Motivation nyingi kumbe mzee wa ngada , vijana wa kitanzania tujifunze sana hapo. Tunapenda kusifia na kufata watu tu tukiona wana akili kumbe tunapotea
@khadi-z4o8 күн бұрын
Fact100%
@JujuGurugu047 күн бұрын
Hupotei kwakuwa we unachukua tarifa unayoiamini ya lidgit business na ndio itakuwa time kumotivate kuwa great person kwa kufanya ligdt business, haya y anafanya nn chini ya pazia is not ur business 😂
@mansooraziz79667 күн бұрын
@ lakini we huoni kwamba unapambana na mtu ambae anafunguo za chumba ulicho weka silaha ? 😄 atakupa motivation nying lakin tambua ni ngumu kufikia malengo hayo kwakua mwenzako wala hafati yale anayo kwambia.
@AFRICA_D6699 күн бұрын
Dah..bora ukamatiwe mahangaikoni kuliko..jitu zima unakamatwa ukiwa kwenye kiuno na mke wa mtu...respect mr mfanyabiashara mpambanaji💪
@mpjozzegalvanize49269 күн бұрын
😂😂😂😂 noma sana
@bcozhenry26989 күн бұрын
Wajinga wote mtampongeza huyu mharibifu, lakini ukikutana na watu waliobadiishwa na madawa hayo kuwa mate mateja utatamani apiwe moto haraka
@pengefeza25639 күн бұрын
Huyu ni zaidi kwa sababu ni muuaji. Muwezeshaji hata wa kundi za ujambazi kama kuluna kwa sababu wanatumia dawa za kulevya kupora, kubaka na kuaa watu wasiokua na hatia.
@louangesid9 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@yohanadeusi90849 күн бұрын
Wewe nawewe unasifia ujinga mtu anaharibu vizazi wewe uko kusifia zaa hao watoto wako waje wale hyo madawa uone balaa lake
@Dinno_Dee9 күн бұрын
Papaa eric mandala the Don
@MuhemeliChikoti9 күн бұрын
hela ya uhalali ni vigumu sana kuwa tajiri
@bujashidaniel55379 күн бұрын
Kabsaa
@hanifa91539 күн бұрын
Kwa wakristu labda😂
@MuhemeliChikoti9 күн бұрын
@@hanifa9153 kwa yoyote yule chunguza utapata jibu
@NikrahAyubu9 күн бұрын
Mmh acha hz kwahy unataka kusema watu wote waliomatajr ni wanafanya biashara za haram au kuna watu jmn wamebarikiwa mno
@MuhemeliChikoti9 күн бұрын
@@NikrahAyubu fanya uchunguzi utapata jibu.. au ulikuwa unajua kama barhresa halipi kodi mpaka alipokuja maghufuli ndo ukajua ?
@malkavoice25709 күн бұрын
Hata huyo Lugumi na Rafikiake Godlove wakifuatiliwa vyema utawakuta humo. Hii biashara ina wengi sana sema kuna fitina zikitokea kwa chuki au ugomvi wanaamua kukuharibia
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج9 күн бұрын
Uko sahihi AF wanatuzungisha😂😂😂😂et freemason ata wasanii pia wapo wengi humo
@beeledem8 күн бұрын
I can guarantee you Lugumi anauza ngada
@bakarially2539 күн бұрын
Hongera sana mandala kwa kujaribu
@issazalala49078 күн бұрын
Hapa duniani ishi maisha Yako mafanikio Yana Siri kubwa ilio jificha
@domowalidomo49228 күн бұрын
Wacha ufie tu huko jela nyie washenzi mnaishi maisha ya kifahari wakati mnatuulia ndugu na watoto wetu
Wauzaa ungaa ufungwe mileletuu huna mana kabsa mumemwaribuu chdbenz
@AfrateryBackup9 күн бұрын
Noma sana
@juniorfrancis7389 күн бұрын
Hapa ndipo huwa tunabiwa usitaman sana mafanikio ya mtu sababu haujui kayapataje
@Nuru95689 күн бұрын
Usitaman maisha y watu😢
@LucyNgowi-r2o9 күн бұрын
Kweli
@JujuGurugu047 күн бұрын
Acha mapepe😂
@ramermohamedy43449 күн бұрын
Jamaa Nmemfaham kupitia nyimbo za fally ipupa.... fally amemtaja sana jamaa kwenye nyimbo zake
@antipascann27979 күн бұрын
😂😂😂amini ya kwamba
@IliozabilikaEphrem9 күн бұрын
Kaka nakukubali sana unasimulia vizuri sana:
@Maiko-d1s9 күн бұрын
Boss mama dangote Boss Eric Mandala Yope mapesa yooh 🥱🥱
@djmaxmnyamaglobal77449 күн бұрын
Kwishaaaa😂
@aminatanzanya74759 күн бұрын
Daahh😅😅
@sinemax-w6q8 күн бұрын
Kwisha habar yke
@tabasamtv67287 күн бұрын
Alijikuta Escobar jamaa unabebaje Kg200 😂
@marrykigabimk8 күн бұрын
Eeeh Bwane kwakifupi Amejitoa kwaajili ya familia yake kamatwa kwa pesa ya mahana # mwanaume🙌🏾🙌🏾
@petronyereresaliboko40478 күн бұрын
Jamaa anampunga sana huwa anatajwa sana kwenye nyimbo za fally ipupa ikiwemo wimbo wa Maria pm
@KenyanaiBeats2549 күн бұрын
Sasa ndio zamu yake kucheza YOPE 😂😂😂😂
@HabibuUrasa9 күн бұрын
hiyo ndiyo hasara ya biashara haramu.mwisho wake ni udhalilifu ,sasa atafia magereza,
@MaryamDullazy8 күн бұрын
Eric mandala leo ndio namuona namsikia tu kwa falli ipupa😅
@Janice-x6c9 күн бұрын
Mungu nashukuru kwa hii yangu kidogo mtandao wenye wanaishi maisha kubwa mara dawa za kulevya ama pesa fake yani utajiri wa mtandao niwa deal mbaya mbaya kama hush papi wa nigeria wow
@sulleymanjimmy22149 күн бұрын
Kaimbwa sana na Fally Ipupa kwenye nyimbo zake
@elphinejoshua19149 күн бұрын
Fredderick bundala na yy ni mandala binataka endana😂
@EliudiJastini9 күн бұрын
Maisha yanasiri sana kwahawa matajiri niwachache sana ukifatilia utajiri wao niwahalali chamsingi kupambana tuu
@merrynancesimon15628 күн бұрын
Bado wengine wanasema kilimo 😂😂😂😂😂😂😂😂ni noma aiseee
@lisawilliam24918 күн бұрын
bora miambili yangu🤣🤣🤣kila utajir wa mtu una kistory fran either mzur o mbaya
@starjay30528 күн бұрын
sisi ndio wagonga ulimbo 😁😁
@hassanmkangwa20629 күн бұрын
Vijana wengi tuna danganyika na maisha ya mitandaoni bila kujua yanapatikana vipi
@NdituTV9 күн бұрын
Wauwaji hawa, Vijana wengi wamelala kisa madawa, Future zao zimepotea.
@itsdjallen8 күн бұрын
Dah😢
@yussufhassan51799 күн бұрын
Unatajirika kupitia kuaribu maisha ya watu wamoja wanakua machizi kwa kuji drogs huku ukifurahia maisha na familia yako Kisha unataka baraka haramu ni haramu tu
@mosescharles19219 күн бұрын
Mungu amlinde hata uko gerezani
@domowalidomo49228 күн бұрын
Amlinde kwa sababu gani?
@vero579 күн бұрын
Hizi pesa hizi khaaa!!! Mara wengine wanauza mwili, madawa ya kulevywa, kutoa watu kafara , boda boda piga kazi !!!🥳👌🏼
@KhadijaMasoud-d2z9 күн бұрын
Usiutamani utajiri wa mtu kwakweli Tupambane tutafute pesa ya halali tusisahau kumuomba Mungu sana utajir anao Mungu yy ndo anaetoa venginevyo haya ndo yatakukuta
@mosescharles19219 күн бұрын
Mungu akulinde tena zaidi eric zidi kufanikiwa
@zebedayokatamaduni96769 күн бұрын
Amlinde huko huko gerezani 😂😂😂
@mosescharles19218 күн бұрын
Mi napenda watu wanaofanya kila njia ili mradi wafanikiwe bila kijali kuna hatari kiasi gani
@ZiyandaMhlana9 күн бұрын
Nilijuwa huyooo atamukuta ana panda kagame sana
@hellenrichard65282 күн бұрын
Tobaaaa
@sund25539 күн бұрын
Akaandika na kitabu kudangany watu wapambane wafikie life lake kumbe mwenye kitabu ana njia zake Kweli😂 usitamani maish ya hawa ma celebrity au weny pesa
@khadi-z4o8 күн бұрын
UMEONAEEEH. UKWELI UTADHIHIRIKATU IKO SIKU.HAUWEZI KUJIFICHA😅
@luendosabah20477 күн бұрын
Huyo Mungu amusadiye tu,
@allyahahmed10917 күн бұрын
They inspire us without telling us the truth mtu unahangaika ufike uwe kama wao unapbana mpaka nguvu zinaisha 😂😂😂
Kaka sky please 🙏 andaeni GPS kuhusu Ndugu zetu wa DRC na vita vinavyoendelea huko
@fisjaykitamuliko11839 күн бұрын
Iyo siyo tarifa kubwa kwa sasa congo abari kubwa kwa sasa congo ni uvamizi wa rwanda kwenye eneo la mashariki mjini goma acheni kutowa tarifa ambazo zina mhusu mtu mumoja mkiacha ambazo zina husu taifa lote
@merrynancesimon15628 күн бұрын
Duuuu huyu ni mwamba aiseee Kama Pablo Emilio escobar 😂😂😂😂😂😂😂mamaeee 😂😂😂😂😂Kama movie vile
@elijahbaraka94708 күн бұрын
Afu utasikia wakiulizwa wanasema nikumtanguliza Mungutu na kuanza bihashara ndogo. Aise utajiri unasiri nyingi
@nadhifamustapha75579 күн бұрын
SHEM ON YOU😮
@Mbaley9 күн бұрын
Where is my country 😭
@josemrema57898 күн бұрын
KUPAMBANA MUHIMU #MPAMBANAJI
@khalsasalim79308 күн бұрын
Watu wana siri zao 😂
@mmassyferguson49599 күн бұрын
Wewe ni mshindi wewe ni bora siku zote Erick mwenyez mungu akupiganie ktk kipindi hich kigum
@HassanRamadhanPashua9 күн бұрын
Biashara haramu ndio mungu amuhurumie
@emmadora78489 күн бұрын
Mungu yupi huyo?
@othmanhemed32298 күн бұрын
Vijana tutafute hela lakini sio hela za Mihadarati.
@MohamedKaburu8 күн бұрын
Vijana wa matamaa a.k.a tafuta hela na huyo ndio mlimuona mjanja wenyew maisha ndio yameishia hapo sio kila aliefanikiwa anafaa kuigwa wengine wanafaa kutazamwa tu
@KilagulaOscar8 күн бұрын
Erick mandala
@amriamraan26129 күн бұрын
Yoka bebe na yo erik mandala 😂😂
@kadeejakadeeja19299 күн бұрын
Izi pesa zina siri nyingi
@elijahfresh59859 күн бұрын
Kwenye ile nyimbo ya Mayday ya Falii Ipupa jamaa katajwa sana.
@dayana5513story9 күн бұрын
Boss kaniangusha ukiwa boss unatakiwa huachie vijana
@edwinntabwa54519 күн бұрын
Kuna Sehemu lazima uende Mwenyewe kulingana na uzoefu na ueredi wako wa kazi na roho ngumu. Kuna baadhi ya ßehem vijana wanaogopa kwenda 😅😅 . Raha ya kazi Hata kama umeajili watu ni Vizuri Sana Uwe na Utaalamu nayo panaposhindikana unaingia Mwenyewe
@amaniramadhani38678 күн бұрын
Daaaahhhh .... Kweli mzeee ...
@JeanjacquesAmuri9 күн бұрын
Ata rudi kunyumba Congo DRC alienda kumupelekeya vini jr😂
@mpjozzegalvanize49269 күн бұрын
Papaa tulia 😂😂😂
@Dinno_Dee9 күн бұрын
😂😂😂😂
@Puppycreative9 күн бұрын
Pesa zipo huko, wanasiasa ndio viongozi wakubwa ktk biashara hizo
@Jihelya9 күн бұрын
Mwanaume tena amekamilika kabisa tumpe 🎉🎉🎉🎉🎉yake
@AllyNzisabira7 күн бұрын
Nasemaga siku zote kuwa tajiri na hela ya halali ni ngumu mnoo na utakua mwenye hela ya wastaani tu sio kivile, nafikiri wahuni tunamkumbuka kwenye IYOPE akitajwa ERIC Mandalaa hirii hirii hirii Inoss'B😂😂
@btylove18709 күн бұрын
Natajiri wengi wenye pesa za ghafla hizi ndio kazi zao. Ndio maana sio vizuri kutamani maisha ya watu, wengi wao niwauwaji! Very sad
@makabilladee76939 күн бұрын
Hapa ndio tujifunze vijana tusiumize nafsi zetu na Fikra kwa kila aliefanikiwa kiuchumi wakati hujui chini ya meza kuna Nini
@kennethbenjamin2758 күн бұрын
Haya mliyokuwa mnamshabikia nendeni mkamtoeee
@GiftAbduly9 күн бұрын
Utajir n mgumu sna ndio maana watu wanapita shortcut ambazo nazo hazidumu
@Brainwave-b259 күн бұрын
Watu msipewe pleasure. Na maisha ya watu, michongo wanayo piga sio poa 😅
@chingychingy20669 күн бұрын
Me mwenyewe biashara ii naipenda nije kufanya
@MizeKombeSuleiman-id1rp8 күн бұрын
Cjui kwan mm ur cwaamini awa madon awa ni mitiani tu bora nile viporo vyangu nikisave nifanye yangu bila kujionesha period.
@amriamraan26129 күн бұрын
Erik mandala boss, Mama dangote.
@Anoniem123-u5m9 күн бұрын
Duuuh 🤭
@LucyNgowi-r2o9 күн бұрын
Maisha ni siri nyie usione mtu amefanikiwa nyuma ya pazia ni mengi yamejificha
@Zuhuranadadoita9 күн бұрын
Duuh hatari saaana
@christinewomanoffaith54799 күн бұрын
Aisee tukiwaambia watu msitamani maisha ya watu Aisee yaani na juna watu wamenunua na kitanu chake😮🙄 Ushenzi mtupu na mke lzm anajua
@maxwellmkandawire31629 күн бұрын
Ndiye aliye mlithi Hush puppy
@homeandaway28119 күн бұрын
😂😂😂😂 hawakomagi
@LucyNgowi-r2o9 күн бұрын
Hushpappy anaozea jela sasa😂😂
@Jenifajerad8 күн бұрын
Uleusemi usitamani utahiri wa mtuuuu ndohayaaa
@Farajahelene230319 күн бұрын
Shame on theme they're jealous of africans leave our rich congo 🇨🇩 men in peace we love you papa congo 🇨🇩 voice
@RachelMinja-yj3du9 күн бұрын
Na hayo madawa wanavyo yakamata hua wanayaweka wapi 😢
@MonicaMwanjala6 күн бұрын
Ko Mutamba alikuwa hajamuona huyu jamaa nae anastahili adhabu kama waliyopewa vijana wa Congo
@MunduKatanaCharo9 күн бұрын
Hio Ni njia moja wapo yakutafuta riziki . But lets say ajali kazini. Sorry brother Mandala wacongo mnasafari ndevu Sana.
@jozamsolomon40028 күн бұрын
Huyu jamaa alistahili kuuwawa hapo hapo kama siyo siku hiyo hiyo fikilia kilo 200 za cocaine ni watu wangapi wangeathirika kutokana na urahibu wa cocain, dah hakustahili kuendelea kuishi.
@dianajohnson72689 күн бұрын
Ila iyo nembo yenu ya sahiv ni mbaya adi nilipotea, ile ya mwnzo ndio nzuri, hiyo mlotumia saivi kuna vi channel vingi vyenye habari za uongo vinatumia
@bonemwaminifu39358 күн бұрын
Wengi sana ndo michezo yao
@hizamawa60469 күн бұрын
The Lord cartel
@johnrevocatus99559 күн бұрын
Za mwizi arobaini daah 😢
@faithaction25059 күн бұрын
Hela halali n ngum sana, Mwamba kapambana manake hata kufanya hivo tu kunahitaj upambanaji, ILA SIO MFANO WA KUIGWA
@TryphonRabson9 күн бұрын
kawaida iyo mda wowote piga dili linaloweza kukufanya kua milionea usiogope mapito ya watu wengne
@Mrcat-w2o9 күн бұрын
Wafanyabiashara wengi wanauza unga ila wanazuga kwenye biashara za kawaida
@hafidhiabdullah31729 күн бұрын
Kwenye hicho kitabu ameandika kama alikua anauza ngadu hahahaha
@kimsmcharo75409 күн бұрын
Hii biashara matajiri wengi wanafanya sema mpaka wakamatwe nimpaka wachomane