Huyu mtu anaakili sana.kama umemuelewa gonga like👍
@user-gy5en6cy8o2 ай бұрын
Nimemuelewa vinzur mno
@MauFundiElectronics2 ай бұрын
Genius huyu jamaa.
@mimisalama74732 ай бұрын
Nyiye mkienda nje mtakubali kufanyiwa hivyo
@humphreybilly74372 ай бұрын
MFANO MZURI KWA WASOMI WASIO JITAMBUA KILA JAMBO MAWAZO OVYO.
@blandinamwarabu50252 ай бұрын
Hamna kitu wezi tu hao
@Mapenzi26352 ай бұрын
Mr Wilbard lectured the BOT governor on how to run the bank. What an amazing fact.
@sciencesocietyoftanzania59572 ай бұрын
😂😂😂
@Visualizer1102 ай бұрын
Assholes wearing suits and ties and only thing they know kupata hela za haraka haraka usizovujia jasho lame ppl
@zanzibarsnorkeling57662 ай бұрын
All facts are reality that we cannot ignore, the government itself wants dollar, if they want people to use Tshs, then they the government must stop taking dollars to make things fair
@africangirls4822 ай бұрын
Hawa ndio wanafaa kuwa viongozi governor hajui kitu yani achukue madini hayo
@joshuamacha87512 ай бұрын
He lectured him in a very simple language with vivid examples. .......asipoelewa tena apo basi
@JimTv0012 ай бұрын
I used to think I know something about Business until I listened to this man.
@hijazhija3162 ай бұрын
😅
@angeliqueangelique927920 күн бұрын
😂😂
@katematv75292 ай бұрын
Genius Chambulo, Nimefanya biashara na huyu jamaa muda mfupi sana.. lakini kwake Confident is game Changer...
@paspgroup2 ай бұрын
Jamaa yupo smart sana anastahili kuwa mwenyekiti👏👏
@blandinamwarabu50252 ай бұрын
Hamna kitu hapo anachokiongea ni bla bla haiwezekani anachokisema
@zuheorsalim77592 ай бұрын
we boya kweli eti mwenyekiti 😅😅
@Josephineexsuper2 ай бұрын
Huyu ni mwenyekiti wa TATO. Chama Cha WAMILIKI WA kampuni za utalii. Na anachokiongea kina mantiki. Ulienda nchi nyingine hawapokei dollar kwenye mauzi yoyote, badilisha dollar zako lipa in local currency@@zuheorsalim7759
@lightnessmarwa17552 ай бұрын
Kweli nafasi yake ya Mwenyekiti anaitumia vizuri....Mungu amjalie Afya njema!!
@martinamahenge44762 ай бұрын
Tatizo mifumo ya Tanzania inaendeshwa na siasa sio professionalism imagine mtu kama huyu anaingia kwenye mfumo na anaakili kubwa ivi 👏 he reminds me of my dad
@issalesson82922 ай бұрын
Best comment ever
@user-cx7uz3ri6v2 ай бұрын
Glad to see someone acknowledging her dad!
@Sylvester-zx4jo2 ай бұрын
Is your dad still alive?
@judicalosika76422 ай бұрын
Hakika
@wariobamussa24622 ай бұрын
This man is very smart kiukweli serikali yetu inapaswa kubadilisha mfumo.... Big Up Mr Man
@JamesChrizestome2 ай бұрын
Mama Samia hao ndiyo wakuwatumia maarifa yao yanaweza tufikisha mbali
@archbordygodfrey26142 ай бұрын
Kweli but unfortunately huyo huwezi mpa kazi serikalini ni mjasiriamali mkubwa.... ana hotel zaidi ya 30 Arusha mjini,ngorongoro,Serengeti ,tarangire na anazo land cruiser siyo chini ya 500,yaani ni BOSS.
@anwaryabdallah77822 ай бұрын
@@archbordygodfrey2614Awe hata mshauri waserekali ktk sekta yautalii
@abdangembe43392 ай бұрын
@@archbordygodfrey2614 siyo lazima amwajiri anaweza mtumia kama mshauri kwenye mambo ya utalii
@GeorgeAkasha-zx2rj2 ай бұрын
@@archbordygodfrey2614Nani huyu kwa jina mbona Mali nyingi
@seemanishekiao2 ай бұрын
Ushauri wake mzuri, Serikali ikiamua yaweza utumia
@BLUBEENICE2 ай бұрын
Huyu bwana ameongea point,tumpe maua yake
@koskeyella-ww6bd2 ай бұрын
huyo ndo mwenye KIBO SAFARI
@ezekieljacob57952 ай бұрын
Kila kitu uchawa tu, wewe una maoni gani?
@BLUBEENICE2 ай бұрын
@@ezekieljacob5795 kwani unataka kua chawa wangu ama
@AminaRamadhan-mg9lj19 күн бұрын
@@BLUBEENICEetii chawa wanguu😂😂😂😂🤔
@ukweli2552 ай бұрын
Bora huu mkutano alienda GAVANA...angeenda yule Wazir Mvaa Skafu ya 🇹🇿🇹🇿 sijui kama angeruhusu hata recoding ya haya na kuelewa pia
@nancyg86642 ай бұрын
😂😂😂
@dilludillu27472 ай бұрын
😂😅
@barakakusa76062 ай бұрын
Bila shakq ni Mwigulu huyo unaemzungumzia😂😂😂
@MiriamAbdallah2 ай бұрын
@barakakusa7606kuna mwingine 😅😅😅😅😅
@musicheals15452 ай бұрын
hamna kitu mulee😂
@silverman69302 ай бұрын
That dude should be the governor… very intelligent man 🏴
@koskeyella-ww6bd2 ай бұрын
This man is Owner of KIBO SAFARI in tanzania Arusha
@fallykitwara11922 ай бұрын
Smart guy,Smart points 👌
@thedeo4722 ай бұрын
Serikali imeshindwa ku control na hawataweza ku control. Rushwa na ubadhirifu umezidi. Very sad🙁🙁
@Reginaldpeter22 ай бұрын
Hapo ndo shida kuna watu wananufaika na mfumo
@norahmaxwell68532 ай бұрын
Akili kubwa ndio hizi sasa 👏well said 👌
@Onlyfacts02242 ай бұрын
YES
@piuskira71242 ай бұрын
Mchaga uyu c bure tulinyimwa nchi😅😅
@betricemainoya4176Ай бұрын
Huyu sii masai kweli
@sugashTv2 ай бұрын
Governor amefunzwa kwamba politicians are only trusted with power by people but wisdom is inborn. Governor kageuzwa kuwa maembe kabisa
@DavalsonMarlony2 ай бұрын
nyanya bhn
@paulpsyche63812 ай бұрын
Wisdom is learnt not inborn
@zanzibarsnorkeling57662 ай бұрын
Samahani niache nicheke 🤣🤣🤣
@sugashTv2 ай бұрын
@@DavalsonMarlony no knowledge is a acquired (learned) but not in born but wisdom is inborn. Unless if u are responding as a Tanzanian^^😂😂😂
@davidf.j.m62842 ай бұрын
you don't have to say governor kageuzwa maembe. badala yake unapaswa kumpongeza kwa kutenga muda wakupokea maoni kutoka kwa hao wafanya biashara...this thing is very rare kwa office bearers wengi, na nijambo lenye werevu na busara ndani yake...otherwise mzungumzaji kanena vyema.
@pabliz_2 ай бұрын
Jamaa yuko vizuri... sijui kama anaeleweka.
@csato94152 ай бұрын
Ni kweli gavana kama amemwelewa aanze kusafisha ndani kwanza halafu aje kwa wafanyabiasha, ubaya wanakurupuka bila kufanya utafiti.
@saleheinnocent76362 ай бұрын
😂
@Worldunite2 ай бұрын
Huyu anazungumxia uzoefu alio nao, lkn walioko banki kuu wanaanzisha mifumo,ambapo labda mingine haiendani na hali halisi
@Onlyfacts02242 ай бұрын
Amen
@user-ie2sr4fi4k2 ай бұрын
👍👍
@GeorgeAkasha-zx2rj2 ай бұрын
Mbona comment Kali sana hii.Ukweli ndo huo uliopo.
@malopemaliyamungu52432 ай бұрын
Less cash kwenye mzunguko ndio inatakiwa. Unadhani Dealers wa Utalii hawana Dollar Acct benki? Wanazo. Anachosema Industry ipate credit card.. hata mgeni akija Kama mfumo wetu hausomi zao wapate za hapa ili watumie dollars zao kupitia credit card zetu badala ya kuanzisha bureau de change kila hoteli. Badala yake hoteli ziwe na epayment machine tu. Wananzengo wao walipe cash Kama kawaida. Hapo hata wananzengo siku hz tunawekewa Lipa Namba... Lakini hela yetu tunayo mkononi zaidi. Hufuma zetu nyingi hamna Lipa Namba. Ana exposure na Industry
@blandinamwarabu50252 ай бұрын
Huwezi endesha dolla kwa uzoefu au kwa maneno😂
@nathanpallangyo52442 ай бұрын
HEBU NCHI YETU IFUKE MAHALI SERIKALI IFANYE KAZI KWA WELEDI ZAIDI HAPA INAONESHA MFABIASHARA ANAVYOPATA SHIDA BILA SERIKALI KULIONA HILO. UPGRADE YOUR SYSTEM MY COUNTRY.
@makongorowassira65932 ай бұрын
Serikali inajua inachokifanya, wana create confusion ili wao wanufaike. Hawataki kuweka mfumo unaoeleweka maake watakosa rushwa zao. Shh 😊
@fauzibinzoo65632 ай бұрын
Hii nchi mfanyabiashara mzawa ananyanyasika Sana tofauti akienda nchi zingine
@jamesriwatuvana95612 ай бұрын
Lets wait and see
@Visualizer1102 ай бұрын
Pure failure ndio maana hatukui sekta ya utalii pamoja na potential tuliyo nayo
@barbarasara40332 ай бұрын
Tulia Dawa ikuingie......
@rashidally72852 ай бұрын
Soo smart Hawa ndio wanaojielewa
@liboriusbabile11972 ай бұрын
Hakuna hata siku moja serikali ikakubali kufanya Kazi na watu wenye akili kama hawa , itashindwa kuwaburuza, serikali huwa inawapa cheo ma mburura na machawa tuu. Huyu mtu anajua anacho ongea na confidence yake inamuelezea vizuri.
@nickmoshi82432 ай бұрын
Kweli kabisa
@sigorijoseph49772 ай бұрын
Kweli kabisa
@Josephineexsuper2 ай бұрын
Huyu kaishia la Saba tu. Tizama alivyo na akili. Ndo ujue akili sio lazima uende shule. Huyu la Saba ana akili kuliko PhD holders
@liboriusbabile11972 ай бұрын
@@Josephineexsuper na watu kama hawa tunao wengi Sana wangeweza kusaidia mambo kibao, tatizo huo mfumooo😄😄😄😄
@faithjonathan38452 ай бұрын
Umeongea fact kabisa. Ofisi za serikali maboss hawataki kabisa mfanyakazi mwenye akili maana anajua hawezi kukuburuza...na wakati wao hawataki kufanya kazi kwa kufata utaratibu so wanataka wachukue wajinga tu wawe machawa...Watu wenye akili hata kwenye vikao maboss huwa hawataki uongee kabisa na wanasema eti ni wabishi. Bongo ukiwa na akili tu watu wanakutungia jina la MBISHI/ MCHOCHEZI/ MGOMVI. Ili wakufanye ukubaliane na upuuzi wao wakati deep down wanajua kabisa huna baya ila wanakutungia hayo majina kukumanipulate usiwachallenge. Na kamwe hatutaendelea kwa sababu watu wenye akili kama hawa hawatakiwi kuongea....
@barakapaschal25302 ай бұрын
Hawa ndio wanatakiwa kukabidhiwa wizara ya utalii👏👏👏
@Visualizer1102 ай бұрын
Yep ana knowledge na uzoefu from the field
@igwe212 ай бұрын
I am so impressed! well done Mr. Chambulo. Genius explanation!
@josephmatemu42782 ай бұрын
Chambulo excellent clarification. Serikali ione huu ni mfano mzuri na wachukue.wizara zote ziwe na wazoefu walioko kwenye field kwa ushauri.nchi itasonga siasa ikae pembeni.
@lmdos43822 ай бұрын
Safi sana, Serikali imefaili moja kwa moja kwenye masaula mazima ya utalii
@nuruurio83192 ай бұрын
Si vile wengi hawaju watu wanaona cruises zimepangana barabarani wanasema e nchi ina ela sasa watu biashara zetu zizunguke kumbe tunaliwa
@jumakessy75602 ай бұрын
Tanzania ukiacha kwamba tuna vivutio vingi vya asili, wanyama, mlima kilimanjaro fukwe nzuri za bahari lakini mwaka 2023 wameingia watalii milioni 1.2 tu wakti misri wameingiza watalii milioni 13, halafu unaanza kusikia wanaleta sheria za namna hii
@lmdos43822 ай бұрын
@@jumakessy7560 Hii nchi ni ya ovyo sana
@MUSK_HARMONY2 ай бұрын
Huyo Governersi ndye aliyesema maisha hayjawahi kuwa mepesi ... No wonder he is outsmarted by this man
@rlmtok66292 ай бұрын
The only governor in Tanzania without a high education : Doctorate(PhD). Mwepesi sana kuongea compared na waliopita kabla yake kwakuwa Hana credentials
@JELSONMAUKI2 ай бұрын
Kweli kaskazini hakunaga fala . 🔥🔥🔥🔥
@user-kk7re2jl8y2 ай бұрын
😂😂😂😂
@shinipapaya8462 ай бұрын
Wengi wao ni mapunga 😊😊
@RafikimediaTZ2 ай бұрын
True watu wa kaskazini wametutangulia wapo Bright sana.
@shinipapaya8462 ай бұрын
@@RafikimediaTZ umetanguliwa ww na wazazi wako wasio jitambua na huenda ni mapunga chele 🤣🤣
@RafikimediaTZ2 ай бұрын
@@shinipapaya846 asante kwa kunitukana ndugu yangu.. sasa kama jirani yako anafanya vizuri zaidi yako kwani ni mbaya kumpa pongezi zake. Wewe unatoka mkoa gani? Kilimanjaro ni mkoa unaoongoza kwa kuwa mbele kimaendelea na hata kwa kuwa na shule nyingi za secondary pia. Niambie wewe unatoka mkoa gani?
@vero572 ай бұрын
Very smart uncle 👍👌🔥🇹🇿
@BJMKANGALA12 ай бұрын
Mzee Baba unafaa kuwa Mwenyekiti wa maisha. Unaongea kiukweli na uhakika tena kwa kujiamini. Shukran asante endeleza mapambano ya kujenga taifa letu Tanzania! Mungu akupe nguvu na afya njema!
@davidsillo9162 ай бұрын
Kaburu very Smart lecture
@richardmbasha14112 ай бұрын
Well done KABURU,... wafanyie kazi basi
@abdulymaeda26972 ай бұрын
Mchaga uyu kaburu wap
@user-pr7wj1nm1g2 ай бұрын
KABuRu @ a k a Hilo jina ndio anajikana zaid@@abdulymaeda2697
@domymerinyo81652 ай бұрын
Huyu jamaa alianza biashara kwa shida sana mwanzoni. Usimwone hapo anaongea ni mpambanaji kwelix2. Usikate tamaa kwenye kila unachofanya,ongeza juhudi na maarifa zaidi
@minboytz35752 ай бұрын
Ata kama ujaenda shule Kwa uyu mzee lazma utamuelewa
@winniemakundi62792 ай бұрын
Real fact💯 akili kubwaa hii
@alexikim70052 ай бұрын
Knowledge and wisdom kwa mpigo moja
@ulimbombonaulindi50882 ай бұрын
Very smart, narudia Tena VERY SMART. Maskini wa Mungu Governor imebidi atulie tubaskize. Tatizo lipo serikalini, kama ana mawazo maana ameelewa.
@neemabright36352 ай бұрын
Very very logic and smart congrats bro chambulo.....
@ismailmuna16042 ай бұрын
Watu Wafunguke Kama Hivi Afanyavyo Huyu Jamaa Hiyo Haliinatupa Taabu Sana Inchi Nzima Asante Sana Kwa Kazi Nzuri Kama Hiyo👍👍👍
@AlhajiIssa-jb9hr2 ай бұрын
This man is very bright 🎉
@user-jh4hg2ev9s2 ай бұрын
Serikali ikishauriwa mara nyingi inafanya the opposite. Hii inadumaza biashara.
@adelinelyaruu30362 ай бұрын
Wanajifanya wajuaji
@farijala12 ай бұрын
Hili suala limeshazungumzwa miaka nenda Rudi. Kuna Pahala Ukiuliza bei unaletewa Dola. Mahoteli hivyo.. unajiuliza kwani Marekani ukiuliza Bei wanakwambia Bei kwa Currency ya Wapi?
@idanysedrc12002 ай бұрын
Jamaa genius kuliko waliopo kwny Hy sctr
@FahadAbubakari2 ай бұрын
Tz wasomi wanasuti kubwa kichwani weupe wamejaa nadharia theorist tu hao wafanyabiashara wako field wanafanya huwezi wafananisha na hao wavivu.
@user-it7ih1it3m2 ай бұрын
Yupo saiti
@archbordygodfrey26142 ай бұрын
Hao ndo wanajua dollars kuliko hata benki kuu,since 1990s jamaa ni Boss mkubwa kwenye sector ya utalii nchini
@festohaule97162 ай бұрын
haaaaaaa haaaaaaa kweli ni wasomi kichwani kweupe kama theruji..@@FahadAbubakari
@FahadAbubakari2 ай бұрын
@@festohaule9716 tz usomi hauna maana tena watu wanaelimu ya umiliki wa mahudhurio ya darasani ni wasomi wachache mnoo labda unaweza waelewa wengi machawa na wavaa suti ila kichwani hamna jambo watu wakushangilia na kushabikia ila si watu wenye mawazo ya maana
@juliusngowi9522 ай бұрын
Very interesting to listen to this Man
@isaacjosephjoseph27332 ай бұрын
Yaani watu kama hawa tunawahitaji mno kwa mafanikio ya taifa letu la TANZANIA 🇹🇿 aisee daa anaakili balaa!!❤❤❤
@AbdalaBlackford2 ай бұрын
Genius kabisa 💯
@abuumohamed70902 ай бұрын
very smart guy
@natgeowildafrika73282 ай бұрын
Huyo ndo kaka yetu
@mathewdyzymaleyafrica91282 ай бұрын
Ndio mana hamtaki warusha kubwa viongozi akili nyingi mnooo kwenye pesaa mazee
@aloycesamba9982 ай бұрын
Umeongea point sana mzee wangu pokea🌹💐🥀
@jimmychengs13382 ай бұрын
Absolutely genius 🎉
@kundaelikilewo71762 ай бұрын
jamaa ana akili kuliko Gavana,huyu mtu mama anatakiwa kumpa uwaziri wa utaliii ,very smart Man
@mussamhando222 ай бұрын
Aliyekwambia Serikali yetu Inawahitaji watu kama hawa nani?
@milley71852 ай бұрын
Unaffiliated wote serikalini ni smart vilaza tu ..Pampa na maphd ..jiulize mganga anaonaje siri zao za ndani na yuko kwa nyasi ..
@ElieshiMaphie-tw7rlАй бұрын
Abaki hapohapo ndo vizuri ajue madudu yaliyopo.Akitoka hatakuwepo wa kuongelea hayo maana hatayajua
@Wami-SababishoАй бұрын
Mzee anaongea point sana,hao hawajui kama hela zinazotembea mkononi (Cash) nyingi hawalipii hata kodi na kama nchi hawawezi hata kujua mzunguko wa hela. Kikubwa hela itumike huko kwenye mabenki ( mzunguko uwe wa bank).
@fidelfidel-jz4iw2 ай бұрын
Mr wilbard lectured the BOTgovanor on how torun the bank what is amazing fact this country.
Na wanatumia nguvu kuweka sheria zisizo endana na hali halisi
@didasmswete6782 ай бұрын
KUNA WATU WAPO NJE YA MFUMO WANA KITU KULIKO WALIOKO KWENYE MFUMO
@stevenmabungi32452 ай бұрын
Exactly 💯
@Bensonfrank252 ай бұрын
Sure
@mariamikoa2 ай бұрын
True
@omarybakunda25542 ай бұрын
Nyie serikali litumie hili jamaa lina akili sana sijawahi kuona.
@simonrusigwa30242 ай бұрын
Wao wanamtukia bashite
@golebenson45972 ай бұрын
Wanaogopa watu Wenye akili mingi
@joelirunde28232 ай бұрын
Uko vizuri Chairman
@johnbuluma88612 ай бұрын
Hongera sana
@demicratia40712 ай бұрын
Anaongea thru Experience sio vyeti fubafu
@bornkilla61732 ай бұрын
Genius 🔥
@user-ek3rm1gz4bАй бұрын
Mwarim wangu Babu hongera
@ayoubbenta44992 ай бұрын
Mh wiliam chambulo,maarufu(kaburu) kaka upo vizuri sana you have got highest knowledge!! Hebu Toa somo kwa serekali,that’s true story’mama nadhani unasikia😂gavana sasa umepata mwanga
@neemamwanga54472 ай бұрын
😢wafundishe hso wanafanya kazi certificate hawajui kitu hao wanakaa tu ndani hawana uzoefu hawamiliki hata kibanda cha mboga na matunda wafundisheni hawajui jaman wanajua kushusha hesabu bila kujua inaanzia wapi
@user-ie2sr4fi4k2 ай бұрын
😂😂😂😂
@boniphace12 ай бұрын
Pale serikali inapopewa darasa.
@itanzaniaAS2 ай бұрын
Nimecheka😂😂😂
@golebenson45972 ай бұрын
Wameyakanyaga 😂😂
@Hajer-be2kh2 ай бұрын
😂😂😂yani wanapewa somo na mwanachi 😂nimependa
@janethpallangyo3855Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mammukaratu20842 ай бұрын
Hakuna Mchaga mjinga...The man is very smart
@user-yz3zi6ht3j2 ай бұрын
Wapo wapumbavu but this man is very smart (bravo)
@kiulajoseph91942 ай бұрын
Mbona wapo mamangulo wengi tu vilaza😅😅😅😅😅
@ilovejesus93032 ай бұрын
@@kiulajoseph9194😂😂😂😂😂😂
@AhmedHassan-vl5zf2 ай бұрын
Hii nchi ya bangi ndio maana Tanzania pamoja na sehemu muhimu za utali na haina nusu milion ya watali Morocco hakuna urasimu watali wanao kwennda Morocco NI milion 30
@godfreyshao39142 ай бұрын
Big brain👊
@gibsonjosephat63522 ай бұрын
Jamaa ana confidence sana anajua anachokisema. Safi sana Bro.
@user-qv8qo3ff3q2 ай бұрын
Umeangea kwa akili huko ndani safisheni kwanza ndo mje kwa wapiga kura, kumaanisha nyumba ni chafu inaitaji usafi, safi sana kaka Akili yako imekqmilika.
@user-nb6yh2bn9y2 ай бұрын
MiMi mfanya biashala south nikitoka nje ya South nimeuza mzigo nikienda na dola Hakuna anaenipokea Hawataki kuiona dollar wanataka Rand Tuu ivyo nabalianae kabisa mkuu
@gabrielkokolo42512 ай бұрын
Very Smart man
@estermndeme12552 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 my people wa kaskazini . Akili zetu zinafanyaga kazi vizuri sana.
@jamesngowi6752 ай бұрын
Uyo anaitwa Kaburu, he is smart
@noelnjementi85112 ай бұрын
Jamahaaa anaakili sana
@denssimon55852 ай бұрын
Hizi brain zipo nyingi sana hii nchi tukiamua zitumia tutasogea mbali sana👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
@Josephineexsuper2 ай бұрын
Imagine, wanatumia kigezi Cha elimu na wasomi wao ni tia maji tia maji😊😊.
@itanzaniaAS2 ай бұрын
Knowledge is power
@kichuu9812 ай бұрын
Wamebaki wameduwaa jinsi jamaa anavyotema nondo😂😂😂
@AugustKisaka-qy7kl2 ай бұрын
Kakutana na nondo ya funga kinywa kimiaaa
@jasonwatz74572 ай бұрын
Kuna tofauti ya mtu alieko field na alieko ofisini, hapa ndio inaonekana
@abdulsaid21612 ай бұрын
Genius mwamba Yuko vzr san
@NadeemKhan-zo8dc2 ай бұрын
Respect
@samwelhechei85372 ай бұрын
Uko vizuri sana
@abdull_hafidh2 ай бұрын
Huyu jamaa anaakili mno
@kikalarashid90032 ай бұрын
Tatizo ni hao hao wanaongoza kwa money laundering! Ndo maana wanajifanya wehu! Hawataki kufunga mifereji yao ya kuiba.
@jaggysingh11072 ай бұрын
Safi sana mr chambulo👍👍👍👍👍👍👍
@Uhuru3512 ай бұрын
Wisdom❤
@njemamehuna98212 ай бұрын
Huyu jamaa anajua sana
@hijrymez_56802 ай бұрын
Geniuz
@salminwamu22972 ай бұрын
Very smart and intelligent
@sebastiansalamba3132 ай бұрын
Mwigulu nchemba Dr
@kathrynmfm48012 ай бұрын
Hao wazee wa suti nyeusi ndio black market yenyewe ndio maana they are acting stupid hapa wanajua sana kinachoendelea ndani ya nchi kifupi pale kwenye towers mbili pamejaaa uozooo
@bsmonline84822 ай бұрын
Jamaa kaongea mpaka Gavana kapiga na Makofi. Huyu ni Big Brain Business Man
@jasonwatz74572 ай бұрын
Hawa ndio watu gavana awaweke karibu sio wana siasa
@user-ny7hm4ft7j2 ай бұрын
point sana
@venayo2 ай бұрын
Very wise
@ayoubkilasi81242 ай бұрын
Thanks alote, tumeyaongea sikunyingi sana tumekuwa tukiyasema haya taangu 97
@zerochanneltanzania37972 ай бұрын
Inauma sana Aisee. 🇹🇿
@user-hy3en6vk5fАй бұрын
Chambulo you are so bright 👍👍👍
@agreyminja94122 ай бұрын
Jamaa anaongea point sana nadhani Bank kuu iwashirikishe wadau wa sekta mbalimbali kama hawa kabla ya Kutunga sera
@melkiorikalele7534Ай бұрын
❤ Hongera kwa ukweli
@nyandagapi33642 ай бұрын
😢😢kumbe huwa najitamkia dollar tuu sijui ata maana ake.. many thanks man kidogo nimepata pakuanzia
@jeremiahandrew18492 ай бұрын
Mtu sahii anayatakiwa kuwa wazir wa fedha sooo smart