MFANYAKAZI WA NDANI ADAIWA KUJINYONGA, MAMA YAKE MZAZI ANYWEA POMBE PESA ZAKE ZA MSHAHARA

  Рет қаралды 7,355

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 40
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 3 күн бұрын
Inaumiza sana wazazi wasiojierewa na kutonea uruma watto wao Kaz za ndani tabu sana jmn wazazi kuweni na uruma...ata uku Oman kunamdda ndg yake kamria pesa za miaka minne
@Ayuminchasi
@Ayuminchasi 3 күн бұрын
Duh inauma sana 😢😢😢
@bahatielias6443
@bahatielias6443 3 күн бұрын
Hivi ukiwa omani huwezi kutunza hata kwenye sm? Na ukirudi ndio ukatimiza malengo yako
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 3 күн бұрын
Bank ziko wanaweza kuweka bank mpaka siku anaondoka. ​@@bahatielias6443
@njuka3515
@njuka3515 3 күн бұрын
Simu ikiblokiwa alafu Kuna muda watu wa simu ndio huzichukua pesa hizo​@@bahatielias6443
@MariyimJumanin
@MariyimJumanin 2 күн бұрын
Jaman khaa duu uko Oman sehemu gan shoga na mim Niko oman
@stellastella2795
@stellastella2795 19 сағат бұрын
Hiikitu inauma sana mungu atusaidie
@amanmaleko3085
@amanmaleko3085 3 күн бұрын
Tunatuma wanakula unamia ila ndio hivyo maisha yanasonga daa huyo biti daa Bado mdogo sana
@pendogwisu
@pendogwisu Күн бұрын
Kumekucha. Angejinyonga boss waka hakuna ambaye angeshangaa hapo lawama zote zinaenda kwa boss
@linnerphilip4260
@linnerphilip4260 3 күн бұрын
Afu mtasema ety mzazi hakosei khaa
@Ayuminchasi
@Ayuminchasi 3 күн бұрын
Wanakosea sana sana wasikosee kwani wao malaika mm siwezi kutuma kma mzazi hajielewi
@emmadora7848
@emmadora7848 3 күн бұрын
Hii iko Africa tu 😢
@emes602
@emes602 20 сағат бұрын
Ndio maana binti yangu anakula zake yote😂😂😂😂😂
@AminaAmine-v4m
@AminaAmine-v4m 18 сағат бұрын
Bora huyo hataki shida
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 3 күн бұрын
Sasa ndiyo mambo gani hayo kuficha uso na likofia? Utasababisha tuache kuangalia Millard Ayo. RIP
@Zxodes
@Zxodes 2 күн бұрын
Mdada wa kwetu alilia kama kafiwa aliposkia mamake mzazi amechukua mazao aliyonunua na kuhifadhi akauza bila ridhaa yake.Ilimuuma sana aisee.wadada wanapambana ila wazazi saasa
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 3 күн бұрын
Mara nyingi sana ukiwa mbali ukituma hela ya ujenzi mbali na pale ulipo kitu unaenda kukuta ni kituko!!...hapa mjini tuu ikimpa fundi mgongo imekula kwako,sembuse uko mbali. RIP biinti mzuri, na aibu kwa wazazi wa hivi😢
@GloryTemba-d5t
@GloryTemba-d5t 3 күн бұрын
Yan mimi siwezi kutuma ela nyumban nitaweka maan mimi sitajiuwa bali nitafanya kitu ambachokitafanyika historia sasa kwann tuu nisiweke pesa zangu
@NyangeMagere
@NyangeMagere 2 күн бұрын
Yaan wasukuma wanahaka katabia wazazi hawajali maendeleo baadhi hasa wale ambao hawajaelimika nimeshudia kwa marafiki zangu wengi unawafanyia ww mazingira ila wao wanainyofoa pesa wanakuludisha nyuma😢
@gililwise
@gililwise 2 күн бұрын
Miladiayo huyo dada mtangazaji siyo.
@BarakaKusalula
@BarakaKusalula 3 күн бұрын
Dah Modesta kwanin amechukua Maamuzi magumu kiasi hicho,Mbona tupo wengi tunatuma hela mikoani na zinaliwa tu na tunajikaza.
@bahatielias6443
@bahatielias6443 3 күн бұрын
Mimi Nisha koma, kabisa
@njuka3515
@njuka3515 3 күн бұрын
Roho zinatofautiana
@DM_15
@DM_15 2 күн бұрын
Wazazi wa hovyo ndio haosasa.mtoto unapambana kuikwamua familia mwisho unaambiwa huna mamlaka yakumpangia mzazi
@ADELADamus
@ADELADamus 3 күн бұрын
Na wanaume Wanawake inauma sana
@YustinaNemes
@YustinaNemes 2 күн бұрын
Wazazi wet hawa, halafu mzazi anakuambia wew na pesa zako ni mali yangu
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 3 күн бұрын
😢😢😮
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 3 күн бұрын
Mxaxi km huyo ni mbwa,bora lingekufa,haliridhiki.
@BlackKing89-l1u
@BlackKing89-l1u 3 күн бұрын
Usitume hela ya maendeleo kwa Ndugu hata siku moja…Ni bora Kama upo nje ya Nchi jifungulie account uweunatuma huko.
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 3 күн бұрын
Nikweli mama anakosa ila dogo kakosea kujiuwa maisha yapo tu naumliwake bado mdogo sana lala salama dogo
@lailafakhihaji
@lailafakhihaji 3 күн бұрын
Dah wazazi tuwe na huruma na watoto wetu kwani kazi za ndani zina mateso ameumia kisaikolojia
@PendoPeter-rr4jk
@PendoPeter-rr4jk 3 күн бұрын
In short saiv ndugu siyo watu ,ndugu lbda walikuwa zaman
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 3 күн бұрын
Siku hizi nilishaachana na habari za ndugu,nilichobakisha kwao ni kuwaombea uzima tu😢😢😢
@iddimngazija1957
@iddimngazija1957 3 күн бұрын
Najua maamuzi aliyo chukua ni magumu sana lkn hebu jaribu kuvaa viatu vyake😭😭
@pendosailo1989
@pendosailo1989 3 күн бұрын
Vya kujiuua...hebu Acha ujinga
@chrisbayona411
@chrisbayona411 3 күн бұрын
Huyu mama afungwe hata 1 year na aende sober kwa lazima akili ikae sawa
@RoseMichael-oz7cy
@RoseMichael-oz7cy 3 күн бұрын
Sober ni dampo tu waraibu waliopona ndo wanawa treat client so far hawana mafunzo yyte its hell yo usipeleke mtu wako huko
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 3 күн бұрын
Nataka kununua apantimenti nipo Oman nawapataje nombar zenu
@stellahlinusi8215
@stellahlinusi8215 3 күн бұрын
sasa kwani awa wanauza apartment jamani 😂😂
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 16 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 2,8 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 23 МЛН
MISSION IMPOSSIBLE [21] SEASON 2
22:29
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 17 М.
Новости дня | 15 декабря - утренний выпуск
4:44
Euronews по-русски
Рет қаралды 6 М.
Sikiliza Ushuhuda wa Ndugu Wanaotaona Kafara | USHUHUDA | Rev. Dr. Eliona Kimaro
14:04
UMASKINI WANGU FULL EP 02
35:45
BabaJoan
Рет қаралды 2,2 М.
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 16 МЛН