Tunaemuelewa mtiga bdalah gonga like kwa upendo nice voice brother
@jumashabanisekiboko47305 жыл бұрын
isack peter namuelewa sana
@josephinetrazias71935 жыл бұрын
Nakupenda sana
@aloycenobeyt95385 жыл бұрын
Nimeipenda iiii stoli
@johnsilima67895 жыл бұрын
Huyu mtu ana talanter ya usimuliaji
@omarionjeni59275 жыл бұрын
Good
@idaaman74895 жыл бұрын
Ana sauti nzur sana anajua kazi anatulia ,he is just awesome..sijui jina lake but i adore him..
@lutindiOthumani-ph5kz Жыл бұрын
Mtiga abdallah
@nahyaseif62265 жыл бұрын
Nampenda bure huyu anajua haswa nilikua sjui kuhusu story book lakn saiv ni mfuatiliaji mkubwa wa hii story book yaan anahadithia kama unaona vile he is great 😍😍😍
@MUTUMAMNAIROBI5 жыл бұрын
Huyu msimulizi anafanya kazi nzuri sana. Inabidi mtu atazame video mpaka mwisho
@mariamfritsi97615 жыл бұрын
Simuizi nzuri sana,ndugu msimulizi wa hadithi unasimulia vizuri sana napenda kwa jinsi unavyoelezea,tunakuelewa vizuri sana.
@husseinomary44665 жыл бұрын
Ukisikia mapinduzi ya habar ndo haya hongereni wasafi kwa kutupa burudani
@mudhirikibiwi51315 жыл бұрын
Kaka unajitaid kutujuza n habar zako respect very looking nc
@husseinyhassany56965 жыл бұрын
KAMA UNAMU AMINI MWENYEZI MUNGU GONGA LIKE HAPO 💓💓👇👇
@amanismithk4 жыл бұрын
Husseiny hassany ISHU SI TU KUMUAMINI MWENYEZI MUNGU !!! HUU USEMI NI WA WATU WASIOJUA UHALISIA WA MUNGU ... BIBLIA INASEMA "" HATA MASHETANI WANAMWAMINI MUNGU NA KUTETEMEKA"" WEWE UNASEMA KWA MDOMO TU UNAMWAMINI !! WAO HADI WANATETEMEKA !! YAKOBO2:19 USIJIDANGANYE KUWA KWA KUSEMA KWAKO ETI UNAMWAMINI MUNGU NDIO UTAINGIA MBINGUNI ...HUJUI MAANDIKO WALA HUJAMJUA MUNGU BADO!! NIKUULIZE SWALI ? JE MASHETANI KWA KUMWAMINI MUNGU HADI KUTETEMEKA JE HIYO ITAWAFANYA WAINGIE MBINGUNI ??? JIBU NI HAPANA !!!! NA MAANDIKO YANASEMA "" MOTO WA JEHANAM AMEWEKEWA IBILISI NA MALAIKA ZAKE(MASHETENI AU MAPEPO NA MAJINI YOOOOTE WALA HAKUNA JINI ZURI KAMA MNAVYOAMBIWA) KUMWAMINI MUNGU NI KWANZA KUJUA YUPO KWA UHALISIA WALA HAPO SI SWALA LA IMANI TUU.. TUNAJUA YUPO KWA UHALISIA MAANA KILA SIKU TUNAONA MATENDO YAKE NA MIUJIZA YA UUMBAJI WAKE AMBAYO HATA WANASAYANSI HAWAJUI VIMEUMBWAJE MFANO MFUMO WA UBONGO UNAOZIDI HATA COMPUTER YOYOTE DUNIANI.... PILI NI KUISHI KWA MATENDO MAMBO YANAYOMPENDEZA MUNGU. SIO UNAKULA RUSHWA UNATUKANA UNAENDA KWA WACHAWI NA WAGANGA NDUGU ZAO UNAIBIA WATU UNARUSHA WATU UNA WANAWAKE KIBAO UNA MAHASIRA YA AJABU AJABU NA KUPIGA WATU HATA MKEO NK HALAF UNASEMA NAMWAMINI MUNGU !!! YUPI??? MSIDANGANYIKE YESU PEKEE ALITUMWA ULIMWENGUNI KUWAPATANISHA WANADAMU NA MUNGU KWA KIFO CHA MSALABA ILI KUBEBA ADHABU YETU WANADAMU. NA ILITABIRIWA TANGU AGANO LA KALE. ISAYA 53 PIA ISAYA 7:14 Inasema bikira (bila mwanaume)atachukua mimba atamzaa Yesu......nk. ANAYEMWAMINI YESU NA KUKUBALI KAZI YA MSALABA NA KUWA ALIKUFA NA KUFUFUKA NA ATAIHUKUMU DUNIA HUYO HATAHUKUMIWA. USIPOMWAMINI YESU JEHANAM INAKUSUBIRI USIJIDANGANYE NA DINI NA KUSHINDANIA DINI.. YESU PEKEE NI NJIA YA UZIMA YOHANA 14:6.. UKIANZA MABISHANO NA USIPOSIKIA NI JUU YAKO. MIMI NIMESHAKWAMBIA NA HUTAJITETEA SIKU YA HUKUMU KUWA HUKUJUA YESU PEKEE NDIO NJIA YA MBINGUNI
@mkumbojaphe6164 жыл бұрын
Husseiny hassany
@abdulkhareemhussein29844 жыл бұрын
Duuuhh kwel mtiga uko frshhh
@mosesmchicha85574 жыл бұрын
If u are watch this story up to now just put u are comment here
@chrispmagesa90044 жыл бұрын
@@amanismithk Aa
@salehkamwanga29305 жыл бұрын
daaah wewe una juwa kazi bro the stor book suka na tembe 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩blook the stor book i love you bro
@lupandesimukindje81705 жыл бұрын
Pamoja mon frère congolais na mimi napenda sana the story book.
@kinglunda_best76165 жыл бұрын
Hii ni hatari ivi hii dunia ni hatari tunastaili kumuabudu mungu kila wakati
@lusajomwakibinga69125 жыл бұрын
Amen amen amen
@hamidasultan38774 жыл бұрын
Pumpabufu
@neemazee18643 жыл бұрын
@@hamidasultan3877 Sasa mpumbavu ni nani ni wew au🙄🙄
simulizi nzuri sana na nimejifunza mengi hao ndugu zetu wa china watujuze zaidi kuhusu kangbash
@Hamedjr_offcl5 жыл бұрын
Dah mzee uko vzur kwa hii kitu nakubali na naipenda kizazi Sana ☙💕👏👏👏
@momyyangaa71103 жыл бұрын
Story nzuri pia mcmuliz anajua kutulis
@nasiburashid46165 жыл бұрын
Tanzania ndio nchi pekee ambayo watu wanaomba like kwenye kaz za watu wengne sijui mnazipeleka wap
@millicentayangokunting37284 жыл бұрын
😂😂😂🤣
@juliuskulokhoma80204 жыл бұрын
Haaahaa
@Happizo4 жыл бұрын
Washambaa
@amiryharuna73125 жыл бұрын
Nilikua naitafutaa sana hii story BT now nimeipataa shukrani kaka
@roi25545 жыл бұрын
Ngoja nikaamie mimi huko nile bata pekee yangu ila kabla sijaenda kwanza napitia kwa bibi sumbawanga kujiboost
@bethymathew7883 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@mrsinia30643 жыл бұрын
😂😂😂
@seithmbaya67644 жыл бұрын
Thanks for Highlighting Historical teachings.
@qaltumsaid30955 жыл бұрын
kama ndiyo kwanza unawatch honga like tuende pamoja
@qaltumsaid30955 жыл бұрын
@Kelvin Novath peeeee
@johnsilima67895 жыл бұрын
Wangapi tunaiangalia hii story 2020 gonga like mtigaa
@FatmahLessoАй бұрын
2024😊
@choggyslyymrisho5931Ай бұрын
2024 december km bado upo hai
@ramadhanimwanyumba295513 күн бұрын
2024😅
@pauldaudjohn79375 жыл бұрын
Wasafi 👍👍👍
@goddamwakimi58895 жыл бұрын
Nimependa wasafi TV, story ni nzur sana
@jenniferfidelisshetui67785 жыл бұрын
safi sana tunajua vitu vingi kupitia the story book
@cheniboy62745 жыл бұрын
Tumefulai watanzania kwa kupata chombo kingine cha utangazaji hongereni Sana wasafi kwa jitihada zenu ila ombi la watzd namba za simu za hii midia ili tupate kuwarushia matukio ya mitaani hususani na hizi mvuwa zinazo endelea ndilo ombi
@kadogoomushadi54094 жыл бұрын
Mmmmhhhhh duniya simama.nishuke mungu tusaidie yawehukohuko china
@aronnasibu87685 жыл бұрын
your the best mtiga abdallah
@mamadylanscarlett52485 жыл бұрын
Your Gud bro ...hiyo sauti kipaji ....I love story book
@jumamuharami76445 жыл бұрын
Mapeeana nimewah leo ata like moja jamn
@allyderossi97425 жыл бұрын
Juma Muharami, Hebu tuachaneni na mambo ya kisengesng jamn,,hebu 2jaribu kucomments mambo ya maana kiasi ya kwamba hata m2 akiiona 2 comment yako huna hata haja ya kumuomba LIKE,,mwenyw anakupa 2uu kwa comment nzr uloandika,,Sio unaandika comment ya kuomba LIKE:MFANO;(Eti mm leo wa kwanza,mara cjui leo nimewahi wapilii nipeni Like zng 2acheni ndg znguni waTZ pa1 na waZNZ cc sote ni damu...,,Naomba msamaha kama na mm nilikosea ktk matamshi mana na mm pia nina mapungufu yng ikiwa ni kiumbe niloumbwa.,2endelee kurekebishana panapoonekana sehemu hucka ya kuwa m2 kakoseaaa..,,_- (FROM ZNZ HAPA).,I love people all from TZ and ZNZ for micks.
@mndigaboy29555 жыл бұрын
@@allyderossi9742 that is true bro
@riziki25425 жыл бұрын
Waa!! Sisemi kitu 🤗🤗👌
@immah__deo70145 жыл бұрын
Hiii Dunia Anaijua ALLAH pekee
@zaitunisaid36475 жыл бұрын
Majaab ya Allah
@BigZhumbe5 жыл бұрын
Kwaivo Jehovah, Krishna, Buddha na Mungu Mingine hawajui chochote kuhusu dunia hii?
@saidyssaley15094 жыл бұрын
@@BigZhumbe Yap hawajuwi chochote ktk ufalme wake Allah ila alitakalo Allah ndo watakalolihuwa
@BigZhumbe4 жыл бұрын
@@saidyssaley1509 But Allah ndio youngest God. Miungu yote niliokua nimetaja apo juu ilianza kujulikana kitambo sana. Kila dini inawafuasi na wanaishi kwa misingi ya mafunzo ya dini zao sio misingi ya dini ya Allah. Jehovah anawafuasi wengi kuliko Allah
@sadahgullam82284 жыл бұрын
@@BigZhumbe msubirie uyo yehova wako siku ukifika ndo utajua mbivu na mbichi
@tibeitajoseph66465 жыл бұрын
Wa 15 kucoment ....big up wasafi kwa story nzr
@martinezsiwale44195 жыл бұрын
Tigaaaa boy wasafiii bless up
@sarafinaseverine40805 жыл бұрын
Sauti yako nzuri unashawishi mtu asikize story ata kama hakutaka kusikiza hongera
@terrywatahi12032 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️I love his voice ... amazing story 💯💯
@BenardIsmail10 ай бұрын
Duuuu
@Prem_Rich5 жыл бұрын
BIG UP BROTHER
@jackmahero963 жыл бұрын
Naipenda sana hii sauti. Masimulizi bora ya undani. Asante
@MwasuNahoda6 ай бұрын
Wangapi tunaiangalia 2024 gonga like apa.
@DicksonBele-y9k2 ай бұрын
Wap
@AvelinaCharles-p1sАй бұрын
Unyax
@clintonmanyerere41045 жыл бұрын
The story book ninoma xana bro unajua 🙌
@johnmwangi24355 жыл бұрын
What a story amazing sana
@saidyussuf10395 жыл бұрын
Nakuelewa sanaa Mtiga unajuwa unacho fanya
@jumakunemka98585 жыл бұрын
The story book wakupe tunzo ya uhandishi bro
@elizabethraymond85355 жыл бұрын
Nakupenda sana Mtiga Abdalaah kwa kaz yako nzuri ❤❤❤❤❤❤❤❤
@davidwalalason76305 жыл бұрын
Thanx for your teachings.
@estherjustine88084 жыл бұрын
Hatari sana aisee mpk naogopa jmn
@sadaalharthi73175 жыл бұрын
I love the story book 😍
@slvestermtondo42244 жыл бұрын
Nakukubali mtiga
@hamishamis99055 жыл бұрын
Hii nimeipenda sana asante MONDI ahsante WASAFIII...
@adilaamani82175 жыл бұрын
Mnajua kuzipamba stori kila kitu mnakisema kwa reference
@melkizedeckkiputa1655 жыл бұрын
Nakubari sana ubunifu wenu keep on ....
@jadiali905 жыл бұрын
Moja yasimulizi nilitokea kuipnda mno kama movie vile
@tumainiyuba98875 жыл бұрын
Mtiga abdallah unajua kuadithia baba...🙌
@jozzsimbatv11994 жыл бұрын
Kama umeichek 2020 gonga like twende sawa
@tumainkomba39684 жыл бұрын
Jaman kama binge kuwa huk binge karibu kuish manaaaa🥰🥰🥰🥰👍
@franciskarwigi5 жыл бұрын
The narrator is on point! Such a good story teller.
@simonngugi49162 жыл бұрын
One of the best voices,the narrator.
@jonasmongi78115 жыл бұрын
Big up mtigaa 💪💪💪
@pastorbonnyphillip89455 жыл бұрын
Sh ngapi hicho kisiwa?? Mnipe bei....Mtiga Abdl upo vizuri sana.
@bosslady88065 жыл бұрын
Mtiga Abdallah nakukubali sanaaaaa 💪👌
@ericklibaba1198Ай бұрын
2024 here we listen... 👍
@moficiall89474 жыл бұрын
I just love it
@naamanidamasi61253 жыл бұрын
Kama unaamini KUWA, UKIWA NA YESU UNAHISHI POPOTE KWA FURAHA LIKE. TUNAISHI POPOTE MAANA YESU NDIE ATULINDAE
@josiahgatune45685 жыл бұрын
Wapi likes za wakenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wanao tazama the story book
@Being_Hussein5 жыл бұрын
Wakenya sisi hatuna ujinga huo wakuombana like na kupeana
@IvyOndoro2 ай бұрын
I really enjoy the storybook
@deusdebitkowa96575 жыл бұрын
Elimu tosha. Historia tamu sana;its total knowledge.
@phestorycharles76445 жыл бұрын
Anae mkubali mtiga kama mm basi like hapa
@bensonmushi75965 жыл бұрын
bonge la simulizi kama umeipenda na ww gonga like
@dorotheaeliudi6704 жыл бұрын
Uwiii naogopa mm
@chagaboy68374 жыл бұрын
Kam@ unamkubali Jamal gonga like hpa chini
@sophiemassare63565 жыл бұрын
Voice of wonder....mtiga u have got good voice keep it up!
@rehemambonea49725 жыл бұрын
Yani acha tuu
@erickkhan96952 жыл бұрын
@@rehemambonea4972 mmmmmm
@juliussanane18605 жыл бұрын
Pamoja na kulanda landa kote KZbin leo kuangalia kama chakula kimeshapakuliwa bado nimechelewa nimekuwa wa 25 kunawa mikono DUUH the story Book Muwe mnatoa mapema kutoka j tano mpaka ijumaa mbali AISEE
@seifhajjvp92425 жыл бұрын
Hungera
@lawrencemwenda35704 жыл бұрын
ni hatari kwa hao watu waliokua wakiwahua wenzao
@mbbajuta31964 жыл бұрын
Nimegundua jambo ambalo imenipa kuamini kwamba ni kweli dunia hii yetu tunaharibu wenyewe
@jumamagali50895 жыл бұрын
brother ungelikuwa mwlimu, basi ungelifundisha somo la historia au uraia, wanafunzi wangelifahuru vizuri,