MIKATABA YA MOTO YA KICHAWI | UNAINGIA KWA LAZIMA NA HUWEZI KUJITOA-SHEHE OMARY MNYESHANI

  Рет қаралды 18,625

PROMOVER TV

PROMOVER TV

4 жыл бұрын

Mhubiri Shehe Umari bado anaendelea na semina katika kanisa la ufufuo,na sasa ameanza somo kwa jina 'Mikataba ya Moto'

Пікірлер: 71
@dokasa9176
@dokasa9176 2 жыл бұрын
Hakuna faida kwa shetani,jameni tusimameni imara ktk Bwana wetu Yesu kristo ndiye tu njia ya uzima wa milele
@sospetermasanja3224
@sospetermasanja3224 4 жыл бұрын
Kila mamlaka ina amri zake huyu jamaa Mungu anampenda sana!
@danielmatemu9698
@danielmatemu9698 Жыл бұрын
Mtu aliyekuwa sio Mkristo (kwa mfano muislam), akija kumjua Kristo, anakuwa na imani sana kuliko sisi wakristo tulio wengi. Sheikh Omary ni mfano mmoja mzuri sana. Mungu azidi kumbariki
@jubethraphael9909
@jubethraphael9909 4 жыл бұрын
Jacktan hongera kwa kazi ya mungu unayoifanya mungu akusaidie shuhuda zako zinaelimisha Sana
@PromovertvTz
@PromovertvTz 4 жыл бұрын
Ameen
@sarahmichael7538
@sarahmichael7538 3 жыл бұрын
Jina la mwokozi wa ulimwengu wote Yesu au Mungu wa miungu yote ni Makosa kuandika kwa kuanza na herufi ndogo, tafadhali sana ndgzngn hili ni jambo la kulizingatia daima.
@fanuelmpakele9280
@fanuelmpakele9280 2 жыл бұрын
Yesu anajulikana vzr kupitia sh Omar anaelekeza,anafundisha,anashuhudia ubaya wa shetan km kuna yoyote asiyeelewa kuwa Yesu ni Bwana bc ni ujeur wake.asante sn Omar
@fanuelmpakele9280
@fanuelmpakele9280 2 жыл бұрын
Yesu ni Bwana nimekuelewa askar wa Yesu wa Nazaret,
@franciskabila8136
@franciskabila8136 4 жыл бұрын
Nishasema huwa wanibariki sana mifano yako iko 100% sure
@zahaljamal4520
@zahaljamal4520 4 жыл бұрын
Daah huyu shehe nimemkubali bwana yesu anampenda sana shehe lete ripoti shetani asitunasi namitego yake ili tusimtende dhambi mwana wa mungu aliyehai ubarikiwe
@halfaniland3850
@halfaniland3850 4 жыл бұрын
Na ataumia kweli! Allah anamsubiri kwa hamu. Kamuacha Mwenyezi Mungu, kaenda kumuabudu Bwana Yesu Makanisani. Na Wakati Bwana Yashua hakuwahi kuwaamrisha watu wamuabudu. Soma Matayo 4:10) hana jipya njaa tu ndio inayomuangaisha. Anafuata nyayo za Ibilis Aley Laana!
@noelashaoona
@noelashaoona 4 жыл бұрын
Halfani Land subiri we utanguliye alafu uje utu ambie allah au yesu
@halfaniland3850
@halfaniland3850 4 жыл бұрын
@@noelashaoona una maana gani?
@noelashaoona
@noelashaoona 4 жыл бұрын
Halfani Land ukifa uta jua ukweli kuhusu yesu na allah
@halfaniland3850
@halfaniland3850 4 жыл бұрын
@@noelashaoona Allah ni jina la Mwenyezi Mungu, Qur,an 17:110) Yesu jina la Nabii, Matayo 21:10)
@florangido202
@florangido202 10 ай бұрын
Hakuna kinachomshinda yesu Ata ukiwa na mkataba wa shetani Unaweza kutoka. Yesu alisema njooni kwangu note mnaolemewa na Zambi nami nitawapumzisha, Tazama ya kale yamepita na takazama yamekuwa Mapya. Wachawi wanasalimisha ndunguli kwa Mwamposa bana.
@myself4128
@myself4128 4 жыл бұрын
Kweli kabisa wakristo tumekuwa wapole sana mpaka tunafanyishwa dhambi....hatuna hofu ya Mungu tena tumekuwa waumini poa poa tuu ili mradi tusiwakwaze watu,tunashinda kwenye mabar na kumbi za starehe eti sababu tuwafurahishe washikaji zetu tusionekane washamba na ndio maaana tunaanguka dhambini kirahisi sana
@blessedlovedandfavoured4129
@blessedlovedandfavoured4129 4 жыл бұрын
Somo la Leo nzuri sana... Inabidi watu wasimame imara kwa yesu
@halfaniland3850
@halfaniland3850 4 жыл бұрын
Injili sahihi ya Yesu, kumbe kuna Injili feck ya Paulo. Mbona sasa haweki wazi sasa.
@halfaniland3850
@halfaniland3850 4 жыл бұрын
Halafu kuokoka Duniani hakuna. Huyo Pastor muongo mnafiki. Matayo 10:22) 1 Petro 1:5) Kuokoka kuwa na hakika yakuingia Peponi, tena siku ya Mwisho.
@joycenganyule3231
@joycenganyule3231 4 жыл бұрын
injili ni habar njema ileyayo wokovu so kama ihubiriwayo iko kinyume na uchaw, majini yote na kila aina ya ushirikina basi itakuwa sahihi
@halfaniland3850
@halfaniland3850 4 жыл бұрын
@@joycenganyule3231 Sister Bwana Mungu awe nawe. Nikuulize swali? Kwanini huwendi kushiriki Ibada Msikitini kama alivyokuwa akienda Yashua? Soma Yohana 18:19)
@hairesellasie1667
@hairesellasie1667 4 жыл бұрын
@@halfaniland3850 kaka hivi mtume Mohamad SAW ndie mwanzilish wa uislam au?
@wilsonkombeyeri4623
@wilsonkombeyeri4623 Жыл бұрын
Njoo Mombasa mtumishi utuhudumie na sisi
@miriamlotti7297
@miriamlotti7297 3 жыл бұрын
Safi Sana Shehe endelea kumwaibisha Shetani
@mbithejustus246
@mbithejustus246 4 жыл бұрын
Jina la yesu ni kali mno nikitajwa hio Kuzimu inalipika, kukutishia watu jina la Yesu ni tosha
@apostlekepha3328
@apostlekepha3328 10 ай бұрын
MUNGU akuwezeshe zaidi
@Shalom2018
@Shalom2018 4 жыл бұрын
Kwa Yesu kuna raha jamani,Mungu atusaidie tusije kumuacha.shetani ni muongo na baba wa uongo.
@maryammaryam5789
@maryammaryam5789 4 жыл бұрын
Mwendelezo tnasubr
@annacheq5272
@annacheq5272 4 жыл бұрын
Huyo mama analala aka Kae huko nyuma
@neemabwana1062
@neemabwana1062 4 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu Omary, tuandikie namba yako ya simu
@PromovertvTz
@PromovertvTz 4 жыл бұрын
Shehe Omary.0755025821 / 0719356206
@neemabwana1062
@neemabwana1062 4 жыл бұрын
@@PromovertvTz Asante sana mtumishi
@lucasgasper5235
@lucasgasper5235 4 жыл бұрын
Big up sana
@hahahahabhggniyi9904
@hahahahabhggniyi9904 4 жыл бұрын
Huna lolote unaoufundisha2 ww ni uchawi uliyonai sas wadanganye hao ndungu zako wa kanisani wakina ndiyondiyo
@luckylucas2125
@luckylucas2125 4 жыл бұрын
Mbona unajiita sheihk bado badili Jina uwe najina lakikristo
@maryammaryam5789
@maryammaryam5789 4 жыл бұрын
Mhm jaman mungu ni mwema ubarikiwe shakhe
@rosemarymwandu6426
@rosemarymwandu6426 4 жыл бұрын
Lucky Lucas kabisa
@halfaniland3850
@halfaniland3850 4 жыл бұрын
Nehemia 12:40) Mashekhe walisimama kwenye nyumba ya Mungu wakimuabudu. Hapo ndipo utapata jibu Uislamu umetoka mbali sana! Hata Qur,an bado haijashushwa.
@halfaniland3850
@halfaniland3850 4 жыл бұрын
@@maryammaryam5789 Mi naomba kujua Bwana Yesu ni nani? Mungu au Nabii?
@josephinemuhonja743
@josephinemuhonja743 4 жыл бұрын
Yesu Kristo ni Mungu @Halfani Land.
@chumachadollar5917
@chumachadollar5917 4 жыл бұрын
Naweza pata number zake za simu?
@PromovertvTz
@PromovertvTz 4 жыл бұрын
Shehe Omary. 0755025821 / 0719356206
@christineotieno52
@christineotieno52 4 жыл бұрын
@@PromovertvTz Naomba number ni +255 au +254
@PromovertvTz
@PromovertvTz 4 жыл бұрын
@@christineotieno52 tazama hapa kupata namba zote kzbin.info/www/bejne/g5mbpmSQibhgjqc code ni +255
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 4 жыл бұрын
Sheh hajasoma elimu ya kawaida??
@myself4128
@myself4128 4 жыл бұрын
Inahusiana nini na injili?
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 9 МЛН
Tekinologia ya Uchawi Pt2-Sheikh Omari Mnyeshani Mwinyi-5th Dec, 2018
44:09
Nyumba ya Ufufuo na Uzima Kenya
Рет қаралды 2,3 М.
USHUHUDA WA SHEHE ALIYEOKOKA(Part-3)~Shehe Omary Mnyeshani
30:50
PROMOVER TV
Рет қаралды 21 М.