Huu Ushuhuda ni fundisho kubwa sanaa! Nakupenda sanaaa Mtumishi wa Mungu! Ahsante kwa Mahubili yako. Mungu akubariki❤
@ManswetKimarioАй бұрын
Siamini katika Mungu wako[Utatu na sehemu ya mtu inayoendelea kuishi baada ya mtu kufa] ila shuhuda za matendo yanayotokana na nguvu za Mungu wako is very fantastic.
@mukunderashid90922 күн бұрын
Ndio , Mungu wetu ni wa Huruma sana ❤💃💃🥳🙏
@rosekieti790226 күн бұрын
Please pray for total healing of my husband and financial breakthrough
@AsiaAsia-j1z4 күн бұрын
Amena MENA MUNGU wetu ajawayi shidwa🙏🙌
@volontekambale8514Ай бұрын
Mchungaji asante sana kwa ushuhuda huu, Mungu ni mwaminifu kwa wale wanao tubu. Volonté From DRC
@estherlemburismollel5901Ай бұрын
Tunakupenda baba, unatumika kwa utukufu wa Mungu, tunavuka kwa shuhuda hizi hakika, ubarikiwe sana Mchg Dr Eliona
@StanNdosi3 күн бұрын
Ameeeeen Mungu ndo muweza wa yote Aleluyaa🙏
@Naliakatv-t9sАй бұрын
Mgonjwa mbishi kama Naamani wa ukoma,be blessed pst🎉❤
@OmboAmisiАй бұрын
Bwana Yesu atukuzwe sana kwa neno nzuri hili la uponyaji kutoka kwa Baba Mchungaji
@ceciliamagehema8768Ай бұрын
Mchungaji elionora huwa mahubiri yako yanafundisha sana na pia unanibariki sana
@nancymongi9910Ай бұрын
Hakika njia za Mungu si kamwe haziwezi kuelezeka. Mungu akubariki sana kwa huu ujumbe.
@tiffanymo94533 күн бұрын
God bless you pastor 🙏
@festokemibala583224 күн бұрын
Uko vizuri, mlifanya vyema kuulizia chanzo ili mwende moja kwa moja kwenye hicho chanzo (asili)!
@josaphatkessy53014 күн бұрын
❤❤❤ Ameeen barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
@Josembis12 күн бұрын
Hallelujah
@rahabnkya8276Ай бұрын
Mpaka kesho ni mzima hajambo! HALELUYA HALELUYA Jina la bwana libarikiwe.
@kilianngaga2109Ай бұрын
Ila Baba yetu Wewe MUNGU akubariki sanaaa, Mahubiri yako woooooiiiiiiii 😁😁, Uzidi kubarikiwaa Baba…..
@rhoidapascalАй бұрын
Mchungaji haya mambo ya kutoana kafata ktk ukoo kwa kweli inaumiza sana sisi kuna wakubwa wetu wanamaliza sana ukoo saizi wanakula watoto maomba mungu awatangulie milango wapeleke mizigo kanisani ikachomwe ili wabaki na amani kwani imekuwa kelo asante mchungaji kwa ushuhida huu nawaombea wabadilike.
@TinaKombe19 күн бұрын
Kenjoo na kunu kyakoko mch.
@festokemibala583216 күн бұрын
@@rhoidapascal kama mnamfahamu kwa nini msimshughilikie na vitu vyake mkavitumia moto wa Yesu, mbona ni nyepesi hiyo?
@GlorydavidJeremiah10 күн бұрын
Pole sana mpendwa hiyo inawezekana kuisha na kwetu ilikua hivyo hivyo na uncle wangu alikua mganga nilipoona imepitiliza nikaanza kulishugulikia uganga na uchawi ameaca japo hajaookoka ila ninamuamini Mungu ataokoka yeye alikua na sehemu yakulaza wagonjwa walikua wanamukamata na maiti wakati mwingine miguu ya watu ila aliaca nilienda kkkt kimara kwa mch Mastai japo nilikua napigika wananiceka ila bora nimekua huru cukua hatua ya kuomba hii hali inaisha
@ArnoldElton10 күн бұрын
mchungaji kimaro mungu akuweke uishi zaidi una mafundisho mazuri sana
@jumahili812112 күн бұрын
Hawa ndio watumishi tunaowataka. Uzidi kubarikiwa mtumishi
@HappynesKarungi5 күн бұрын
Ubarikiwe kwa ushuhuda huu
@KanadeMranguАй бұрын
AMEN Baba mchungaji kimaro MUNGU akutunze umpendeze MUNGU NA WANADAMU pia ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@estherlemburismollel5901Ай бұрын
Kisima cha hekima, Mungu akutunze kwa ajili yetu, wanetu na zaidi kwa ajili ya familia yako
@pacifiquebarengayabo6205Ай бұрын
Amen vitu vyote ni watumishi wa Mungu
@ZainabuMoody8 күн бұрын
Very smart man of God
@LydiaSumayi-x1eАй бұрын
Mungu ni mmoja, Mungu akuweke mchungaji
@gracevalentine8292Ай бұрын
Barikiwa sana Baba Mchungaji Dr. Eliona kwa kutupa siri za kushinda
@joycejackson2320Ай бұрын
Amen mchungaji Mungu aongeze kipaji chako!
@JulianaSimonGundaАй бұрын
mmmmh hakika mfano huu na ushuhuda huu .Mungu yupo.asante sana Mchungaji Huyu mungu aendelee kukutumia
@stanslausishengoma350623 күн бұрын
Asante sana kwa mafundisho haya
@fredricadaudi545224 күн бұрын
Mungu akubariki sana kwa mafundisho .
@MoosaMd-h6bАй бұрын
Jina la Bwana libarikiwe amen. Utukufu kwa Mungu anaeweza yotee
@AdventinaFulgence16 күн бұрын
Amina atubuye dhambi zake amebarikiwa kabisa
@StelaEvaristo-f7fАй бұрын
YESU NI BWANA 🙌🙌🙌🛐
@bahathmuro7145Ай бұрын
Mungu akutunze unifundishe daima!
@MessiahHevyson15 күн бұрын
Mungu atusaidie
@naturelle1097Ай бұрын
Glory be to God❤❤❤
@abigaelmwadena2262Ай бұрын
Amena amen ushuhuda muzuri sna
@getrudaleonard8323Ай бұрын
Baba Mungu akujalie Zaidi Maana unatufundisha mengi sana🙏🙏🙏
@judithyngasa8553Ай бұрын
YESU NI MWEMA SANA
@gracekasambala4712Ай бұрын
Utukufu kwa Mungu
@PatieRehemaАй бұрын
Ameeeen kunaye mungu anaweza
@teresiahkiarie2626Ай бұрын
To God b the glory 🙏🙏🙏
@EstermsuyaMsuya24 күн бұрын
Amen. Yesu ni Bwana
@agathamburu8910Ай бұрын
Amazing grace and Amen
@godlivingnnko8185Ай бұрын
Ubarikiwe sana Mchungaji
@AbisaiBillaАй бұрын
Ushuhuda mzito sana 👏👏👏
@SusangwambАй бұрын
Glory to god 🙏
@Kaylyn-z6yАй бұрын
Martha shame the devil and be free! Glory to Jesus
@agnesspaul1866Ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉 Ubarikiwe
@reachelchemtai2604Ай бұрын
Amen bwana abewe sifa
@amanmaleko3085Ай бұрын
Barikiwa baba 🙏
@rahabnkya8276Ай бұрын
HALELUYA HALELUYA!
@mwanamwendy9265Ай бұрын
Amen Amen🙏🙏
@JeanBaraka-pu5xoАй бұрын
mungu anaweza.yote.
@jescakaaya1577Ай бұрын
Mungu akutunze baba..your a Blessing to our generation
@annissdaprincess384616 күн бұрын
Nikweli kabisaa Mtumishi wa MUNGU
@gracevalentine8292Ай бұрын
HALELUUUYA 😊
@dimlajohn6338Ай бұрын
❤ amen
@dinahk.7622Ай бұрын
Hallelujah
@agnesspaul1866Ай бұрын
Sifa na utukufu apewe Bwana
@emmanuelmwandu.3126Ай бұрын
Mzee Kimaro ana nondo za maana sana.
@akubandeda1531Ай бұрын
Muujiza wa Mungu unazidi akili ya binaadamu. Akisema ndiyo ni bingwa yupi atakayesema La. Bwana na apewe sifa.
@matildah208025 күн бұрын
Haki huyu mchungaji mafundisho yake daaaaa😂😂😂,yamenitia moyo kweli,jina la Bwana liimidiwe 🙏🙌🙏
@maryaugustor698314 күн бұрын
Ieka Merkur ngikuwonyi kutoka kenya Asante sana mchungaji shalom
@jacquelinemasunzu4351Ай бұрын
Amen Amen
@valenakomba7686Ай бұрын
Ameeen.
@FatumaBenithoАй бұрын
Barikiwa mchungaji
@FLORINIMARANDU15 күн бұрын
Glory be to God
@ljk400622 күн бұрын
Jaman MUNGU ni zaidi ya fundi,.matendo yake ni makuu sana na ya ajabu,,jina lake libarikiwe
@emeldabukhebi5987Ай бұрын
Natafuta mchungaji wa kumuombea maombi ya back to sender Kakangu amenichosha na majini anataka kutoa mtoto wangu kafara.
@Johnmichael-xp7vsАй бұрын
niponye kwa jina la YESU
@LeilahAmollo29 күн бұрын
Ziko kwenye KZbin weka Kila usiku
@marykarebeti941021 күн бұрын
Funga 3 kavu, ombea mwanao uponyaji ili adui yako amjue Mungu wako.
@susannekesa74336 күн бұрын
Pray a protection prayer psalms 91 psalms 35 and have faith
@kolosii4351Ай бұрын
Itakuwa kunguni hao .
@carolinehillary8240Ай бұрын
Huu ushuhuda umenifunza
@AitaelMunis17 күн бұрын
Mchungaji naomba tuombee hata kwenye familia yetu kaka yetu anatoa watu kafara
@abidandastanmaliyatabu1373Ай бұрын
😂😂😂huu ushuhuda umefanya nicheke
@NdambiriOctavianАй бұрын
What is h Jhs meaning in protestant churches yet they dont believe jesus in eucharist
@marykarebeti941021 күн бұрын
Huu USHUHUDA Ni zaidi ya MAHUBIRI. MUNGU anafanya jamani. Juzi, jana , na leo Kupumua kwetu tu bila kulipia ni maajabu.
@frankjohn870622 күн бұрын
KASEMA MCHUNGAJI ameokoka kumbe KUNATOFAUTI kuokoka kwa MCHUNGAJI kwani kuokoka ninini? Hata kusema MCHUNGAJI ameokoka
@yukundapeter8200Ай бұрын
Unawexa kukulia masaki pia ukawa na kiroboto,ni usafi wako baba wapo wengi wanaishi mjini wana kunguni,vroboto,Kupe.
@GraceLuvanda-g5rАй бұрын
Masaki gani kuna viroboto na wewe....unajua masaki kweli