Mungu mkuu tuishi maisha ambay mungu anapenda amen
@mackynicky82784 жыл бұрын
Tumuombe Mungu atusaidie tuyashinde majaribu ya dunia🙏🏾🙏🏾
@AnnaShibanda2 ай бұрын
Amen hii ni injili iliyo hai isiyogoshiwa
@oprahsalum81854 жыл бұрын
Hii ni injili ya kweli wahubiri wengi wanahubiri mijini je huko vijijini nani atakwenda kama sio sisi jamani Yesu akija tutamwambia nini jamani mwe!!!
@HadasaGallant5 ай бұрын
Ameen Ameen
@rebecashidika78012 жыл бұрын
Eéeh Mungu tuhurumie, tunaomba neema yako ya kuokaka mpaka mwisho mwisho wa maisha yetu, yanayotokea Ukraine na Urusi ndo haya yanatukia yalitabiriwa,🇸🇪
@mussaemmanuel27675 жыл бұрын
Eee mungu turehemu sisi watenda dhambi mda wowote. ujumbe huu unaudhunisha sana moyoni.
@salestianjames464 Жыл бұрын
Nabarikiwa na ijili yako baba
@leonardabrahamh69065 жыл бұрын
Nimekupenda sana Mweshimiwa Askofu wangu.
@paulomalale8414 жыл бұрын
Asante baba WA Eag
@paulomalale8414 жыл бұрын
Asante Ascofu wangu.by obed mahona
@johnbunyan56485 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana na huduma hii
@igomagenzistationary97295 жыл бұрын
amen
@dorcasarakaza34063 жыл бұрын
Ee Yesu Nisaidie mm mwanao
@esaubakuza32874 жыл бұрын
Aiseee tusaidie yesuuu
@nguvuyauamshotvtanzania3395 Жыл бұрын
Kweli kweli baba kweli baba Asante kwa alama umeacha kabisa
@AchillesMovieRecaps4 жыл бұрын
Amina babu yetu
@sarahyvonne45804 жыл бұрын
Eee mungu baba utuokoe
@nixonferuzi56823 жыл бұрын
Mwamini Yesu ili uokoke.
@emmynjeri24784 жыл бұрын
Ameen yanagusa moyo
@sikujuahassan39834 жыл бұрын
Aimeen
@nanutuannet51345 жыл бұрын
Ameen be Blessed so much my Brother for giving us are good News
@triffokelseyandrea74074 жыл бұрын
Amen
@stanlymaingi10654 жыл бұрын
Bishop alikuwa na moyo ya upole alikuwa aubiri ukweli ukubali ama ukatae shauri yako
@erickmutungi87925 жыл бұрын
Hivi mtu anaanzaje ku-"dislike" mahubiri kama haya?,lazima atakuwa na mapepo yasiyo hesabika.....
@Cado_TV.5 жыл бұрын
Yeah hata mm nilishangaaa San but kumbuka kazi ya MUNGU ndio ina maadui wengi kuliko.
@ferdinandmganga91295 жыл бұрын
Nimebarikiwa na ujumbe huu kwelikweli,dah
@nanutuannet51345 жыл бұрын
Kweli kabisa ubarikiwe Sana mwana Wa Mungu
@witohamis26025 жыл бұрын
Huyu ni shujaa wa injili kwel na mahubili yake ni kweli na baraka nimebalikiwa kwel..
@brotherisaiahtv3 жыл бұрын
Labda atakuwa hajui maana ya ku-like na dislike
@vickymgeni47773 жыл бұрын
Saut ya mtu alie nyikani, ITENGENEZENI NJIA YA BWANA YANYOOSHENI MAPITO YAKE.
@DorcasShani7 ай бұрын
Simlizi Veronica furenki
@merysebastan21692 жыл бұрын
Ndugu ivi kitabu Cha historia ya maisha yake kinapatikana wapi
@paskalihauleministries-int99975 жыл бұрын
Hakika huyu baba kama yupo hai. Maana aliyoyanena yanaishi mpaka sasa.
@fastakbrave78634 жыл бұрын
Hii ndo injili .....ujana ake alikuwa moto.....EE bwana tusaidie ....kizazi chetu hiki...