Рет қаралды 36
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Mhe.Bosco Mwanginde ameendelea kusisitiza kuendelea kudumisha Ushirikiano kwa waheshimiwa madiwani na wataalam wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya katika ukusanyaji wa mapato kama walivyofanya kwa mwaka wa fedha 2023/2024.