Enjoy the song nimewasamehe wote backed by OUR OWN Shamayim MF
Пікірлер: 169
@user-xc8qm6jf8i2 ай бұрын
Nimebarikiwa Na neno
@felixmwendamarangi6462Ай бұрын
Bwana asifiwe brother
@user-zh9bb9sn8h5 ай бұрын
hallelujah glory good testimony 🙏🙏🙏 shalom
@marianandisi16413 ай бұрын
kuna yale unapitia leo ni kwa sababu ndoto yako ni kubwa, na adui anaiona .... Amen hili neno nimelipokea . Shetani hurusha mawe kwa mti ulionamatunda
@lynnetkweyu6 ай бұрын
Chochote changu kilichopelekwa kwa waganga watazitapikaaa in Jesus Mighty name
@karibunyumbani38246 ай бұрын
Tena wewe afadhali umetendwa na mama wa kambo kuna watu wameuawa na wazazi wao waliowazaa wangemka leo wangesema nini ...kuna watu wanateswa kichawi kabisa na wazazi wao siku wakipata neema wanawasamehe na wanawavuta kwa YESU inawezekana kanani yako iko kwahuyo mama ....tujifunzeni wakristo baraka zetu haziko kwa wanaotuchekea wala taa haiwezi onekana kati kati ya taa inaonekana gizani kuna watu MUNGU anaficha baraka zetu kwao ili shetani anatuchochea tuwachukie ili tusizione MUNGU atusaidie
@Leonard-oe6nd2 ай бұрын
Encouraging testimony.people should leave awkward ways of living
@olivermwema72294 ай бұрын
AMEN MUNGU anisamehe dhambi zangu na wote niliowakosea namuomba anisamehe na wale walionikosea nimewasemehe wote kutoka moyoni mwangu Eeh MUNGU nakuomba unisamehe
@brotherkevin43805 ай бұрын
amen mungu ni waurengesho sana❤❤❤❤❤
@user-xp8dr8ie3m5 ай бұрын
Amen nimawasamehe wote nimeachilia
@naomindulu23064 ай бұрын
True. We thank God for all. Keep going and shining for God, s glory
@user-dq9zy3we9v5 ай бұрын
Glory be to God nimewasamhe wore
@CynthiaAkinyi-op1eb3 ай бұрын
Amen God's is a blessed redeemer
@margaretamakobe734421 күн бұрын
Glory to God Hallelujah and AMEEEEN
@user-sh2um1zg5m4 ай бұрын
Amen very powerfull testimony,,,I want to a testimony lyk that before the end of this yr...Allelujah
@LilianOmari-po5kw6 ай бұрын
Amen amen amen mungu anarutisa mara thufu amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@marynjeri60494 ай бұрын
Amen glory be to God Amen Amen more grace and blessings
@angelakioko86923 ай бұрын
Powerful man of God
@user-xz8mm5ic3k5 ай бұрын
Amen 🙏 glory to God .nimewasamehe wote
@annnikinenekendi4806Ай бұрын
Mungu hakubariki sna nimebarikiwa na test mony
@ReineKenia-mp1rjАй бұрын
Keep going ❤
@ReineKenia-mp1rjАй бұрын
Amen kwatoka kwa wamama❤
@EvalyneMmoji-4 ай бұрын
Kwanza mm,napitia aki,be blessed dungu yangu,
@TumpesKimorgo3 ай бұрын
Amen kweli walio na Kesho kubwa mateso Yao ni makubwa lakini yesu yupo.
@GraceNgao6 ай бұрын
❤🎉 Hallelujah hallelujah 🙏🙏🙏 unatosha kuwa nabiii
@user-qv4hd3im2bАй бұрын
Nimesu.buliwa na mguu hila nimesamee mungu ndiooza anisamee nimesikia neno nimesamee kutoka leo
@OliviaRaphael-of7qp4 ай бұрын
Yaan nakupendaga Solomon god bless you wakat mjamzito nilikua napenda saana kukuangalia huku namuomba MUNGU nizae Mtoto Wa kiume na ikawa hivoo❤️❤️🙏🙏
@jacksonmutiso74506 ай бұрын
Hallelujah,Wacha Mungu aitwe Mungu ni wa ajabu na yeye utenda maajabu