Ongeza hizi nyimbo za hyu jamaa zaid ju washabiki ni weng tupo
@maduhumanyangu15445 ай бұрын
pamoja sana...pande zip hapo?
@magarinangu5 ай бұрын
Hongera sana mgonga
@Jumannemusa-k2s3 ай бұрын
Zinabamba sana twaomba ziongezeke kwa hyu jamaa sasa.ziko mbili tu ongezea bro
@maduhumanyangu15443 ай бұрын
Bado kuna changamoto ya kiufundi kwenye Channel yetu ndugu.
@LabaniKushaha5 ай бұрын
Kaka umelala kimya sana tunasuburi tena
@maduhumanyangu15444 ай бұрын
Kuna mambo fulani hayajakaa sawa kwenye CHANNEL YETU. Tunaombeni Radhi Wapendwa Wafuatiliaji wetu wa Channel yenu ya KUZA KIPAJI CHAKO TV. Tutaendelea na Ratiba baada ya tatizo kutatuliwa ! Poleni sana.
@MasanjaNgenzi34 минут бұрын
Niko morogoro ila nikisikiaga hizi nyimbo nawaza kurudi simiyu nikapambane huko huko aiseeh ili siku ya mbina naje nane bambehi