Rais ninaempenda sana kwa dhati ya moyo wangu mama tutakuunga mkono mama yetu ,tunakupenda sana sana mama
@lusekelomwaselela18162 жыл бұрын
Mama safi sana
@allymusira21532 жыл бұрын
Safiii sana my president
@aronindibalema49642 жыл бұрын
Kazi iendelee
@kalumbugideon41592 жыл бұрын
Mama Samiath Suluhu Hassan.... UNAPENDWA BILA PINGAMIZI LOLOTE 2025 NI NJIA NYEUPE SANA.
@charleslinhege6902 жыл бұрын
Mhe Mama Rais wetu. Tunakuomba ufanye ZIARA ya mkoa wa Shinyanga uone mwenyewe hali ya maendeleo ilivyo
@tanzanite99442 жыл бұрын
Watu wa Bukoba mji wenu ni msafi ila mzibue hiyo mitaro basi iliyojaa michanga tele sijui mvua sikinyesha maji yanapitaje kwenye mitaro hiyo and ndio mji unakuwaga dimbwi maana hakuna drainers kunaonyesha.
@hamzanyangali29412 жыл бұрын
My president hadi 2030
@jacksonjackson96502 жыл бұрын
Sawa mama tumaliZe
@Jereplus-sw8nr2 жыл бұрын
Mbona walinzi ni wengi wakati Hannah Shoshote chamana
@abi-onlinetv41812 жыл бұрын
We ndo huna maana
@jambo37512 жыл бұрын
Kuna watu eti wanasema asikilize kero za wananchi asipite tu kuwasalimia. Hivi hizi pesa alizozipeleka katika kila sekta nchi nzima ili kutekelezwa miradi mbalimbali kama elimu afya barabara maji umeme si ndio kero zenyewe hizo ambazo hutatuliwa kwa kupelekwa pesa? Au kero zinatatuliwa kwa porojo na maigizo? Pesa ndio zinazotatua kero. Na SAMIA amepeleka pesa kila wilaya ili kutatua hizo kero.
@abi-onlinetv41812 жыл бұрын
We hata usijari watu wengi hawana akili walisha tekwa na maneno ya Majukwani hao
@Jereplus-sw8nr2 жыл бұрын
Watu wamechoka na Chama Kimoja watuwenye akili hawezi kuchangiliya ushenzi huo wizituu