Millard na Nick wote mna maarifa ya kutosha. kuuliza swali lenye mantiki lazima uwe busara na hekima ya kutosha. Nick umenipa darasa leo!! this is one of my best interview to watch
@stephennyaki52839 жыл бұрын
ase millard nimependa sana hii interview. Nikki you have a lot to offer bro
@raymondgahima25139 жыл бұрын
twende shule kuchokoza fikara zetu busara za niki big up br una busara sana
@frankmsambila3738 жыл бұрын
Dah, Nikk wa 2. nimekusomaa. mtu mzima akisema amekusoma ujue amekuelewa vema zaidi
@steverichy95089 жыл бұрын
nice interview ever..! tunahitaji vijana wengine kama hawa tanzania... i bet u huyu jamaa tunamuhitaji sana na atafika mbali.
@prinerlee35108 жыл бұрын
kila nikisikilizaga interview za nick lazima nijifunze kitu kiukwel yan,salute bro
@mahamedally51298 жыл бұрын
real
@saumuhassan13657 жыл бұрын
Exactly mamy
@abdulmshana77089 жыл бұрын
Niki yuko vizuri sana Millard tunaomba part 3 pls...pamoja sana Ayo
@sifaeljoseph74738 жыл бұрын
One of the best interviews am ever seen from you guys. Big up Nikki. You are a prominent thinker
@simonmlowe26753 жыл бұрын
Dah, yametimia hongera sana bro
@bhaleeali84598 жыл бұрын
#millard for sure bro hii interview naiangalia tena kwa mara ya 5 tokea itoke 2015 mana daah huyu jamaa NIKKI ni very talent
@RiricaMswati11 ай бұрын
8:00 "Namuamini Allah wakiazini sala" Nikki wa pili
@omaryphonesandaccessories8 жыл бұрын
talented one nick with grt mind. congrts
@nasibuahmedy24388 жыл бұрын
Nakuelewa sana Nikki kila neno unalotoa huwa na maana kubwa sana unafaa kuwa mshauri wa raisi tuokoe hii nchi
@jobmaclean53828 жыл бұрын
USA but my home town is Arusha That gay anafakuwa mshauri wa vijana,motivation speaker Great man i can called u ur a mastermind
@KakaAyubu8 жыл бұрын
gay or guy??
@InnohubGroup6 жыл бұрын
Ayubu Chewale halafu yupo USA!!!!???? Aisee. Utamtoa mshamba kijijini lakini ukijiji utamngangania tu
@samwelmashauri94146 жыл бұрын
Jamaa katulia sana kwenye interview anahekima
@الفرقانيأحمد9 жыл бұрын
Ahsante Sana Millard kwa kutupa mambo mazuri,Nimependa Sana hadithi yako inasisimua big up keep it up Nickson
@mnyamisgmailcom2 жыл бұрын
Dah,, salut. Mwanangu Nikki
@esthernyokabikimiti85848 жыл бұрын
Very inspiring. love from 254
@sabrinamohammed39809 жыл бұрын
nimeipenda umesema kwel
@419707 жыл бұрын
Nickson thanks much umeniencourage
@Onicavee8 жыл бұрын
Mr genius I love u nikki, u the best
@abdillahsaid88128 жыл бұрын
honesty love dis so much
@idrismagodoro47618 жыл бұрын
Nikki wa pili uko vizur sana una uwelewa mpana
@meshackyyunus8 жыл бұрын
Nomaaaa xan niki 11
@stevchaula84299 жыл бұрын
Nikki the genius
@iviejustified81096 жыл бұрын
It Is Complicated, I have this my first time to watch the interview leo.... Look human beings are creatures of habits.. Let's work from here.... Amigo Africanz!
@reymargodfrey98396 жыл бұрын
Love u more Millard😘
@utamuwaleo19704 жыл бұрын
huyu jamaa kiongozi
@hasnakimaro84943 жыл бұрын
Baada ya mkeka wa Samia nimependa huyu mtu
@Babygirl7585 ай бұрын
😭 hapo kwenye chuo ni sehemu mtu anaenda kuangalia series nyingi PAMENIGUSA… i’m guilty
@gideonkabuko9 жыл бұрын
kazi nzuri
@lukangajunior23427 жыл бұрын
dah pamoja nikk
@dausondaud376 жыл бұрын
dooh respect nikk
@jafarimsaghaa956 жыл бұрын
Jamaa anaakili mingi sana .
@mastaplan Жыл бұрын
2023 sitaki kazi
@kedmonmaquiz5 жыл бұрын
one of the best interview i've ever heard
@highzacknnko40024 жыл бұрын
Joan temu & nickson term
@yonaelikoinange52859 жыл бұрын
Thanks
@ipyanamsomba80266 жыл бұрын
Sasa kwa taarifa ndogo tu, mtaa unasema hujawahi kutoa ngoma ina mashairi yakufundishs na matamu kama niaje nivip. Hakunaaaaaaa
@hawahamisi62379 жыл бұрын
Nyc
@salisali37384 жыл бұрын
Dogo ame ongea pont big up
@makinlegan46904 жыл бұрын
Mwambieni yule mbishi aje askizeee mada zinavyopangika
@geraldsumari47655 жыл бұрын
Nikki nimekuelewa sana zaid ya kukuelewa yan ..# ww ni chuga genius ase
@saumuhassan13657 жыл бұрын
Thankx Mr countdown *Millard Ayo* kwa interview
@jumasemboko87926 жыл бұрын
Gud
@jamesminja28884 жыл бұрын
Nikk nmemwelewa sana hana mambo yakujiinua nmependa sana anafundisha vijana sana c sawa na akina naniiii??????sijataja MTU ila wajifunze kwa uyu!!