No video

Bhudagala mwanamalonja _innaga mp4

  Рет қаралды 60,014

Bhudagala Mwanamalonja

Bhudagala Mwanamalonja

Күн бұрын

Пікірлер: 132
@AmanPascal-ws7nn
@AmanPascal-ws7nn 6 ай бұрын
Nyimbo safi San wasukuma tujuane nipen like zangu
@user-bp9uo3zq4k
@user-bp9uo3zq4k 6 ай бұрын
Ngoma nzur my brother from dar pande za chamazi
@user-qb9kz9rw6k
@user-qb9kz9rw6k Ай бұрын
Nimekumbuka hom brother mim nipo Zanzibar natamaan hm kwamda huu hatar nyimbo Zur sana inausia mzur mno
@MsobiAmos
@MsobiAmos 6 ай бұрын
Kaka unajuwa kuelimisha Sana Mungu aendelee kukuweka huna baya kabisa tunakuombea kila ukicha Asante Kwa nyimbo zuri❤️❤️❤️
@user-sm2bw7dg8r
@user-sm2bw7dg8r 4 ай бұрын
kaka your the king of them akiwemo chizi wa ndagalu
@user-zg7gm3cy1j
@user-zg7gm3cy1j 6 ай бұрын
Safiii sana bms
@dr.badiboy9301
@dr.badiboy9301 6 ай бұрын
Huo wimbo wa Innaga unaitwaje
@paulomwwndchenge
@paulomwwndchenge 4 ай бұрын
Hongera san kak kalibu simiyu wilay meatu
@paulomwwndchenge
@paulomwwndchenge 4 ай бұрын
Nakubali san huu mwimbo
@MachoMacho-vu6xj
@MachoMacho-vu6xj 3 ай бұрын
Ngoma yenyekujenga sana dah"" good job my brother toka pande za moshi town
@sukumatv8564
@sukumatv8564 6 ай бұрын
Nyimbo nzuri
@jameschagu7580
@jameschagu7580 5 ай бұрын
Kazi nzuri mwamba
@JoshuaShambuli
@JoshuaShambuli 7 күн бұрын
Nakubari pande za mbeya elimisha kama kioo cha jamii wambie
@user-wx1ll3gs9l
@user-wx1ll3gs9l 2 ай бұрын
daah hii ngoma imegusaa hisia nyingi Kwa upande wa wafatiliajii wa nyimbo za asiri, ujumbe umefika
@josephchikongoye2812
@josephchikongoye2812 5 ай бұрын
Hongera mwanangu Budhagala, piga kazi
@MhojaAtanas
@MhojaAtanas 5 ай бұрын
Ww wakuache tu mwamba ni hatari Sana nakukubari sana
@MussaMolani
@MussaMolani 5 ай бұрын
Wewe utazeeka nauta kama mua nyimbo zako zote zinausitandadi mkubwa sana mungu akulinde sana msukuma mwenzetu
@martinemaganga5253
@martinemaganga5253 6 ай бұрын
Daaaaaa,naisikiliza hii nikiwa wilaya ya kondoa mkoa wa Dodoma, hongera sana bhudagala kwani nyimbo zako huwa hazina matusi kabisa hivyo endelea kutupa raha,na unatakiwa ufahamu kuwa nyimbo zako zinasikilizwa mpaka nje ya Tanzania.
@josephcharles5202
@josephcharles5202 3 ай бұрын
budagala na shinje mmetukanana mno
@user-zg7gm3cy1j
@user-zg7gm3cy1j 6 ай бұрын
Mfalme wisee hongeraa san
@user-qb9kz9rw6k
@user-qb9kz9rw6k Ай бұрын
Mpaka nimelia haki ya mungu hii nyimbo ipewe tuzo mwamba amepiga kwenye mfupa
@kisulafabian4350
@kisulafabian4350 5 ай бұрын
KISULA PHABIAN MNYETI Budagala vzr sana shule zinasaidia uzr na shule ulipita ndo maana unatoa vyuma bomba
@patriceeliasspatriceeliass7424
@patriceeliasspatriceeliass7424 5 ай бұрын
oyeeee hongela sana budagala endelea kutoa ujumbe kwa wadogo zako uko sawa wanwise
@nelemimbasando.ibhesh.9105
@nelemimbasando.ibhesh.9105 6 ай бұрын
Fundisha jamiii braza tuko pamoja welcome majimoto 🔥🔥🔥🔊🔊🔊
@mageletz
@mageletz 6 ай бұрын
kahayaga kati zaga, kakwiza kapye 🤣🤣🤣
@PetroKimola-k2k
@PetroKimola-k2k 7 күн бұрын
Kaka kalaibu dar kaka
@Lugalilatv
@Lugalilatv 6 ай бұрын
Nakubali sana kaka
@deusgamaya7763
@deusgamaya7763 6 ай бұрын
kazi nzuri mkuu npo mbeya apaa
@ngasasospeter6899
@ngasasospeter6899 6 ай бұрын
Mmeniwahi na leoo duuuh, lakin Choppa hiyo
@user-uu1fs6vp6g
@user-uu1fs6vp6g 6 ай бұрын
Kazi zur sana kaka
@richardjuma828
@richardjuma828 6 ай бұрын
Mimi 1 ❤
@MayengDulu
@MayengDulu 6 ай бұрын
Hiyo do nilikuwa naisubili kwàhamu asante Kwa kazi zuli
@JOHNNY..TZ..
@JOHNNY..TZ.. 6 ай бұрын
Sahihi kabisa mjomba mtoto wa mwamba dendei hapa nyambureti nakufatilia nikiwa iringa mjomba ❤❤❤❤
@bhudagalamwanamalonja9582
@bhudagalamwanamalonja9582 6 ай бұрын
Pamoja sana mjomba
@stevenjoshua5866
@stevenjoshua5866 6 ай бұрын
Hujawahi niangusha kwenye nyimbo zako kaka unajua Sana asanteee tupe mzik mzuri mungu aendelee kukupa weledi wa kutunga vzr zaidi mwanamalonja🔥🔥🔥by prince from mtwara tz
@DanielDaniel-gx2ou
@DanielDaniel-gx2ou 6 ай бұрын
Piga kaz kaka
@user-tl9dj6zo8o
@user-tl9dj6zo8o 3 ай бұрын
Daima kaka dhidi kuwaelimisha watanzania kwa ujumla waelimishe jamii na si vingnevyo
@user-rk9ne7og1x
@user-rk9ne7og1x 5 ай бұрын
❤❤❤ Nakumbuka nyumbani
@user-ku1mh5iw9p
@user-ku1mh5iw9p 5 ай бұрын
Kaka nakukumbal sana ❤❤❤❤❤
@user-hc6qp6os2u
@user-hc6qp6os2u 5 ай бұрын
Niite tosha Kanda za manyoni nakukubali kaka
@OnesmoAgustino-zn3ng
@OnesmoAgustino-zn3ng 6 ай бұрын
Kweli sikuizi Mambo ni kutukanana na mabifu Kama yote tuachane nayo hayana maana
@maxmiliankadawiibalaja2198
@maxmiliankadawiibalaja2198 6 ай бұрын
Bwana mkubwa wewe ni zaidi ya Mwalimu kwenye Jamii yetu ya Tanzania Wasukuma tuna muwakilishi makini sana
@user-yv2rk1bc7w
@user-yv2rk1bc7w 6 ай бұрын
Waacheni t watukananee tupate hamasa kufuatilia ngoma zetu mnawazuia kwann
@user-sv1cc4bw5d
@user-sv1cc4bw5d 5 ай бұрын
Makini sana 😢😢
@TadeoAmos-rt1iu
@TadeoAmos-rt1iu 6 ай бұрын
Kazi nzuli sana kaka budagala mie nipo tabora konanne
@gumadambiti4071
@gumadambiti4071 6 ай бұрын
Kaka mwanamalonja kz nzr saaana wafundash
@josephzachariah9771
@josephzachariah9771 6 ай бұрын
Nseyantemi ❤❤
@Director_Kitindi_Complete
@Director_Kitindi_Complete 6 ай бұрын
Bhudagala Safi Sana kazi kali ujumbe Bomba Respect Kwako
@japhetsahani7121
@japhetsahani7121 6 ай бұрын
karibu kwetu bariadi simiyu gambosi Tanzania 🎸🎸🎸
@NdaturuMaduhu-do5yp
@NdaturuMaduhu-do5yp 6 ай бұрын
kweli kaka, wasinii ni sehemu ya shule lakn matusi yanasababisha tuamini wasanii ni wahuni tu!
@user-zc6og4wt7s
@user-zc6og4wt7s 6 ай бұрын
Ww ni Baba wa wawasanii ❤❤
@user-fc1xq6mt1g
@user-fc1xq6mt1g 4 ай бұрын
Da yani budagala wewe unanyimbo nzuri sana da unatamani kuuludia kila mda tu nakupa mauwa yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 unaiheshimisha sana luga yetu mungu akupe uzma wa kutosha ubalikiwe sana tena sana
@user-us5su2th9w
@user-us5su2th9w 5 ай бұрын
Chamazi moja
@user-ub1ev6bw6v
@user-ub1ev6bw6v 5 ай бұрын
Hakika wewe no mfalme wa nyimbo za asili,, mungu akuzidishie na kukulindaaa,,by msukuma kutoka arusha
@user-zg7gm3cy1j
@user-zg7gm3cy1j 6 ай бұрын
Wakwanza Leo ndani ya BMS
@Emma562
@Emma562 6 ай бұрын
Limela,,mama leti,shughuli na innaga,,, hahahaha hauboi kaka❤❤❤❤❤.
@cosmasrobert2056
@cosmasrobert2056 6 ай бұрын
dah nyimbo hii nimeurudia mara nyingi sana nikisikiliza kwa makini kiukweli nikikumbuka enzi za malingika na bhudagala sijawai kusikia nyimbo kumsifia mganga wala kumtukana mtu yoyote aise nakukubali sana kaka pia unaheshima sana na sijawahi kusikia unagombana na wadogo zako kwenye mziki hongera sana kaka tupo mashabiki zako
@SafariEdison-he7oe
@SafariEdison-he7oe 5 ай бұрын
Pamoja sana kakak
@ngwanaedina9070
@ngwanaedina9070 5 ай бұрын
Kaka bhudaga unanitisha sana
@user-uv5jf6he8r
@user-uv5jf6he8r 5 ай бұрын
Wewe ushakuwa mzee wa kazi asante chukua maua Yako baba🎉
@zagalazabuinge3893
@zagalazabuinge3893 5 ай бұрын
Ushauri mzuri Sana kwa wasanii,matusi waache,waelimishe jamii,nikiwa Bukoba tz
@deucdeucmathias3562
@deucdeucmathias3562 5 ай бұрын
Wakubwa wanakulaumu wewe make wewe ndo kila kitu kwetu wasukuma tunakutegemea wewe bhudagara wewe ndo kila kitu kwetu wengne wanafata tu Nko Arusha ILA natamani Sana japo siku MOJA bhudagara nikuone tu Mimi kwako cjawahi kukuchoka ata siku MOJA bro nasikuliza Sana nyimbo zako
@LupigiLugosha
@LupigiLugosha 6 ай бұрын
Master Ni Master Tu
@user-xg9zi9wk9f
@user-xg9zi9wk9f 6 ай бұрын
waambie hao nyani
@malugukidanha5670
@malugukidanha5670 6 ай бұрын
👍👍👍👍👍
@user-wp3xc4bw1u
@user-wp3xc4bw1u 5 ай бұрын
hongera
@ManotiMabanza
@ManotiMabanza 6 ай бұрын
Budaghala kazi nzur. Mkaguzi. Wa NYIMBO za asili
@AlliPo-21
@AlliPo-21 6 ай бұрын
leo mmeniovertake so mbaya nishafika kwa legend wetu na gomma limefika salama pande za sumbawanga kali sana big up sana
@LimiKishosha
@LimiKishosha 5 ай бұрын
Hongera sana bhudagara kwa nyimbo nzr kaka
@TanganyikaChakupewa
@TanganyikaChakupewa 4 ай бұрын
Ngoma nzuri sanaaa hii
@MussaMolani
@MussaMolani 5 ай бұрын
Wewe utazeeka nauta kama mua nyimbo zako zote zinausitandadi mkubwa sana mungu akulinde sana msukuma mwenzetu😅😅😅😅😅😅😅njoo geita utumbuize tunakusubili sana 11:57
@peterseleya-up9rw
@peterseleya-up9rw 6 ай бұрын
Uhakika kabisa wasanihi wengi wa mebaki kutukana good job banemhi moja❤❤
@SamwelMatonange-hj1or
@SamwelMatonange-hj1or 6 ай бұрын
Uko sawa brother barikiwa kwa kumbuka hilo Aman itawale
@Pastorymasanyiwa1998tz
@Pastorymasanyiwa1998tz 5 ай бұрын
😂😂😂 ni kweli saiv mzk umekua wa matusi tu 😊😊😊
@user-bb1ky9ez3o
@user-bb1ky9ez3o 5 ай бұрын
Pongezi kubwa sana obaba kaza roho tu mungu atusaidie
@geitaasiliyetuvideosproduc8520
@geitaasiliyetuvideosproduc8520 6 ай бұрын
Bhudagala 🕺🕺🕺🕺🕺
@officialpaulmabula8346
@officialpaulmabula8346 6 ай бұрын
Ujumbe mzur
@amosnaqbarxanaabddallah2730
@amosnaqbarxanaabddallah2730 4 ай бұрын
👏👏👏👏👏🔥🔥🙏
@JumamgemamatogoloMatogol-de8gx
@JumamgemamatogoloMatogol-de8gx 6 ай бұрын
Wambie Msanii ni mpelelezi wa kungundua nini hakipo sawa au nini wamesahau ukingundua unawakumbusha walipo sahau mashabiki wanasikiliza yani msanini ni mshauli pia ukiwa ni msanii mwenye heshima kama bundagala anatoa vitu vya kuaburudika ata ummekaa familia nzima seemu moja mavasi na maongezi yote safi
@JumakwangulijaJumakwangulija
@JumakwangulijaJumakwangulija 4 ай бұрын
Nimekupata bhudagala nikiwa chunya mbeya
@balozimedia4891
@balozimedia4891 6 ай бұрын
🔥🔥
@JumamgemamatogoloMatogol-de8gx
@JumamgemamatogoloMatogol-de8gx 6 ай бұрын
Unazidi kuwa wa moto 🔥🔥🔥🔥
@EliasShilungu-rs6fc
@EliasShilungu-rs6fc 6 ай бұрын
Nyimbo ni nzuri inao ujumbe
@justinkadonya3434
@justinkadonya3434 6 ай бұрын
Blood kazi njema sana aminia sana kaka mkuu
@mrishobulabo8014
@mrishobulabo8014 6 ай бұрын
Kazi nzuri sana
@MadelekenghundyaTambi-qs1jd
@MadelekenghundyaTambi-qs1jd 6 ай бұрын
Wambie wakusikie mimi nakusikiliza kutoka mukoa siminyu bariadi mutaaa wa budeka hogera sana bhudagala kwakweri inauminza dungu tunako rekeewapi kwahalihii
@user-rw2ux3my6x
@user-rw2ux3my6x 5 ай бұрын
Nyimbo zuri saaaaaana nipo malya seneta kamanda
@richardkabega7090
@richardkabega7090 6 ай бұрын
huna kazi mbovu legend bhudagala
@patriceeliasspatriceeliass7424
@patriceeliasspatriceeliass7424 5 ай бұрын
nikweli ujumbe umewafikia wale wasanii wasiokuwa na maono na mafundisho pia wajue usanii ni kalama na sio kalamu wajifunze kupitia huu wimbo
@user-su6ku1ol2l
@user-su6ku1ol2l 6 ай бұрын
Kaka adi Zanzibar ngoma yako inatimba.
@MayengDulu
@MayengDulu 6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@mgemamakina2604
@mgemamakina2604 3 ай бұрын
Saf. Sana
@user-vy7pi8ni5k
@user-vy7pi8ni5k 6 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥💯💯
@user-wp3xc4bw1u
@user-wp3xc4bw1u 5 ай бұрын
bora hvy ww utukani mtu
@NyandaGatambe-jb6fo
@NyandaGatambe-jb6fo 5 ай бұрын
Kweli bro
@barakarobert9516
@barakarobert9516 6 ай бұрын
Keep it up! Hadi Tz nzima ijue kuna mziki huu upo
@jumastephano2688
@jumastephano2688 5 ай бұрын
Kaz nzur sana nipo dar pande za Kigamboni hapa
@bulugunhandi
@bulugunhandi 4 ай бұрын
Tupo pamoja kiongozi
@mageletz
@mageletz 6 ай бұрын
uhakika kaka 🙏
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 6 ай бұрын
Nzuri Sana👍
@jamesgerald7192
@jamesgerald7192 6 ай бұрын
Tarh 5/3/2024 tunakusubiri kabila karibu sana!!!
@bhudagalamwanamalonja9582
@bhudagalamwanamalonja9582 6 ай бұрын
Poa poa
@Simjui-zu1bn
@Simjui-zu1bn 5 ай бұрын
Supai😅
@DJSNIPERINTRO
@DJSNIPERINTRO 6 ай бұрын
Eeehee
@directedbundalasteve8760
@directedbundalasteve8760 6 ай бұрын
Hatar ogopaaaa
@user-lk5be1kg5z
@user-lk5be1kg5z 6 ай бұрын
Nyanda wakanya nadekeleka kwa wiza
@user-hx4rw7du1k
@user-hx4rw7du1k 6 ай бұрын
Asate
@AliphonceMartina
@AliphonceMartina 6 ай бұрын
Namba 8 naombeni like 🙏🙏🙏
Bhudagala Mwanamalonja- Nzuna wane  mp4 official.
11:28
Bhudagala Mwanamalonja
Рет қаралды 41 М.
Bhudagala mwanamalonja~Moto mp4 official.#Dir Mato.
10:11
Bhudagala Mwanamalonja
Рет қаралды 9 М.
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 622 М.
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 22 МЛН
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 11 МЛН
MACHIYA FT NELEMI MBASANDO X KUKUMAJI MATULO OFFICIAL VIDEO 4K
10:37
Nelemi Mbasando. Ibhesh.🦅
Рет қаралды 27 М.
Bhudagala mwana malonja - Lyabhocha (official video)
7:12
Kim Kardashian
Рет қаралды 212 М.
BHUDAGALA _Mtoto wa dada mp4 official
12:44
Bhudagala Mwanamalonja
Рет қаралды 54 М.
Limbu Luchagula ft Mayiku Sayi _Sara_Official Video 4K
12:15
Migera Studio
Рет қаралды 107 М.
INAGA MLYAMBELELE-MBINA YAKO MALINGITA Dir By John OFFICIAL VIDEO
12:24
Bhudagala -Limela mp4
7:49
Bhudagala Mwanamalonja
Рет қаралды 36 М.
Bhudagala Mwanamalonja-Majungu mp4 official.
11:35
Bhudagala Mwanamalonja
Рет қаралды 39 М.
Bhudagala_ Historia_Official Video 4K
13:39
Bhudagala Mwanamalonja
Рет қаралды 101 М.
Bhudagala _Mama Leti mp4
10:10
Bhudagala Mwanamalonja
Рет қаралды 20 М.
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 622 М.