Iyo ushuhuda ya Layisi Nkurunziza na askofu Moses Kulola ni ya kweri,alitabiri 2003 yakwamba Layisi wa Burundi atakuwa anatoka milimani ju ya town Ya Bujumbura alisema kama atakuwa mulokore.Askof Moses alikuwa baraka kwa inci ya Burundi.Na shukuru sana kutukumbusha Iyo mze wetu.Mungu akubariki sana,
@willydugilo32584 ай бұрын
Kulola!! Alikuwa baba yeti wa Imani!!
@RoseLeonsi8 күн бұрын
Amina baba imani uliilinda mwendo ukaumaliza 2:50
@sarahkishaluli60874 ай бұрын
MUNGU ni mwema sana, siku zangu zote nilikuwa ninatamani kujua jinsi huyu Mtumishi hodari wa Mungu, alivyo ishi hapa duniani maana ni mfano wa kuigwa
@lulumatawalo78053 ай бұрын
Yoooo!
@harrisonkazimoto37812 ай бұрын
Unapenda niseme!!
@rosemarymwanitega79264 ай бұрын
Ameni Asanteni kwa Historia nzuri
@naomysamuel67994 ай бұрын
Najifunza mengi sana Nasubir sehemu inayofuata Amen
@mwajumasakina95994 ай бұрын
😭😭mbona watumishi wa Mungu hupitia mambo mazito sana mno jameni, Baba tusaidie tuzijue siku zetu na tumalize mwendo salama 🙏🏼🙏🏼
@LucyKapinga-fg4dk3 ай бұрын
Hakika
@dorahmushi-we6ts3 ай бұрын
Unapokua mtmsh wa kweli wa Mungu, umetangaza vita na shetani.
@LucyKapinga-fg4dk3 ай бұрын
@@dorahmushi-we6ts Mimi Najionea Ninayo pitiable na ndio kwanzaa safari tupo mapambano acheni Ila Mungu wetyu attaching tuendelee kumuamini na kuvumilia kutoa uoga tuvae silaha za MUNGU tupate kushindana SI KU YA UOVU ,shetan tumshinde nakumkanyaga tusonge mbele
@ErnestSaimon4 ай бұрын
Hakuna mtumishi alietumika Kwa maazingila magumu nakuji shusha kama kulola ulikua ukimuita kwahuduma anataka kulala pale unapolala wewe hakupenda kupelekwa gest nawakat anaona unahali ngumu leohii hakuna mungu atusaidie kuwa na macho ya rohon
@ebengapierre88264 ай бұрын
Uyo ndiye mungu biblia inasema vyote vilivyo ndani ya dunia nawote wanao kaha hamo yote nimali ya bwana ❤❤❤❤
@lovenesswalter66504 ай бұрын
Ushuhuda mzur Sana jmn.... naendelea kusbria mwendelezo
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es4 ай бұрын
Ushuhuda mzuri sana,tuliokuwa tunauhitaji kusikia
@nurumwita90344 ай бұрын
Nilikuwa nasubiri sana huu mwendelezo mbarikiwe sana
@isaacmwaseba99724 ай бұрын
Ujumbe mzuri wa kumbukumbu za mzee wetu ila kuna sehemu duuu inataka utumie akili sana kusikiliza na kuelewa
@Rashid-vm1fk4 ай бұрын
Mungu nimwema siku zote
@valenakomba76865 күн бұрын
Ameen
@user-nl4tj1uq5e3 ай бұрын
Yesu utukufu ni wako kwa ajili ya mtumishi wako.
@user-lv4ou4qn9s4 ай бұрын
Amen Mungu atusaidie ipo siku tutaonana katika ufarume mungu
@zenassylvester1254 ай бұрын
Ukiwa wa Mungu utatenda mambo makuu kuliko kawaida ,Mungu hamtupi mtumishi wake, hakika Mungu ni mwema, namkumbuka sana Moses Kulola toka miaka ya 1980
@Nenolamaarifa4 ай бұрын
Amen
@Reginajohnson198843 ай бұрын
Hallelujah jamani MUNGU afananishwi ! Sifa na utukufu kwa BWANA WA MABWANA
@annissdaprincess38462 ай бұрын
Sifa nashukran na utukufu tunamregesheya MUNGU wambinguni hallelujah
@FloridaSyombua4 ай бұрын
Amina amina
@valenakomba76863 ай бұрын
KUNA NCHI ZIBAHESHIMU SANA WATU WA MUNGU . SISI WATANZANIA HATUNAGA NIZAMU KABISA . SISI WENYEWE TUNAZANI NDO MAENDELEA .
@naturelle10974 ай бұрын
Barikiwa sana. Part 5 nasubiri
@janethmwihumbo12894 ай бұрын
Emen Emeni
@StewartUkason28 күн бұрын
Mzee Kulola alikuwa na Huduma ya Aina yake. Lakini pia alikuwa na unyeenyekevu wa ajabu.
@celinaphysoo49193 ай бұрын
Mungu naomba rehema yako nisikose ufalme wako
@lovenesswalter66504 ай бұрын
Wahoo Nkurunzinza alkuwa mfano wa kuigwa
@thebangsong50453 ай бұрын
Mungu ni mwema, mchungaji KOLOLA NI BABA YETU, na sisi
@josephgalandu1284 ай бұрын
Mi roho inaniuma kweli,ivi watu wa Mungu anafikia mpaka mnataka kumuuwa mtumishi wa Mungu!!!!!Mbingu ni ngumu saanaaaa
@estermathias83544 ай бұрын
Tena mtu wa Mungu ana maadui wengi hata usishangae ila tumaini letu ni YESU ndiye anayetuokoa
@richardnganya23114 ай бұрын
Unashangaa nini ? Huo ni mpango wa mpinga Kristo. Wote waliofuata injili ya kweli wamepitia mateso makubwa na kuuawa.
@agnesspaul18664 ай бұрын
❤❤❤ Aminaaaa
@Kanutierastonyagawa2 ай бұрын
Asante sana kwaho2ba ya baba moses kulola
@gracemachongwe4312 ай бұрын
Kiandikwe kitabu cha kumbukumbu za baba,mzee Moses Kulola kwa ajili ya vizazi vinavyokuja
@EsterbernardoVumo-kn2xv4 ай бұрын
Amem Amen Amen.
@MaaDii-iz3ur4 ай бұрын
Ushuhuda mzuri sana wanikumbusha kitu nlicho kiona ndotoni Malika alishtuka nakuniambia nmekuja kukuchukua nlibaki kimya sikua najibu
@user-dt2pm1or5h4 ай бұрын
Aminaaaa yesu atukunzwe
@user-df3jl4mc5c4 ай бұрын
Ameee
@apostlemary6142 ай бұрын
Amina
@lovenesswalter66504 ай бұрын
Mbarikiwe mnoo
@matthieulugerero93554 ай бұрын
Moses Ni mtumishi wa Mungu kweli
@user-op7vm9mr3z3 ай бұрын
Anaongeza chumvi. Alikaa kwenye kiti cha rais haiingii akilini
@WilbertLyimoАй бұрын
Hakika Mungu ni mkuu
@christeternallifetv59594 ай бұрын
Bwana nakupenda na ahasante kwaajili ya mtumishi wako😢
@annevilembwa49504 ай бұрын
Zaburi nijapopota blonde la mauti sitaogopa maana Yuko na mimi Psalms 23
@josephgalandu1284 ай бұрын
Mimi Mossesni baba yangu wa kroho,niliokoka kwenye mkutano wake
@SelestinaHamis-dw1gs3 ай бұрын
Amina
@LeonardEdward-fb2bn8 күн бұрын
Barikiwa Sana ,,,mshike Sana YESU
@omarsaid6734 ай бұрын
Mmmmmm
@user-fd1yj9gn1t4 ай бұрын
Amen tunapmba namba ya simu ya kutuma mchango
@agnesspaul1866Ай бұрын
Hakuna Kama Muñgu milele
@peterdeus19904 ай бұрын
Nataka kujua moses alitokaje aic na kuwa tag naomba kujua mtumishi wa Mungu?
@mosesjohnswilla99264 ай бұрын
Ni baadà ya kujazwa roho Mtakatifu na kuwa na Injili ya uamsho ambayo haikuendana na mapokeo ya AIC
@peterdeus19904 ай бұрын
Asante mtumishi wa Mungu, kwa kunisaidia ila nataka kujua zaidi inasemekana alikuwa mchungaji wa kanisa hilo AIC Makongoro Mwanza, baada ya kujazwa Roho Mtakatifu (1)AIC walimfukuza?, (2)TAG walimfuata? (3)au aliamua kuondoka mwenyewe? na ilikuwa mwaka gani akiwa na umri gani?
@PastorsTz4 ай бұрын
@@peterdeus1990kuna kitabu chake kitafute utapata full detail historia yake.nzito ya moses
@willydugilo32584 ай бұрын
Kulola alikuwa baba yetu wa imani!!
@manfredkibona31264 ай бұрын
😂😂
@rsfdzxzx22742 ай бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮😭😭😭😭😭
@user-ju3jy7jy5e4 ай бұрын
Pumbafu zenu media ukweli comment mnafuta ujinga wenu comment kedekede
@rsfdzxzx22742 ай бұрын
Ico yentu mpakarehooo ntunariya
@kennedywabomba18512 ай бұрын
MUNGU ninaomba umlete Moses Kulola mwingine Afrika
@fredykiluka66062 ай бұрын
Mbona yupo abiudimishol ndo
@luganomwaigomole74412 ай бұрын
MUENDELEZO TAFADHALI...NAKUMBUKA MCHUNGAJI MOSES KULOLA ALIKUJA SANA KUHUBIRI MBEYA...NI BABA WA IMANI ALIYEWAACHIA KIJITI WATUMISHI KM MWL.MWAKASEGE
@FridayMwassa5 сағат бұрын
Mwakasege ni mkkt alijifunza mambo ya pentecost lakini alikuwa na misimamo ya KKKT