MGOGORO MKUBWA wa ARDHI BAGAMOYO, WANANCHI WAMUWEKA KIKAANGONI DIWANI, WAZIRI LUKUVI ATOA TAMKO

  Рет қаралды 4,090

Global TV  Online

Global TV Online

2 жыл бұрын

MGOGORO MKUBWA wa ARDHI BAGAMOYO, WANANCHI WAMUWEKA KIKAANGONI DIWANI, WAZIRI LUKUVI ATOA TAMKO
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 3
@abdulyabubakar6247
@abdulyabubakar6247 2 жыл бұрын
Hapa hakuna diwani hapa....wananchi wa razaba mmepigwa diwani anamajibu mepesi hata mtoto wa dalasa la 7 angeweza kuyajibu vizuri
@kipokendirangu2572
@kipokendirangu2572 2 жыл бұрын
Wakulima wadogo ndiyo wanaolisha dunia wapewe heshima na upendelea wa mbele nchi yetu ni ya wakulima na wafanya kazi acha muwekezaji aweke kwenye viwanda. Kama mtu kama amejiajili kulima wacheni wakulima wajiajili
@josephmwise3177
@josephmwise3177 2 жыл бұрын
Mh Rais Samia alitoa ahadi kuwa ataongeza hectar zaidi ya milioni mbili kwa wakulima na wafugaji ili k uondoa hiyo migogoro, ziko wapi? Tarehe 25/6/2022 pori la Igombe,mpanda line,na Tongwe, zaidi ya hectar mil tatu nasikia ameidhinisha yawe hifadhi wakati yalikuwa halimashauri,Mh Rais najua hayajui hata waziri wa maliasili hayajui, tujiulize nani alimshauri? Je haoni ameidhinisha migogoro? Au wanamshauri vibaya ili wapate kazi za nje kwamba wanatatua migogoro? Ushauri wangu zoezi lingeristishwa wasubiri sensa.Migogoro imekuwa mingi Mara Tozo, kodi za majengo,bora huu wa chanjo unawatafuna wahusika lkn hii mingine inawatafuna walalahoi tu.
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 59 МЛН
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН
Kesi ya mgogoro wa ranchi ya Bozi Bagamoyo yaahirishwa
2:58
WAZIRI BASHE ATEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI BAGAMOYO
5:06
Kilimo TV
Рет қаралды 975