MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA, KURASINI JIJI...

  Рет қаралды 10,348

Ikulu Tanzania

Ikulu Tanzania

3 жыл бұрын

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Kurasini, Temeke - Dar es Salaam.
[25-Juni-2021]
#KaziIendelee
#SSH

Пікірлер: 22
@Nyimbozamani
@Nyimbozamani 3 жыл бұрын
Hongereni sana wanafunzi wa uhasibu kwa kuimba vizuri ! Heko kwa Rais Wangu Mama yangu Samia Suluhu Watching from Washington DC-United States
@remijilasana3383
@remijilasana3383 3 жыл бұрын
Askofu Kilaini una story nyingi na nzuri, naomba hizo historia ziwe kwenye mfumo wa video na picha.
@chumizola1847
@chumizola1847 3 жыл бұрын
Uhemaji wa Mama sijaupenda🥺🥺 Nadhani anapaswa kupumzika na kufuatilia afya yake🙏🏽🙏🏽
@stevengracphord953
@stevengracphord953 3 жыл бұрын
Safi sana mama Samia pia asante Balaza la TEC kwa kuwa imara pia kwa kumuunga mkono
@mokehamwita6685
@mokehamwita6685 3 жыл бұрын
Good speech
@ezrakaturitsaofficialtz7873
@ezrakaturitsaofficialtz7873 3 жыл бұрын
Asante sana Mhe Rais kwa hotuba fupi yenye manufaa kwa ustawi wa nchi yetu
@mashibatoursafari4670
@mashibatoursafari4670 3 жыл бұрын
Tumepingwa hapa
@hassanimngetege2904
@hassanimngetege2904 3 жыл бұрын
Mbinguni ni kazi kufika kumbe huyu Mungu aminiki hasa wanaamini barakoa
@subirakhamis7994
@subirakhamis7994 3 жыл бұрын
Hata mungu nae anajuwa waja wake wanakipindi gan na ndo maana akatwambia Yasin Kinga Ila mbio tuwe nazo
@happymrema6728
@happymrema6728 3 жыл бұрын
Pumzika kwa Aman king Solomon uliweza kutupa ujasir wa kupambana na koron lakin Leo hii tunaambiwa imerud he watalii watakuja Tena watu wahal ya chin tutaish maish gan pumzika kwa amani jpm na mungu akupunguzie adhab wanAnchi wako tunakulilia kila.kukicha tunakukumbuka
@chrismassawe326
@chrismassawe326 3 жыл бұрын
@@happymrema6728 mmh kazi unayo
@ameedamilja7992
@ameedamilja7992 3 жыл бұрын
Mama kwa Refer mistari na Aya za Biblia tuu, ndio Maana Mwenyezi Mungu Anaendelea kumbariki kila siku. Anajua dini zinahubiri maneno ya Mungu.
@yohanaosiligimoikan7134
@yohanaosiligimoikan7134 3 жыл бұрын
Mnavaa barakoa afu mnamtukuza mungu??
@Nyimbozamani
@Nyimbozamani 3 жыл бұрын
hahaa, sasa ulitaka wakivaa barakoa wamtukuze nani ? ila watu weusi tuna shida jamani .,sijui ni laaana
@yohanaosiligimoikan7134
@yohanaosiligimoikan7134 3 жыл бұрын
Hawa ndo watumishi hewa wanao vaa barakoa wanaziba hewa?
@clementodasi5396
@clementodasi5396 3 жыл бұрын
Kwan Nizambi
@hassanimngetege2904
@hassanimngetege2904 3 жыл бұрын
Ila Kwa sababu ni Roma haishangazi ni walewale
@sylverjosiasy8536
@sylverjosiasy8536 3 жыл бұрын
Wewe unajua chanzo Cha dini zote, fuatilia kwanza kabla haujaongea lolote, Kama unakebehi ukatoliki inamaana dini zote za kukiristo NI ovyo maana dini zote za kukiristo zmeanzishws toka ndani ya ukatoliki, Soma historian, idpokua tu sabato.
@abdalaalmas2535
@abdalaalmas2535 3 жыл бұрын
Acha UDINI wewe
@rosetreffert6727
@rosetreffert6727 3 жыл бұрын
Hassani una matatizo wewe
@hassanimngetege2904
@hassanimngetege2904 3 жыл бұрын
@@sylverjosiasy8536 watu waliamua kuasi baada ya kuona mienendo Yao haitoi utukufu kwa MUNGU mwenye enzi zote wamekomaa na principles za kidunia zaid
@hassanimngetege2904
@hassanimngetege2904 3 жыл бұрын
@Irene Deogratias Rutatora nirudi shule kwa uhuni huu maana ya shule ni kuona na kuelewa maana ya jambo we ndo unaonekana upo gizani
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 34 МЛН
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
🔴#LIVE: RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA BARAZA LA MAASKOFU TANZANIA DSM...
2:46:46
#LIVE:MISA TAKATIFU JUBILEI YA MIAKA 50 YA UPADRE WA ASK.NGALALEKUMTWA JIMBO KATOLIKI IRINGA
6:39:38
AIC Chang'ombe Choir (CVC)  -  MSIKILIZE ROHO   (Official Live Video)
9:05
AIC Chang'ombe Choir (CVC)
Рет қаралды 29 М.