HONGERA SANA RAY C WEYE UME TUMA WATU WENGI WAME FUNGA NDOWA KUPITIA NYIMBOZAKO
@shyfettymtunda46195 ай бұрын
Nashukuru mimi ni introvert,sinaga rafiki.I always enjoy my own company!!😂🎉
@faithkinyanjui89034 ай бұрын
Me too gal
@HawaBeny5 ай бұрын
Wapo wengi mnoooo....jmn mm ctaki kabisaaa,,,,,,ilikuta yule dada mungu anamuonaaa,,,tulikua tuki hangout mbele zawatu anaanza ushauri etii saiv utulie ufanye biashara moja mbili tatu😂😂 tukiwa wailing ukiomba ushaur anakwambia mda bado...😂hasa akiona tu wanaumee ushauri nasaha unaanza ...thanks Allah 😅😅😅😅😅😅niliweza kumbwaga....daa ila iz mamboooo
@RayCOfficial5 ай бұрын
@@HawaBeny Nimecheka kijinga 🤣🤣🤣🤣
@jamilahmputu5 ай бұрын
Thanks my baby girl for your advice God bless you ❤
@borryab004 ай бұрын
Mbona wapo wengi tuu
@mohamudmohamed904915 күн бұрын
Marafiki wa dhati wachache
@uwezopower75515 ай бұрын
Dadangu tunakuomba kufanya maojiano na wewe kama inawezekana ❤❤❤ POWER TV SWEDEN tupo youtube
@Patricemcwise4 ай бұрын
You true I think your mom she is your best friend
@JustSomebody-fj3we5 ай бұрын
❤ stay blessed we love you ❤
@RayCOfficial5 ай бұрын
Love you all❤
@Nj23n5 ай бұрын
@RayCOfficial where are you are you in Kenya now or u move to here in Europe I mean France??
@AbdirahmanIgge5 ай бұрын
Ray c❤
@mankaminja6835 ай бұрын
Kweli kabisa...tuwekee nyimbo zako za long time..tuziangalie kwenye account yako.
@RayCOfficial5 ай бұрын
Sawa ila zote unazoziangalia malipo yanakuja kwangu maana nilishazisajili nyimbo zote..Nitawawekea huku pia mpendwa.❤️
@ms_teeonly5 ай бұрын
Umeongeza vema dada, thats my story, that's why now I'm alone minding my business
@Sumay2285 ай бұрын
Nafikiri wa cku hizi ni mixed sometimes yuko gud na anakutetea but hataki umzidi chochote ndio kazi iko hapo so kama vp better alone
@ms_teeonly5 ай бұрын
Thanks dada❤
@kingbidder5 ай бұрын
Ray c naomba usapoti ngoma yangu ina fanya vizuri sana bongo.. mimi nipo UK....ina itwa Smell like Zanzibar... kzbin.info/www/bejne/eZi0YWSQi8t-gqMsi=CAQ0NtxoN-PXJt0S thanks