What is happening with our women ????I hope one day women will stop believing marriage is the only option to happiness and start loving and believing in themselves. Please be aware of any man who asks for financial help if they are not your spouse.
@maryannmwauravlogs99702 жыл бұрын
Wish I can like this comment 100 times
@sinyoritan16472 жыл бұрын
Well said
@susankibui33942 жыл бұрын
I hope they can all see this
@meg-iv1sw2 жыл бұрын
Yes we seem to be taken for foolishness by conny men who are to use ..you build a home for a man...starting a business for a man ..r u serious?ur not even his wife..spend that cash on ur parent spoil them or spoil yrself..let's use commonsense..my money is mine and kids ...this kind of relationship wacha ikae...nonsense
@perpetuahmuriuki64122 жыл бұрын
Ongeza volume
@jenifferwanjirunjuguna16792 жыл бұрын
I can never regret building for my parents despite shida zenye nimepitia...siwezi jengea Mwanaume mimi
@gitaujeremiah13812 жыл бұрын
utanijengwea tu❤️
@kobifm2 жыл бұрын
Sure.hapo uko na baraka
@faithblessed892 жыл бұрын
Barikiwa kabisa na Yesu kwa kunjengea your parents
@danielnjoroge54452 жыл бұрын
Hahahaaa 😄mwihiti na mwana ni utamuri...
@joannemarley99252 жыл бұрын
Pia mm mungu siku zote 🙏🙏🙏🙏
@lydianyambura63532 жыл бұрын
Na feel vibaya juu mm ata nguvu ya kupedana sina
@gitaujeremiah13812 жыл бұрын
wakati wako utafika tu
@penninahmuchiri54582 жыл бұрын
Wambui ??I'm in DAMASCUS . love online 👎noooooo!!! How 🤔❓🤔run 🏃♀️😳🤔....**** I love myself very strong 💪hardcal heart ❤.God let your WISDOM come 🙏.
@esthergithinji69352 жыл бұрын
Wamama x3. Shikeni sikio. Pesa yako kula na watoto wenu na wazazi. Hawa mafisi tuachane nao kabsa.
@rosemuthoni81352 жыл бұрын
Weka loud speaker!!!!!!
@mummitchel95372 жыл бұрын
Njuragia kiuria kimwe murutaga ngoro yagutumira mbeca kuu Niko gulf 12yrs now am a widow n a mother lakini hii roho ya online bf Sina time Yao Gulf ladies kueni na roho ngumu online love ni scam kabisa tujipende aki
@vivianwanini91692 жыл бұрын
Hivo ndivo pia mimi huuliza
@gladyswanjikumaina25942 жыл бұрын
Uuuui zangu siwezi tumia mwanaume ata bob ..a big noooo....vile tunatesekanga uku aki ...wueeeh!
@winniemwash80752 жыл бұрын
Volume dada
@wangadeche11792 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 nitwa hanana kairitu🤣🤣🤣nie ona angikua jirwo we fridge areda nguo cia kumuthika no jugire athikuo na maratathi 🤸🤸wametuzoeya na very soon tutawaanika fb
@akishajoseph68762 жыл бұрын
Hey Ata mimi Ata Bob siezi
@gracewaithira57472 жыл бұрын
Siwezi mm dangaywa na mwanaume na vile tuna teseka huku
@mercynduku25322 жыл бұрын
Mimi ata mwanaume aniabie ananitaka online block mara that ..sitaki upusi kama mtu akisikia uko gulf wee watajua wamepata m pesa wacha nikae single na pesa zangu
@sheena25432 жыл бұрын
Mimi nikaenda gulf 8 years... Na nunua kenya nusu..... Are we tongether
@harrisonikumbu82622 жыл бұрын
it's high time watu waache hii upusi ya online relationships. people have become cons and they don't care which means they will use to get money.
@thuowanjiku27932 жыл бұрын
True it like gulf ladies are desparate kwa love
@shiruwairimu92702 жыл бұрын
Watching from Riyadh saudi arabia 🇸🇦 siwezi tumia mwanaume pesa zangu hata kwa dawa,siwezi nunua mapenzi mimi,hata bwanangu ajipange kama wanaume wengine
@aggiefavoured44392 жыл бұрын
Mimi ata unisweet talk aje inbox huwa sireply juu wametuzoea sana
@ntubara62952 жыл бұрын
I feel for you mum, if I was your age i would give you real love, may you find true love
@janeblessed74352 жыл бұрын
Ladies. Ladies it's only God whom you can fully Trust not even yourself.
@phyllismurugi50632 жыл бұрын
Yes not even your shadow 🙄
@bethwairimu92492 жыл бұрын
Woooiye pole sana
@susankarimi81522 жыл бұрын
Aii wawira my namesake niwatuguithia na umite kirinyaga tanie maa .....anyway pole
@gachokijoseph15632 жыл бұрын
Abai mani..😂 Niaratuguithia no ngai niekumwonekanira
@lucynzioki65132 жыл бұрын
Uuuuuwi🙆♀️🙆♀️🙆♀️hiyo nguvu ya kutumia ghasia pesa inatoka wapi...neeeeevar siwezi hata kwa dawa. Kazi ya mwarabu na vile n ngumu life ya majuu ww alafu nitumie mtu pesa
@Sianitamaina2 жыл бұрын
Kai atumia mutangindukia,mimi ata sweet siwezi nunulia mwanaume 🙋
@lilykim96312 жыл бұрын
Waah hata mimi nkupede aje pesa yangu ni no tena Big no hata 10bob
@wangaregatuhi55072 жыл бұрын
Wambui 🤣🤣🤣🤣🤣 Acha Tu Tucheke jamani woiiii tutaskia mengi weehh Acha nijenge kwangu weehh ok Acha tuendelee🙉🙉
@faithmugo54062 жыл бұрын
The way Wambui you ask,ati mundu anjagia ati?You're awesome.
@akishajoseph68762 жыл бұрын
People should be very careful with online lovers na wache kuwa desparate ya mapenzi,,, first love yourself and everything will follow
@kinjowadad24222 жыл бұрын
True
@sophieted25122 жыл бұрын
Its never too late kuja gulf for one more yr wacha mtoto kwa nyumba utakua ukilipa that is the only way out
@faithwangari78192 жыл бұрын
Watu wa medle East twimenyerere muno aya arume mokaga aingi ungikorwo utekwimenya no magutahe muno. Matiendaga kumenya kana wina muthuri kana nduri. 😢
@vivianwanini91692 жыл бұрын
But mimi hushangaa how can you meet somebody online and you leach to that point ya kumuamini hivo🤔 niko majuu miaka karibu kumi nasijawai amini mtu anaweza kunidanganya hivo...Nooooop.
@winniemwash80752 жыл бұрын
Kimoja
@patriciawanjiru86422 жыл бұрын
Desperation na kujikosa
@ceciliaheheeonaniingoimani77532 жыл бұрын
Wambui you look smart
@CHIOMAH_SHEE2 жыл бұрын
Mimi naonyeshwa mapenzi uku nje 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 khaiii hadi naona kama Niko mbinguni sai anataka nimfungulie bizz ndo Dec Niko home 🏠🏠 tuoane 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nie WANJIRU
@treasureesther84462 жыл бұрын
Please don't try this for me i will never hata aniite majina yote,i will trust any guy with my money Wacha,Wacha zikae kwa bank if i don't know what to do with the money
@mwariwambeere83752 жыл бұрын
Hau niguo kairitu wajii matingihakika mashûrû
@tabbyshiro23102 жыл бұрын
Hahaha
@CHIOMAH_SHEE2 жыл бұрын
@@treasureesther8446 woiiiieeee thank you so much for the advice..nilimtumia hii link watch hii video sai ananiskia Dufia hahaha 🤣🔨🔨
@muhikiwajesu72912 жыл бұрын
Chukua number ya wambui mapema utakuja n testimony
@muhuyu152 жыл бұрын
am stuck hapo pa ndi wendo muingi wadu aya...Ngai uka na dugatumane
@lucykamau29602 жыл бұрын
It's so painful I can't fall in so temptations of love ...
@gitaujeremiah13812 жыл бұрын
you can, 😅
@emmamwangi4342 жыл бұрын
@Lucy Kamau anything is possible under the surface of the earth.
@essymainanungash86822 жыл бұрын
I cant trust relationships online to someone n send even a coin to a man, but don't mind keep up mama
@marianamayah0322 жыл бұрын
God bless you mama for sharing your story,,, and you wambui thanks for your advice
@bancykaringa86662 жыл бұрын
Pole sana tuned in saudi...i will never date
@margaretnjoronge57122 жыл бұрын
Team gulf mtaacha nn kudate online lovers first let me love my kids cz dio wamefanya nikuwe huku gulf na nijipende let's stop to be desparate plz lady's
@trizahshiru20282 жыл бұрын
I choosed my parents over online relationship, niliona better kujenga kwetu ata kama pesa zitaisha my parents will bless me.kujengea mwanaume sisemi ni vibaya but unless we're married hii ya online apana
@lydianyambura63532 жыл бұрын
Ata hiyo ya doa ni bure kabisa mm nilijenga na sio mm niligia
@mburikiama8132 жыл бұрын
This become too common and question is, are there any women that send money from abroad to their "boyfriends" then end up together married and a good story ending?
@LukeJ20232 жыл бұрын
Yes 1 in ever 8million that's the recent data in our systems
@lynshish23552 жыл бұрын
I wanna hear that positive ending stories also...
@thuowanjiku27932 жыл бұрын
I never heard that l can't send money to a man mwenye alikuwa anataka kunikwamiria nilimdanygaya mimi ni lesbian
@eunicenjeru2152 жыл бұрын
If it is online, %of real Kenyan men is 0.001%.Even those in US, they come back home, marry a guy, bring him abroad and true colors come out..
@rebornxyzee80082 жыл бұрын
@@thuowanjiku2793 brilliant 🤣🤣🤣
@jackieshiru80862 жыл бұрын
Sio kwa ubaya but huwa mnatoa energy wapi ya kutumia boy friends pesa???? Aki mm siwezi na sijawahi, only my mum, sister n son. God give us wisdom..🙏
@kenyanlady18032 жыл бұрын
What!!!! Big lesson online relationships big 👎 NO...NO
@lucynjenga93072 жыл бұрын
Ghai ghai magic i remember ulikua bestet yangu fb and WhatsApp u never tell me what u are going through na vile tulikua tunaongea mbona ukuniambie atlist ningekuadvice woi
@winicatewainaina44562 жыл бұрын
I waiting for the this .. tunned DUBAI 🇦🇪 Woiyeeee akie mapenzi wewe 😒😒😒pole Sana mom!!!
@iremwa7762 жыл бұрын
You have spoken right Wambui 👍🙏
@kadayamademsy33902 жыл бұрын
Wambo your beautiful pretty smart and awesome...show yako ni lit sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤❤❤❤
@kadayamademsy33902 жыл бұрын
The gud thing with you wambo nduri muitiyo ..kip it up in that spirit..and may God keep using you👏👏👏❤❤
@jesusfamilytv26082 жыл бұрын
ladies let learn from this please
@gracewaithira57472 жыл бұрын
Wooii,pole ulimu Notauthungu mkikuyu alisema sio mm nidamaka munu munu mtu anakudanganya,nikama umerogwo mm apana
@catherinenjeri49802 жыл бұрын
It's always good to be focused.
@vgeegodseed17202 жыл бұрын
What I always say is wanagulf let us focus na shinda zilittutoa Kenya 🇰🇪 wendo WA mbeca ISSA no .pole Sana it's hurts
@charitywambui12582 жыл бұрын
I support you
@mercymuthoni792 жыл бұрын
Hehehe, hii Dunia Ina Mambo, 8yrs in Saudi Na huna kitu, u can't be serious, ata kama???? May God give us wisdom
@mwariwambeere83752 жыл бұрын
Jesuuuu.pole maa.ngai arogucokeria kidu na kingi
@wambuievelynwaithira2 жыл бұрын
Sitawai nunua mapenzi na pesa ya gulf. Venye mtu huchoka walai but sorry mum for what you passed through
@ganaganas46822 жыл бұрын
Am in Qatar, this is true Wambui, here also men also engage in those relationship and marry online, and divorce.
@sarahkague45252 жыл бұрын
Ladies I know this sound selfish, but love yourself unapologetically, if you have spare cash, go out, spoil yourself, or most importantly open a savings account. surely I believe in self love before I can be able to love anyone else. This helps with boosting self esteem, I will not agree to exchange love for anything , true love is free. Let's be careful on what we are teaching the girl child. I would rather give my money to charity. No offence.
@nyakundihellen68222 жыл бұрын
Nii nidamaka,,,,anga kaba kwaga kuingirana na relationship icio,,,,Nonga kirikaniro ini nikwiritwo ni mehia guikara mundu e wika???Tondu nii aya arume Ca,
@hannahmanu86422 жыл бұрын
I was tell women don't be desperate with men wait God time is the Best u will married.....sasa my friend rudi kazi upate pesa ya kuweka Kazi.
@rebeccahnjoroge99132 жыл бұрын
Aki na venye saudi job ni mob kuchoka kukosa doz poa alafu nitumie wanaume doh 🙄!! over my dead body zangu siwezi peana but I pray God to give those ladies being conned by online scammers wisdom and strength to move on. Pole sana Maggie
@annmbugua48462 жыл бұрын
Nama Nama Nama ........dauga Nama Nama Nama ngakorwo di wamuico guteithia mundurume period.......nanidaiba muno 😬😬
@rosendunge42172 жыл бұрын
Mi hata alale jaa cwezi mpea doo..mwanamme never
@lydiahnyawira912 жыл бұрын
Both beautiful
@lydiamuthoni32982 жыл бұрын
Online dating ni scam I never trust them pesa ya hamam haitaki lovidavi
@vivianwanini91692 жыл бұрын
Ni aibu sana kuhome uede kwa mitambo kusema unataambika sababu ya kudanganywa uede kenya ukaolewe..hivo ndivo watu wengi wame ndanganywa..let's be serious surely wamama, hawa wanaume niwale tu walituachia watoto ikatufikisha kuja kurisk maisha yetu gulf..please watch out 👀
@abigaelsamuel6742 жыл бұрын
Just imagine
@pinkykikky56002 жыл бұрын
Volume dear
@emmaculatewanjiru39962 жыл бұрын
Aki I love that, they are the same men you know,they have not changed oh oh,take care
@dorcaswandia42282 жыл бұрын
P0le sana lkn umelearn alot , dont trust any man kwanza akianza kudai doo muache kabisa, online relation nijikute.
@davidkamoi49412 жыл бұрын
I pray and work hard for my daughter to never imagine going to Gulf
@joycekungu19572 жыл бұрын
Same here, I would not want my gal's to come here,,, i will put more effort 💪💪
@mummysson88302 жыл бұрын
Amen God fulfil the desire of your heart
@janemwangi69322 жыл бұрын
Usi wahi tafuta mwanaume. Naturally, men are the ones supposed to hunt women bt not vise-versa. Unfortunately, we women are so desperate for men and that's why we're suffering so much. He who does not know you does not value you. He always assume uli mafuta anyway. Age is bt just a number. Maturity iko kwa mind not age. Any man who starts a relationship and immediately asks for money, that is red flag like he is not a husband material nor a responsible husband. A man is the one who should be surprising his woman with money or gifts. Wee.... 🙉 Ame ji advertise tena haki. She is so beautiful and young to be hunted and proposed by a handsome gentleman and responsible husband..wacha man a sweat ku kuingiza box yake ndio aku value. You're so valuable and fearfully and wonderfully made. I wish you all the best.
@margaretnjoronge57122 жыл бұрын
Me to my prayers to them thy will not suffer the way I suffer in Jesus mighty name 🙏
@angelicakirangi62982 жыл бұрын
Going to gulf has nothing to do with the hands of a man she will fall into. Love breaks all odds. It's blind mostly. Learning
@mummysson88302 жыл бұрын
to all ladies working in gulf God loves you and take care of what you're watching now i went thru it but one thing I can tell you is let's stop involving ourselves dating online even if it works to some peoples it looks majority of us suffer when it comes to long term relationship. I know people have been shared their online dating stories but ooh my God I wish this can be a learned lesson.,and if you do please date without using your money in a relationship
@annwanjiku96372 жыл бұрын
Good advice
@shikufm96902 жыл бұрын
Well stated. Vile hizi pesa hutoka mbali then uanze kusambazia mtu aki.
@jaynesam69582 жыл бұрын
They give freely....who to blame???
@annwanjiku96372 жыл бұрын
@@jaynesam6958 Wewe tiga wana haki mapenzi kuna wenye kipawa kupiga mstari hauwezi jua ukipambazwa
@gladyskanyi88502 жыл бұрын
Absolutely 💯💯 true, most of them are scammers
@gracekinyanjui54722 жыл бұрын
That's true ukiwa Gulf huwa unatamani kuwa na mtu mwenye atakua anakwambia sweet words
@vivianwanini91692 жыл бұрын
Wambui hii shule ni borders kwa primary? do they bord? Pleace Kuuliza tu kabla ni call
@gachokijoseph15632 жыл бұрын
Yeah.. it's a boarding school
@vivianwanini91692 жыл бұрын
@@gachokijoseph1563 Thanks much 🙏
@wambuiwamwangi2 жыл бұрын
it's a boarding school
@vivianwanini91692 жыл бұрын
@@wambuiwamwangi Asante 🙏
@esthershikodaykariuki2542 жыл бұрын
The headline just headline reminds me my sister in love wat she did in gulf with his boyfriend But she laiter come back with pregnancy they guy dumped her after constracting a house in nakuru But the guy alioa, she usually tells me shiko usiwahi jaribu kufanya the mistake i did please tafuta pesa jichenge kwanza mapenzi its no nikiwa gulf d its true koz character dvpt ziko mob kenya verses gulf hugs muumy But this is a lesson to us tuko huku
@mummysson88302 жыл бұрын
hello am so sorry to her hugs it is well, yes exactly vile alikwabia weka pesa yako kwa mfuko isiwai kuchokesha Please this was my story and its a lesson learned
@anngathoni64672 жыл бұрын
Know utapenda aje na mtu haujui acha ujinga
@esthershikodaykariuki2542 жыл бұрын
@@anngathoni6467 i wish usikilize pple who come gulf na wamepitia such cenario huwezi kuwa harsh sometym U get tricked with their romantic words d attention to you ba the tym unagutuka every thing is mess be good d wise to listen d Learn from her story
@lilianrhyner25702 жыл бұрын
Unbelievable how can you trust someone who you meet??????
@Truthfulmen_women Жыл бұрын
Who you have never met.
@mamadenzel91372 жыл бұрын
Wambu ni dry spell ituthumburaga ndio maana tunatafta watu,mm nikishuka nachukua Ben 10 wangu twende coast
@zackzackie.2 жыл бұрын
😝😝😝😝😝😝😝😝
@nyakundihellen68222 жыл бұрын
Heheeee
@veronicahnyambura16962 жыл бұрын
😀😀😀🤣😂😂
@wandiaflorence77122 жыл бұрын
Kabisa, life is too short, enjoy your cash😂😂
@tabbyshiro23102 жыл бұрын
Hahaha
@tabithanjengaofficial98202 жыл бұрын
My friend Maggie I didn't know you have gone through all that, alesson learnt watu wapendane wisely
@winniemwash80752 жыл бұрын
Mtu anatoa wapi pesa za kutumia mwanaume namimi huzigawa zinakosa kufika penye nataka?nikiwa na parents n kids surely si heri ni waweke free mood life kuliko kufurahisha mwanaume? Reke ndure ndi happy single without man stress
@annemuthoni1781 Жыл бұрын
How can you trust a man this much? a man who betrayed you? Unaeka plans za your son kando ujengee mwanaume? Akhi it's offending... being desperate for love is dangerous... keep being generous 👏
@ranjusranjus1432 жыл бұрын
Guys guys guys! Whether you are a man or a woman and working abroad, whether single, married or engaged, DO NOT trust anyone with your money, not even your own mother. Put your money in an investment account till you get back.
@rosemarywaitherero31656 ай бұрын
Where do people get all these money and trust juu mimi niko saudi na sina pesa
@annemwangi56092 жыл бұрын
Hi Wambo. This is a good show. My comment to those going to work overseases. Please commit your life to God and make Him your online friend and you will never be dissapointed. Secondly make your kids and family members, those you trust your online friends. Another thing l would like to say is l have observed like there are demonic alters working against those working in Arabic countries, and the enemy is using love online as a way of making these ladies not to enjoy their 😓 sweat and achieve their dreams.SHALOM
@maureenmiriti31992 жыл бұрын
Lakini miaka kumi na hakuna kakitu hata kama ?? Aiii.. aje sasa?I came in peace though ✌😌🙏☺
@themugure91202 жыл бұрын
Ii nguvu watu wanatoanga wapi na hii pesa uchungu ivi sometimes nikama wazimu
@rosewairimu92372 жыл бұрын
Haiya!
@winniemwash80752 жыл бұрын
Ladies hii nguvu ya kutrust strange man online mnatoanga wapi cos Miki siwezi sumbutu hata ikuwe nakujua siwezi kutrust any man with my money not unless my blood kids
@alicekihiu74582 жыл бұрын
Don't take those love messages seriously mens can write anything to you and may be his wife is there he is only enjoying you
@catherinenjeri49802 жыл бұрын
Haki ladies are really blinded by Love...this is so desperate of this lady.Pole
@hannahwaithera14882 жыл бұрын
On line love why
@nester54282 жыл бұрын
Our battle is not in the phisical
@naimkangi60272 жыл бұрын
I accept Niko na kasoro , nimeani nakuwanga na kasoro 😢😢 am in social media many years nasijawahi ona online love ,why means Niko na kasoro 😢, cjawahi katiwa au nakuwanga serious vibaya cz I don't entertain nonsense, anyway wacha niedelee kungojea mungu labda wangu bado hajanunua smartphone 😢
@emilynyaga59472 жыл бұрын
Love every body but trust God alone
@nester54282 жыл бұрын
Hio ilikuwa pepo my sister
@joycekungu19572 жыл бұрын
Gulf inataka maombi,,
@medrinekabura9162 жыл бұрын
Its as if thin online guys are using witchcraft. Otherwise mimi haya mambo sielewi.
@alicenjambi85392 жыл бұрын
Nie ciakwa mundurume ndagirea fokof
@gladyskanyi88502 жыл бұрын
@@alicenjambi8539 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂nginya wamwita fokof
@medrinekabura9162 жыл бұрын
@@alicenjambi8539 Imagine saa hii tu, I have just watched a video at KDM ya Jeremy Damaris, about a woman who is back from America. Anaomba usaidizi juu hana anything and she has ran away from a man eti anamsubua. America and you come back. Namugaga gutiri mithaiga!!!! Mimi hii mambo pana elewa.
@joycekungu19572 жыл бұрын
@@medrinekabura916 😢also I believe so, America na vile ni big si angehamia place Ingine,,, uchawi iko bana😅
@vivianwanini91692 жыл бұрын
Atumia na airitu mahenirio kuhenio, monetio rukungu ni desperation ya loneliness kiugo tu "KUHiKIO" Mwathani tuigwire tha
@marthamuturiwMuturiw2 жыл бұрын
Mimi ni single for 20years and nilisema mapenzi na pesa nitafauti
@vivianwanini91692 жыл бұрын
@@marthamuturiwMuturiw ata kile mimi hujiuliza Martha, ni mimi nitapea mwanaume ama ni yeye anafaa kunipea?🤔🤔 reke nemwo
@sarahngige15892 жыл бұрын
Wakiri muguruki wee
@t.wkangethe48142 жыл бұрын
Ndakwira wa biu.
@wanjikuthumi80172 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@muhikiwajesu72912 жыл бұрын
Ngaii urokumira gulf ladies ngoma ta ICi cia kumacokia thutha in Jesus name lord direct dem where theirs prosperity not downfall ooh God they pass through hard time to get their own life 🥲🥲🥲
@kelvin37872 жыл бұрын
Ungi niuguruki Ngai mwathani vile hii lyf ya gulf inatandika mtu right left n center... No sleeping no off days no freedom then mtu akuite beib umtumie zote God forbid ooh... Some are not testimonies nigutunogia hakiri especially ihinda riri ria Ramathan vile watu wanachoka puthoooo
@winniemwash80752 жыл бұрын
Haki
@gladyswanjikumaina25942 жыл бұрын
Imgn tariu nogete ta funda iria cia warufaga ..nginya ndirahota kwigarura ....wageni hawaishi alafu nitumie mtu zote.....oooliskia wapi
@nancymwangi46162 жыл бұрын
Aki why online ooh
@purityleah5252 жыл бұрын
aki mapenzi wewe mungu ana kuona na vile wewe hupea mtu wakati aongee na mungu atus aidie Wana hamam atu fungue macho aki
@joycekungu19572 жыл бұрын
Aki mimi ni mkono glue 🙈🤣🤣siwezi tumia mwanaume
@shikufm96902 жыл бұрын
Seriously ladies aki kueni serious na life,this stories za kutumia wanaume pesa eeeeish this is too much,you came all the way to Gulf for the betterment of your kids and your future alafu a man from nowhere anakuita baby,honey etc then unaanza kutuma pesa,kindly think twice. Am in Saudi for over 7yrs na hao wanaume wa online siwezi na siwezi am mkono glue aaaiii,just tell a man akikusho urudi home mkae pamoja tell him to deposit 1m in your account then apo mtaongea,😂😂😂😂ile mbio atakutoroka nayo imeshinda ya Bolt,ni hayo tu kwa sasa
@mummitchel95372 жыл бұрын
Sijui wao hutoa wapi hiyo roho ya kutuma pesa Niko Ksa 12yrs know but I can't entertain online men ata kidogo am in gulf cause of my daughter future hii Mambo ya kuitwa honey sweet apana but gulf ladies hujifanya desperate sana watu wajipende
@davidkinyaki2 жыл бұрын
Anadepost 1m kwani Ni shamba ananunua
@joycekungu19572 жыл бұрын
Exactly,, mimi najua pesa yangu ni yangu,,, mwanaume atafute pesa yetu😊
@abigaelsamuel6742 жыл бұрын
I too wonder how they are easily cheated
@wangadeche11792 жыл бұрын
Aki hii ni kari wanaume wanaku inbox and the next minute unaitwa beeeebs🤣🤣🤣mufuko inatopoka
@Cate8612 жыл бұрын
Aiiiii watt wa gulf wacheni online love
@margaretkaranja18642 жыл бұрын
How cn you treat a lover as a priority wen they r out to take your advantage b wise. God loves ppl with wisdom
@kmute38162 жыл бұрын
... gulf is home to character development PhD holders
@mercynjoki86182 жыл бұрын
Add volume
@bettiejoy-mtotowamama2 жыл бұрын
Siwezi mlaumu mapenzi yanaweza kukufanya ufanye ujinga mwingi sana. Lakini hiyo nguvu ya kutumia mtu pesa afanye yake sijui mnatoanga wapi 🤔🤔. Mimi maybe unikope ukiwa na shinda na ukikatalia naakuachianga Mungu a deal na wewe.
@gracejohns61082 жыл бұрын
Wee the earth is hard..... I rest my case... And this online dating with pastor... Watu wa kanisa Issa scam... 😔😔
@tabithamuthoni91702 жыл бұрын
Makoragwo makiriha mistari 🤣
@trizahwairimu63762 жыл бұрын
What is ihu? Sounds not good
@tabbyshiro23102 жыл бұрын
aty ninjengee mwanaume nyumba nkt wanaume wa online siwexi maybe kuhav fun nothing else mambo ya pesa kando only my friend nkt limwanaume nilinjengee nyumba kwany mimi ni babake venye saii usingizi I inanimaliza.
@hannahnjeri28222 жыл бұрын
Heri niibiwe mapenzi lakini sio pesa.Hii nguvu wanawake hutoa wapi sasa?
@emmamwangi4342 жыл бұрын
The story of online"laugh" is forever touchy, never touch your savings.
@joannemarley99252 жыл бұрын
True
@reginawaridivlog2 жыл бұрын
sure... never ever
@essymainanungash86822 жыл бұрын
I flart online but mwanaume anitajie ata credit na gonga block mara hio hio