Mhe CHONGOLO atembelea Banda la Halmashauri ya wilaya ya Chunya Maonesho ya Nanenane 2024

  Рет қаралды 180

Chunya Dc Online

Chunya Dc Online

Ай бұрын

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe Daniel Chongolo ametembelea Banda la Halmashauri ya wilaya ya Chunya kujionea shughuli mbalimbali zinazofanyika wilayani Chunya na baadaye amepongeza kazi kubwa inayofanywa na wataalamu katika Sekta za Kilimo na Mifugo na Nyingine
Adha Mkuu wa wilaya ya Chunya mapema leo amempokea Mkuu wa wilaya ya Rungwe Mhe Jaffary Haniu na kumpitisha kwenye Manda mbalimbali yanayoonesha shughuli mbalimbali zinazofanyika wilayani Chunya
Maonesho ya sherehe za wakulima maarufu kama Nanenane yako katika siku yake ya sita huku yakitaraji kutaamatika tarehe 8 August, 2024

Пікірлер
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 21 МЛН
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 15 МЛН
#51 - AS SALAM ALAYKUM # MAU MPEMBA - # FUMBUA MACHO
13:50
Mau Mpemba
Рет қаралды 6 М.
SENTENCING OF ACTING INSPECTOR GENERAL OF POLICE GILBERT MASENGELI
19:01
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 41 М.
RAIS DKT. SAMIA AKIWASALIMIA WANANCHI MLOWO WILAYA MBOZI
47:31
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 5 М.