MVUA KUBWA na UPEPO MKALI WAUA MMOJA BUKOBA, NYUMBA 106 ZAEZULIWA, KANISA LABOMOKA...

  Рет қаралды 9,532

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MVUA KUBWA na UPEPO MKALI WAUA MMOJA BUKOBA, NYUMBA 106 ZAEZULIWA, KANISA LABOMOKA...
Baadhi ya wananchi katika manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wameiomba serikali msaada wa hali na mali wa kusaidiwa sehemu ya kuishi pamoja na chakula kufatia mvua kubwa iliyonyesha ikiambatana na upepo mkali na kusababisha kifo cha mtu mmoja na nyumba 106 kuezuliwa na upepo huo.
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 21
@ChristerShao
@ChristerShao Жыл бұрын
Poleni sana wana Kagera tuzidi kumuomba mungu atutee.
@YeremiaKitila-jl8gw
@YeremiaKitila-jl8gw Жыл бұрын
Poleni sana wapendwa wabukoba mungu awatokee kulirebisha jengo la kanisa
@merythomasminja298
@merythomasminja298 Жыл бұрын
poleni sana ndugu tumuhombe mungu atuhepushe na majanga
@JacksonSongelaeli
@JacksonSongelaeli Жыл бұрын
Duu!polen sana watanzania wenzang !mama yetu yupo
@kenethchalamila2042
@kenethchalamila2042 Жыл бұрын
Poleni
@khadijayusuph2634
@khadijayusuph2634 Жыл бұрын
Poleni sana wandugu""
@ameria2332
@ameria2332 Жыл бұрын
Pole sana MUNGU awasaidie.
@kipupwefedede7130
@kipupwefedede7130 Жыл бұрын
Polen sana wahanga
@carolinemasaka1400
@carolinemasaka1400 Жыл бұрын
Tubuni Wana wa MUNGU. YESU YUKO MALANGONI. Kuchukua KANISA lake.
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 Жыл бұрын
Bukoba na matukio,shetan alizaliwa huko nn?
@stanymccary7136
@stanymccary7136 Жыл бұрын
Matukio yapo Bukoba tu, we choko
@anithamlay7327
@anithamlay7327 Жыл бұрын
Sada,acha uchochezi,hakuna binadamu wa kudumu hapa duniani,tuombe toba kwa wote
@EmmanuelNyinyigwa
@EmmanuelNyinyigwa Жыл бұрын
Selikali hapo najua hatatoa mchongo mana walisha toa tahathali
@sadaalsheibani7106
@sadaalsheibani7106 Жыл бұрын
Wote muliokutwa na majanga usikute nyie ndio mulikua mnafurahia wapalestina wafe mukifurahi mungu anatumia salamu kanisa lianguke tu lote na nyumba ya pandre mwajifanya mmeatirika 😂
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Жыл бұрын
Kwa hiyo hata nyumbaza makazi zilizobomolewa zote ni za wakristo? Huyo mungu wako anayechochea chuki badala ya upendo ni wa kwako peke yako! Hivi aliyekwambia watanzania wana nasaba na Wayahudi au waphilist ni nani? Waphilist na Wayahudi ni ndugu wanapigana wewe roho inakutoka, hii ni ujuha uliokithiri!
@csato9415
@csato9415 Жыл бұрын
Huyo Sadaa anaandika hayo huenda hajui historia yao tangu enzi hizo.
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Жыл бұрын
@@csato9415 Huko Geita nyumba zaidi ya 300 zimebomolewa na kimbubgga, sijui nao walifurahia kuuliwa kwa wafilisti. Hakuna kitu kibaya kama kunyimwa akili ya kutafakari mambo kwa makini.
@ameria2332
@ameria2332 Жыл бұрын
Kumbe marehemu wa akili wewe, wastahili kuzikwa ukiwa hai ,akili zako hazifai kabisa ushindwe na ulegee sa maneno gani hayo shetani mkubwa we,tuseme we hapo ndo hujawaza mabaya kwa wenzie,Fikri kabla ya kutenda,Mtu mzima! ,Koma funga bakuli lako hilo.kufa akili ni bora mtu kufa mwili Duh!! maana Kwa maneno yako hayo.
@ameria2332
@ameria2332 Жыл бұрын
​@@sylvestercameo6263kabisa yani ,huyo achana nae marehemu tosha,akili zake nyeusi,mchawi huyo.
African Village life #cooking  village food for Breakfast
19:52
Murangasia
Рет қаралды 2,4 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20
Synyptas 4 | Арамызда бір сатқын бар ! | 4 Bolim
17:24
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,9 МЛН
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
How One Family Lives in the Mountains Far from Civilization
34:48
Food Around The World
Рет қаралды 3,3 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20