Salama Na JOH MAKINI Ep 36 | KIUNGO Part 1

  Рет қаралды 69,270

YahStoneTown

YahStoneTown

Күн бұрын

Пікірлер: 97
@seifmeja6056
@seifmeja6056 4 жыл бұрын
Mtu Akifanikiwa Et Fremaso,Kumbe Watu Wanakula Msoto Haswa..Jo,Madee,Mwana FA,Fid Q Mmenipa Somo Kutokata Tamaa Ktk Hustle...💪💪💪
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
ukiona MTU kafanikiwa muheshimu,nakumbuka enzi hizo Joh alikuwa na jeans yake nyeusi na tisheti nyekundu alikuwa anazipenda balaa and here he is rocking through music.mitaa ya mwenge primary lazima akatishe kwenda kupanda gari ITV.God bless you Joh.
@dickmalove5544
@dickmalove5544 4 жыл бұрын
Noma
@tegezito.steve.146
@tegezito.steve.146 4 жыл бұрын
Hakuna Mxanii Wa HipHop Ninayemkubali Kama Mwamba Wa Kaskazini. Wapo Wengi Ila Joh The Best.
@johnsovela9061
@johnsovela9061 3 жыл бұрын
Story ya Joh makini kugonga kwenye geti la salama always inanifanya niamini katika hustle
@rosemofuga6313
@rosemofuga6313 4 жыл бұрын
Joh makini mm nakukubali sana, wimbo wako wa chochote naupenda sana
@shedrackelia687
@shedrackelia687 4 жыл бұрын
Your my inspiration bro haujawahi kuniangusha since day one
@kyaa006
@kyaa006 2 жыл бұрын
Alafu kuna mpuuzi mmoja (FIDO VATO) kakaa huko arusha anamponda Joh wakati hakushiriki kwenye hustle zake wala hajui kama mwana aliamua kutoka kwenye comfort zone yake(ARUSHA) na kuja dar kupambania ndoto zake, leo kafanikisha yeye anajenga chuki na stori zake za kiwaki
@elminofisho7675
@elminofisho7675 4 жыл бұрын
Best interview with best story big up salama na joh makini
@richardcastromzena5136
@richardcastromzena5136 3 жыл бұрын
"lakini sisi tulikua kwenye hustle ilibidi tufanye vile"
@indacarservicestz
@indacarservicestz 2 жыл бұрын
My best Rapper
@charlesmabena954
@charlesmabena954 4 жыл бұрын
Joh Makini Mwamba Wa Kaskazini 💪💪 I'm In Good Mood Noma Sana Broo Joh Makini Mwamba Wa Kaskazini 💪💪 I'm 🔥🔥🔥🔥
@mwakyceasar6653
@mwakyceasar6653 4 жыл бұрын
Joh makini n mtu makini... anaudai pesa nyingi sana mziki wake.
@feisalricardo4523
@feisalricardo4523 4 жыл бұрын
Kweli Professor Ludigo amenipa hiyo story aisee Joh njoo mbezi ludigo tupo nae uku
@amanisima9357
@amanisima9357 3 жыл бұрын
Nakukubali sana Mwamba wa kaskazini👏👏👏
@rosegideon336
@rosegideon336 3 жыл бұрын
Wanamziki wazamani niwavumilivu mno. Hongerani SANA.
@JamallyHMlela
@JamallyHMlela 4 жыл бұрын
Mwambaaa,sema mwamba siku moja moja funua macho kidogo
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
Yeeeeeeeehhh my man,Joh makini mwamba wa kaskazini.
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 4 жыл бұрын
Eti anaitwa Jo-Makini fighter✊🏼✊🏼✊🏼
@assengaerick3613
@assengaerick3613 4 жыл бұрын
Mwamba ni mwamba
@feisalricardo4523
@feisalricardo4523 4 жыл бұрын
Interview Makini sanaaa
@sabraabdalla5563
@sabraabdalla5563 3 жыл бұрын
Namkubali sana iyo mamen, joh zidi kuwa makini
@chale0ify
@chale0ify 4 жыл бұрын
Nani kaenda kuangalia video ya HAO baada ya interview
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 4 жыл бұрын
Nilienda kuitafuta spelling ahikua Poa sikuiona..😁😁😁😁
@mamachris6811
@mamachris6811 2 жыл бұрын
My best musician 👌
@pillyomary6127
@pillyomary6127 4 жыл бұрын
Mm nampenda Sana uyu kk wallah
@Agnes-qq4np
@Agnes-qq4np 3 жыл бұрын
Wasani wote wabongo walipitia maisha magumu kweli maisha ni safari
@MackameHassani
@MackameHassani 5 ай бұрын
Hii story/interview inavutia na initia hisia sn😅😅😅😅
@emmamatemu8225
@emmamatemu8225 4 жыл бұрын
Kwahiyo huyu rapcha dogo kaiba jina lako?
@royalpriestsmusic5685
@royalpriestsmusic5685 3 жыл бұрын
KING JOH MWAMBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
@shiningsportsacademy
@shiningsportsacademy 4 жыл бұрын
Mtu anae konda ni yule mtu aliyekuwa mnene ,joh alikuwa mwembamba😂
@omarame1058
@omarame1058 4 жыл бұрын
Napendekeza salama na kitale
@youngdagwa1822
@youngdagwa1822 4 жыл бұрын
tuletee marafki zako wale ambao unaanza nao kweny hyo interview
@godwinmpazi1560
@godwinmpazi1560 4 жыл бұрын
Bro Jo unamkumbuka G.O.D wa mapacha!!
@mukasabernard1996
@mukasabernard1996 4 жыл бұрын
Nusu sala mshale, nusu suluwali, nkuruhusu usimame, nkuruhusu ulale....napenda iyo ngoma👊
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 4 жыл бұрын
Nusu-Nusu inaitwa😂😂😂😂
@juliennempawenimana2049
@juliennempawenimana2049 4 жыл бұрын
Nakuomba resta Hussein machozi naona ameingiya tz
@seifmohamedseif9467
@seifmohamedseif9467 4 жыл бұрын
Joh makin 👍
@collihmushi5944
@collihmushi5944 3 жыл бұрын
Mzee Rapchaa!
@muhidnkilemba2429
@muhidnkilemba2429 4 жыл бұрын
Kipindi changu namba 1
@herrykyomo4885
@herrykyomo4885 4 жыл бұрын
Great
@kingbidder
@kingbidder 3 жыл бұрын
Daaaah toka mkasi mpaka huku. Hongera sana Salama.. Mungu akuongezee.. Keep Representing 🇬🇧
@hamyrhai9957
@hamyrhai9957 4 жыл бұрын
mwamba
@salisali3738
@salisali3738 4 жыл бұрын
Um mbare
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 4 жыл бұрын
Nice inteview
@kaskaziniansgang1288
@kaskaziniansgang1288 4 жыл бұрын
Mwamba kama Mwamba
@hubertanthony7846
@hubertanthony7846 4 жыл бұрын
Salama umesema mnasoma comments sasa mbona hamueki subtitle ya English ili niwe naelewa mnachoongea maana mie sifahamu Kiswahili kabisa
@lulugora2712
@lulugora2712 4 жыл бұрын
Khaaa dunia inawatu hii
@hasnaabduly4945
@hasnaabduly4945 4 жыл бұрын
😀😀😀😀mpuuzi kweli ww
@ujudiabdull9442
@ujudiabdull9442 4 жыл бұрын
@@hasnaabduly4945 hahaaaa nimecheka kifala....
@annedavienyamhanga4738
@annedavienyamhanga4738 4 жыл бұрын
😅😅😅
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 4 жыл бұрын
@@lulugora2712 😂😂😂😂😂😂🙌
@masellemassawe5014
@masellemassawe5014 4 жыл бұрын
🙌🙌🙌
@winfridamwigilwa2107
@winfridamwigilwa2107 4 жыл бұрын
Best interview.
@regankeresi6410
@regankeresi6410 4 жыл бұрын
Mwambaaaa 🔥🔥🔥
@Tumaini101
@Tumaini101 4 жыл бұрын
Interview bora 2020 Joh nakukubali sana
@FatmaAli-dv7po
@FatmaAli-dv7po 4 жыл бұрын
Tunataka Salama na Aslay
@allymatilda7519
@allymatilda7519 4 жыл бұрын
Salama jabir 🥂
@nassorali7080
@nassorali7080 4 жыл бұрын
Salama cku ntapend kumuona mzee wangu Charles Hillary
@innocentmushi1550
@innocentmushi1550 4 жыл бұрын
hakika
@charlesmabena954
@charlesmabena954 4 жыл бұрын
Ombi Lako Limitimia Kwa Mzee Wako Charles Hillary's!!!
@osmanmtambo2038
@osmanmtambo2038 4 жыл бұрын
nakufatilia ujee hivoo
@kingdavid5289
@kingdavid5289 4 жыл бұрын
mmh izo miwani
@joyceernest3241
@joyceernest3241 4 жыл бұрын
Tunahitaji salama na Hemed PHD pia
@seifmohamedseif9467
@seifmohamedseif9467 4 жыл бұрын
Salama naomba jibu ya kuvalisha hijab hzo mic
@heartnsanya1182
@heartnsanya1182 4 жыл бұрын
Nimeipenda hii interview
@ramadhaniabdi9530
@ramadhaniabdi9530 4 жыл бұрын
Eti Unaansikiwa Na Nikki..?
@hassanothman5390
@hassanothman5390 4 жыл бұрын
Salama mlete Patcho Kwamba
@lazarojacob641
@lazarojacob641 4 жыл бұрын
Ila nikki wa pili kabla ya ngoma ya niaje ni vp.. mbna alshafanya ngoma nyingi chuga??
@geffects1141
@geffects1141 3 жыл бұрын
Mwambaaaaaaaa
@quarantine325
@quarantine325 4 жыл бұрын
Salama na Jux next
@amedeusmushi628
@amedeusmushi628 4 жыл бұрын
Big up
@bishoomnyonge956
@bishoomnyonge956 3 жыл бұрын
✍️✍️✍️
@ksltTanzania
@ksltTanzania 4 жыл бұрын
Tuletee skwiza
@2mcfyuxuph273
@2mcfyuxuph273 4 жыл бұрын
Mlete warawara
@cuteme9292
@cuteme9292 4 жыл бұрын
Mlete zembwela
@beatricetenywa4367
@beatricetenywa4367 4 жыл бұрын
Kweli
@ellymtima3673
@ellymtima3673 4 жыл бұрын
Hii sio ya kukosa
@dianebampikya2287
@dianebampikya2287 4 жыл бұрын
Please get g nako next
@frankanold9803
@frankanold9803 4 жыл бұрын
sawa joh ila ulilegeza ukaacha hip-hop ukaanza kufanya mziki wa kuimba imba
@mbwanamohamed6613
@mbwanamohamed6613 4 жыл бұрын
Tafadhali ejay mtafute sirjeff deniss ana madini huyo jamaa hutojutia muda wako
@wilbertchaula5441
@wilbertchaula5441 4 жыл бұрын
Mvute NIKKIMBISHI madam
@manexking
@manexking 4 жыл бұрын
🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@AfiSoul103
@AfiSoul103 4 жыл бұрын
Hallow Salama I would like to recommend something...hi i Kwanini huwashauri wanaokuja kufanya interview Wavue miwani jamani..
@emmamatemu8225
@emmamatemu8225 4 жыл бұрын
Wengine wanaona aibu Miwani inawapa confidence
@slayingtee6044
@slayingtee6044 4 жыл бұрын
Miwani kuficha aibu
@AfiSoul103
@AfiSoul103 4 жыл бұрын
🤔jamani ...ahh haya ila uzuri kua kioo cha jamii unapohojiwa watu wakuone hasa ..maana macho yanaelezea hisia za mtu anapokua anaongea
@philemonmgasha3670
@philemonmgasha3670 4 жыл бұрын
Haaaa haaaaa
Salama Na JOH MAKINI Ep 36 | KIUNGO Part 2
22:41
YahStoneTown
Рет қаралды 38 М.
小丑揭穿坏人的阴谋 #小丑 #天使 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 18 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 16 МЛН
When mom gets home, but you're in rollerblades.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 91 МЛН
Mkasi | SO9E16 With Gadna : Extended Version
42:50
MkasiTV
Рет қаралды 61 М.
Salama Na MWAKINYO Ep 44 | VITASA OVERLOAD Part 1
28:02
YahStoneTown
Рет қаралды 70 М.
Interview | STAFU | Episode 1 (Discount Centre)
9:25
Loko Motions
Рет қаралды 162 М.
Salama Na KAJALA Ep 35 | JERAHA LA MOYO Part 1
29:56
YahStoneTown
Рет қаралды 334 М.
JOH MAKIN = NIAJE NIVIPI
4:10
Peter John Rukiko OriGinal
Рет қаралды 88 М.
Salama Na Lord Eyes Ep 20 | HAWATUWEZI Part 1
32:10
YahStoneTown
Рет қаралды 96 М.
Nikk wa Pili Exclusive Interview Part Two
25:03
Millard Ayo
Рет қаралды 48 М.
小丑揭穿坏人的阴谋 #小丑 #天使 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 18 МЛН