Nafurahi sana kila ninapomskiliza Cosmas Madulu. ila ipo hivi, Matokeo Negative tunayokutana nayo sisi waAfrika huku Afrika (mfano: Watu kufa na kuzikwa Makaburini wakiwa wamebakiwa na Ndoto/Vision zao) ni kwamba tulijiUngamanisha Rasmi tangu zamani katika mifumo ambayo siyo Rasmi (mfano Mfumo wa Kidemokrasia). Kwa hiyo ni vema turudi kwenye Mifumo yetu ya Asili ambayo ilitujengea uwezo wa Asili ndani yetu. Ukitaka kuniElewa kiuLaini, Tizama watu wanaotoka taifa la UCHINA.
@hashimmwawato96602 сағат бұрын
Ak hii redio imenifungua Sana akili mungu aibariki hii redio na watu wake na vilevle mungu ambarikie mwalimu hyu amlnde nasiku zote tujfunze mengi kutoka kwake.
@JuliusKaezaКүн бұрын
Big up sana Mr MADULU
@GotfridJosephatКүн бұрын
Akili kubwa mtaalam big up Sana
@fidelfidel-jz4iwКүн бұрын
Hongera sanaa bro hii akili haifundishwi shule hapo ndipo shida iliyopo ktk maisha
@MalkGunewe-x5dКүн бұрын
Joy and happiness daaa! 😮
@AliBinAbdullah-vy2hl10 сағат бұрын
Cosmos Ni mutu muhimu kwaku elimishana
@FrancisLyamuya-ou1ebКүн бұрын
Halo ndugu asanteni sana
@makalewilliam9782Күн бұрын
Kaka nashukuru kwakuufanyia kazi ujumbe wangu nimepata jawabu
@madinidotcomКүн бұрын
Karibu sana.
@janetmbwana553Күн бұрын
Thanks sir cosmas Big up Gee🤗🤗🤗
@madinidotcomКүн бұрын
So nice of you
@idrisyasin237Күн бұрын
Mwamba anajua sana
@kelvinkimaro4052Күн бұрын
Noma sana
@lucasmgusa361Күн бұрын
Dahhh what do I miss today 😮, but thanks for the KZbin channel
@madinidotcomКүн бұрын
Hope you enjoyed it!
@AFYA_COMEDYКүн бұрын
I am the biggest fan. Hongereni sana !
@madinidotcomКүн бұрын
Asante sana
@DrepsamaКүн бұрын
Umeua
@BarakaKusalulaКүн бұрын
Huyu Madulu ni hazina kwa Taifa kama watamtumia vizuri
@YusuphuJoshua-xq8yoКүн бұрын
Kosmas. Ni. Jayant wa. Tanzania 🇹🇿 bgp. Brother wa. Madini doticom
@janetmbwana553Күн бұрын
Kabisa
@amourmtungo623Күн бұрын
Wengi tumepigika na mifumo lakini watu kama nyinyi na wengine mnatufunua macho kila mara na michango ya social media inasaidia sana
@kingvikey4682Күн бұрын
..itabidi aongezewe mda uyu mzee wa busara
@darasibrown6084Күн бұрын
Father cosmas.naomba kuuliza kama kuna vitabu?
@Shafikimanga7Күн бұрын
Ukiona na wewe unamfuatilia huyu mtu tambua wewe ndio unayetakiwa kufungua vifingo vya akili mgando vilivyotuzunguka. Huwezi kumuelewa asiyeeleweka.
@BarakaKusalulaКүн бұрын
Kama kuna siku nimejilaum basi ni leo maana Madinidotcom imenipita😢😢
@edsonnelson4464Күн бұрын
Penda kitu kinachokupa pesa, ukipenda ambacho hakikupi pesa utaishije?? M aaana watoto waleo waliosoma wanabaguA kazi kwa principle hiyo
@Samweli331Күн бұрын
Hayo swali 11 nayapataje??
@madinidotcomКүн бұрын
kaa karibu na platform zetu za @madinidotcom
@tinnahagustinolyelu424718 сағат бұрын
Nimeelewa ni kwanini nilikutana na yule dada asante