🇹🇿Yeah!Ila mama yetu Samia hapo Tanzania Ile reli yako ♥️Samia♥️ standard ♥️gauge ❤️Mtwara ♥️songea madaba mbinga na msumbiji ianze .Ni muhimu sana kwa uchumi wa Tanzania na ukanda wa kusini.Big up kiongozi wa Tanzania.🇹🇿
@esthermsimbwa18124 ай бұрын
Hongera sana mama yetu mpenzi kwa kazi nzuri hii,hata baba yetu magufuri huko aliko atajivunia kwa kiasi kikubwa sana kukuachia kijiti. Kikubwa tunaomba sana masigara na mapombe yasiruhusiwe watu wakaanza kutapikiana na treni yetu ikanajisika jamani.
@nicolausminja6894 ай бұрын
Hakika kazi imeendelea Hongera sana Mh Rais wetu kwa usimamizi na utekelezaji hii miradi.kwa hili tunakukubali.
@tugemwakilewa12984 ай бұрын
Hongera sana mama, Africa ipo disconnected, ni kweli kabisa moja ya sababu ya maendeleo kuchelewa Africa ni kuwa ni miundombinu mibovu.
@massawejohn4 ай бұрын
Hongera sana mama kazi iendeleee
@bharyasarbjit11874 ай бұрын
Congratulations God bless you Mama Samia Suluhu Hassan The Best President in East Africa. You are Grateful to your People Mama. God bless you Always. We are proud of You.
@juliethkatabwa53064 ай бұрын
Big up Mama Samia raisi we tu. KAZI IENDELEE
@nikodemkajange32574 ай бұрын
Tanzania Katika maendeleo imara na thabiti mungu ibariki TANZANIA
@temuemanuel46714 ай бұрын
Hongera sana Mama yetu Samia. Huwa nafurahi sana utulivu na busara zako
@shillabantu39054 ай бұрын
Asante Mama Samia kwaku kamilisha ndoto ya Mwendazake Jemedari Magufuli, huu ndio umoja tunaohitaji kama watanzania.🎉🎉
@thomasryoba38874 ай бұрын
Hongera sana Mama
@esthersissamo11204 ай бұрын
Mungu ibariki Tanzania na wananchi wote
@innocentntabanganyimana21114 ай бұрын
Tanzania oyeeeee,
@Kingstonbagamoyo4 ай бұрын
Big up mama saa,inapendeza sana inshaalah nasubiri safar ya drc,,,sista dred usinisahau zabibu
@WiliamBahati-f3b4 ай бұрын
Hongera raisi
@IsackMwatusi4 ай бұрын
Hongera mh samia
@husseinjongo75884 ай бұрын
Amejibu vizuri kwenye kubreak even Our smart president❤🇹🇿🫶💪
@innocentntabanganyimana21114 ай бұрын
Congratulations 👏 TANZANIA
@ndelishomoshi84894 ай бұрын
Safari nzuri sana ❤ kaz kaz na Mama Samia❤.
@bakarikaoneka10804 ай бұрын
Kwa kweli hili limenifurahisha sana.
@michaelsamwel41694 ай бұрын
Mh. Rais DR. Samia Hongera sana kwa kuendeleza miradi hii ni jambo zuri sana, sisi watanzania sote tunakupongeza sana, vitu vinaonekana ,, pokea maua yako🎉 , Naomba pia tuboreshe Cargo za serikali ili watu waagize mizigo yao na iwafikie kwa haraka yaani mizigo mikubwa kwa midogo itaongeza pato mara nyingi sana, siku mradi ukifika Mwanza niko tayari kutumia Tehama kuboresha usafirishaji wa Mizigo
@JamalMohammed-d2d4 ай бұрын
Namuomba mola wetu amlinde mama yetu mheshimiwa rais ampe afya na hekima pamoja na busara ili tuzidi kupata mafanikio zaidi
@husseinkarim76634 ай бұрын
Tatizo lipo moja, pombe isiruhusiwe ndani ya treni au kuwe na behewa lake. Halafu ngoma ziwe na behewa lake, isiwepo kwenye behewa la Abiria.
@salumabdallah29904 ай бұрын
Unawaza ujinga tu
@salmanmagwe26124 ай бұрын
Ni kweli walevi watatuharibia mazingira na kutuletea uchafu,ugomvi na ujuaji wa kijinga,na hata kujitapikia hovyo vitini
@Florian2010ist4 ай бұрын
Hongera sana mama Samia. Sisi abiria tunaoshukia Soga Bado miundo mbinu ya kutoka Stesheni kwenda Kongowe siyo rafiki. Barabara ya Km 12 ya vumbi na ina mashimo. Bado ni tishio hasa wakati wa usiku.
@JosephMrema-h6m4 ай бұрын
That's is very good
@chandechande96424 ай бұрын
Safii
@salumhassanallymkurdistan70064 ай бұрын
MAMA ALISEMA KAZI IYENDELEE NA KWELI KAZI IMEENDELEA NA IMEKAMILIKA HONGERA SANA MAMA SAMIA SULUHU HASSAN HONGERENI WAMAKUNDUCHI WA KIZIMKAZI KWA KUTULETEA MAMA WA SHOKA KULIONGOZA TAIFA LETU NA HONGERENI WAZANZIBARI KWA KUTULETEA MZANZIBARI ANAYE IYONGOZA TANZANIA KWA MOYO WAKE WOTE BILA YA UBAGUZI WOWOTE HONGERA RAISI WETU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
@AdamNyello4 ай бұрын
Kazi Iendelee mitano tena Kwako Mama
@mussaremigius28184 ай бұрын
Hongera mama kwa usikivu ungeweza kukataa miradi hii ila wewe ukasema No kazi iendelee hongera kwa usikivu na subra
@yusufuheri65244 ай бұрын
Daaah ila ABOOD huko uliko pole we chukua magari peleka kwingine kwa maelezo ya rais wetu
@shaibchigwere46454 ай бұрын
"Pazuri mara mia😅😍"
@ismailmwamnyeto90074 ай бұрын
Nampenda san my momo jamani nikimuona uwa nalia sana bcz of happy
@kibetkirui10544 ай бұрын
Mombasa-Nairobi-Naivasha SGR ni kilomita 567.
@husseinkarim76634 ай бұрын
Sasa hakuna kutumia gari Dodoma Dar, Morogoro Dar kwa watumishi wa Uma hata akiwa Waziri, kupunguza gharama
@japhetjosiahlusingu65744 ай бұрын
C //⁷8⅞?
@fakhimjames29844 ай бұрын
Mbona mmmeacha kutuletea maendeleo ya mradi wa SGR katika maeneo mengine ambapo reli inaendlea na ujenzi kama kuelekea Mwanza na Kigoma
@chandechande96424 ай бұрын
safii
@IbrahimNtirenganya4 ай бұрын
Hongera Tanzania mamba mazuri nakini ukarabati nimuhimu sana
@brysonmalongoza54224 ай бұрын
SGR Dar to Arusha!
@HaruniKedeko4 ай бұрын
Dah! Mbona mnamzingua bosi wangu erdem,hamjui yeye ndo yapi merkez mwenyewe au.kawajengea reli afu mnajifanya hamumjui.dhijapenda..
@kilimanjaro6954 ай бұрын
kwanini always huwa mnatoa instruction mkiwa kwenye event hakuna rehearsal Tanzania security Authority mnatuangusha sana. Always kwenye event utaona kuna mtu anatoa maelezo siku ya tukio. Kwanini kusifanyike rehearsal day before the Event kila mtu akajua anachotakiwa kufanya ?
@DENISTMwangomo4 ай бұрын
Tunaomba barabara zinazoelekea pugu station ziboreshwe ili tufike kirahisi station.
@mduda_i4 ай бұрын
Good point
@PhilkevinFelix4 ай бұрын
Inakuwaje hao watu wasiojielewa wamekaa tuu wanakanyaga zuria jekundu?
@saidiyusufumuhode31594 ай бұрын
Kuweni makini sana na watu wa mabasi hawatakubali wanaweza kuhujumu huu mradi lazima muweke sheria ngumu la sivyo watauhujumu
@AminiMuhammed-pi6dx4 ай бұрын
Ushauri mama aanzishe kitu kipya cha kujenga nchi baada ya haya anayo kamilisha yeye kutoka kwa mtangulizi wake
@salmanmagwe26124 ай бұрын
Kwani mama Samia si ndio alikuwa makamu wa Rais,utasemaje hakuhusika?,Seikali si ni moja?mnapenda mno ujuaji utadhani hawa ni viongozi wa serikali tofauti wakati huyu alikuwa Makamu wa Rais.kwa maana kila kitu alihusika
@AminiMuhammed-pi6dx4 ай бұрын
@@salmanmagwe2612 labda tu hujanielewa uyu mama nampenda sana tu mi nimesema ivo kwa kuwa alie mtangulia kaja na ndege n.k kwaiyo mama kuja na nia ya kuanzisha kitu c dhani kama ni kosa
@esthermsimbwa18124 ай бұрын
Hiyo Kwa mama Samia ni jambo dogo sana, kuwa mpole utaona mengi mapya na yanayofurahisha.
@manish-fp1fb4 ай бұрын
Kumbe unaturuhusu tachape lapa...kuona familia
@salumabdallah29904 ай бұрын
Crown siiiyoni hapo
@AminiMuhammed-pi6dx4 ай бұрын
Vp ule mpango wa uwanja wa mpira dodoma wakujengwa na mfalme
@mmarycalvin63954 ай бұрын
Halk- people
@gideonmwanjila86164 ай бұрын
Mbona Rais Mzima mumemweka kwenye daraja la Uchumi na sio daraja la Biashara? 😮
@salumalriyamy4 ай бұрын
Angewekwa daraja la biashara, Kuna ambao wangeuliza pia mbona kawekwa huko
@gideonmwanjila86164 ай бұрын
@@salumalriyamyMakosa ilo. Kumweka Rais kwenye daraja la uchumi. Sijapenda
@salumalriyamy4 ай бұрын
@@gideonmwanjila8616 kwa hiyo kama hujapenda wewe ndio tafsiri yake Nini?