Рет қаралды 541,369
Azam TV
Yanga imefanikiwa kutinga hatua ya 16 Bora ya michuano ya kombe la Shirikisho la Azam Sports baada ya kuichapa Ihefu FC ya Mbeya kwa mikwaju ya penati 4-3, katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la Sokoine Mbeya.