MIKOPO UMIZA KWA WALIMU NA MAPENZI YA WALIMU NA WANAFUNZI YAMUIBUA RAS KATAVI

  Рет қаралды 253

Daily News Digital

Daily News Digital

Күн бұрын

Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi, Albert Msovela ametoa rai kwa walimu kujiepusha na mikopo wanayoichukua kutoka kwa taasisi za fedha zisizo rasmi aliyoiita mikopo umiza (maarufu kausha damu) kwani marejesho yake ni makubwa hali inayopelekea kuwasababishia msongo wa mawazo jambo linaloweza kupelekea kiwango cha chini cha ufundishaji.
Rai hiyo ameitoa katika kikao kazi na Maafisa elimu Kata wa Mkoa huo kilichofanyika katika ukumbi wa Kichangani uliopo Mjini Mpanda kwa lengo la kujengeana uwezo katika utendaji.
Hata hivyo, Msovela amewataka maafisa hao kwenda kukemea suala la mahusiano baina ya walimu na wanafunzi na kusema kuwa mahusiano hayo yamekuwa yakiathiri maendeleo ya watoto wa kike.
Nae afisa elimu Mkoa wa Katavi upendo Rweyemamu amesema kikao kazi hicho kina lengo la kujihuisha kwa kupitishana katika mafunzo ya usimamizi wa elimu katika kata za mkoa huo ili kuweza kufanya vizuri kitaaluma katika ngazi ya mkoa.
Kwa upande wao baadhi ya Maafisa elimu kata wameahidi kwenda kufanyia kazi ujumbe ulitolewa katika kikao hicho pamoja na kwenda kutekeleza maagizo ya Katibu Tawala na afisa elimu kwa vitendo.
Kadhalika, katika kikao hicho maofisa hao wametakiwa kuhakikisha upendo unatawala baina yao huku wakikumbushwa mikakati nane ya Mkoa wa Katavi katika sekta ya elimu ili kuendelea kusonga mbele kitaaluma, pamoja na Maafisa elimu Kata mkoani humo wametakiwa kutojifungia katika maeneo yao na badala yake watanue wigo wa kubadilishana uzoefu na maafisa elimu kata wa kata zingine.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: ....
SpotiLeo: ....
TWITTER;
Twitter HabariLeo: Ha...

Пікірлер
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 27 МЛН
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 4,3 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 10 МЛН
MORARA OR HUSSEIN, WHO IS LYING?
15:28
Iko Nini
Рет қаралды 2,6 М.
TAZAMA FAHARI NA FURSA ZINAZOPATIKANA MPANDA MKOANI KATAVI.
12:29
MAKAZI MPANDA
Рет қаралды 6 М.
MAAGIZO YA RAIS SAMIA KWA MASHIRIKA YA UMMA
10:20
Daily News Digital
Рет қаралды 134
🥫They Poured Ketchup On Each Other😲🤭
0:20
BorisKateFamily
Рет қаралды 7 МЛН
Black Panther vs White Animals (Lion, Tiger, Wolf)
0:30
Versus Zoo
Рет қаралды 48 МЛН
Wait till end 💀💍
0:37
Andrey Grechka
Рет қаралды 11 МЛН