi tz ,alipo maliza form 6 karudi oman, ndivyo wanavyofanya waarabu siku hizi
@heridadia9634
@heridadia9634 3 жыл бұрын
Unajikuta
@zahormazrui5101
@zahormazrui5101 3 жыл бұрын
Huyu alisoma Istiqaama chake mwaka 1998 akiwa na umri mdogo sana akasoma pale Pemba kisha Istiqaama unguja pale lemky na baadae tunguu kisha akaendelea Istiqaama Oman
@bernardjohn8788
@bernardjohn8788 3 жыл бұрын
Huyo mbona ni mwafrika?
@elizapanga3874
@elizapanga3874 3 жыл бұрын
Karibu Arusha utalii wa kutosha
@roqayaro9439
@roqayaro9439 Жыл бұрын
KWA WAFANYAKAZI PESA YA OMAN UKIPELEKA TZ INAKUWA NYINGI NDO MAANA TUNAONA NYINGI KUMBE KAWAIDA
@mudrikali5726
@mudrikali5726 3 жыл бұрын
Fika na Zanzibar yakheeeeeee!!
@farajafaraja9195
@farajafaraja9195 3 жыл бұрын
Haaaa😂😂😂hukunyumbaa kunabahari sio utalii
@boysalim83alhabsi19
@boysalim83alhabsi19 3 жыл бұрын
Plan ipo yakufika zenji
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 3 жыл бұрын
Nitafika inshaa ALLAH
@fzafza6746
@fzafza6746 3 жыл бұрын
Zanzibar hawa twawangoja tuu wakujee hukuu 😏
@sabrinasab2910
@sabrinasab2910 3 жыл бұрын
Umeonaeee
@sghdrdhidf7603
@sghdrdhidf7603 3 жыл бұрын
Napenda sana kuona hawa watu wanakuja kwa wingi kwetu walikua anajua tuna dhiki sana ila peleka ujumbe kwa wengine
@ummohamed4404
@ummohamed4404 3 жыл бұрын
Na bado ipo
@felixsimkwai8634
@felixsimkwai8634 2 жыл бұрын
Oman huwezi kufananisha tz jalalan huko
@mename6020
@mename6020 3 жыл бұрын
Kila la kheri na safari njema
@Nsupathedon
@Nsupathedon 3 жыл бұрын
Oman
@WaleedSeif-wo8mo
@WaleedSeif-wo8mo 2 ай бұрын
Mtu wa maana kabisa
@nasrahassanmasesa3745
@nasrahassanmasesa3745 3 жыл бұрын
Nakutakia safar njema
@emmanuelzao
@emmanuelzao 3 жыл бұрын
😎
@Mr5G_Og
@Mr5G_Og 3 жыл бұрын
Nilichokukubali unanyoosha kiswahili kama upo Zanzibar bro
@talibmuhsin5221
@talibmuhsin5221 2 жыл бұрын
Uhakika ata mm nasema ni WA ZANZIBAR uyu
@shafiihssan738
@shafiihssan738 3 жыл бұрын
Ndiyo kaka
@Zainab-sq1tc
@Zainab-sq1tc 3 жыл бұрын
Congs na maongez yako yako vzr
@khadijakdj8640
@khadijakdj8640 3 жыл бұрын
Kwao ndo uko Kagera
@boysalim83alhabsi19
@boysalim83alhabsi19 3 жыл бұрын
Shukran saaana
@r14kgroup68
@r14kgroup68 3 жыл бұрын
Karibu sana Tanzania huo ni ujirani mwema
@boysalim83alhabsi19
@boysalim83alhabsi19 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@salimliemba3458
@salimliemba3458 3 жыл бұрын
Karibu Tanga
@habibamohamedi714
@habibamohamedi714 3 жыл бұрын
Sehemu nyingine aongee kiarabu ili na wenzake wahasishike näo waje tz
@abuusufian6506
@abuusufian6506 3 жыл бұрын
Mwarabu mnyambo 😃😃❤️✔️
@safiyasafiya5014
@safiyasafiya5014 3 жыл бұрын
Jamani muogope mungu astaghfirullah ukinyamaza utapungukiwa nini
@abuusufian6506
@abuusufian6506 3 жыл бұрын
@@safiyasafiya5014 Mola namuogopa sanaa kasema mwenyewe anakuja karagwe kwa wanyambo ama hujui kwao pia ni Karangwe kwa wanyambo 😃
@fzafza6746
@fzafza6746 3 жыл бұрын
@@abuusufian6506 😀😀😀😀Nimekupenda Bure hawa watu😥😥
@abuusufian6506
@abuusufian6506 3 жыл бұрын
@@fzafza6746 😃😃❤️❤️ Asante love you too
@nasrahassanmasesa3745
@nasrahassanmasesa3745 3 жыл бұрын
Oman wote wana magar ki ukweli ndo hivo
@aishajuma7739
@aishajuma7739 3 жыл бұрын
Wapo madikin mnafiki wewe unafikili hatujui
@babuukashmir4584
@babuukashmir4584 4 ай бұрын
Wabangali na wahindi wanapoteza amani nchini 😅
@gilbertkasenene4520
@gilbertkasenene4520 3 жыл бұрын
Karibu karagwe
@avitusmichael5
@avitusmichael5 3 жыл бұрын
Anywe lubisi
@boysalim83alhabsi19
@boysalim83alhabsi19 3 жыл бұрын
Tayari nipo karagwe
@boysalim83alhabsi19
@boysalim83alhabsi19 3 жыл бұрын
Ninywa omuramba gwonka
@zahormazrui5101
@zahormazrui5101 3 жыл бұрын
@@boysalim83alhabsi19 Assalam alaikum Mimi nakukaribisha tunguu
@rukayyawendo1268
@rukayyawendo1268 3 жыл бұрын
Jaman sis tunaotembea tembea uku Oman unakuta mnyamwez kabisaaa Lakin anasema ni mwarab mweus I tiii MI nasema itakuwa ni wale watumwa😆
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 2 жыл бұрын
Wangine ata wewe mweupe
@fzafza6746
@fzafza6746 3 жыл бұрын
Ataenda Sumba wanga huyu jamani😀😀😀😀😀
@salmadonne6327
@salmadonne6327 3 жыл бұрын
Namkaribisha
@fzafza6746
@fzafza6746 3 жыл бұрын
@@salmadonne6327 😀😀😀😀Ngoja nikupe na wasifu waooo hawa watu 😥
@nasrahassanmasesa3745
@nasrahassanmasesa3745 3 жыл бұрын
Kweli Oman huibiwi kabisa ww acha sim yako hapo ilale hapo hamna wa kupitia kiukweli amani Oman ipo kubwa
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 2 жыл бұрын
Juzi boss wangu kaibiwa mzigo ulikuwa nnje
@masoudhamoud3946
@masoudhamoud3946 3 жыл бұрын
Uyo muhaya wa karagwe nyaishozi
@boysalim83alhabsi19
@boysalim83alhabsi19 3 жыл бұрын
Hahahahahaha asante
@saidhamad533
@saidhamad533 3 жыл бұрын
Kwani shida ipo wapi ikiwa kashakwambia anadam ya tz
@HightechTz
@HightechTz 3 жыл бұрын
Wiki mbili zilizo pita tulikuwa nae kwenye msiba Karagwe omurushaka baba akhe tumeishi nae Omurushaka Karagwe Kabla ya kuhamia Oman
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Usijsli mimi ntakuja bukoba mjini mimi mzaliwa hamgembe NA tunayo nyumba kashai
@benycoax7222
@benycoax7222 3 жыл бұрын
Huy jamaa nimemuona kagera
@husamshorts950
@husamshorts950 3 жыл бұрын
Kwaio
@boysalim83alhabsi19
@boysalim83alhabsi19 3 жыл бұрын
Shukran nipo kagera now
@husamshorts950
@husamshorts950 3 жыл бұрын
@@boysalim83alhabsi19 nipo Oman muscat al mawaleh bro
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 3 жыл бұрын
@@husamshorts950 we vipi?
@talibmuhsin5221
@talibmuhsin5221 2 жыл бұрын
Ana shape ya kizanzibar kabisa yan
@aishajuma7739
@aishajuma7739 3 жыл бұрын
Tanzaniya ni ichi ya smani haina ubaguzi kama huku kwenu
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Watu wa oman ni watu wawema sana hawana ubaguzi NA mungu amewajalia nchi yao hivi sasa ni tajiri sana ulimwengu ni
@alexandrucarmen3185
@alexandrucarmen3185 3 жыл бұрын
Hatokei Oman anaishi Oman ni binamu yangu sisi ni watu wa karagwe kagera tumemix yaani shombeshombe.
@glorytogod9354
@glorytogod9354 3 жыл бұрын
Kumbe wakwetu onyegere muno munonga
@rehemaabinelynyagawa2878
@rehemaabinelynyagawa2878 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@marthageorge559
@marthageorge559 3 жыл бұрын
Jirani yangu uku omani uyo kaka amekuja likizo na familia yake tanzania
@sampartick2235
@sampartick2235 3 жыл бұрын
Oya tupeni michongo uko
@marthageorge559
@marthageorge559 3 жыл бұрын
😂😂😂 uyo ostadhi yusufu ndie mwenye michongo kwasababu niwamda mrufu uku sisi ndio kwanza tunamiaka 4,jirani yangu uyo amekuja likizo na familia yangu tunakaa nae amrati chikago
@rehemaabinelynyagawa2878
@rehemaabinelynyagawa2878 3 жыл бұрын
Sifa mbaya
@smhoja
@smhoja 3 жыл бұрын
@@marthageorge559 hongera Sana maisha yaende mbele
@marthageorge559
@marthageorge559 3 жыл бұрын
@@smhoja 👍🏾
@heridadia9634
@heridadia9634 3 жыл бұрын
Onyegele
@boysalim83alhabsi19
@boysalim83alhabsi19 3 жыл бұрын
Wakora waitu
@heridadia9634
@heridadia9634 3 жыл бұрын
@@boysalim83alhabsi19 waitu
@andrewoscar7762
@andrewoscar7762 3 жыл бұрын
Karbu sumbawanga karbu sana
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 3 жыл бұрын
Hata kipindi cha ukoloni walikuja kwa staili hiyohiyo kumbe wanafanya upelelezi, hatimaye wakatutawala kabisa, hapa litatokea jitu litapinga ukweli
@zahormazrui5101
@zahormazrui5101 3 жыл бұрын
Huyo amezaliwa karagwe amesomea karagwe na bàadae Zanzibar alisoma Kwa miaka 6 kaenda Oman akiwa na mkubwa kabisa
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 3 жыл бұрын
@@zahormazrui5101 kuzaliwa hata wazungu wanazaliwa hapa lkn sio raia
@zahormazrui5101
@zahormazrui5101 3 жыл бұрын
MTU anapozaliwa pahala automatically anakua raia wa sehemu ile
@zahormazrui5101
@zahormazrui5101 3 жыл бұрын
Itabaki kusemwa kwamba ana asili ya nchi Fulani ila ni RAIA wa pale alipozaliwa
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 3 жыл бұрын
@@zahormazrui5101 hiyo sio sheria ya tz
@badaral6167
@badaral6167 Жыл бұрын
Usisahau kula ugali
@charlesemmanuel9434
@charlesemmanuel9434 3 жыл бұрын
Wanawatesa sana wakenya huko oman na saudia. Pia watu kama hawa wanafanya biashara za watu!
@hamoodalrawahy2026
@hamoodalrawahy2026 3 жыл бұрын
BORA USEME JAMAICA AU USA NA ULAYA NDIPO KWENYE MATESO WA TU WEUSI HAPA NI KITU KINA ITWA KUTO KUFAHAMIANA KWA MAZINGIRA YA NDANI YA NYUMBA.
@shamilakalinga437
@shamilakalinga437 3 жыл бұрын
Mmmmh sio wote bana Maana hata Tz wapo weng san
@crayonmaze9970
@crayonmaze9970 3 жыл бұрын
Acha chuki
@shamzone388
@shamzone388 3 жыл бұрын
Huo ni uongo usio na macho wala masikio Kama wanateswa kwa nini mnakwenda kufanya kazi...
@zakiarashed144
@zakiarashed144 3 жыл бұрын
Mbona wengine tupo Oman tunaishi vizur
@abumuhammadmbwana3964
@abumuhammadmbwana3964 3 жыл бұрын
KUNDEEEEEEEEEEEE
@erickevarist8738
@erickevarist8738 3 жыл бұрын
Apeleke ujinga wake huko ni Kiki tu hzo hela anazochezea Bora ungeenda kusaidia watoto yatima
@ummohamed4404
@ummohamed4404 3 жыл бұрын
Ukitoa mkono wa kulia washoto usijuwe.cc waislam tukitoa hatutangazi.hamna muomani anaekuja Tz bila kutoa sadaka.
@erickevarist8738
@erickevarist8738 3 жыл бұрын
@@ummohamed4404 unazngua
@yousuphnzira3209
@yousuphnzira3209 3 жыл бұрын
We mpumbavu kwaivo amekuambia hasaidii yatima. Acha KISOKOROKWINYO mpuuzi wewe
@mangisenya4012
@mangisenya4012 3 жыл бұрын
Kwa mtu anayeelewa msaada huwa hautangazwi
@dintazdintaz7311
@dintazdintaz7311 3 жыл бұрын
Kwan alikuambia amekuja kusaidia yatima?
@nasmafarmsltd9146
@nasmafarmsltd9146 3 жыл бұрын
Wadanganye hao hao ila sio tunao ish mnadaiwa bank mahari mnakopa sema Qaboos aliwasadia sana ila huyu mbona mhenyeko huo mshahara wa wafanyak kufika lak 5 ujue ana miaka c chini ya 4 ongea ukwel hata kama inauma
@salmadonne6327
@salmadonne6327 3 жыл бұрын
Mmm shoga upo oman sehemu gan unalipwa Shi ngapi
@z.nalnabhani7194
@z.nalnabhani7194 3 жыл бұрын
Acha uongo,kukopa si vibaya kama unalipa
@sophiasophia6945
@sophiasophia6945 3 жыл бұрын
Niko Oman hapa nilipo Nina mwaka naninalipwa laki sita anaongea ukweli hajaongopa
@sophiasophia6945
@sophiasophia6945 3 жыл бұрын
@@salmadonne6327 nipo ibri mshahara nikuanzia laki5 nakuendelea sema maagent ndo wanawadangamya wafanyakazi
@pendael02
@pendael02 3 жыл бұрын
@@sophiasophia6945 rudi kalime wewe
@fayeezomary6563
@fayeezomary6563 3 жыл бұрын
MashaAllah
@FatmaAyoub-yr6mk
@FatmaAyoub-yr6mk Жыл бұрын
Please naombA NAMBA
RAIA SABA WA OMAN WANAOFANYA UTALII KWA GARI WATUA ZANZIBAR
5:55
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 35 МЛН
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 10 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 14 МЛН
ALIKIBA weds Aminah Rikesh, The Wedding Vows in Mombasa Kenya
11:08
Soudy Brown, Mwijaku Watimba Nyumbani kwa Barnaba na Raya
28:12
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 327 М.
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 35 МЛН